You have said it all dear, yaani ingempeleka mbali sana. Halafu hapa Tz hivi hakuna online media ambayo inahoji kwa English?? jamani this should be sent to the world! wenzetu wanatupita hapo kwa kutangaza kazi zao duniani na sio confining only within their locality
Naomba niwashauri vijana wote, hata kama leo au kesho umepata mil 100, kamwe usianze biashara kwa kiwango kikubwa cha fedha, anza polepole kidogo kidogo kadri matokeo yanavyokuwa mazuri ndio unawekeza zaidi. Kuweni makini sana na ushauri wangu wa mwisho kwenu kuweni wasiri sana, fanyeni mambo kwa siri kubwa sana wacha mafanikio yajitangaze na sio wewe ujitangaze.
Kwahiyo wakipata milioni 100 waanze na kuuza mashati ya milioni moja kwanza siyo? Siyo kilq biashara unaweza kuanzia na mtaji mdogo. Scared money don't make money.
Hongera sana edigar serikal ya tanzania kupitia wizaraya viwanda nabiashara iwekaribunavijana kama edgari kwakuwapa ushauri ilisecta ya viwanda ikue nakuinua uchumi wa nchi yetu pendwa tanzania
Serikali iangalie sana kwa umakini watu kama hawa na pia itathmini mustakabali wa elimu .......sio kujazana vitini na maneno mengi wakati wabunifu wapo
Kijana alianzia kusikika from Project Inspire. Nazani ni vyema angewapa credit pia. Maana wako wanajitaidi kukuza vipaji vya vijana kama hawa na waconnect na mashirika ya nje.
Wabongo tuache wivu usio na maana, kwani hatakama ana miaka 30 kuna tatizo gani? Siajabu ww una miaka 35 ama 40 umefanya project gani hata ya nyumbani kwako tu?
Kama Tanzania anataka mufanya mapinduzi ya kiuchumi lazima iweke mitaji ya kuwekeza kwa watu kama hawa , na kitu hichi ndio kimeifanya marekani kuendelea sio kiuchumi tuu bala hata kiteknologi , Tatizo kubwa tz sio ukosefu wa ubunifu hapana ni mitaji tuu ya uwekezaji
Hongera sana. Ila nimepata wazo la swali. ikitokea ujenzi viwanda vingi vya namna hii. Na serikali kafanikiwa kuthibiti matumizi ya vifaa vya prastic kama vile mifuko ya prastic iliyopigwa marufuku. HUONI KUA UHAI (Sastainability) WA KIWANDA UTAKUA HATARI I?
Hata Mimi nafanya project hizi ubunifu wote upo youtube you just kopi na kupaste. Taka plastic ni kama gundi au cement. Taka plastic unaweza zalisha gesi, petrol, dizeli, vigae vya chini na vya kuezeka, nguzo, mbao za kujengea, kupaua, fenicha, kutengenezea lami zipo lami za plastic, mizinga ya nyuki.
Tatizo wamezoea kuanza shule wakiwa na miaka 10 mtu ndo anaanza lakwanza ndomaana wanaona ajabu, mimi mtoto angu ana miaka 10 na anamaliza la7 mwaka huu
Serikali kijana kama huyu anapaswa kuwezeshwa kifedha na kiteknolojia. Sjui huwa hamuwaoni vijana wa ivi. Uyu atazalisha ajira na kukuza pato la taifa kwa ukubwa akiwezeshwa
Edgar usisahau kuzungumzia hali ya shule yako kwa xx unapokutana na wahusika haswa vyombo vya habari kama ivi coz kama sio ile shule usingekua apo ulipo plz plz plz!!!!!!
@@agnesslaizer5560 ndio ilisha funguliwa Ila nikutilia mkazo serekali ifaamu zaidi kwa mifano hai kupitia hawa ambao wamesha fanikiwa na wameonyesha matokeo chanya kwenye jamii🙏🙏🙏
@@davidmagundu2285 shule aliosoma inaitwa st jude imepitia kwenye changamoto na serekali kuusu mambo ya Kodi ukizingatia ni shule inayosomesha watoto wanaotoka kwenye familia masikini lakini wanavipaji vya hali ya juu Ila still TRA walikua wanataka Kodi kutoka kwenye hio shule na ilifukia Hadi kufugwa mwaka jana na inawatoto zaidi ya 1500 wanasoma buree adi chuo kikuu
Mbona wote Arusha? Au ni Connection? Mbona wabunifu tupo wengi kitaa ila hatuna msada wowote,, Daaa ila sawa tu , maana Mungu anampa amtakaye Lakini hongereni sana vijana wa Arusha kwakuiwakilisha TANZANIA nje ya Inchi
@@yeshuasweapon4384 unajua cc tusio soma inatakiwa mtupeleke mdogo mdogo na mkiona makosa inatakiwa mrekebishe nimemaanisha yani atafika mbali yani atapiga hatua sio kua atofika mbali hapana kama ujanielewa uchache wangu wa kutoelewa vema kiswahili shukran ndg
Vigae vya plastic ukiezekea vinakaa miaka 600 bila kuharibika au kuoza, nguzo za plastic haziozi majini hivyo ni nzuri kwa fence. Ukitaka business plan kuhusu takataka za plastic na utengenezaji wa mbao, nguzo, vigae, pavers, matofali,madawati, viti, meza, Milango , nk. Ukitaka mashine za kusaga, kuyeyusha plastic, kutoa Mchele wa plastic, chochote kuhusu biashara ya taka plastic mfano masoko chenga au Mchele wa plastic nk tuwasaliane.
Hongera Sana kwako Edgar Tanzania inahitaji vijana Kama wewe
Hongereni vijana wa Arusha mmejaliwa Sana vipaji kwakweli
This young man is genius and the industry he entered is gold!
Mngeweza kufanya English subtitle Kwa hii ingemsaidia sana huyu kijana na future link zenu zitasikilizwa worldwide. @AyoTV
Kabisa
You have said it all dear, yaani ingempeleka mbali sana. Halafu hapa Tz hivi hakuna online media ambayo inahoji kwa English?? jamani this should be sent to the world! wenzetu wanatupita hapo kwa kutangaza kazi zao duniani na sio confining only within their locality
Hii shule ya St. Jude ina kitu cha ziada! Kuna yule kijana mwingine aliyebuni fire alert kwenye nyumba, shule na maeneo mengine.
Hongera sana. Hiyo mashine ingeletwa Keko Dar . Kule wanatumia mbao ambazo huliwa na wadudu na kuoza haraka. Ubunifu mzuri, awezeshwe.
Wasiliana na mimi kijana kuna eneo dar tufanye biashara.
Congrats brazaa..Mungu akuongozee akujaalie ufike mbele zaidii
Hongera kwa wazo hai la kutunza mazingira... Nakushauri uongeze na Kutengeneza mabati ya plastics au vigae..
Naongezea ndugu edgar plastik inajulikana ikishika moto ni hatali je inawezeka kuondoa changamoto hio
Daaaaah yan mnaangalia miaka Just a number tu Angelia mafanikiooo umbwa wew
St. Jude you are doing a brilliant job🎉❤❤
Inspired 👏🏻👏🏻👏🏻
Wewe ni kichwa bro utafika mbali sana.
Naomba niwashauri vijana wote, hata kama leo au kesho umepata mil 100, kamwe usianze biashara kwa kiwango kikubwa cha fedha, anza polepole kidogo kidogo kadri matokeo yanavyokuwa mazuri ndio unawekeza zaidi. Kuweni makini sana na ushauri wangu wa mwisho kwenu kuweni wasiri sana, fanyeni mambo kwa siri kubwa sana wacha mafanikio yajitangaze na sio wewe ujitangaze.
Umeongea kitu kikubwa sana lakin wachache watakuelewa
Kwahiyo wakipata milioni 100 waanze na kuuza mashati ya milioni moja kwanza siyo? Siyo kilq biashara unaweza kuanzia na mtaji mdogo. Scared money don't make money.
Asante sana
This is great Ayo Tv to inspire more youth to become creative
Hongera Sana mungu hamuachimt2 anaejit2ma
Great Job Edgar very happy and proud of you
Hongera sanaa , i wishes all the best . napenda xanaa hizo innovation
Proud of You Edgar, Keep it Up bro!🔥💪🏻
Makini sanaaaaa💪🤙🙏
A very bright man!! Keep it up.
Job well done 👍.. keep it up young man and all the best
Hongera sana bro.. natamani unitengenezee sheets za plastic ambazo ni somehow ngumu Kwa ajili ya green house au fish ponds
Hongera Sanaa kaka mungu akutanguliee
Nice job Mr Edga
Hongera sana edigar serikal ya tanzania kupitia wizaraya viwanda nabiashara iwekaribunavijana kama edgari kwakuwapa ushauri ilisecta ya viwanda ikue nakuinua uchumi wa nchi yetu pendwa tanzania
Hongera chalii angu
Hongera kwa ubunifu
Serikali iangalie sana kwa umakini watu kama hawa na pia itathmini mustakabali wa elimu .......sio kujazana vitini na maneno mengi wakati wabunifu wapo
UMETISHAAA SANA MDOGO WANGU MUNGU AKUPE KUSONGA MBELE ZAIDIIIII
Kijana alianzia kusikika from Project Inspire. Nazani ni vyema angewapa credit pia. Maana wako wanajitaidi kukuza vipaji vya vijana kama hawa na waconnect na mashirika ya nje.
Nikweli projekt inspired imekua na mchango mkubwa mpaka hapa nilipofikia
@@edgaredmund9194 great. On your next interview please give them some credit for the work they are trying to do.
Soon utamuhoji my young brother insha'Allah!!!!!
In shaa Allah
Mmmh,, jaaman nimekupenda adga naomba ndoa na ww
Hongera sana kwa hatua kubwa hiyo ila miaka umedanganya
Mashallah mungu atakujalia utafika mbali
Safi safi sana kiwanda chako kikue zaidi
This is BIG ♥️✊🏽
Hongera zake akili kibao
Wowoowwo 😘😘!!!! 'watu Bn miaka kitu gani sasa' me ' nikitembea na Mdogo wangu na ndo ana miaka 16 Lakini ana onekana ni mkubwa kuliko meme??
Point💪
Ofisi iko wapi Edgar.
Kiukweli watu WA kaskazin Wana talent Sana ..ndo mana hata wazungu wanawapenda Sana wamasai
Hata sisi wasukuma tuna ubunifu
Wabongo tuache wivu usio na maana, kwani hatakama ana miaka 30 kuna tatizo gani? Siajabu ww una miaka 35 ama 40 umefanya project gani hata ya nyumbani kwako tu?
Mimi nadhani imetajwa idadi ya miaka yake ili kuhamasishwa wengine ambao wanadhani kuwa mtu hawezi kufanya kitu cha maendeleo mpaka awe na umri mkubwa
Habari nzuli sana. Naomba namba yake niwasiliyane naye
Kama Tanzania anataka mufanya mapinduzi ya kiuchumi lazima iweke mitaji ya kuwekeza kwa watu kama hawa , na kitu hichi ndio kimeifanya marekani kuendelea sio kiuchumi tuu bala hata kiteknologi , Tatizo kubwa tz sio ukosefu wa ubunifu hapana ni mitaji tuu ya uwekezaji
Hongera sana. Ila nimepata wazo la swali. ikitokea ujenzi viwanda vingi vya namna hii. Na serikali kafanikiwa kuthibiti matumizi ya vifaa vya prastic kama vile mifuko ya prastic iliyopigwa marufuku. HUONI KUA UHAI (Sastainability) WA KIWANDA UTAKUA HATARI I?
Amnaa nimdogoo, sanaaa
Good work brother
V. good
Hongera sana Edgar. Kiwanda kipo wapi na bidhaa zako zipo wapi pia taja namba yako. Eneza hiyo elimu kwa watanzania wengine
Hongera sana
Hongera sana kijana
Hongera sana Edgar (๑♡⌓♡๑)
Hongera kaka
Acheni kutudanganya nyinyi. Hilo jamaa Lina miaka 20 Eti. Hahahaaaaa😅😅😅😅
Shida ni kwamba watu ambao wanaweza fanya kazi na hiki kiwanda yawezekana hawaandalii millardAyo
Hongeraaaaa sanaaaa
Hongera sana man
Jibu nimeshapata Kupitia maelezo.
Mashaallah.allah azidi kukupigania .
Hata Mimi nafanya project hizi ubunifu wote upo youtube you just kopi na kupaste. Taka plastic ni kama gundi au cement. Taka plastic unaweza zalisha gesi, petrol, dizeli, vigae vya chini na vya kuezeka, nguzo, mbao za kujengea, kupaua, fenicha, kutengenezea lami zipo lami za plastic, mizinga ya nyuki.
Bro nikuchek? Mawasiliano tafadhali
Aina za vitu vya ndani anavyotengeneza ni aina gn🇴🇲
Uko vizur kijana
ana miaka 20 sema wobongo bhn mm mbn nilimaliza Form 4 na miaka 15
Kwa hyo
Tatizo wamezoea kuanza shule wakiwa na miaka 10 mtu ndo anaanza lakwanza ndomaana wanaona ajabu, mimi mtoto angu ana miaka 10 na anamaliza la7 mwaka huu
Maa shaa Allah
Serikali kijana kama huyu anapaswa kuwezeshwa kifedha na kiteknolojia. Sjui huwa hamuwaoni vijana wa ivi. Uyu atazalisha ajira na kukuza pato la taifa kwa ukubwa akiwezeshwa
👍👍👍👍👍👍.....
Mdogo wangu mungu akubariki sana
Edgar usisahau kuzungumzia hali ya shule yako kwa xx unapokutana na wahusika haswa vyombo vya habari kama ivi coz kama sio ile shule usingekua apo ulipo plz plz plz!!!!!!
Vp, kwan shule yake aliosoma inatatizo gan?
@@davidmagundu2285 imefungwa
Ilishafunguliwa
@@agnesslaizer5560 ndio ilisha funguliwa Ila nikutilia mkazo serekali ifaamu zaidi kwa mifano hai kupitia hawa ambao wamesha fanikiwa na wameonyesha matokeo chanya kwenye jamii🙏🙏🙏
@@davidmagundu2285 shule aliosoma inaitwa st jude imepitia kwenye changamoto na serekali kuusu mambo ya Kodi ukizingatia ni shule inayosomesha watoto wanaotoka kwenye familia masikini lakini wanavipaji vya hali ya juu Ila still TRA walikua wanataka Kodi kutoka kwenye hio shule na ilifukia Hadi kufugwa mwaka jana na inawatoto zaidi ya 1500 wanasoma buree adi chuo kikuu
Mbona wote Arusha? Au ni Connection?
Mbona wabunifu tupo wengi kitaa ila hatuna msada wowote,,
Daaa ila sawa tu , maana Mungu anampa amtakaye
Lakini hongereni sana vijana wa Arusha kwakuiwakilisha TANZANIA nje ya Inchi
kweli conection
Sasa wewe wasiliana na hyu Edger, then muulize united wapi ili nawe utimize malengo yako.
Ts nat about wat u know...its about who you know...tafuta connection brazaaa
@@ommymsomi4362
Kweli kaka watu tuna vitu mobu
Ila shida waku tunyanyua
@@khadijaomari9344
Yaani Dada yangu huu ni mwaka wa nane nakomaa na Ubunifu lakini sioni Dalili ya KUTOBOA
Najiuliza sijui kwa nn?
Ungekuja gulf ungeendelea sana maana chupa za maji na juice za plstic ni nyingi sana zinatupwa tu
Mm nahitaji bizaa zake
Jamaa anamawazo kama yangu.....big up brooh
Ushauri kijans acheze na rangi ili vitu viwe na mvuto
big up
Safi sana
Kwenye miaka 20 apo nakataa
Unakataa nini sasa
Ungemwbia aisee dogo vip mkuu!?😄😄 au umeogopa hela zake #jokin
Mawazo yote ya ubunifu yapo youtube yapo google, hata jinsi ya kupata internet bila bando, kupata umeme wa sumaku nk
Nataka hiyo kupata internet bila bando itanifaa
@@salimomary6279 hahahhahah
🤝💪💪
Ila st Judy inatoaga majembe
HUYU dogo hata fika mbali sana ushauri kwa vijana wenziwetu mlio pata bahati ya kusomeshwa kazeni cc wenziwenu nyumbani ndio baba nyumbani ndio mama
Kaka sikiliza vzuri..Huyu anaenda mbali zaidi ya hiyo elim
@@yeshuasweapon4384 unajua cc tusio soma inatakiwa mtupeleke mdogo mdogo na mkiona makosa inatakiwa mrekebishe nimemaanisha yani atafika mbali yani atapiga hatua sio kua atofika mbali hapana kama ujanielewa uchache wangu wa kutoelewa vema kiswahili shukran ndg
CHUGA KUNA VIPAJI VYA UBUNIFU HATARIIIII
Basi huwe unakwenda na mikoa mingine
Safi kijana
Any one know he Ig name plz I need
edgar_edmund
genius
Waaaaaaaw
Go Edgar 💪💪💪
Huyu jamaa kwann serikal yetu isimtumie jaman au tunakwama wap🤔
Why kina Salalaizer au Why arusha
Wa kishua huyo, ila hongera kwa akili ya kujiongea ukiwa kama mtoto wa kishua
Kabisaa
huyu jamaa umri kaongopa
Mbona una kataa ni mwili tuu we kama kimbaumbau shaur yako
Ila kweli umri nawasiwasi
Huyu atakuwa ni 25
Yaani kwenye vyote umeona umri tu..inakusaidia nini? Mtz kwa wivu balaaa..umetafuta sehemu umkosoe ili roho yako iridhike tu
@@ubuntubantu2404 😀😀😀
"👀👂👀👂"
25 mk
Vigae vya plastic ukiezekea vinakaa miaka 600 bila kuharibika au kuoza, nguzo za plastic haziozi majini hivyo ni nzuri kwa fence. Ukitaka business plan kuhusu takataka za plastic na utengenezaji wa mbao, nguzo, vigae, pavers, matofali,madawati, viti, meza, Milango , nk. Ukitaka mashine za kusaga, kuyeyusha plastic, kutoa Mchele wa plastic, chochote kuhusu biashara ya taka plastic mfano masoko chenga au Mchele wa plastic nk tuwasaliane.
Kuna Gharama yyte?
Afu Mbona ujaweka mawasiliano?
Wachaga akili kubwazii sana
Huyu c mkubwa bali mwili wake ni mbegu kuza yaan anatak kuwa bonge la bwana mnene halafu ni tolu
Hahahahaha bonge LA bwana
@@wazirihamisi6484 Ndio anataka kuwa bonge la bwana
Kwa miaka 20 mi nakataa
Ss Cha ajabu nn hapo
Shida nn sasa
Mtafute mdogo angu Instagram anatumia Lore brand au Ally Kawanga ana 20 yrs alafu nisearch me Jumaa Kawanga angalia maumbo yetu me 26
Nouma asee
Very soon utanitafuta unihoji 😂
20??? Muongoo
hahaaaha😄😄😄😄😄😄et miaka 20 mmmmmmh jamani
Ww unakula dona sana ndo maana ukuwi hahahah
Hata asipokuwa na miaka 20 ni mdogo pia kwa anayoyafanya.Wapo waumri wake hawawez kufanya hayo
Hata asipokuwa na miaka 20 ni mdogo pia kwa anayoyafanya.Wapo waumri wake hawawez kufanya hayo
Mbn inawezekn unajua ni kijipangia tu na hali ya maisha