SIRI YA KUMILIKI KIWANDA KWA MTAJI WA KUANZIA MILIONI SITA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 окт 2022

Комментарии • 17

  • @ednalushaka6228
    @ednalushaka6228 Год назад +2

    Asante kwa kipindi kizuri. Je mnatengeneza mashine za kuchakata mihogo

  • @felicianfrancis9895
    @felicianfrancis9895 3 месяца назад

    Asante kwa kutuonesha fursa

  • @user-on1sw7hh1w
    @user-on1sw7hh1w 21 день назад

    Nataman sana kuwa na kiwandaa jmn Nina mtaji wa m 20 nishaulini jmn

  • @user-wq9jq7pm7q
    @user-wq9jq7pm7q 3 месяца назад +1

    Naitaji machine ya kusindika zao la parachichi hili kupata mafuta ya parachichi ni kobukiba naomba majibu

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 3 месяца назад +2

    KIWANDA AU MASHINE NDOGO TU? HIVI MASHINE YA KUKUSAIDIA KUKATA NYASI INALETA HADHI YA KUITWA KIWANDA? NI SHIDA TU.

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 5 месяцев назад +1

    Bila kuboresha umeme wa kutosha nchi nzima mtapata wawekezaji mchwara tuu

  • @godfredkimaro3292
    @godfredkimaro3292 Месяц назад

    Hawawekagi mawasiliano

  • @mudyfogo674
    @mudyfogo674 27 дней назад

    Nataka mashine ya ku chakata misumari

  • @ConfusedHardHat-oi8ic
    @ConfusedHardHat-oi8ic 4 месяца назад

    Yamuusika w

  • @ConfusedHardHat-oi8ic
    @ConfusedHardHat-oi8ic 4 месяца назад

    Yunaomba amba yasimu

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 5 месяцев назад

    Nchi haina umeme wa kutosha kufanya wawekezaji kuweza kufanya biashara.

    • @birianination7097
      @birianination7097 2 месяца назад

      Kina Bakhresa si waliekeza wakati mbaya na wakakua, sasa wewe lalama badala ya kutenda

  • @makenebartazary2236
    @makenebartazary2236 Год назад

    Hayo maonyesho yapo 77 au tunakumbusha ya nyuma

  • @josephlaizer9856
    @josephlaizer9856 3 месяца назад +1

    Nitapataje mashine ndogo ya kusaga kokoto