Nakumbuka niliumwa mpka nilitaka kukufuru mungu niliswali swala zote nahisi nikamaliza dua zote nikalia nikaomba usiku mmoja niliona kama mwaka mzima ila nilishuruku mungu ata usingizi ulipotokea nikaja kustuka asubhi walh mungu ni mwema ❤
@@NanaHsn525 anajua hasa kuongea na kila rika Allah azidi kutuwekea, mimi sijawahi kumuona ndoto yangu niende kumuona pia nakusikiliza darsa lake au sira ya kipenzi chetu mtume Muhammad s.a.w
Uislam hapa duniani unajaribiwa kwa kila NJIYA ili tubaguwane. .yote haya kama si huyu NYERERE kuja kuivamiya ZANZIBAR basi tungekuwa mbali sana.. LAKINI mpaka hii leo. Tunaufuwata mzimu wake. Halafu kuna dude linaitwa MUNGANO. Hili ndilo hatari kubwa. Munakjuwa mashekh wangapi waliuliwa .januwari 12 1964. Hebu Msikilize LUKUVI kule kanisani Halafu msikilize na MAREHEM ustadh ilunga kuhu mfumo KRISTO
Kama ulijifunza mambo mengi mazuri kutoka Shekhee wetu Othman Maalim ,weka like na Uandike Allahu Akbar ❣️🙏
Allahu Akibar ❤️🙏❤️
Allahu Akibar
Allahu Akbar
Allah akbar
Allahu Akbar❤
BARAKA ALLAH FIIK YA OTHMAN MAALIM ALLAH AKUPE UMRI MREFU INSHA ALLAH.
Alhamdulillah, najifuza mambo mngi mno kupitia mawaidha yko, Allah akupe maisha marefu yenye baraka tele
Neema ya maisha ni uislam Alhamdulillah.. shukran Sana shekh wetu Allah azidi kukupa afya na Waislam sote tufaidi daawa zako
Allah atakulipa insha Allah mawaidha yako mazur ya kujenga
Jazzak Allahu kheri shekhe fii duniya wal akhera
Mola akupe umri mrefu Sheikh Othman yenye baraka
Mola akuzidishie killa kheeri
Allah akupe rizq halal na akubarikie
Amiina inshallah
Masha Allah 🙏🙏❤️
Nakumbuka niliumwa mpka nilitaka kukufuru mungu niliswali swala zote nahisi nikamaliza dua zote nikalia nikaomba usiku mmoja niliona kama mwaka mzima ila nilishuruku mungu ata usingizi ulipotokea nikaja kustuka asubhi walh mungu ni mwema ❤
sahih kabs Allah ni mwema Allah akuòngz na akjz khr na barqa na akulind na hasad inshaAllah
Ata mimi jamila adi nilitoa shahada nyie tufanyeni ibada yani niliumwa sikudhan kama nitapona ila mungu ni mkubwa alhamdulilah
Wallah maalim leo umenifurahishaa alhamdulilah
Subhaana lwaaha Allah!akulipe kheri,alwahumma amiin
Jazzallahu ghaira kwa ukumbusho sheikh wetu Allah akujaalie umri mrefu wenye manufaa Allahuma aamin 🤲 tuweze kujifunza zaid
Mashallah sheikh nimejifunza mengi mungu akupe umri mrefu uzidi kutufahamisha mengi yaarab
Baraka lah fihi Allah akupe kheri ya dunia na akhera.. Tumejifunza mengi
MASHAALLAH 😭🤲🤲🤲
Wallah huyu sheikh amenifanya nimekua mpole sana munguakupe umri mrefu inshaallah
Amiin yarabbal alamiin, Hata mimi pia wallahi mawaidha yake ni heart fresher..
@@abdullatiframadhani5059 Hakika mm nilianza kumfatilia from 2012 hadi sai nashkuru amenijenga pakubwa wala simjui lkn napenda sana mawaidha yake
@@NanaHsn525 anajua hasa kuongea na kila rika Allah azidi kutuwekea, mimi sijawahi kumuona ndoto yangu niende kumuona pia nakusikiliza darsa lake au sira ya kipenzi chetu mtume Muhammad s.a.w
mashaAllah MashaAllah Allah akhfdh toka 2012 MashaAllah Allah akuhfdh na akuongz ktk njia ya khr
mim nimeanz kumuangly na kumuiga 2011 nampend saaaan natmn nimuon wallh
Allah akubariki ya sheikh na akuepushe na kila Shari nkupenda napend ushauri wako❤❤❤❤❤
Mawaidha mazuri yenye mazigatio makubwa kwa wenye kutaka radhi za Allah,inatulazimu kuyafata tufaulu Dunia na akhera pia innshaallah.
Mashaallha Allha atakulipa zaidi kwa unachotupa na kutuelimisha
alhamdulilah najifunza kutoka kwako sheh othuman maalim
Uislam hapa duniani unajaribiwa kwa kila NJIYA ili tubaguwane. .yote haya kama si huyu NYERERE kuja kuivamiya ZANZIBAR basi tungekuwa mbali sana.. LAKINI mpaka hii leo. Tunaufuwata mzimu wake. Halafu kuna dude linaitwa MUNGANO. Hili ndilo hatari kubwa. Munakjuwa mashekh wangapi waliuliwa .januwari 12 1964. Hebu Msikilize LUKUVI kule kanisani
Halafu msikilize na MAREHEM ustadh ilunga kuhu mfumo KRISTO
BAARAKA ALLAHU FIKA
Assalam alaikum Mr Said,natafuta contact zako Akhi
Shukrani ❤❤ mungu akulipe
Allahu Akbar ❤
Sheikh namuelewa sana! Nikija Zanzibar natamani sana nimtembelee nimuone Insha Allah!
Allahu akujaaliye kheri
Alhamdulillah ya Rahman
Allah bariq❤
Masha'Allah ❤❤🎉
Mashallah
❤❤❤❤
Allah Akbar
❤❤❤ Allah akbar
Allahu akbar
Mashaalah
❤Allah akbar❤
Allah Akbar.
Allahu akkbar
Allahu Akbar
ALLAH AKBAAR
Alhamdulillah
mashallah baba anis
❤
🔥🔥🔥🔥
Mashaa Allah shukran jazillah
Tulikuaga na jirani mbaya hataree pale Sinza Mori jamani yule mama Mungu amuongoze.
Allah Akbar
Allah akbar
Allah Akbar