Wapendwa turudi tuwekeze katika mziki asilia wa kanisa. Mziki wa kanisa asilia ulikuwa unasaidia kumfanya muumini katika misa na ibada kusali mara 2 yaani hakuwa msikilizaji na kushangaa kwaya inavyo "perform "Ndani ya ibada hakuna studio ama "performance" kama vijana wanavyosema bali ni kusali , kutukuza na kumshangilia Mungu. Hongereni wanakwaya .

Muko na mwalimu hongera mimi ni hellen mungu akupe nguvu za kufanya kazi yake
Mungu awabariki kwa kujitoa kumwimbia Mungu aliye hai .
Hyu mwlimu daa knikumbusha mbali sna kuimba kwaya raha sna
Kwaya bora kabisa wanastahili
Hizi nyimbo ziko.kwenye kitabu cha tumshangilie bwana,ila waimbaji siku hizi tunaziona za kitambo
Nataman na Mimi Mungu anijalie sauti nzuri ya kumwimbia niwe kama wanakwaya hawa wa mt kizito
Nimebarikiwa Sana na huu wimbo ❤️❤️hongera pia wanakwaya kwa uinjilishaji Mungu awaongoze🙏
Amen
Hellen from Kenya bt am in Saudia nice song my sisters and brothers
Hapo kwa radio maria..was fire...nawapenda sana
Huyo condacter ako sawa napenda kujiunga nanyi hongera Sana Imenifurahisha Sana Mubarikiwe
Hamna Wapinzani kabisa
From Kenya 🇰🇪 with best wishes, you are just amazing - be blessed.
Kizito mnatisha
Nataman Sana na mm kwaya Yang ifikie hatua hii mliyonayo.mungu awabariki sana
🙏🙏🙏🔥🔥🔥👏👏👏❤❤❤
I never get enough of your music........Heko kwenu!!
Blessing be upon you guyz.. Really burning 2020 is yours
Barikiwa sana
Nataman xana kway etu iwe ivo
Amina mungu u mwema mtafika
God bless you.
Nawapenda sana
Nawapenda
Wonderful
I love u
Safi sana
Love love this
Kwan walikuwa wanashindana? Na kama walishinda walipewa zawad gan ww pimbi nn
Tuikumbuke siku ya bwana yes alipo teswa msalaban
Hakika radio Maria nmependa sana uimbaji wenu kmk
Hogela
Hongereni sana