DEREVA UKIMPA PESA POLISI MKONONI UTABURUZWA MAHAKAMANI - POLISI WATANGAZA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 сен 2024
  • DEREVA UKIMPA PESA POLISI MKONONI UTABURUZWA MAHAKAMANI - POLISI WATANGAZA...
    Jeshi la Polisi Nchini limesema kuwa Kila mwaka huadhimisha Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani huku likipiga marufuku kwa mtu yoyote kupokea ama kutoa fedha taslim wakati wa Ukaguzi wa vyombo vya moto.
    Akitoa taarifa hiyo leo Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime amesema kuwa kipindi cha kufanya ukaguzi wa vyombo vya moto wamiliki waelekezwe kurekebisha kasoro zilizobainika au kuondoa chombo husika kwa matumizi ya usafiri kama kitabainika kuwa na ubovu mkubwa.
    DCP Misime ameongeza kuwa yanafanyika ni kulingana na sheria na kanuni za usalama barabarani zinavyoelekeza.
    Aidha amebainisha kuwa Mwaka huu maandalizi ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani tayari yameshanza ikiwepo ukaguzi wa vyombo vya moto ulioanza toka Julai 9,2024 katika Mikoa yote.
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии •