Kutoka New York, asante sana Pr Mbaga, nimebarikiwa na fundisho la leo. Umenibariki sana na nimejigundua zaidi. Mungu aendelee kukubariki na kukupatia hekima yake🙏
Asante ,naomba muendelee kumuombea kijana wangu, ache kutumia sigala, atambue kuwa akimuomba Mungu atakata ile hamu ama kiu, itaisha, yesu ni yote hakuna kisichowezekana kwake yote yanawezekana kwa imani
Pastor, please explain more about a statement you made 2 days ago that it's a sin to burn forests. In case there are Scriptures to effect I would love to them.

Thank you for the message.
Asante, naomba mmuombee kijana yangu Victor aache kuvuta sigara,kunywa pombe na kutafuna miraa/migoka,amtambue Mungu katika maisha yake
Nabarikiwa kutoka kenya
Following you closely from Kitale kenya
Sitachoka, muombeeni mama yangu Rose anaumwa miguu
Tunashukuru mungu kwa ulinzi asante mungu awabariki
Watching from Kenya.
Amen
Amen Mungu akubariki mtumishi Kwa mafundisho mazuri
Amen 🙏🙏🙏 MUNGU wetu atukuswe
Amina
Amen 🙏
Amen
Naomba mniombee Mungu ajibu aja ya moyo wangu, nimeomba nahisi kukata tamaa na kuchoka😭
Pastor, please explain more about a statement you made 2 days ago that it's a sin to burn forests. In case there are Scriptures to effect I would love to them.
barikiwa mchungaji mimi swali langu ni kwenye warumi 9:13-18 nime changanyikiwa ni saidiye
Samahani naomba kushea nawew swali lako nigum lakni ukilitafakali jalibu kulipima apa Malak 1-4
@OscarWilliam-s5t bado sielewe mpendwa
Aksante
Naomba namba za pastor
Piakuna kijana wangu maeneo ya Mbezi Beach anatamani kubatzwa,ni mgeni huku anafanyaje ili aweze kupata huduma hiyo?
Ampigie huyu atamsaidia 0716610964
Niko na swali,je wazimu anaeza amini na kupona wazimu wake?
Wazimu hawezi akajitambua, hila wewe umubebee Imani na atapona
@edinahmoraamageto7344 Hebu fananisha hicho kisa na wazimu legion aliyekuwa amepakawa na pepo,nani kamubebea Imani?
@mush337 ikiwa ni wazimu original vile unasema akiombewa pepo ataondoka na apone, mungu ndiye uponya
Naomba namba ya mzee wa kwanza au Mzee kiongozi nipate taarifa zaidi kuhusu ubatizo wa leo
Njoo saa nane mchana
Vitabu hivyo tunavipata wapi huku mikoani
Amina
AMEN
Amen
Amen