Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Yes kuna madaraja mengine haurusiwi kupiga picha
Wabongo wakizaliwa utadhani huzaliwa na DNA ya upumbavu. Eti picha zimevuja wakati Daraja lajengwa hadharani na kila mtu anayepita anaona linavyojengwa!!! Wabongo kazi ipo kweli kweli 😢
Hapo walikua wanakataza kupiga picha karibu. Walikua wanapiga faini
Safi
Walisema December kufungua mwaka litakuwa tayari, sasa asilimia zimeanza kushuka tena
Matuta yanini tena?
Mbona mnazingua mlisema desemba sasa februali. Hamko Sirius
Wanaweka lami na MATUTA?😮