SHEIKH RUSAGANYA ALIKUA PALESTINE KAMA TUNGECHELEWA VITA INGETUKUTA, AMANI NI NEEMA KUBWA TUITUNZE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 234

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul Год назад +1

    ..........Mashaallah..............

  • @nassorkhalfani1467
    @nassorkhalfani1467 Год назад +3

    Masha Allah nilikuwa mmoja wa wasikilizaji wa hii khtuba ya ijumaa Alhamdulilah

  • @allykatundu4979
    @allykatundu4979 Год назад +3

    Nivyema kuitunza amani🙏🙏🙏 mashaallah. Mungu atujaalie na sisi watanzania kuitunza amani. AMIN.

  • @SadamRusaganya
    @SadamRusaganya Год назад +3

    MashaAllah.! ALLAH akutunze mzee wetu.

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 Год назад +10

    Mungu Awafanyie wepesi ndugu zetu Vita hii iko kihistoria zaidi Mungu Ataipambania Aminah

  • @ahmedelalawy639
    @ahmedelalawy639 Год назад +2

    Sheikh Rusaganya Allah akuhifadh ww na sisi . Masjid gani upo nahitajj vitabu vya history inshallah mwezi ujao nakuja tanzania kutoka nchini ubelgiji

  • @Sidik-d7e
    @Sidik-d7e 11 месяцев назад

    MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 Год назад +1

    Mwenyezi mungu iokoe Palestina na sehem nyingine yenye machafuko iwe salamaa yaarab

  • @NdayisabaCynthia-kw4zm
    @NdayisabaCynthia-kw4zm Год назад +1

    Jazaka Allah kheir

  • @chafimabdulbacar9902
    @chafimabdulbacar9902 Год назад +3

    Razi za Alah s.w. zishuke nchi zote zilizozingirwa na machafuko ameen rabirarameen

  • @sidegrenade2043
    @sidegrenade2043 Год назад +7

    Maashallah ❤❤mungu akujalie na moyo uwo uwo shekha wangu

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Год назад

    Mashallah, Allah akusimamie katika kila lenye KHERY 🙏

  • @Bikhafija
    @Bikhafija Год назад +5

    Alhamdulilih mwenyezimungu akuhifadhi shekh

  • @dsmith7600
    @dsmith7600 Год назад

    Jaza'aka Allah sheikh..

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Год назад +6

    Maashaallah tabarakallah Mungu awakubalie Duazenu mlizoziomba huko nasi Allahnatufikishe kwauwezowake 🤲

  • @hamzamwaya463
    @hamzamwaya463 Год назад +4

    Barakallahu fiyka Allah akuhifadhi

  • @oman7710
    @oman7710 Год назад +3

    Allahumma amiiin Yarabb Allah akuhifadhi sheikh wetu

  • @zakiamohamed7611
    @zakiamohamed7611 Год назад

    Mashaalla tabaraka lla

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 Год назад

    😭😭😭😭😭😭Sahihi shekhe mungu atunusuru huko kwetu tz nako ndio mtihani na baadhi ya viongozi wapokimaslahi Yao Tu mungu tunusuru um

  • @irenekayombo5509
    @irenekayombo5509 Год назад +3

    Amin,Mungu akubariki kwa kutuasa sote

  • @thomasmallya2972
    @thomasmallya2972 Год назад +3

    Amina baba Mungu akuweke tuzid kupata darasa kwako

  • @fadhilihussein6580
    @fadhilihussein6580 Год назад +1

    Mashallah!!!!!

  • @abdulgwelo7150
    @abdulgwelo7150 Год назад +5

    Baarakallaah shekh rusaganya

  • @rahmaihucha8577
    @rahmaihucha8577 Год назад +1

    Mashaa Allah,, Allah Akbar

  • @wemakalama6458
    @wemakalama6458 Год назад +2

    Allahu Akbar Allah awaifadhi

  • @IssaHamisi-z2v
    @IssaHamisi-z2v Год назад +3

    ماشاء الله تبارك الله فيك

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv Год назад +5

    Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚

  • @maulidaadam6584
    @maulidaadam6584 Год назад +1

    ALLAH AKBAR

  • @suleimansadalla5606
    @suleimansadalla5606 Год назад +4

    Mashalla hiyo kwelii

  • @sidisoumare6214
    @sidisoumare6214 Год назад

    Maachaa allah Mungu akupe maicha marefu ❤❤❤

  • @haruna-v4b
    @haruna-v4b Год назад

    inshalllwah amin mungu akuweke myaka mingi❤❤❤

  • @miishhassn
    @miishhassn Год назад +4

    Allaahu akbar 😢❤

  • @hattusilli2225
    @hattusilli2225 Год назад +6

    Allah Allah Salah. Salah ndio nguvu ya waislam.

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 Год назад +2

    ,mashallah shehe hongera hadi nakutamani

  • @alwaladinswalihualwaladins4724
    @alwaladinswalihualwaladins4724 Год назад +2

    MAASHALLAH

  • @leylasaid9641
    @leylasaid9641 Год назад

    MASHAALLAH.YOTE USEMAYO NI UKWELI KABISA.HAKUNA KM AMANI.ALLAH ATULINDE NA SHARI ZOTE ZA MAADUI WA TAIFA LETU

  • @issafaquedalaura8279
    @issafaquedalaura8279 Год назад

    Allahu Akibar

  • @mubirirashidi
    @mubirirashidi Год назад +1

    Mashaaallah ❤️❤️❤️

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 Год назад +6

    ''SUBHANALLAH''

  • @Bikhafija
    @Bikhafija Год назад +3

    Mashaalah

  • @SofiaWasofia
    @SofiaWasofia Год назад

    MashaAllah tabaraka Allah

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Год назад +2

    Hakika tunakupenda kwa ajili ya allah natunakusikiliza kutoka oman

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar Год назад

    ALLAHU AKBAR

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 Год назад +2

    Mashallah

  • @suleimansadalla5606
    @suleimansadalla5606 Год назад +1

    Asante shehh

  • @BonnyMwajombe-iu7hb
    @BonnyMwajombe-iu7hb Год назад

    Upo vizuri sana sheikh ,wewe ni msomi unaongea bila chuki sio kama mganga wa kienyeji mwaipopo na vidawa vyake !

  • @HaruniMsafili
    @HaruniMsafili Год назад +4

    Jaman huyu msemaukwer mungu amlinde

  • @minahadam2323
    @minahadam2323 Год назад +4

    Kuna shida gan vita ingewakuta huko Allah angewapa shahada na mngekuwa mashuhadaaa

    • @Muslim-gs6rn
      @Muslim-gs6rn Год назад

      Hakika❤

    • @BaredanBaredan
      @BaredanBaredan Год назад

      Ww mjinga hasidi unataka sheikh afikwe na balaa kwenda zako

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 Год назад

      Kwa nini hauendi wewe ukaipate hiyo bahati ya kuwepo vitani?

    • @zakiamohamed7611
      @zakiamohamed7611 Год назад

      ​@@saloomidd1084mcselete malumbano kwenye dini mungu mmoja

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 Год назад

      @@zakiamohamed7611 Upumbavu aliouongea huyo hauna uhusiano wowote na dini.
      Na wala Mungu hajafundisha ukajianike uzubae tu vitani ili wapiganaji wakuue kisha akupe pepo

  • @SATZ-news
    @SATZ-news Год назад +5

    Majini yalijenga msikiti???
    Naprnda kusikia zaidi hapo mwenye anajua anipe kwa urefu pls👏

    • @SwaumHamisRamadhan
      @SwaumHamisRamadhan Год назад

      Soma kisa Cha nabii Suleiman utaelewa zaidi

    • @meshackpaul4978
      @meshackpaul4978 Год назад

      Hahahahaha kumbe na wewe umeisikia hiooo!??? Kwakweli waisram wanamezeshwa uongo mkubwa sana ndo maana aslimia kubwa wanajifunza ugaidi!! Majini yajenge msikiti??????😂

  • @sharifaabdala1565
    @sharifaabdala1565 Год назад +3

    ❤❤❤❤

  • @mohamedrashid7864
    @mohamedrashid7864 Год назад +1

    Mawahabi mpo

  • @KhubeybJandaal-uz4oo
    @KhubeybJandaal-uz4oo Год назад

    Vishekh ubwabwa, mambo ya vita ndo dini,hii si Amani, Amani ni qur-an iwe kweny, utawala,kazi,kutia waslam woga tu,na ibadan za riyaa

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman5477 Год назад +2

    🤲🙏

  • @frankchipasura1814
    @frankchipasura1814 Год назад +3

    Upo vzr shehe,sio mashehe wengine kama ponda na mwaipopo maana ni watu wa vurugu

  • @manumeni5057
    @manumeni5057 Год назад

    Shekh yuko sawa xana ,na islam ni dini ya amani ,undugu,na ikatufundisha jinsi ya kuishi na watu ,islam dini xahihi ,yaarab tusamehe na utuongoze tunakoelekea siko

  • @lutfiamuhammed
    @lutfiamuhammed Год назад +2

    Hayoo yoteeeeee anayoyasemaaa shekhee yameandikwaa na hiyi vitaa piaa lazimaa ingetokaa allah hasemii uongoo km wewe unadirikii kuwaita mashekhee waongoo

  • @danielosango1263
    @danielosango1263 Год назад

    Ukifuata vitabu vinavyiandikwa kwa kuegemea jambo fulani kwa faida ya mtu ama ukoo ni wewe binafsi kujiongeze
    Shee wangu kwa historia ama vitabu tunaamini kua wneo hilo ilikuwa ni makabila ya mawili .
    1: Waebrania
    2:Waarabu
    Eneo la Yerusalemu iliangukia chini ya Dola ya Kiislamu mwaka 638 AD chini ya Mfalme Rashidum Calphate chini ya Kiongozi OmaryAl Khatib
    Omary Katibu alikabidhiwa funguo ya Yerusalemu na Kasisi wa Kirumi Sophrounius kwa mkataba maalum
    Mkataba huo unaitwa "Omary Threat"
    Makanisa yao hayatavujwa wala kukaliwa wala kuvujwa na hawatalazimishwa kuhacha ndini zao (Imani)
    Mwaka 1291ni mwisho wa Utawala waRashidum .
    Dola ya Kirumi ilichukua eneo hilo
    Shee toa Elimu ya dini .
    Hakuna Amani pasipo Haki

  • @platiniali8609
    @platiniali8609 Год назад

    Kweli kabisa Sisi Congo tuna hamu ya Ku kimbiya. Wa Tanzania wana bahati

  • @Fatma-h7c
    @Fatma-h7c Год назад

    Munqu akuhifadhi kwa mema yko tunajifunza menqi lwa maidha yko

  • @abi-onlinetv4181
    @abi-onlinetv4181 Год назад

    Wakati urusi anashambulia mara nyingi utamsikia Papa ooh watu wasio na hatia.

  • @meshackpaul4978
    @meshackpaul4978 Год назад

    Mh

  • @lutfiamuhammed
    @lutfiamuhammed Год назад +1

    Unawaitaa masheekhee waongoo hiyi ndio dalilii kiamaa allah akuongozeee

  • @AbdulMkuta-pd2ez
    @AbdulMkuta-pd2ez Год назад +2

    Shehe usitumike shehe

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 Год назад +2

    Amani ni muhimu saaana

  • @AnordErio
    @AnordErio Год назад

    Haaaaaa kumbe nanyie mna kili alipaaa je nakuhusu kuludi kwake ??

  • @ZyidSeleman
    @ZyidSeleman Год назад +1

    Swala safari yako imefadhiliwa na nani maana watu waponda mayahudi na mayahud ndio wanawafanya waishi bila kazi haswa masheikh

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 Год назад

      wewe umechanganyikiwa ama,ni mayahudi wa wapi hao wanaowafanya masheikh waishi

  • @aminadjuma7555
    @aminadjuma7555 Год назад

    Kweli tumekuona uko palestina

  • @esthermoraa9701
    @esthermoraa9701 Год назад +1

    Majini wanajenga mskiti iyo kipengee ebu rudia

  • @IssaSaid-vf3lg
    @IssaSaid-vf3lg Год назад +1

    Yaan mda mwingne uislam ni upuuuz... Ndo man nlihama.... Kaz polojo2... Na Kuwait wakrit makafir

    • @alwaladinswalihualwaladins4724
      @alwaladinswalihualwaladins4724 Год назад

      Jichunge qauli Zako,, Allah akuongoe

    • @IssaSaid-vf3lg
      @IssaSaid-vf3lg Год назад

      Akuongoze wew yn kaziiii bugz2 mnaniuziiii mpuuziii wew... Et ubuxu jiwe, iv hamjasanuka2.....toka zenu hkooooo

    • @faithmapondo7370
      @faithmapondo7370 Год назад

      ​@@IssaSaid-vf3lgmwenzako mm tulihama pamoja

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 Год назад

      ​@@IssaSaid-vf3lg
      Kenge wewee sasa uku mnanyemelea nn

  • @frankchipasura1814
    @frankchipasura1814 Год назад +1

    Majini wanajenga msikiti 😮

    • @IssaFumo-o7j
      @IssaFumo-o7j Год назад

      Kipi hujakielewa hapo ambacho unataka ueleweshwe?

    • @sambulugu9988
      @sambulugu9988 Год назад

      Hawa wavaa kobazi wanapenda kudanganyana sana! Kila wakati kutukuza majini! Suleiman mwenyewe hakuwa mwarabu na kipindi hicho hapakuwa na Uislam bali ni Mwisrael!
      Ni satanic stori za mtume wao Uchwara!

    • @mwassamwassa7264
      @mwassamwassa7264 Год назад

      Hii dini ya Shetani kwa asilimia mia moja,eti Yesu na Musa na Ibrahim walikuwa kwenye hii dini ya majini

    • @IssaFumo-o7j
      @IssaFumo-o7j Год назад

      @@mwassamwassa7264 hivi unamjua Mtume Suleiman alikuwa nani na alitunukiwa Nini na M/Mungu?ngoja nikusaidie,alikuwa ni Nabii na Mtume wa Mungu.Mwenyezi Mungu alimpa Ufalme Mtume Suleiman na utajiri mkubwa sana.lkn pia alimjaalia Utukufu kiasi aliweza kuwaongoza binaadam,Majini,ndege,wadudu na hata wanyama,na wote hao walimtii.wote walikuwa chini ya amri yake katika Muongozo uliokuwa Bora wa kumjua Mungu na kutaka viumbe wote wamuabudu Mungu mmoja tu.Sasa ikiwa hvyo ndivyo ilivyokuwa atashindwa kuwaamrisha Majini kujenga msikiti?kama alimtuma ndege hudhud atashindwa kuwatuma Majini?

    • @IssaFumo-o7j
      @IssaFumo-o7j Год назад

      @@mwassamwassa7264 lakini pia nakwambia jambo ambalo hulifaham kabisa,wapo Majini wachaMungu kuliko hata baadhi ya Wanaadam.Ukitaka kujifunza zaidi unaweza kutafuta reference zaidi Ili kujifunza zaidi,lkn ukibisha na Hali ya kuwa hujui,tafsiri yake hutaki kujifunza

  • @sharafisaidi7999
    @sharafisaidi7999 Год назад +1

    Nimekuelewa

  • @amosiabdulallh7965
    @amosiabdulallh7965 Год назад +1

    Wangine anajua ikitokea hapa kuna watu wengine watakimbia wao atabaki mnachelewa akili matope

  • @karimkassam571
    @karimkassam571 Год назад +1

    Dini ya ukwei

  • @saiddaji6342
    @saiddaji6342 Год назад

    Mnapozunguzia amani basi zungumzieni na haki

  • @mussamkali9926
    @mussamkali9926 Год назад

    Watanzania tujifunze yanayotokea nnje jmn

  • @niyonkuruismail5288
    @niyonkuruismail5288 Год назад

    Ndio tunaskia anacho tuambia mualimu sasa nini ugomvi wa hawa jamaa ili wa islam tujue kama wanafia mskiti wa baiyil maqadas ao ardhi. Maana yutapo kuta wanafia ardhii sisi haituhusu ila kama wanafia mskiti kila muislam twende tukapambanie haqi yetu

  • @HajiMakame-m8l
    @HajiMakame-m8l Год назад

    Shehe amani ipo lakini yapo mandamono ya amani shehe ama unabahasha wapewa kila mwezi

  • @BADILIKA
    @BADILIKA Год назад

    Mfano anao utoa auendani na Mambo ya Palestina, Nahisi anazungumza Jumla Jamala

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 Год назад +1

    Kwa hiyo unawasiliti kina sheikh Ponda na sheikh Kundecha na waislamu wote wa Tanzania wanaotaka kuandamana kupinga mitaala ya serikali juu masomo ya duni mashuleni

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 Год назад

      Kiwango chako cha kufahamu anayosema huyo shekh ni kidogo sana huwezi kumuelewa.

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 Год назад +1

    Apo kwenye kuandamana nime kuelewa siendi

  • @happinessmonyenye9890
    @happinessmonyenye9890 Год назад

    Ety inchi ilikuwa yenu,

  • @frankchipasura1814
    @frankchipasura1814 Год назад +2

    Muisilamu wa kweli huyu,sio mfuata mkumbo

  • @ramauo4410
    @ramauo4410 Год назад +2

    Shehk ana tuambia ukweli nyiyi mna comet upumbavu

    • @maalimhamad1297
      @maalimhamad1297 Год назад +1

      Sio kweli mengi niyauwongo

    • @aminasittusaid3830
      @aminasittusaid3830 Год назад +1

      @@maalimhamad1297 ukweli unaoujua wewe ni upi? Na kwa nini usiuseme huo ukweli mapema kuliko kungoja mwingine aseme halafu wewe useme asemayo mengi ni uongo?!!!

    • @abdallayussuf6258
      @abdallayussuf6258 Год назад

      ​@@maalimhamad1297kama lipi lauongo

    • @DORCUSSAZIA
      @DORCUSSAZIA Год назад

      Ujinga huu anayesikiliza ni mpalestina tu mnamgusa Israel? Yakobo ni hatari dunia itapigwa na israel

  • @maase2023
    @maase2023 Год назад +2

    Aibu tupu dunia nzima inaandamana kupinga mauaji ya Palestine ila nyie tz tu kimyaaa! Mnakaa kuhubiriana talaka na maulid ovyooooooo

    • @erastochambila9606
      @erastochambila9606 Год назад +1

      Kwahiyo wale waisraeli waliokufa mbona mbona hukusema?

    • @maase2023
      @maase2023 Год назад

      @@erastochambila9606 kweli walikufa lkn now mauaji mara 100 zaidi ya yale jambo ambalo halikubaliki

    • @maase2023
      @maase2023 Год назад

      @@vincentcharles4385 sisi tumeshafanya maandamano ya kulaani mauaji hayo ! Ila nyie huko kimyaaaa

    • @maase2023
      @maase2023 Год назад

      @@erastochambila9606 hawa maustaaz watu wa RUclips tu

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 Год назад

    Haki na uadilifu ndio mambo yanasaidia kuimarisha amani mbona hamusemi mashekhe

  • @ShabanMohamed-e9l
    @ShabanMohamed-e9l Год назад

    Mfalume suleimani ndie alie kuwa ana amrisha majini alikuwa akiongea na wa dudu ndege na viumbe vingine tatizo time kalilishwa vtisho kuliko kuaminishwa ukweli mna penda ya kudanganywa ya ukweli hamya taki

  • @IbnuAlly-cg2gn
    @IbnuAlly-cg2gn Год назад +1

    Hujatuambia kwanin Palestina hawana aman au ndo wamekufuru neema za Allah

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 Год назад +3

      Usiseme hivyo Hakiwi koyama mpaka wapigane waislam na mayaudi nandiyo wao wayaudi watashinda watajenga ekalulao ndiyo Dajali. Ajekukaahapo kiyama ndiyo kotasimama hikokitu laazimakitokee hataiweje kwahiyo hizo ni dalili zakuja Dajali. Allah atuepushe na fitina zake Dajali🤲

    • @Muslim-gs6rn
      @Muslim-gs6rn Год назад

      Ameen naona ndio sasa kimeingia

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya Год назад

      @@hanifatanzania7258 Allahuma Amiin

    • @IbnuAlly-cg2gn
      @IbnuAlly-cg2gn Год назад

      @@hanifatanzania7258 kwa Mano tukiambiwa zama za mwisho maisha yatakuwa magumu kwaiyo tusitafute njia ya kujikwamua maana lazima itokee?

  • @bellasi349
    @bellasi349 Год назад +1

    Acha uongo we mzee na somalia na siria nao ilikuwaje we sema tu uyo allah wenu hana lolote😂hawezi kuwasaisia

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 Год назад +4

    Leo ndo nimeamini hii dini ya uislamu na mashetwan na majin ni ndugu asilimia 100

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Год назад +1

      Kwanin umeamin hvo nakuhurumia sna ww kuwa kafir ah mtihan

    • @saidsobongo912
      @saidsobongo912 Год назад +1

      Hyo sio shida sababu kuna majini wanao fanya ibda yaan wapo majini walio muamini allah kwahvo sio shida tukiwa mandgu

    • @kibulajumakibulajuma3448
      @kibulajumakibulajuma3448 Год назад +1

      Wako majini wema na majini waovu, neno jinni ni neno la kiarabu , kwa hiyo ukilielewa kwa namna ya kimakosa unakuwa umekosea, na Lugha ya kiswahili ina maneno meengi sana kama 90% ni ya kiarabu na mengine ni ya kibantu , kihindi , kireno, kijerumani, na kiingerza mathalan, kwa mfano walio wengi hawajui kiswahili cha neno Baiskeli yani bicycle na hivyo hivyo neno jini liko hivyo labda kama wewe unalijua tuelimishe. SHUKRAN NDUGU.

    • @happinessmonyenye9890
      @happinessmonyenye9890 Год назад

      ​@@malak-lz6kxjihurumi wewe mwenyewe

    • @JabirJabir-fr3xu
      @JabirJabir-fr3xu Год назад

      Kafiri ulie kubuhu wewe.

  • @ShekiyaoHussein-ki4ty
    @ShekiyaoHussein-ki4ty Год назад +1

    Huna jipya porojo tuu waelezee umma nini chanzo cha mgogoro wa Palestina na Israeli hamjuwi ukweli au mnaogopa kuzungumza

  • @JohnLyakurwa-v8y
    @JohnLyakurwa-v8y Год назад +2

    Mimi ni mchristo ila hyu shehe yupo smart

    • @maase2023
      @maase2023 Год назад

      Huyu ilikuwa abakie huko asaidie waislamu kupigana na yahudi ss kimemrudisha nn?

    • @hevenMiage
      @hevenMiage Год назад

      ​@@maase2023😂

    • @saidkhamis8229
      @saidkhamis8229 Год назад

      @@maase2023 Ameendea ibada sio vita umeielewa hutba yake au umeharakia kucoment?

    • @faithmapondo7370
      @faithmapondo7370 Год назад

      Wewe huelewek kuna sehem unajifanya muislam

    • @maase2023
      @maase2023 Год назад

      Mmmhh kweli huelewi

  • @mozesamizi931
    @mozesamizi931 Год назад

    Hamas ni dini gani hao?

  • @mohamedrashid7864
    @mohamedrashid7864 Год назад

    Mawahabi hawampendi kabisa huyu shekh ,coments zao sio nzuri kabisa

  • @godwinmbwambo3316
    @godwinmbwambo3316 Год назад +2

    KUMBE MTUME ALIKUWA NA JESHI

    • @DORCUSSAZIA
      @DORCUSSAZIA Год назад

      Hata me nashangaa alqida au

    • @FeisalDoctor
      @FeisalDoctor Год назад +1

      😂😂😂😅Kusoma hutak n kukubal ukwel hutak subir ufe nd utaamka

  • @aboubakarmtanje9851
    @aboubakarmtanje9851 Год назад

    Kwanini mrume apigane vita haryakuwa anapenda aman

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 Год назад

      Fatilia dini vizr utajua biidhinllah

  • @emmanuelmlekwangano9991
    @emmanuelmlekwangano9991 Год назад

    Kumbe mtume alikuwa analazimisha watu wawe waislamu kwa nguvu za kijeshi

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 Год назад

    Wongo mtupu, Mohammed ameruka mbinguni gani?. Kumbe majini wenu waliwajengea msikitini. Majini ni malaika walioasi, Jina la Yesu pekee ndio linaweza fukuza hayo madudu. Yesu anaekupenda sheikh

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 Год назад

    Aliamlisha majini yajenge msikiti?!👀👀👀👀👀

    • @daatyabdul652
      @daatyabdul652 Год назад

      Ndio nabii suleiman alipewaa uwezo wa kuamrisha kila kitu majini hadi upepo

    • @erastochambila9606
      @erastochambila9606 Год назад

      Duuu aisee kumbe majini yalijenga msikiti

    • @daatyabdul652
      @daatyabdul652 Год назад

      Cjui unashangaa nini katika uislam Allah aliumba majini na watu ili wamuabudu majini ni viumbe kama sisi na wanaulimwengu wao nao wataadhibiwaa kama binadamu sisi na na watalipwa mema kama sisi
      Jini akiasi anakuwa shetani
      Na mwanadamu akiasi pia anakuwa shetani

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Год назад

      @@daatyabdul652 huo ni uongo wa mchana

  • @bellasi349
    @bellasi349 Год назад

    Iyo story sijui unaitoa wapi nyie achana na hao makafili hawana mpango saivi wapalestina wakimkubali yesu basi mambo yote yatakuwa sawa

    • @saidkhamis8229
      @saidkhamis8229 Год назад

      Mbona wanamkubali Yesu Kama mtume wa Allah (s w ).Waislam hawabaguwi mitume (A S ) kwa sababu wote wanatoka kwa Mwenyezi Mungu Muumba mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake .

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 Год назад +3

    Hawa Palestinian wanauwa watu wao wakiuwawa wanaanza kulalamika hizi dini watu wanaendesha tofauti na ilivyo takiwa

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Год назад +1

      Tafuta historia kwanza ndio utajuwa huyu mzozo wala hauhusiani na dini kabisa.

    • @yusuphrashidi-dr1kb
      @yusuphrashidi-dr1kb Год назад +1

      Wewe kafiri kua na adabu kacheck nyerere day hanisi

    • @charlesmakuri792
      @charlesmakuri792 Год назад

      @@sonnyr1899 kwahiyo ndio wake watu ,wakiuwa mnashangilia wakijibu mapigo mnalia shenzi charaza bira huruma vipalestina vingekuwa na uwezo wa Israel dunia ingekoma kwanza siku walabu wa shika technology ya dunia basi itakuwa mwisho wa dunia kama ilivyo andikwa hawana utu hata kidogo

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 Год назад

      Wewe usichanganye vitu palestina wanagombania uhuru wawo dhidi ya Yahudi rejea hotuba ya Rais mstaafu Obama umsikie

    • @meshackpaul4978
      @meshackpaul4978 Год назад

      ​@@yusuphrashidi-dr1kb😂haya ndio majibu ya watu waendao miskitini?? Uovu na aibubtupu nenda Gaza Sasa kama unaubavu ukapambane!!!