Duh! Mmiliki wa Kiwanda Hiki, Kweli Kaamua Kumgusa Magufuli!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 ноя 2024

Комментарии • 39

  • @emanuelchristian6928
    @emanuelchristian6928 4 года назад

    Hongera manager,you are the best ever,natamani nianze kulima matunda kama mtanipa support ya kununua.

  • @josephnchunga6554
    @josephnchunga6554 6 лет назад +3

    safi sana nimeipenda sana hiyo ,kumbe tz ya viwanda inawezekana bana oooh tumuombe maisha marefu rais Wetu mpendwa

  • @fyuujfgfggg3673
    @fyuujfgfggg3673 6 лет назад +3

    Aisee kiwanda kipo vzr sana hongera kwa kweli hadi nimekipenda ngoja niwahi kuja kuomba kazi mapemaaa

  • @amedeusfrancis6645
    @amedeusfrancis6645 6 лет назад

    hongera sana,habari njema kwawakulima wamaembe

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 6 лет назад +6

    Hizi ndo habari za muhimu. Hongera mwandishi.

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 4 года назад

    Hixi ndizo Habr tunazitaka Watanzania sio za Dr. Shika. Hongera mwandishi

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 4 года назад

    Safi umenip Moy wa kulim matunda

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 6 лет назад +2

    Safi sana kiwanda kizuri kweli nimekipenda .

  • @kaizenthinkin9724
    @kaizenthinkin9724 6 лет назад +2

    Ongeraaaa Sanaaaaa JPM

  • @mariamally2649
    @mariamally2649 5 лет назад +1

    ASANTE SANA SISTA KUTEMBELEA KIWANDA CHETU CHA FRUITIES ......!

  • @sammritta6584
    @sammritta6584 6 лет назад +1

    Great..!!

  • @niaanthony9588
    @niaanthony9588 6 лет назад +5

    Tanzania ya viwanda Safi sana

  • @shanisaidy5033
    @shanisaidy5033 6 лет назад

    Inapendeza sana

  • @adyaa8922
    @adyaa8922 6 лет назад

    Safi sana

  • @ibrahimsalim3698
    @ibrahimsalim3698 6 лет назад

    Saafi saana

  • @deus8629
    @deus8629 6 лет назад +2

    when we talk about factory.. this is exactly what we call factory . hichi ndo kiwanda sasa sio vile vingine vya mfano.

  • @christmasmachele5589
    @christmasmachele5589 6 лет назад +3

    Tatizo la viwanda vya wahindi ni kwamba wanajazana wahindi kwenye zile kazi zenye maslahi mfano hapo wataletwa wahindi kwenye kazi ambazo watanzania wanazimudu zile duni zisizo na maslahi ndio watanzania wanapewa waziri fuatilia hili

    • @mariamally2649
      @mariamally2649 5 лет назад

      Umekosea sana kiwanda chetu hakina ubaguzi mbona tuna ma HR na marketing manager wafrika pls usilete ubaguzi ukachefuwa roho za watu kama vipi nenda kaombe kazi ukiwa una elimu yako ya ukweli na ya kutosha

  • @silasmnandi4458
    @silasmnandi4458 6 лет назад

    catherine naomb mawasiliano yko plz

  • @danielodhiambo6574
    @danielodhiambo6574 6 лет назад

    mshahara sasa ndo itakua ishu

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 4 года назад

    Inakuwaje nikitaka kuwauzia maembe?? ninafanyaje?? Au napataje namba zenu

  • @emanuelchristian6928
    @emanuelchristian6928 4 года назад

    Hicho kiwanda kipo mkoa gani? Na je mnawawezesha vipi wale wajasiliamali wakulima wadogowadogo kwa kununua matunda wanayozalisha?

  • @emanuelchristian6928
    @emanuelchristian6928 4 года назад

    Mbali na embe mnatumia matunda gani mengine?

  • @mimahg2620
    @mimahg2620 6 лет назад

    Kazi inapatikana jamani

  • @hassanlikaba9813
    @hassanlikaba9813 6 лет назад +1

    Hiyo kucha ina kazi gani kwenye kiwanda

  • @leilainnocent6532
    @leilainnocent6532 6 лет назад +2

    Halafu kina Zitto wanabeza

  • @jonathanakhabuhaya1693
    @jonathanakhabuhaya1693 6 лет назад

    Safi.Lkn hiyo dozi ya ripening ni kemikali gani?Je hiyo kemikali ya kuosha ni nini?TPRI,TBS,TFDA naGLCA fuatilieni.

  • @aboudmsonde2890
    @aboudmsonde2890 6 лет назад

    Kulazwa gonjwa.....

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 6 лет назад

    aisee matunda yatakua adimu soon

  • @salmadashlaquimanelaquiman4427
    @salmadashlaquimanelaquiman4427 6 лет назад +1

    Mmmmh kila la kher

  • @josephnjeno2582
    @josephnjeno2582 6 лет назад

    Job lini inatoka