Amen mtu wa mungu, maombi yako na mafundisho yako yamekuwa yakinisaidia sana kwa kweli namshukuru sana mungu kwa ajili yako, nlianza kazi mpya mwez wa saba chakushangaza nlipopokea tuu mshahara wa kwanza girlfrienda wangu akapata changamoto ghafla, pesa karibu yote nlimtumia nikabak na kidogo sana. Nlijiuliza maswali mengi bila jibu, chakushangaza naamka leo naingia youtube nakutana na mafundisho. Daah nimesaidika sana kwa kweli. Nakupenda sana mtu wa mungu..mungu unaemwabudu nampenda sana pia.
Apostle Tunaomba Muwe Live Ibadaa,
Be blessed man of God wewe ni pst wangu ata kama niko kenya
Amen Chief Apostle tunakushukuru sana kwa mafundisho haya
Somo hili limenijenga upya nashukuru sana Apostle kwa mafundisho haya makini.
asante sana apostle kwa somo hili,Mungu akupe mafunuo zaidi kwa ajili ya ufalme wake
Amen mtu wa mungu, maombi yako na mafundisho yako yamekuwa yakinisaidia sana kwa kweli namshukuru sana mungu kwa ajili yako, nlianza kazi mpya mwez wa saba chakushangaza nlipopokea tuu mshahara wa kwanza girlfrienda wangu akapata changamoto ghafla, pesa karibu yote nlimtumia nikabak na kidogo sana. Nlijiuliza maswali mengi bila jibu, chakushangaza naamka leo naingia youtube nakutana na mafundisho. Daah nimesaidika sana kwa kweli. Nakupenda sana mtu wa mungu..mungu unaemwabudu nampenda sana pia.
Amen nimebarikiwa sana Niko Washington Seattle
Funzo la leo nmebalikiwa sana apostle
Amen amen amen nimebarikiwa nikiwa saudia kwa jina la yesu kristo, asante baba kwa mafunzo nzuri, nuru ya Bwana izidi kukuanganzia
Asanteni saana Baba yr holly spirit is finally full 🙌
Amen Amen 🙏
Amen
barikiwa mtumishi.Hii MUNGU kaniona namshukuru sana.
Asante apostle kwa fundisho hilo.
Ahsante sana Apostle kwa funzo. Najifunza mengi mno.
I receive it in jesus might name
😅
Amen