Asante Mchungaji kwa samo pia namshukuru Mungu kwa kukutana na hili somo maana duh!! Naomba niweke kwenye maombi pastor pia nimejifunza ,kuanzia mashangazi hadi wajukuu hatuolewi ,kuzalia nyumbani, umaskini huo hauishi shule tunamaliza hatuendelei, mapepo ayo yanaanzia kwa watoto wa changa bibi angu alikua mgaga lkn aliye takiwa kurithi alikataa akapata ajali ya pikipiki akafa kwa kweli ni mengi Mchungaji ila sikuwahi kujua kua ni laana za vizazi naomba uniweke kwenye maombi ili nikue ki Imani zaidi tuvunje izo laana
Pastor asante kwa kutufundisha kuushu laana sisi kwa kweli tunatamka bila kujua, naomba mungu niwe mwepesi wa kusikia ila mpole wa kutamka in jesus name naomba naamini 🙏
Somo hili limenipa nguvu zaidi hakika huu usemi wako lazima niutumie nategemea kupata wateja wengi zaidi ahsante Mungu kwa kumtumia mtumishi wako anifungue Ahsante Mungu
Pastor MUNGU akupariki, pastor nimepona nilikwa na umwa na goti,niliposkiya ukisema tulifanyiye Kazi hakika nilimwambuya BABA kwani ninaumwa kwani na ww pia unaumwa nikaskiya maumivu yakitoweka,hakika nimepona,MUNGU ni mwema
Naomba kuuliza Pastor, Kwa nini nikipata shida lazima ndugu yangu naye apate shida? Mfano Mwaka 2004 niling'atwa na mbwaa vibaya week iliyofuata Dada yangu akachomwa na pembe la mbuzi mpaka ikapelekea kushonwa, ya pili nilitaka kufa baada ya presha cooker kulipuka na week mbili iliyofuata Dada yangu yuleyule yeye akachomwa na huo moshi wa presha cooker uso mzimaaaa, sasa kuna hiki kilichotokea nilifanyiwa upasuaji na mwaka huohuo Mdogo wangu akafanyiwa upasuaji kama wa kwangu na yuleyule Dada yangu akaungua uso kwa maji ya moto, naomba kujua.
Bwana akubariki pastor Na pia akutunze wewe Na familia yako
Ubarikiwe sana pastor kwa somo zuri sana.
Asante Mchungaji kwa samo pia namshukuru Mungu kwa kukutana na hili somo maana duh!! Naomba niweke kwenye maombi pastor pia nimejifunza ,kuanzia mashangazi hadi wajukuu hatuolewi ,kuzalia nyumbani, umaskini huo hauishi shule tunamaliza hatuendelei, mapepo ayo yanaanzia kwa watoto wa changa bibi angu alikua mgaga lkn aliye takiwa kurithi alikataa akapata ajali ya pikipiki akafa kwa kweli ni mengi Mchungaji ila sikuwahi kujua kua ni laana za vizazi naomba uniweke kwenye maombi ili nikue ki Imani zaidi tuvunje izo laana
Pole sana ushuhuda wako
Pastor hubiri hii inanijenga saana Mungu muumba wa mbingu na dunia akubariki saana na kupe maisha marefu.
Pastor asante kwa kutufundisha kuushu laana sisi kwa kweli tunatamka bila kujua, naomba mungu niwe mwepesi wa kusikia ila mpole wa kutamka in jesus name naomba naamini 🙏
Mungu akubariki sana mchungaji wetu kwamafundisho mazuri
Mchungaji niombee mimi na familia yangu tuponywe na Mungu aleji ya kuwashwa koo na masikio
Paster mmbaga kwa somo hili umenigusa sana, naamini kwenye maisha yangu limeanza kufanya mabadiliko amina.
Asante Pastor kwa mafunzo na mahubiri mazuri, so encouraging, May God continue empowering you with more knowledge to continue delivering His people❤
please make it downloadable without paying premiums ..ni somo nzuri sana la kusaidia wengine
Somo hili limenipa nguvu zaidi hakika huu usemi wako lazima niutumie nategemea kupata wateja wengi zaidi ahsante Mungu kwa kumtumia mtumishi wako anifungue Ahsante Mungu
Amen
Amakweli neno la Mungu ni jipya kila siku nimerudia somo bila kujua na nikaona ni jipya
Amina nimebarikiwa sana namshukul MUNGU kwakukufunilia haya naomba azidikukutumia sikuzote amina
Asante kutujenga kiroho mungu akulinde
AMINA kwa JINA LA YESU.
Amina barikiwa mtumishi wa mfalme kwa neno la uzima,Bwana azidi kukutumia ahsante.
Asante.pastor.kwa.somo.nzuri
Barikiwa pastor
Pastor MUNGU akupariki, pastor nimepona nilikwa na umwa na goti,niliposkiya ukisema tulifanyiye Kazi hakika nilimwambuya BABA kwani ninaumwa kwani na ww pia unaumwa nikaskiya maumivu yakitoweka,hakika nimepona,MUNGU ni mwema
ameena Mchungaji Mungu akubarik kwa somo
Asante Mchungaj naomba uniombee napitia hali hii
Nmebarikiwa sana amen 🙏
Amina
Mungu atukuzwe kwasomo,nimeamin bwan anawatu wake
Ubarikiwe sana mchungaji MUNGU azidi kukutia nguvu
Powerful lesson! I want to download this but I can't, it has no "download" option.
AMEE!!
Eti za kihangaiko😂😂😂😂kwa kweli hata mimi sitaki mihangaiko
Naomba kuuliza Pastor, Kwa nini nikipata shida lazima ndugu yangu naye apate shida?
Mfano Mwaka 2004 niling'atwa na mbwaa vibaya week iliyofuata Dada yangu akachomwa na pembe la mbuzi mpaka ikapelekea kushonwa, ya pili nilitaka kufa baada ya presha cooker kulipuka na week mbili iliyofuata Dada yangu yuleyule yeye akachomwa na huo moshi wa presha cooker uso mzimaaaa, sasa kuna hiki kilichotokea nilifanyiwa upasuaji na mwaka huohuo Mdogo wangu akafanyiwa upasuaji kama wa kwangu na yuleyule Dada yangu akaungua uso kwa maji ya moto, naomba kujua.
Barikiwa sana
BWANA aturehemu
Barikiwa sana paster mm na ukoo wangu kupitia somo hili tumepona
E.meeeen
Amen
Amina
Amen