Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Familia full vipaji. Adorable... Joddete nafurahi kukuona on this space.
Nyimbo za Benard Mkasa zinanifariji sana
Congratulations the family of mukasa. Hongereni mungu awambaliki. From Kenya.
Aa Mungu aendelee kuwajaza tunawapenda
vizuri Sana familiar us mika🏢🔰🔰🔰
Mungu awabariki sana na aendelee kuwapigania na kukuza vipaji vya watoto
Hakika ni familia ya mfano wa kuigwa, Barikiwa sana
Hongeleni kwa mavazi mmevaa vizuri
Mungu aendelee kuwabariki Siku zote ktk maisha yenu ya uimbaji kwa kumtumikia Mungu
Barikiwa sana familia ya Mukasa kwa uinjilishaji kwa njia ya nyimbo
Mungu azidi kuwaongezea vpaji wanatuburudisha sana
Waw...🥰🥰🥰 Nawapenda Sana na Mungu awabariki kwa uinjilishaji wenu
Mungu aendelee kuwabaliki kweri na muwe naombea familia zingine kwe natamani familia yangu iwe kama hii,ila mimi na mmewangu tunajuwa kuimba lakini hatujuwi note 😭ila namushukuru mungu kwakipaji chakuimba, ninakifurahia
Hongera familia ya B Mukasa
Hongereni saana familia ya Benard Mkasa
Hongeren sana mnanibariki sanaaaa
Mbarikiwe sana familia ya Mukasa
Mungu awabariki sana ktk utume wenu.nawapenda mno na natamn na mm ningebarikiwa hivyo
Japo tuko nchi za ugenini,ila tunaendelea kudumisha neno la mungu kweri.
Mungu awabrki sanaa
Hongereni mwaya
Hongereni sana
Kwakweli nimetokwamachozi ya furaha Mungu azidi kiwatunza family yote na roho mtakatifu azidi kuwapa mafunuo zaidi
Tuko pamoja.
Mama mkasa gauni fupi wewe Ni kioo Cha jamii
Pole
Hongereni sana munaimba vzr natamani sana na mm niwe mwimbaji Kama mke wa mkasa
Mumenigusa pakubwa sana family ya mkasa naomba jamani na mm mke wa mkassa nifundisha kuimba napenda uimbaji wake ♥️♥️♥️♥️♥️♥️