MTOTO WA MUKASA ALIYESHANGAZA WENGI KWA KIPAJI CHAKE/FAHAMU FAMILIA YAKE/BABA AJITOKEZA KUMSIFIA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 98

  • @Misol003
    @Misol003 7 месяцев назад

    Hii familia imebarikiwa sana Mungu awatie nguv muendelee kutuinjilisha💗💗💕💖💝

  • @estabit5630
    @estabit5630 3 года назад

    Nawapend bule nyimbo zenu nazipenda San jomon

  • @bargerojonathanf.938
    @bargerojonathanf.938 3 года назад +1

    nimzuri tena bwana mukasa,mungu awabariki sana kwa talanta zenu za uimbaji.
    jonathan kutoka kenya

  • @martinbahanuzibalungika1526
    @martinbahanuzibalungika1526 Год назад

    ❤ nyimbo,Mungu awe kwa upande wetu sote.

  • @DivineNyaanga-kv9rb
    @DivineNyaanga-kv9rb 8 месяцев назад +2

    Wow heavenlyfiltered voice

  • @niyongabojonas4760
    @niyongabojonas4760 3 года назад +11

    Yaani hii Familia sijui niseme nini juu yake... Mungu aendelee kuwatunza salama....
    Halafu huyo mwanahabari ni kama ni MWANAKWAYA WA MT. KIZITO 💒

  • @christianmaganga8413
    @christianmaganga8413 Год назад +1

    Benard mukasa amebarikiwa na Mungu ❤nimemaliza

  • @josephinebiringanine7113
    @josephinebiringanine7113 3 года назад

    Yaani iyi family Mungu azidi kuibariki milele kamwe wasione moto wa jeanama 🙏 Nawapenda sana Mungu pekee anajuwa 🙏

  • @Onesmus8301
    @Onesmus8301 Год назад

    maneno mazuri sana mwl. Mukasa

  • @michaelwalary764
    @michaelwalary764 2 года назад

    A great family built in Christ Jesus faith.mungu awabariki Sana. Kenya tunakumiminia sifi,kanisa katoleki twaona mwaga Kwa nyima zako

  • @mlegibenson7782
    @mlegibenson7782 3 года назад +3

    Hongereni sana,hakika hizi ni sauti za haltareni.

  • @anthonyanthonyhinju1846
    @anthonyanthonyhinju1846 2 года назад

    Mukasa mungu atakulipia kwa unayo ya fanya hongera sana

  • @martinmutunga9812
    @martinmutunga9812 Год назад

    Beautiful family.. God bless you. The interviewer is good too

  • @eng.faithatieno5366
    @eng.faithatieno5366 3 года назад +2

    I really love Mukasa's family I wish u were in Kenya, I have been following keenly, am Faith from Kenya

  • @stevenngussa9334
    @stevenngussa9334 2 года назад

    Ivi na nyie huwa mnakorofisha, kweli jaman. Familia hii,
    I wish to be have family like this

  • @alitz247
    @alitz247 2 года назад

    Nguvu ya mazungumzo wame Fanya vizuri sana mungu aibariki hiyo familiya

  • @godfreyntibakula5697
    @godfreyntibakula5697 3 года назад

    Duuu Kakweli Mungu Mungu anamakududi kwa kila Kiumbe wake Hiyo familia Mungu ameileta Duniani ili uwepo wa Mungu Uthihirishwe Mbarikiwe sana

  • @kamangutv5828
    @kamangutv5828 2 года назад

    Nyie ni safi snaa

  • @rosekuria7289
    @rosekuria7289 2 года назад

    Waoh waoh, you always bless me, u are truly blessed.

  • @pendopeter1790
    @pendopeter1790 3 года назад

    Hongereni sana Familia hii na Mungu wa Mbinguni awalinde na kuwaongoza katika kumtumikia.

  • @vicentmatale2377
    @vicentmatale2377 3 года назад +1

    Nabarikiwa sana na familiaa hii natamani Siku moja niungane pamoja na familia hii

  • @marysangu1543
    @marysangu1543 3 года назад +4

    Nabarikiwa Kila nisikiapo huu wimbo. Amina

  • @teresaannmaina5325
    @teresaannmaina5325 3 года назад +3

    My favourite family,i pray someday i meet up with you guys,Nawapenda saaaana,,from Kenya

  • @georgetallah6254
    @georgetallah6254 2 года назад

    You've a beautiful family, beautiful voices. Continue serving your God. You're reward is in heaven.

  • @reginamukama7333
    @reginamukama7333 3 года назад +2

    Endelea kumpa Mungu utukufu ndo tu kilichobaki ktk ulimwengu huu usonamatumaini. Hongera sana

    • @reginamukama7333
      @reginamukama7333 3 года назад

      Na watoto wenu hawatasahau mausia na uzuri wa Bwana kupitia ktk nyimbo

  • @GodfreyManyama-m5x
    @GodfreyManyama-m5x Месяц назад

    Mungu awbariki tender kaz yake

  • @franciscakitutui2971
    @franciscakitutui2971 3 года назад +3

    Barikeweni sana

  • @aureliaraphael3725
    @aureliaraphael3725 3 года назад

    Familia pendwa Mungu azidi kuwabariki......hongereni sana

  • @denicejoseph3872
    @denicejoseph3872 Год назад +1

    May Almighty God bless u all in every step of your life

  • @fr.Josephat-SharingGodsLove
    @fr.Josephat-SharingGodsLove 2 года назад

    Mungu awabariki muendelee kumtukuza

  • @elizabethkanini4444
    @elizabethkanini4444 3 года назад +2

    I love this family may God bless you guys.Eliza from Kenya

  • @eddyjosephmagenge9658
    @eddyjosephmagenge9658 3 года назад

    Naipenda Sana familia hii . Najifunza mengi kutoka kwenu. Mungu awabariki particularly baba na mama

    • @catherinphilipo3503
      @catherinphilipo3503 3 года назад

      Kweli mm natamani nipate mwanaume kama mukasa jmn ntafurahi sana

  • @pendomassawe5097
    @pendomassawe5097 3 года назад +2

    Nawapenda Sana ,napenda mno kuskiliza nyimbo zenu MUNGU azid kuwabariki🙏🙏🙏

  • @laliakiza7351
    @laliakiza7351 3 года назад +1

    Wow God bless u ❤️❤️🔥

  • @justinrweyemamu5528
    @justinrweyemamu5528 3 года назад

    Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki na msirudi nyuma.

  • @eliutheribatlaite9310
    @eliutheribatlaite9310 3 года назад

    Familiar nzuri sana ya kikristo Mungu awabariki sana.

  • @janemwirikia6817
    @janemwirikia6817 3 года назад +3

    I love this family so so much,may God bless them

  • @frankaspaul499
    @frankaspaul499 3 года назад +3

    Barikiwa sana Mukasa Family

  • @kimzo3p
    @kimzo3p 3 года назад

    Mukasa hongereni sana kwa kutubariki siku zote... Mungu awabariki na kuwajalia zaidi

    • @rosegachengo3216
      @rosegachengo3216 3 года назад

      A lovely family , blessed and still a blessing to many

  • @gilbertmatenya9327
    @gilbertmatenya9327 3 года назад

    Hongera sana kwao wanafanya vizuri sana

  • @vivianochola1825
    @vivianochola1825 3 года назад +2

    Familia hii inatupa nguvu zaidi ya kumtumikia mwenyezi Mungu

  • @magrethmallya7728
    @magrethmallya7728 3 года назад +4

    Hakika Mukasa umebarikiwa wewe na familia yako. Mibaraka mingi mingi iwatiririkie tena na tena.

  • @mercynjunge3009
    @mercynjunge3009 3 года назад +3

    Mukasa family you are blessed.

  • @agustinorichadi9019
    @agustinorichadi9019 3 года назад +1

    Hongereni sana

  • @kwayayamt.yohanembatizaji_9701
    @kwayayamt.yohanembatizaji_9701 3 года назад

    Mbarikiwe sana wapendwa kwa uinjilishaji

  • @shaklinchaula6748
    @shaklinchaula6748 3 года назад

    Barikiwa sana nakukubali

  • @natoantony2080
    @natoantony2080 3 года назад +2

    Tembea Kenya Nairobi tunakutamani sana

  • @maximillajuma1036
    @maximillajuma1036 3 года назад

    God bless this family My marriage and musician mentor

  • @vinnysuper7945
    @vinnysuper7945 2 года назад

    Your songs are blessings

  • @jonathanlymo5523
    @jonathanlymo5523 3 года назад

    Blessed blessed blessed blessed amenn

  • @trifoniambilo2400
    @trifoniambilo2400 3 года назад

    Baraka nyingi sana mukasa

  • @annamusembi9885
    @annamusembi9885 3 года назад +1

    God bless you. I love you guys

  • @devothasintoro5909
    @devothasintoro5909 3 года назад

    Hongereni xana

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 3 года назад

    Yaani mmekutana waimbaji wote ninaowapenda.Mungu azidi kuwainua

  • @sophiealex3967
    @sophiealex3967 3 года назад +1

    Mungu awalinde daima

  • @consalvamahengo848
    @consalvamahengo848 3 года назад

    Nyimbo nzuri sana

  • @hamzajuma988
    @hamzajuma988 3 года назад

    Big up for dis family GOD bless

  • @devothabahati6548
    @devothabahati6548 2 года назад

    nawapenda.

  • @veshphelaa5558
    @veshphelaa5558 3 года назад +2

    Nafurahia ukuu wenu

  • @sophiealex3967
    @sophiealex3967 3 года назад

    Nabarikiwa na hii familia

  • @monicamsolla3709
    @monicamsolla3709 3 года назад

    Mungu awatunze daima.

  • @akwilinamartin2460
    @akwilinamartin2460 3 года назад

    Bwana uniskiee 🙏

  • @kasyokimusyoka4354
    @kasyokimusyoka4354 3 года назад

    I feel uplifted whenever I listen to this song

  • @eunicekamene816
    @eunicekamene816 3 года назад

    Siku yangu ya kwanza kukusikia na pia kuwaona ,nimewapenda tu bure

  • @augustinoshigela6329
    @augustinoshigela6329 3 года назад

    I love the Mukasa's family

  • @mathiasjohn6271
    @mathiasjohn6271 3 года назад

    Hongera Familia ya Mungu

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 3 года назад

    Mmenikonga roho yangu hongera sana

  • @marionkimiti3890
    @marionkimiti3890 3 года назад

    Good family...
    Good church...

  • @TEACHER.CLEOPHAS
    @TEACHER.CLEOPHAS 3 года назад +1

    A blessed family of musicians.

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 3 года назад

    Mubarikiwesana wapedwa

  • @cesiliabahath6943
    @cesiliabahath6943 3 года назад +1

    Jaman mkasaa w nijiran yetu huuu rukaragataaa

  • @paschalmeesay963
    @paschalmeesay963 3 года назад

    Mbarikiwe familia, kuimba ni kusali Mara mbili.

  • @natoantony2080
    @natoantony2080 3 года назад +1

    God bless you

  • @davidsesso7493
    @davidsesso7493 Год назад

    Waoooooo👄👄👄👄👄👄

  • @judithkatabaro3294
    @judithkatabaro3294 Год назад

    Jesus❤

  • @pamellahakoth2834
    @pamellahakoth2834 3 года назад

    I love this family

  • @adiverahchelestine8699
    @adiverahchelestine8699 3 года назад +3

    Barikiwa sana

  • @Umico_63
    @Umico_63 3 года назад +2

    Mkasa iv na nyie waga mnafarakana kweli!!!! Familia yk izid kubarikiwa xn jmn

  • @essyangel9650
    @essyangel9650 3 года назад +1

    Blessed family

  • @EliasShao
    @EliasShao Год назад

    Fundi wa kinanda

  • @anitabizimana8175
    @anitabizimana8175 3 года назад

    jamani ni furaha kubwa kuwa ndani ya familia hii kunaonekana vipaji na uwaito wa Bwana Jesus Kristo.

  • @octavinamgulunde5183
    @octavinamgulunde5183 3 года назад +3

    good family

    • @consolathachunga8920
      @consolathachunga8920 3 года назад +1

      Hongereni Sana kwa kumuhubiri yesu kwa uimbaji

    • @devothagaspaly1517
      @devothagaspaly1517 3 года назад +1

      Hongereni saana Mungu azidi kuwabariki. Nabarikiwa saana na nyimbo zenu.

    • @marianagregory6640
      @marianagregory6640 3 года назад

      Watanzania wengi wana kipaji cha kuimba ,hasa mziki, wa nyimbo za dini, lakini kucheza mpira tumenyimwa. Great my people

    • @chasamaalphoncemasanyiwa652
      @chasamaalphoncemasanyiwa652 3 года назад

      Hongeren sana nataman siku moja mtoe Wimbo wa kuombea miito mitakatifu

    • @emmaponera225
      @emmaponera225 3 года назад

      Nawapenda sana nyie ni kiooo cha jamii

  • @jestinaluvanda4787
    @jestinaluvanda4787 3 года назад

    Sasa huyo mdogo wako au mtoto wako maana sio kwa kufanana huko

  • @paschalmachibya4134
    @paschalmachibya4134 2 года назад

    Hongera sana