WAZIRI SILAA ARUDISHA UWANJA KWA MJANE ALIYETAPELIWA | KIWANJA SIO CHAKO | MAMA ATOA MACHOZI HAAMINI

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 83

  • @williamsunday-yg2bz
    @williamsunday-yg2bz Месяц назад +15

    Hatimaye dada yangu amepata haki yake! Ahsante mh rais kwa waziri huyu!😊

  • @kristofuraha3369
    @kristofuraha3369 Месяц назад +3

    Mawaziri wengine waige mfano huu wa utendaji uliotukuka! MUNGU AMEKUBARIKI SANA SLAA❤❤❤❤❤

  • @edwinlyimo5611
    @edwinlyimo5611 21 день назад

    Mungu akulinde waziri Jerry Slaa,Rais Wetu Mama Samia,tunakuombea Sana,Mungu akulinde na akupe macho ya Rohoni kuwateuwa viongozi Kama Slaa na Makonda,

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 Месяц назад +10

    Nimelia mimi jamani hongera sana waziri silaa umempa haki yake mama wawatu jamani 😭😭😭😭

  • @user-xn8jh1yw1h
    @user-xn8jh1yw1h Месяц назад +3

    Tunaomba Mawaziri wote Watatue migogolo ya Wananchi kulingana na Wizara husika. Big up sana Mheshimiwa Silaa.

  • @halimaoman8726
    @halimaoman8726 Месяц назад +2

    Wazili silaa sijui nikupe mauwa yapi nyekundu au ya bluu kwa kazi unayoifanya unanifuraisha na unawafurahisha jamii kwenye njia ya haki unatowa jibu hapo kwa hapo kaka nakupa mauwa nyekundu ya upendo mungu akupe maisha mema na marefu na pia kazi njema pika kazi kaka kutenda sisi wanting a tusiojuwa nani statuettes ❤❤❤

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 Месяц назад +8

    Safi sana waziri Yani mwendo wa kuwapatia watu haki zao ndugu zangu tuepukana na dhuruma iwe ya ardhi na vingine haki ya mtu haipoteo hata ukifa utailipa tu

  • @user-qz5to1vn1z
    @user-qz5to1vn1z Месяц назад +5

    Akatukane police atapata sehemu ya kukaa 😅😅😅😅Nimecheka mno

  • @user-ru6ct4rh3t
    @user-ru6ct4rh3t Месяц назад +3

    Katika kitu ambacho mama ametufurahisha ni huyu waziri 🙏🙏

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Месяц назад +2

    Mheshimiwa Slaa Mungu akulinde🙏🙏❣️

  • @williamssempoli2294
    @williamssempoli2294 Месяц назад +1

    Hatimaye dada yangu amepata haki yake baada ya mahangaiko! Ahsante Mh. Rais kwa waziri huyu na utaratibu huu.

  • @AsajileMbukwa-ii6rc
    @AsajileMbukwa-ii6rc Месяц назад +2

    Hongera mkuu mungu anaendelea kukurinda

  • @wilbaldshayo1222
    @wilbaldshayo1222 7 часов назад

    Ukitaka kukaa nenda police Tena watukane slaa bwana😂

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 Месяц назад +7

    Boraaa niliona kbsaaa huyu mwenye jiba mbaba ifu wallah I love you silaaaaaaaa miaka mingi kwako

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 Месяц назад +17

    Kumbe mahakama wanaweza endesha kesi na kumalizika kwa siku Moja tena masaa tu

    • @jamalahmed7057
      @jamalahmed7057 Месяц назад +2

      Ndio maana mahakama wanampiga vita waziri wa ardhi kwa sababu hawapati pesa tena

    • @fatmamdihiri4164
      @fatmamdihiri4164 Месяц назад +1

      Kbc yn

    • @kitwanashem3272
      @kitwanashem3272 Месяц назад +1

      Hii ni hatari kweli kweli

    • @rexgodwill7353
      @rexgodwill7353 Месяц назад +1

      Aisee mahakama zetu milolongo mirefu na kama huna hela za kulipa mawakili haki yako inaishia njiani unabaki unalia na mungu wako tu...

  • @MwanadiRajabu
    @MwanadiRajabu Месяц назад +2

    yani viongozi wote mngekuwa kama huyu nchi ingenyooka

  • @ErykahLazaro
    @ErykahLazaro Месяц назад +2

    jamani mh. waziri atakuwepo tabora lini jamani atusaidie na sisi tunamatatizo kama hayo

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 Месяц назад +6

    Waziri pambana na watumishi wako.ndo wanaotoa hzo nyaraka.

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 Месяц назад +1

      Hakuna nyaraka iliyotolewa hapo na ndio maana ilikuwa rahisi kumaliza huo mgogoro, mama mwenye juba toka mwanzo niliona tu hajielewi amekulupuka kununua kiwanja labda sababu ya sehemu yenyewe Sahare ni hot cake kwa mkoa wa tanga ameuziwa kwa bei rahisi kwa vyovyote vile na yeye hakuangalia yafuatayo baada ya kununua, yeye sio tapeli ila ametapeliwa baada ya hapo anavutia upande wake bila kuangalia haki, nishauri tu watu wanunuapo sehemu za watu walifariki wahakikishe kubadilishiwa majina kabla ya kununua walipe tu pesa ya awali majina yakibadilishwa ndio wamalizie pesa.

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Месяц назад +3

    Mh;waziri kwanza Hongera sana Kwa kazi nzuri ila naomba uwasaidie na hawa ambao wameuziwa kimakosa wakamatwe wote wanaohusika na utapeli weka ndani walipane CHINI ya vyombo vya Dola ikiwezekana wafilisiwe hata nyumba zao ili kuwanusuru hawa waliodhulumiwa bila kujua🙏🙏🙏

  • @mwantumuhassani5086
    @mwantumuhassani5086 3 дня назад

    😂Nasikia nenda kakae police shikamoo waziri

  • @ezevisionmediastudioezevis7855
    @ezevisionmediastudioezevis7855 Месяц назад +2

    Polisi, nenda kawatukane watakupa sehemu ya kukaa bure na chakula hahaha

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 Месяц назад

    Jamani waziri silaa fanya kazi maombi ya nakusundikiza mungu akusimamie sana sana sana 🙏🙏

  • @HashimYahya-ic2wn
    @HashimYahya-ic2wn 25 дней назад

    Daaaa mpaka naria

  • @MOHAMMEDABDI-lb7yp
    @MOHAMMEDABDI-lb7yp Месяц назад +3

    Mungu akulinde waziri wetu

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 Месяц назад

    Asante waziri anafanya kazi nzuri sana hongera

  • @joycekisamo4896
    @joycekisamo4896 Месяц назад

    Hongera kwa Mheshimiwa Waziri, aendelee kutetea wanyonge

  • @emmanuelkasonso3516
    @emmanuelkasonso3516 Месяц назад +1

    Mama mzee mungu kasimama nawe

  • @anastazialushika
    @anastazialushika Месяц назад +1

    Mh. Waziri hongera kwa kutenda haki Mungu akubariki sana siku moja utafika mbali sana

  • @mariyamgharib940
    @mariyamgharib940 Месяц назад

    Shukran kwa mrejesho

  • @kulwankuba2785
    @kulwankuba2785 26 дней назад

    Sasa kwa Nini mahakani huwa wanachelewesha,kama siyo kutengeneza rushwa ni Nini?

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 Месяц назад

    Mungu akutunze afya njema na kila la heri waziri wngu pedwa slaa

  • @saidomary4950
    @saidomary4950 Месяц назад

    Mungu akupe maisha marefu waziri

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 Месяц назад

    Poleni kununua viwanja nendeni ARDHI KUOMBA KIWANJA

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 Месяц назад

    Waleykum salaam 🤝

  • @ruthmasae9546
    @ruthmasae9546 23 дня назад

    Eti mpiga debe😂😂😂😂😂😂

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 Месяц назад +1

    Nenda katukane police watakupa sehem ya kukaa

  • @mulolemary1317
    @mulolemary1317 Месяц назад

    Akafu wadhulumati wanakumbiliya kujitandiya ALLAH atuongoze

  • @mishimtambo4684
    @mishimtambo4684 Месяц назад +1

    Dhurumati wanaondoka Kwa aibu

  • @halimaoman8726
    @halimaoman8726 Месяц назад

    Usiombe aya mambo ya kudhulumiwa yakukute au yatukute mpka uje ukipata haki yako sio leo mungu mkubwa kila kitu subra

  • @Mateen7912
    @Mateen7912 Месяц назад

    Tafadhali Raisi mpendwa mpendwa huku waziri ulinzi

  • @eliambowe2576
    @eliambowe2576 Месяц назад +1

    Watukane utapata pakukaa for free

  • @deniskaguo4698
    @deniskaguo4698 23 дня назад

    Rais wng ajae namuelewa sn

  • @chayomgonja3131
    @chayomgonja3131 Месяц назад

    Matatizo ni mengi sana kwenye swala la ardhi.. lkn wizara ya ardhi nayo imechangia migogoro mingi

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 Месяц назад

    Waziri Slaa anajua kazi yake na hufuatalia kila document yeye mwenyewe.

  • @CINEMATZ
    @CINEMATZ Месяц назад

    Nawafatilia Sana Msiongee nyuma ya Camera Mnakuwa kama Sio Ma Pro Bhana Au kateni ivo Vipande Msiweke Huku 💔💔

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 Месяц назад +4

    HII HAPA ITAONGEZA MATATIZO WATU WANATAPELIANA MIAKA MINGI MNO MAHAKAMA INACHELEWESHA HAKI ZA WAHITAJI.

  • @kubwaichebestfriend8673
    @kubwaichebestfriend8673 Месяц назад

    MAHAKAMA YA NYUMBA NA ARDHI IVUNJWE

  • @shukurually8769
    @shukurually8769 Месяц назад

    Pongezi sn kwa wazili ila pia tuwe makini sn na ununuzi wa maeneo hakika maana utapeli nimkubwa mno

  • @Bashitetako
    @Bashitetako Месяц назад

    Ule usemi wa haki haipotei bali huchelewa

  • @allymnyenye8109
    @allymnyenye8109 Месяц назад

    Daso !!

  • @MizeKombeSuleiman-id1rp
    @MizeKombeSuleiman-id1rp Месяц назад

    Yani mara ua pili hii lkn mambo ninyaleyale

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 Месяц назад

    Et we mjomba aake nani

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula Месяц назад

    Mataperi nikishaona wanatunga .walitaka kumdhurumu

  • @radgabbelege7234
    @radgabbelege7234 Месяц назад

    Hivi tusaidiane elimu hapa nawaona hawa ambao wanaenda Kwa mh jerry silaa Wana makaratasi mengi Sana sasa huku Kando Kando ya miji kulikuwa na utararibu wa kuuziwa na wajumbe na wenyeviti wa serikali za mitaa wapo watu Wana karatasi hyo moja tu sasa ili apate hayo mnayoyasema hapo mambo yanayohusiana na umiliki afanye Nini na jee Hizi karatasi za wajumbe na wenyeviti zinaweza kutumika kama kielelezo cha umiliki?

    • @georgematovu1317
      @georgematovu1317 Месяц назад

      Waziri Slaa kasema mara nyingi sana kuwa Wenyeviti wa mitaa/vijiji hawana mamlaka ya uuzaji wa ardhi... sasa ndugu yangu una hilo tatizo nenda wizarani au tafuta umuone Waziri.

  • @salumally663
    @salumally663 Месяц назад +2

    Hawa matapelii munatakiwa muwe na profile ya FAME AND SHAME picha zaoo ziwekwe on public waonekanwe kwani watu kama hao hawaishii hapo...muweke picha zao hadharani wajulikanwe kuwa matapeli wasbulikiwe popote walipo....huu ni muarabaini...matapeli wanasumbua sana...

    • @syliviakente9460
      @syliviakente9460 Месяц назад +1

      Kuna mijitu.haina hata soni kujifanya mijuaji wewe unaingilia kiwanja au mali zina wenyewe it is a matter of time

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula Месяц назад

    Hawana hatabaibunwanamsumhua bubinwa watu wametoa.macho.wanajiumauma hawana majibu

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 Месяц назад

    Yani Hawa kina.mama.wanatuangusha tanga Yani Hadi nakereka huku

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l Месяц назад

    Bwanake huyo

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l Месяц назад

    Nachomshangaa huyu waziri keshambiwa kesi iko kahamkani ye anatoaje mamuzi huku mtaani? Kwanini asisubiri mamuzi ya mahakama? Au anadahrau mahkama?

    • @khaliduhadi2336
      @khaliduhadi2336 Месяц назад +1

      Nyie ndio matapeli mnaokimbilia mahakama kudhurumu watu

    • @khaliduhadi2336
      @khaliduhadi2336 Месяц назад

      Nyie ndio matapeli mnaokimbilia mahakama kudhurumu watu

    • @mlangakiaratu9292
      @mlangakiaratu9292 Месяц назад

      Mahakama aiwezi badilisha hati ya mtu ata siku moja mgogoro hapo chanzo chake watu wote wawil wana offer ila mmoja offer yake akapata hati uyo mwenye hati ndo anakuwa mwenye nguvu kisheria mjane ana nguv hapo ndo mana maamuz ya wazir yakawa mepesi sana kwenye ilo

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 Месяц назад +1

    Huyo mama nilijua tu lazima atanyang'anywa tu hicho kiwanja! Kwanza hajui kuongea, hata kama mwongo anajifunza kudanganya! Unapoona kiongozi mkubwa kakutingia! Unapaswa kunyoosha maelezo! Ukipinda pinda tu, huna chako!

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l Месяц назад

    Kwani sllaa jamani mahakama?

    • @tazrywiser5126
      @tazrywiser5126 Месяц назад +1

      Ulikuwa haujui?

    • @NDEWARA
      @NDEWARA Месяц назад +2

      Jambo liko wazi kabisa unataka mahakama ifanye nini?

    • @nelsonnevlin2919
      @nelsonnevlin2919 Месяц назад

      Kwenda aaah zako hata kuandika hujui jinga ww

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 Месяц назад

    Silaa Za droni Zinapiga kwa Majambazi Tanzania 🇹🇿 ♥️ 😂😂

  • @mwanamutemi
    @mwanamutemi Месяц назад

    Silaa wananchi wa kawaida hawafahamu mambo mengi na naona kama ukikosa kuwaelezea haraka wananchi unapoteza muda mwiiingi. Explain and finish the matter

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd Месяц назад +1

      Kamaliza sasa we ushawahi ona kazi yake inaishia hewani

    • @mwanamutemi
      @mwanamutemi Месяц назад

      @@AllyMaya-yj3xd 🤨kweli kamaliza ki haki na kuwapa wahusika msururu wa hatua huyu mfate huyu na huyu mfate huyu na huyu achukue haki yake