Mimi nimekuwa mtu mwenye tamaa nyingi Ninatamani kila kitu kizuri duniani { Bwana unibadili, niyaache yote Bwana unibadili nikufuate wewe } *2 milele Bwana ninakuomba unipatie msimamo Nisimame upande wako, milele milele Bwana yabadili matendo yangu nitendayo Nitendayo yawe yakupendezayo wewe Bwana zibadili njia zangu nipitiazo Nipitie katika njia zako ee Mungu wangu
❤ I am not a Catholic but honestly speaking, this prayer song to almighty God for a complete change of behaviour & character to pursue His ways is not only speaking to my heart but also so humbling❤ Baringo Kenya❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Wonderful song. God bless the writer & the singers❤
To our generation grandson and daughter's to come know one thing that asin is asin repentance is free🆓🆓 repentance is free God's love will guide you for eternity we love you all and we will meet again🙏🙏🙏🙏
Leo tarehe 15 12 2022 mungu wangu unilinde kanisa katoriki duniani kote wakatoriki wote unibadilishe nikufate wewe bwana mungu uwe nasi yesu kristor wangu uwe nasi siku zote mama bikira maria uwe nasi siku zote amina upokee maombi yetu amina ulinde family 👪 wakatoriki wote duniani na watu wote amina
Who is watching with me may 2020?👍😃may God blesss u,l can,t get enough of the song,l born in catholic,raise in catholic,died in catholic,l get spiritualy uplifted throught the song,and l thank God for the blessing through the song.😘
Inafikia hatua mtu unakosa cha kukoment kwa jinsi unavyobatikiwa na kitu... kiukweli huu wimbo umekuwa faraja sana kwangu haiwezi pita siku au masaa bila kuisikiliza. mbarikiwe sana na nimeipenda staili ya uchezajiwenu.
I'm watching this 6yrs later,but the suprise part is that I'm an SDA but this song is on another level,the quality of the video,the presentation in short I felt in love with this song❤
It is not the melody alone does matter but mostly the message which this song carries is very appreciative. Be blessed my Dear daughters and sons. You deserve. Heko sana.
This song i heard it yesterday at St Peter's Clevers Nairobi Kenya from a certain youth choir last mass then i had to search on RUclips.Congratulations Mt Maria Goreth Tanzania for good work we always appreciate you as Kenyans.
This song speaks about the virtues of Saint Maria Gorret . Exactly how She pleased God in her life on earth. Be blessed. Saint Maria Gorret pray for us to say YES to Jesus and No to satan. Amen.
Please support: www.patreon.com/user?u=77044884
pppp
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 ibariki Africa 🌍 na duniani nzima amina upokee maombi yetu amina
@@freddykulwa8190 1
Watoto awana pambazi
O poo 0😅😊😊😊JJIOLhj😅iuoojhulkj jhhuqqyqq I u uiioiiohbbukjjkjjbubbnnjjnnnmmmnjnhhjh juu hjjjjyhiphjk
Jioqi
Nabarikiwa Sana ninapouskiliza wimbo huu
Amina
munguawa
balikiwale
wotewaotunga wimbo huu
Tamaa ya dunia eeh Mungu ni badili nikufuate wewe
Wimbo unaosafisha roho bila shaka... Wapi likes zangu mie ni jirani yenu hapa Kenya?
Karibu tanzania mambo mazuri
Karibu tanzania mambo mazuri
Hongereni chuo cha ushirika moshi
😂😂😂😊😊
Yesu unibariki niache Yote nikufuate wewe,,, like zen
Audifesi desderi wimbo umenibarik Kaka umetuwakilisha vyema hongera classment wet
Tulio badilishwa na Mungu 2021 naomba like🙏🙏🙏🙏🙏
😂a 0:00
Free
Mwenye yuko pamoja na mimi 2021 gonga like twede sawa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Jamani wimbo mzur sana na MUNGU awabarki sana
Wapi likes za pianist
Mimi nimekuwa mtu mwenye tamaa nyingi
Ninatamani kila kitu kizuri duniani
{ Bwana unibadili, niyaache yote
Bwana unibadili nikufuate wewe } *2 milele
Bwana ninakuomba unipatie msimamo
Nisimame upande wako, milele milele
Bwana yabadili matendo yangu nitendayo
Nitendayo yawe yakupendezayo wewe
Bwana zibadili njia zangu nipitiazo
Nipitie katika njia zako ee Mungu wangu
Good
Thank you for typing the lyrics
Kama unatazama wimbo huu mwaka huu 2024 like hapa ❤❤❤
Amina bwana utubadili tukufuate wewe
napendaga sana kuangalia wimbo huu
@@Angnesnikolaus🙏🙏🙏
Am here
Amen
Usanii wa kipekee kuwahi kuonekana katika karne hii ya 21. Mungu awajalie neema. - Francis Wangome - Mwandishi wa Kiswahili nchini Kenya.
Wimbo mzuri sana,naupenda
❤ I am not a Catholic but honestly speaking, this prayer song to almighty God for a complete change of behaviour & character to pursue His ways is not only speaking to my heart but also so humbling❤ Baringo Kenya❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Wonderful song. God bless the writer & the singers❤
I am from togo , I don't understand the meaning but I love this song because is religious. I play it over and over through the day.
The main message in the song is: Change me oh LORD that I may leave all and follow you forever.
I don't understand the language😢 but I like the song....
Much love from Zambia
Nausikiliza wimbo huu mara si haba Kwa siku. Ni usanii uliosukwa Kwa tahadhari kubwa. Mola awajalie mema.
Tujivunie kuwa wakatoiliki
This is lovely, I don't understand the language though but I love songs, their beautiful terrain I might add.
Love from Nigeria
It's simply, saying, Lord Change me, change my ways, Let me leave everything, Let me follow forever (Milele)
Thank you dear friends , I don't also understand language , but I've got to know
Naupenda Sana bwana unibadili niyaache yote
Bwana unibadili niache yote
Naupenda Sana wimbo huu Bwana unibadili.
wimbo mzuri , nimependezwa na jinsi mnavyotabasamu mkiimba. ujumbe umenigusa pia. asanteni
Wameweza jamn wacha like zao apa ;; Bwn utubadili tukufate ww milele na mileeeeeeee🙏🙏
naupenda sana huu wimbo ninawashukuru waimbaji ninahitaji cd
Bado unahitaj cd nikuconnect na wanakwaya?..wana album nyingine pia
Mnanifariji kutoka 🇩🇪nawapenda saana mko vizur na mzipangilia sauti vizur nawasoma5/5nawaelewa 100 /100❤️🇹🇿
Kama nawewe unakubariki sana huu wimbo usinipite bila kulike
hiii i like this song tooo soo much
@@marieroxysaid7825 p
Nakupenda Sanaa ninz
Wimbonibutamusana
Naupenda sana
Wameimba vizuri mno hongera sana.Nimewapenda sana.
When it comes to praise and worship, the Catholic Church leads, others follow
To our generation grandson and daughter's to come know one thing that asin is asin repentance is free🆓🆓 repentance is free God's love will guide you for eternity we love you all and we will meet again🙏🙏🙏🙏
Always love❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hii song inanifikisha mbinguni kudos
Catholics
Sijawahii kujutia kuwa mkatoliki Nani anamsimamo Kama huu like plz tujuane🤣🤝🤝🤝🤝🤝
Hata mm sijutiii naipenda dini yangu sana
MUNGU awabariki waimbachi wa Rajo kwa imbajiwao mzuri,mbarikiwe Amina
😅@@floriditarimo8236
I am malawian my name blessings
Let me your name
Wooow naipenda hii wimbo sana aki thank you kwa mtunzi waimbaji your rocking wallai ..God bless you all ..watching from Australia
We thank u so much stay blessed
Wimbo mtamu zaidi,napenda sana kuusikiza kila siku hapa Kenya
Leo tarehe 15 12 2022 mungu wangu unilinde kanisa katoriki duniani kote wakatoriki wote unibadilishe nikufate wewe bwana mungu uwe nasi yesu kristor wangu uwe nasi siku zote mama bikira maria uwe nasi siku zote amina upokee maombi yetu amina ulinde family 👪 wakatoriki wote duniani na watu wote amina
Barikiwa
Ni wimbo ninaoupenda Sana ukiumba kwa imani unakubadili kweli
Mimi ni mwana mkaya kanisa mtakatufu yo
Nafarijika sana nisikilizapo nyimbo zenu mbarikiwe
Yani kupia hii nime badi dini kwa sasa naitwa zakayo amina mutumishi
This is better ever.🔥🔥
Nyimbo nzuri kabisa mungu awe pamoja nanyi,hakika nkisikiliza huu wimbo nahisi vyema katka cristo
6th June,2021 the year of our lord ; who is still listening to this song. Hot cake
Bwana unibadili niyaache yote nikufuate wewe mileleeeeeeeeee.
Daaaaah hakika vijana mmeimba vizuri
Who is watching with me may 2020?👍😃may God blesss u,l can,t get enough of the song,l born in catholic,raise in catholic,died in catholic,l get spiritualy uplifted throught the song,and l thank God for the blessing through the song.😘
Umegonga ndipo
@@marto555k🙏🙏🙏👏👏👏👍👍👍 thnxz bro,may God bless u .
I'm watching this year 2024❤🎉🎉🎉🎉😊😊
to y'all in 2090 we listen to this in 2023 the song is marvelous masterpiece👏👏👏
Choir iko safi sana
Inafikia hatua mtu unakosa cha kukoment kwa jinsi unavyobatikiwa na kitu...
kiukweli huu wimbo umekuwa faraja sana kwangu haiwezi pita siku au masaa bila kuisikiliza.
mbarikiwe sana na nimeipenda staili ya uchezajiwenu.
Batromeo Mbogo ubarikiwe pia
Such an amazing song and it’s so wonderful to see that it’s the youth singing!!! Love from kenya 🇰🇪
Cynthia Kendi thank you
Oooh! Angalia Vijana hawa wanavyomwimbia Mungu kwa furaha. Hakika Utukufu wake ni wa kushangaza na matendo yake ni maki hakuna kama Baba wa mbinguni.
Kweli bwana unibadili Me na familia yangu yote
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen from Rwanda Kigali ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
WIMBO MTAMU SANA.NAOMBA NAMBA YA MTUNZI M.C MADBOGO.
🇹🇬🇹🇬🇹🇬 je suis togolaise mais j'aime trop votre chanson ça me donne la chaire de poule.bisou à ttes les membres de votre chorale
Bienvenue au Tanzanie
Mung unibal mm mkosef amina
Hongera sana kwa wimbo mzuri 🎉🎉🎉🎉🎉
Wimbo unaonibariki, Mungu azidi kuwaongoza na kuwapee hekima aliyompa Suleimani🙏
Hawa watu waliimba vzr tupo 2020 tunaburudika na kumtukuza mwenyezi Mungu
I'm watching this 6yrs later,but the suprise part is that I'm an SDA but this song is on another level,the quality of the video,the presentation in short I felt in love with this song❤
October 2020 am still deep into this song....anyone else with me??
pamoja,it starts my every day,beautiful song ,nourishing indeed.
My ringtone
am here
We are together
@@severingeay158 collestine mbenzwa
Toka Goma inchini DRC 🇨🇩 nawapenda sana Ndugu na Dada zetu watanzania
God change me on hearing this song😪😪😪
Yani uu wimbo sichoki kuutizama hakika Bwana unibadilishe nikufate wewe milele eee
hata mimi
Umenigusa wimbo huu,,,ee bwana unibadili!!!
Who is still watching with me February 2020🙏✊proudly to be a Christian (Roman)
Eddy's Mueller me April
Eďin add d
Editare
Love this song, true bwana unibadhili niyawache yote milele
Very Smart kuanzia
Uimbaji
Uvaaji
Sauti
Nabarikiwa
What a song! Inaniguza roho. Bwana naomba utubadili kwa, mafikira, mienendo, matendo na kwa njia zote ili tuweze kukutumikia kwa Uaminifu + 254
Wimbo nzuri sana yanigusa from Rwanda
Ambassadar utukuzwe
Mimi hapa tena, I can't get enough of this song, Bwana unibadili niyaache yote....
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 EBWANA unibadili niyaache yote nikufuate wewe milele amina
Mungu abaki akiwa Mungu awasidishie nguvu zake katika safari hii ya kuimba🙏
Kwa kweli wimbo ni mzuri una maadui mazuri mnaturudisha nyumbani gospo baby
Rose swai *maudhui
Safi sana umetulia bwana unibalishe na Mimi ni wezekukutumikia vema amina
Najivunia kuwa mkatoliki milele Amina!
Bwana awe nanyi nyote!
Same to me I like this
Awe pia nawe
perpetual wothaya Amina
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Kwa mpigo zaidi.Najivunia pia
Heko.Niwapa asilimia Mia moja kwa kuimba vizuri kwa sauti nyororo inayomtoa nyoka pangoni.
bwana unibadili nikufuate wew niyaache yote i love this nice song
Kazi nzuri sana, wimbo huu wabariki sana 🙏🙏
I love these catholic song from Tanzania
Kweli kuimba mumeimba vizuriii Sana na ujumbe umefika kwa kweli I'm proud being a Catholic.
Najivunia kuwa mkathoric
Noma sana
Bwana unibadili mim niyaache yte nikifate ww nimewapenda snaah jmn mnajua snaah nataman na Mimi cku moja niwe hvoo Mana me piah n mwanakway
mambobaby
jibu
gq45
cgige7ia
Inatia furaha kumuimbia bwana Mungu azidi kutukuzwa hongereni kwa kazi nzuri😘 wapendwa Mungu azidi kuwainua na kuwabariķi🙏🙏
jamani watoto wa kichaga ni warembo... watani zangu nawasalimia inabidi nioe mchaga
I love this song so much 😚😚. And to day is my birthday am very happy. Thanks Almighty GOD for the giving me life.
Happy birthday to you
@@rajopro thanks
Wooow, , nawapa 100%, , hzo step sasa ndo usiseme
Ee Mungu unibadili nikujue na nikufwate wewe Amina
Still listening 🎉in , who else like this song in muranga Kenya
Hapo kweye ilo kanisa ndipo nilipo batiziwa ni kanisa la history sanaaaaaaa limejengwa zamani sanaaaaaaa kijijini kibosho
the best song ever! "nibadilishe niache yote"
Bwana yabadili matendo yangu nitendayo. Asante Yesu...!
It is not the melody alone does matter but mostly the message which this song carries is very appreciative. Be blessed my Dear daughters and sons. You deserve. Heko sana.
This song i heard it yesterday at St Peter's Clevers Nairobi Kenya from a certain youth choir last mass then i had to search on RUclips.Congratulations Mt Maria Goreth Tanzania for good work we always appreciate you as Kenyans.
Vero Mugo I had attended that service
Thank you so much
@@vickyprosper8196 bibiria husema
I like dic song❤️
I want the video
Ameeniii mbarikiwa sana
Nabarikiwa sana nikisikiliza nyimbo za katoliki.
Maria goreth, mko vizuri sana katika kumrudishia Mungu sifa, Mungu aendelee kuwafanya chombo chake
Nice song
This song speaks about the virtues of Saint Maria Gorret . Exactly how She pleased God in her life on earth. Be blessed. Saint Maria Gorret pray for us to say YES to Jesus and No to satan. Amen.
😂😂😂😂How can a dead pray?? Just asking for a friend 🙄🙄🙄this is practicing necromancy, wake up people, this is demonism
@@maryndumi3235 1
Oooh my lord i will speak of your glroy
Bwana Yesu ni mwema tumufate naye atubadilicha
Nibadili bwana nikifuate wewe milele waaaaaah,,,,best song indeed🙏,,
Thanks lord
March 2020: This is awesome! I do not understand the language but I feel blessed by these Roman Catholic songs. Proudly Catholic from Zimbabwe!
Ua6mak1p3bxj92 ofwq
Wewe
Bwana Unibadili-God Change me
ha tiri tese wena tikunakirwa nemhanzi idzi,
@@lloydnyika8846 Team rakanyanya iri.. kungoteerera shaa lol
Mlizaliwa cku 1 au!! Mko smart sna safi saaaana
Rajo production inafanya kaz nzuri sana,haijawah angusha mtu,😘😘nice song
Its a best song mkatholic daima