Hongera Serikali kwa kuweka Sheria ya Mitandao. Tunataka mambo kama hayo ndio yaonyeshwe kwenye mitandao sio masuala ya umbea tu na mambo yasiyo na ushahidi wala viashirio vya watu kupata maarifa na uelewa. Naonba Sheria ya mitandao iruhusu Mamlaka kutoa leseni kwa Warusha taarifa zenye kuelimisha tu kama hizi na sio mambo yasiyo na tija.
Siyo kila kitu made in chein sahani chein kijiko chein kila kitu chein sim chein corona chein yaani yate chein Tanzania tuanze kujitegemea mungu ilinde inch yangu
Me naitwa kessy mgunda kutoka kagera wilaya ya ngara Mimi ni director manager and chairman wa Kemgunda industry tunazalisha pombe mbali mbali kutoka kwenye ndizi saaivi tunajenga kiwanda kikubwa Cha kuzalisha ninaomba siku ya uzinduzi uwepo na mzee magufuli
Mwandishi wa Habari, nakuomba uangalie mwekezaji ni nani, rauwaterial zinatoka wapi na wafanyakazi wanapata mshahara kiasi gani.Wahandishi wa habari kutoka Amerika walikwenda Ethiopa kiwanda cha viatu.Walikuta mfanya kazi hapati mshahara unaotosha kiatu kimoja.Ndivyo wachina walivyo.Wao wanakula chakula kizuri kweye kanteen yao, waafrika wanakula chapati na maharagwe.Kazi haina kupumzika ni utumwa.Wakilalamika wanafukuzwa. Tushikamane. Wazaidie watanzania wenzetu ili pesa ibaki nchinikwetu
Hizi ndio Channel za kuangalia. Made in Tanzania big up. Endeleeni kuonyesha maendeleo na vitu vya nyumbani.🙏
Safi sana kaka kwa habari mzuri.umenifungua macho nilikuwa sijui.kazi mzuri 🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍🏻.
Big up Tanzania ya viwanda
Hongera Serikali kwa kuweka Sheria ya Mitandao. Tunataka mambo kama hayo ndio yaonyeshwe kwenye mitandao sio masuala ya umbea tu na mambo yasiyo na ushahidi wala viashirio vya watu kupata maarifa na uelewa. Naonba Sheria ya mitandao iruhusu Mamlaka kutoa leseni kwa Warusha taarifa zenye kuelimisha tu kama hizi na sio mambo yasiyo na tija.
Safi mzee made in #TANZANIA
Mr Sam sasali
Hongereni sana jamani mna tufarigi sana kumbe Tz tuna weza, Mungu a inuliwe.
Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1
Hizi ndo Channel za kuangalia....VIVA TZ YA VIWANDA!!!....WACHA WAISOME NAMBA....
safi sana ajira kwa wingi huko
Hakika nimeipenda hii channel big up sana waandaaji mko vizur
Ama kweli Tanzania ya viwanda inawezekana tujali vya kwetu kwanza katika matumizi yetu ya kila siku.
Inapendeza sana kwa msaada wa mungu atatuinua zaidi. Hii ndio faraja yetu watanzania abarikiwe mwenye ndoto hizi
Najihisi furaha kuona jambo hili Tz,hakika tuijenge na Tz itajengwa na waTz hakika tunaweza.
Safi sana
Safi sana, kiivyo nchi lazima ikue
Ukiongelea Tanzania 🇹🇿 😊 👌, usihache kusema Kidumu chama tawala 😊 👍 👍 👍 ccm ndio Habar ya mjin
Ongera mtangazaji. Unajua kazi yako
Hii chanel muhimu sana Tanzania Hoyéééé
Kidumu chama tawala 😊 👍 👍 ccm ndio Habar ya mjin
Kazi nzur sana
Haya ndio mambo yanayotakiwa kuoneshwa sio umbea na udaku
Kweli kabisa Nugu yaangu
Sure.
Mambo mazuli
Hawana uniform maalumu za kazi. Du, kweli somo limeenda shule.
Very nice content, Keep it up #Consistency. This channel is gonna be big in the next 4 months
kaka unapiga kazi nzurii sanaa endelea hivo hivo
This magufuli has raised Tanzanian alot
MAGUFULI oyeeeeeeeee. Akimaliza 5 tumuongezee atuvushe kutoka kwenye umasikini
Kweli serikali ya viwanda, magufuli tena 2020, Kidumu chama tawala 😊 👍 👍 ccm ndio Habar ya mjin
Hongerni sana
Tanzania mungu awape nini asantee mungu kwa Tanzania yetu ya viwanda
Inapendeza sana kuona tunapiga hatuwa za kueleweka
Kibaha mail mija mtaa wa loliondo kiwanda hiki ndo kilipo
Shkrn kw information ndg
mimi nakionaga maeneo ya Mlandizi kuelekea Ruvu kama sikosei
@@saloomidd1084 hapana kile kipo tofauti sana .
Ndiyo cha mtoto wa SSB?
0688593642 nitafute mkubwa
Yean kw practical ilivo simple adi raha.....sas kisanga wakikfndish theory watawkca calculation ngumu balaa utakuj amin
Utakuta mtu ni Mtz halafu hataki kusikia haya.
Wapo wengi sana
Uraiani huku
Ndio hivi ni vitu vizuri Lakini ndugu mtangazaji unapokuwa kiwandani punguza mapepe,
Siyo kila kitu made in chein sahani chein kijiko chein kila kitu chein sim chein corona chein yaani yate chein Tanzania tuanze kujitegemea mungu ilinde inch yangu
Kazi nzur
Naomba mawasiliano tuje kuchukuwa bizaaa
Sam Sasali uwe unavaa safety gears, siku utakuja kupigwa mzinga kwenye kipara hicho.
Me naitwa kessy mgunda kutoka kagera wilaya ya ngara Mimi ni director manager and chairman wa Kemgunda industry tunazalisha pombe mbali mbali
kutoka kwenye ndizi saaivi tunajenga kiwanda kikubwa Cha kuzalisha ninaomba siku ya uzinduzi uwepo na mzee magufuli
Kiwanda hiki taali tumetambua kipo kibaha mawasiliano vipi kama mteja anahitaji mzigo?
Kama wwe ni operator na umepiga kazi Global Packag miaka ya 2017 Tujuwane hapa by Amir Robert mugunya
Belo debe 6 oda shingapi
Du nilikua sijaona iki kipindi bab kubwa yaani Magu angetawala miaka 20 nnchi ingekua kama Japan
Naweza kupata contact zao?
Hopeful Watanzania wengi tumiliki viwanda n sio ngozi nyeupe tu
Mi nilitegemea haya Maelezo atatoa mtu mweupe kumbeeee
Ukiangalia hopper inafanana na kinu cha asili kwa hopper maana yake kinu, kazi ya kinu ni pamoja na kuingiza vitu si kusaga tu
🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗😍😍😍😍👌👏👏👏🙌🙌🙌🙌🙌 watching kutokea 🇺🇸🇺🇸
Sawa lakini uliza wafanyakazi sasa wanalipwa kiasi gani? Ndio utacheka!
Sammmmmmm!! Made in Tanzania.
Waliojenga ndo hongera maana waga wanasauliwa
Kazi ni Kazi
Mbona hamko safety usalama kazini hamjazingatia
Endeleeni kutuwezesha 🈸🈵 Tanzania
Mambo flesh Kaka niliona unatangaza Sana viwanda vya Tanzania ongereni sana
hizo nyembe zinawekwaje ktk mashine.?
Yani naona mengi kupitia channel hii
Kiufupi tu
Ni extrusion
Bag making
Na wanamaliza na printing.
Nazipataje
uji yachomwa kwenye oven duh
Kweli bando langu linaenda kihalali kipindi nimekipenda bureew
Kiafya ikoje maana nmeskia Chemical tena alaf no Protectors
😳
Kipindi poa sana
MC WEWEEE NIMEKUKUMBUKA NIMEKUONA HARUSI TATU IVI. UNABISHA??
Nabisha haaaaaaaa
Mbona hamjaweka mawasiliano yenu Sasa?
Tupe mambooo
Zege please 🙏🏻
Je ile mifuko kupekia sabuni inapatikana
Mawasiliano
Nahitaji bando arobain vip nita pata?
Hii chaneri nimeielewa navyopenda mambo ya kutumia akili yani Ufundi najisikia raha kuangaria na kuskia
Najiuliza hivi viwanda mbona vilikuwa havionekani
Magu huyo
Eee kumbe wachina wametuwezwsha
Debe 6 shingapi
Uhuru came and see this
Nahitaji mifuko vipi inawezekana bandu bei gani
Mwandishi wa Habari, nakuomba uangalie mwekezaji ni nani, rauwaterial zinatoka wapi na wafanyakazi wanapata mshahara kiasi gani.Wahandishi wa habari kutoka Amerika walikwenda Ethiopa kiwanda cha viatu.Walikuta mfanya kazi hapati mshahara unaotosha kiatu kimoja.Ndivyo wachina walivyo.Wao wanakula chakula kizuri kweye kanteen yao, waafrika wanakula chapati na maharagwe.Kazi haina kupumzika ni utumwa.Wakilalamika wanafukuzwa. Tushikamane.
Wazaidie watanzania wenzetu ili pesa ibaki nchinikwetu
.
Mifuko kutoka nje ya nchi iko meshore
Kwa sasa
Huyu ndo ng'ombe mwenye uzito zaidi Nane nane 2020
Bofya hapa kuona
ruclips.net/video/0ydQ29hb27U/видео.html
Utacheka ukiamiwa malipo ya wafanya kazi,utaambiwa 120000 au 150000 kwa mwezi
Debe 6 shingapi