WAJERUMANI WABARIDI | SIO KILA MZUNGU NI TAJIRI | NI BORA KUKUTANA ONLINE DATING

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 ноя 2024
  • Cassie ametueleza safari yake nzima katika kutimiza ndoto yake. Kujiamini kwake kumemfikisha alipo.
    Ameelezea Notion ya pesa na wazungu na maisha ya Ujerumani kiujumla.
    Ulezi wa mtoto na process nzima ya ujauzito mpaka kupata mtoto.
    Thank you Cassie for allowing this to be online
    www.oda.international

Комментарии • 211

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar Год назад +6

    Action speaks louder than words

  • @rithersospeterkati3355
    @rithersospeterkati3355 Год назад +5

    Story yako ni nzuri, Mungu yuko nawewe na kitu kilienda vizuri. KWA hiyo tuseme Amen Amen. ❤❤❤❤

  • @aidaanatory9330
    @aidaanatory9330 5 месяцев назад +3

    Jamanii huyu dada a naongea vizuri nimempenda ❤

  • @LucyJoseph-pb4um
    @LucyJoseph-pb4um 8 месяцев назад +3

    Zena nimekupenda Bure my dear una uzuri wa asili good bless you

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 Год назад +24

    Hizi story zinanifanya nachelewa kufanya mambo yangu. Very addictive

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  Год назад +3

      Hahaha nimecheka.. enjoy and learn dear 🥰

    • @miriamkasebele4727
      @miriamkasebele4727 Год назад

      Me too 😅😅😅😅😅

    • @ibrahimmaro906
      @ibrahimmaro906 Год назад

      Sisi tuna itaji kujifunza wenzetu walioko mbali na sisi hata mda utakapo wadia tujue nini chakufanya rafiki yangu @damariszuckschwert nakuomba kama unaona unachanganyikiwa au unakuwa addictive please stay quit sisi tuna itaji kujifunza na ndio maana tuna mfollow dada witt hivyo kama huelew kuwa mpole maana ni amani sana hapa asee

    • @happinessmhanze4450
      @happinessmhanze4450 11 месяцев назад +3

      Mm ndo zinanip company nkiwa nafanya kazi😂

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 11 месяцев назад

      😂polee

  • @eunicebaraka367
    @eunicebaraka367 Год назад +8

    She was very honest..i love it🥰

  • @annetsway6650
    @annetsway6650 Год назад +7

    Black beauty..

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 Год назад +4

    napenda watu kama hawa wanakuwa wakweli na wawaz safi sana Zena Mungu akubariki

  • @zainamohammed7109
    @zainamohammed7109 Год назад +1

    Nimeipenda story yake jamani nimecheka hapo kwenye mahari wajerumani kutafuta upinde sasa wengine sisi unambiwa mkaja wa bibi na kilemba cha babu ingekuwaje
    Ubarikiwe kwenye kazi yako👏

  • @WinfridaNdege
    @WinfridaNdege Год назад +8

    She is very honest and funny 😂

  • @asharamadhani3462
    @asharamadhani3462 Год назад +4

    Jamani niemiss live but nimeangalia she is lovely and honest ❤❤❤❤

  • @Alice_Kazaura
    @Alice_Kazaura 10 месяцев назад +1

    She’s cute, natural color ❤

  • @AnnaMwailenge-hy3xg
    @AnnaMwailenge-hy3xg Год назад +2

    Napenda Sana vipindi vyako vinaelimisha Sana kujua jinsi yakuishi sehemu za mbali , hongera sana kwakazi nzuri

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 Год назад +2

    Yaani TZ wanakera hawakuambiagi Information zote zinazotakiwa. Mimi nilikipata siku nakaanza kuapply VISA kuja Switzerland 🇨🇭, yaani nilisumbuliwa nikakaa almost like 3 months na kitu but finally I was successful.

    • @cassiedamiyan9304
      @cassiedamiyan9304 Год назад

      Yes halafu wanasema kila kitu kipo kwenye website wakati hamna kitu...wanakera sana kwakweli🤣🤣🤣

    • @Alfreadbrand
      @Alfreadbrand 11 месяцев назад

      @@cassiedamiyan9304boss

  • @zinathjumanne3671
    @zinathjumanne3671 Год назад +3

    Hongera sana shena,najifunza mengi sana kupitia wewe!Mungu akubariki mnooo

  • @ednamugezi3560
    @ednamugezi3560 Год назад +4

    I ❤❤❤❤ the entervie.... And she is so beautiful and genuine....

  • @kemmymutalemwa892
    @kemmymutalemwa892 Год назад +5

    The smileee My Girl always smilling😍

  • @doreenniver6643
    @doreenniver6643 Год назад +1

    Asantee sana dada kwa vipindi hivi jamani nindoto yangu kuolewa namzungu so napata kujifunza mbinu❤

  • @Yolanda-n3x
    @Yolanda-n3x Год назад +4

    Jamani nimefurahi sana ngoja nikaze ipo siku nitapata wangu najua Mungu yupo

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 Год назад +2

    We really appreciate you 🎉

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 Год назад +1

    Pole Sana ZENA and me also nilikaribia kujifungua nikakutana na mtihani the same. 🇨🇭

  • @stellaprotazibashaijaban-gq4mb
    @stellaprotazibashaijaban-gq4mb Год назад +2

    Nimekupenda sana uwazi wako ubarikiwe sana

  • @annamussa185
    @annamussa185 Год назад +3

    Bara la Asi hao siyo wazungu kwanza wenyewe pia wanawataka hao wazungu wakiwaona wanatetemeka 🤣mpaka wanadanga kutafuta wazungu na kutoka moyoni mzungu na muaafrica humwambii kitu

  • @shalibrutsch-vlog
    @shalibrutsch-vlog Год назад +3

    Salute kwa Boss 🙌🏾

  • @ayubuzayumba
    @ayubuzayumba Год назад +8

    Nataman siku moja niwe shuhuda kwa wanaume na tufanye interview inshaalah

    • @valerieshinia8526
      @valerieshinia8526 Год назад

      Hakuna Linalo Mshinda Mungu❤ weka Imani itakuja kutendeka: I hope you have joined dating apps .

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  Год назад +1

      InshaAllah
      Na itakua.. kwa Mungu hakuna kubwa

    • @valerieshinia8526
      @valerieshinia8526 Год назад

      @@OfficialDatingAssistance Amen: ODA naomba kuuliza ulitoa ile video yako na Doris maana sioni tena wanted to share it to my sister.

  • @laetitiamathe5779
    @laetitiamathe5779 Год назад +1

    What a wonderfull vidéo

  • @rhodacute4653
    @rhodacute4653 Год назад +1

    So lovely jaman umeongea ukweli mababe zetu hawana hela uku ujeruman na ela zao kutoa jaman khaa mtihani😅😅😅

  • @Joe_kabye
    @Joe_kabye Год назад +3

    Yaan i love the this ❤ this is soo nice kipindii 😂

  • @sadakimwaki9791
    @sadakimwaki9791 Год назад +2

    Tunajifunza mengi kila liloandikwa na mungu alipingiki ❤

  • @immaculatakadyanji5927
    @immaculatakadyanji5927 9 месяцев назад

    Mahojiano mazuri, dada yuko vizuri.

  • @AminaMwanaid
    @AminaMwanaid 4 месяца назад

    Nimekupenda Bure daa zena❤❤❤❤

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 Год назад

    Storry nzuri,Asante kessy

  • @pmpaga1063
    @pmpaga1063 6 месяцев назад

    Mahojiano mazuri, hongera Shena

  • @esterkivaria8986
    @esterkivaria8986 8 месяцев назад +1

    Barikiwa dada❤❤

  • @KhadijaLeonard-zs9el
    @KhadijaLeonard-zs9el Год назад +2

    Shena your very very smart i like you dadaaa

  • @Sumaiya-h7m1p
    @Sumaiya-h7m1p 6 месяцев назад

    Asante shena yaaan hii inatufunza vingi

  • @deuskusaga8156
    @deuskusaga8156 Год назад +2

    Unafanya kazi mzuri sana shena👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @CarolineSimon-zz5ed
    @CarolineSimon-zz5ed Год назад +4

    Another comedian 😅😅😅 nimecheka sana aisee Yan huyu dada kanifurahisha sana😅😅😅

  • @hariethmatungwa9293
    @hariethmatungwa9293 Год назад +1

    huyu nimimi eti mguu ukivimba nimekupenda sana

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 Год назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂 jamani huyu dada yuko waziiii ni raha kwa kweli kumsikiliza but tunajifunzaa

  • @EstherWawanji
    @EstherWawanji Год назад +5

    Funny gjrl i would like to listen to her more and more

  • @marywaithera3130
    @marywaithera3130 Год назад

    Very good intresting story

  • @annamussa185
    @annamussa185 Год назад +4

    Harafu huyu Dada nyie ananichekesha hata sijamaliza kuangalia nacheka office nzima wananiangalia na wao wanacheka na hawajuwi nacheka nini

  • @proscoviakaganzi62
    @proscoviakaganzi62 Год назад +3

    Hi kipindi nakipenda lakini kwanini ni story kuhusu wazungu? Maaana kuna sehemu wapo watu wameoana waafrica na wanahishi nje natamani kujua why wazungu?

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  Год назад +4

      Hao wakiafrica waliokutana mtandaoni hawajisemi
      So mimi ni ngumu kuwajua.. kama unawajua nipe contact niwaombe Interview

  • @talhiyaibrahim1074
    @talhiyaibrahim1074 Год назад +1

    Hongera Sana una moyo wa subra

  • @priscangimba6194
    @priscangimba6194 Год назад

    Nakupenda shena japo bado sijafanikiwa

  • @estasiashiringa1038
    @estasiashiringa1038 Год назад +1

    Zena napenda unaongea kivivuu❤

  • @mafrikanws
    @mafrikanws Год назад +2

    Dada nilikuwa na swali Dada yangu mtu ambaye anaenda zanzibar kutafuta mzungu piya anafanya kazi uko unaweza mshauri mtu gani ambaye anamipango iyo

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 6 месяцев назад

      Hehehe wazungu hawo mwende uko mkizeeka mrudi nyumbani tuwaree😊

  • @miriamkasebele4727
    @miriamkasebele4727 Год назад

    Nimependa hapo, hata ukimwambia mshale wanaleta. Sidhani kama ni issue ya hela, nafikiri wanarespect culture. Na kwavile wajerumani wako very direct, wanaamini kama wameandika mshale maana yake mshale ndo unahitajika, kwamba kama wangetaka pesa wangesema wanataka pesa.

  • @issaMsangi-z2k
    @issaMsangi-z2k 6 месяцев назад +1

    Dada ongera sana nakufatilia mno

  • @valerieshinia8526
    @valerieshinia8526 Год назад +2

    Napenda unapo sema shemeji yetu❤❤😊: ata mimi nikama yeye nilipata mimba 😢na nikapoteza muda wa kuenda europe lakini tuseme Mungu akona mpango wa kila kitu. Process ni kubwa sana Mungu atujalie

    • @cassiedamiyan9304
      @cassiedamiyan9304 Год назад +1

      Oooh ni process tuu...everything will be okay

    • @valerieshinia8526
      @valerieshinia8526 Год назад +1

      @@cassiedamiyan9304 Asante but kenya 🇰🇪 they can delay your passport wacha tuu : mine also ilikuwa expired imechukua mudaa nishakata tamaa we will try next year after nimejifungua🙏🏽

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  Год назад +1

      Everything is under control
      Mungu ni mwema sana kwetu

    • @valerieshinia8526
      @valerieshinia8526 Год назад

      @@OfficialDatingAssistance Amen Amen Amen 🙏🏽 kwa wakati wake tuu

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 Год назад +1

      Kuwa mvumilivu kama mko still connected, wewe omba Mungu utafanikiwa tu mpendwa

  • @SharifaAwami
    @SharifaAwami 6 месяцев назад

    Ni kweli mkwe wangu anaangalia mpaka walemavu lakini viza kwake ndio inshu mpaka account yake iwe na million sita

  • @HellenRanny
    @HellenRanny Год назад +2

    To me this is da best interview so far😂🤣

  • @SuzanaSuzana-u3j
    @SuzanaSuzana-u3j Год назад +2

    Anaongea ukweli jamani❤❤dada uyu

  • @leilaassey1726
    @leilaassey1726 Год назад +2

    Jamani sis vibonge tutapata kweli maana naona wote ni wembamba

  • @weveeernest9911
    @weveeernest9911 Год назад

    Ndo cha msingi ukipendwa na familia inatosha dada, wajerumani hawanaga salamu.

  • @shalibrutsch-vlog
    @shalibrutsch-vlog Год назад +4

    Yaani huyu Dada yuko direct kabisa. Nimempenda.. Eti una hela 😂🙌🏾🙌🏾

  • @munirahassan5013
    @munirahassan5013 Год назад

    Can't wait kumuona boyfriend wko

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 Год назад +1

    😂😂😂daah nimecheka sana,huyu mrembo 😅

  • @mackykombe9477
    @mackykombe9477 7 месяцев назад

    How can we call you now ( mama nani?)

  • @Naomijoman
    @Naomijoman Год назад

    You doing well my dear

  • @AnestaJames
    @AnestaJames Год назад +1

    i like you case

  • @katetejoseph7290
    @katetejoseph7290 Год назад +2

    Nana❤❤❤

  • @janeschurmanns6311
    @janeschurmanns6311 Год назад +5

    Zena mdogo wangu hata mimi niko Ujerumani nakushauri funga ndoa huyo mzungu bahati mbaya akifa huna chako haupati chochote zaidi ya hela kidogo tu ya mtoto Funga ndoa mdogo wangu

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 Год назад

      Mpenzi naifanyaje my dya kwenye hiyo dating. Any help please

    • @cassiedamiyan9304
      @cassiedamiyan9304 Год назад +1

      Uwiiii akifa basii haikuwa ridhki mimi sijampenda ili nirithi Mali na ndoa ni utayari na mimi bdo sijawa tayari mpnz

    • @janeschurmanns6311
      @janeschurmanns6311 Год назад

      @@cassiedamiyan9304 sawa mimi sijasa umempendea hela zake ila sisi ni binadamu hatujui la kesho huyo jamaa kama nilikuelewa anawatoto wengine tayari Na wewe hujafunga ndoa hapo lazima uangalie natamani tungeongea nikueleze vizuri maana mimi nimeishi huku zaidi ya miaka 30 hivyo najua ninachoongea

    • @mwanjinzara8009
      @mwanjinzara8009 Год назад +2

      Sipendagi kauli ya akifa ivi ni wapi waliandika mwanaume anatangulia kufa kwan mwanamke afi ushauri ni wafunge ndoa waishi kialali sio eti bwana akifa

    • @janeschurmanns6311
      @janeschurmanns6311 Год назад

      @@mwanjinzara8009 hakuna mtu anaombea mwingine afe huo ni mfano tu hamna mtu anaejua siku ya kufa kwa kiswahili kingine aangalie kesho itakuwaje kuna kuachana pia maana unawezajiharibia mfumo wa maisha yako wewe mwenyewe nilikuwa namshauri tu nivizuri kufunga ndoa maana mbali na maisha hata dini zote zinaangiza tuepuke zinaa.

  • @meenahram5563
    @meenahram5563 Год назад +2

    Zena umenifurahisha jamn urudi rafki angu

  • @annamussa185
    @annamussa185 Год назад +3

    Shena nimependa hapo kwenye ma Fekeche mavilage people 😂

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 Год назад

      Huyu dada Bongo kweli kweli kichwa inalipuka usimchezee

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Год назад +1

    Kumbe wazungu hawatoi hela! Ndiyo maana wachaga hawana ngekewa nao kabisa.

    • @HildaMyonga
      @HildaMyonga 6 месяцев назад

      Haha hahaa😂😂

  • @pettyschulte6608
    @pettyschulte6608 Год назад +2

    Ahsante kwa ukweli😊

  • @annamussa185
    @annamussa185 Год назад +2

    Mchumba wangu nilimwambia kwetu lazima ulete mbuzi ya mjomba kwenye Mahari akasema yani anaenda kufanya babaq😂nilicheka nyinyi jamani

  • @rosemery3017
    @rosemery3017 Год назад +3

    Haki hizi story zinanikonga nyoyo yangu sana nisipokuta umepost kitu huku huwezi amini shena naumwa 😅

  • @aysherkitoi5507
    @aysherkitoi5507 Год назад +1

    Nice

  • @michaelmsanga-qi9sp
    @michaelmsanga-qi9sp 9 месяцев назад

    Msalimie huyo Zena nafahamu sana

  • @SuzanaSuzana-u3j
    @SuzanaSuzana-u3j Год назад +2

    Mimi nilisafir mimba 33 weeks ubaloz hawakunisumbua lkin flyt. Waliniuliza maswali tu simpo wakaona chet basi nikasafir to germny

  • @Byme6434
    @Byme6434 Год назад +3

    Nimempenda Na Zena na Hawa 💋❤️🌹🇹🇿

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 Год назад +1

    Nimekupenda kweli da zena hongera sana

  • @Lizzyktd
    @Lizzyktd Год назад +1

    Mrembo jaman rangi yake inavutia ila anachekesha 😂😂😂

  • @bonita329
    @bonita329 Год назад

    Yaani nimecheka 😂😂wazungu wanavituko sana😂😂

  • @salvinahassan8778
    @salvinahassan8778 Год назад +1

    Dada naomba namba zako za simu, nina shida na wewe

  • @immaculatakadyanji5927
    @immaculatakadyanji5927 9 месяцев назад

    Shena una kipaji, kipindi kinaondoa stress nacheka balaa😂😂

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 Год назад +1

    Yaani Online Dating kuna Washenziii kama huna uvumilivu huendelei walahi

    • @jacklinemhagama5372
      @jacklinemhagama5372 6 месяцев назад

      Hizo online dating mnatumisje naomba kuelekezwa namna ya kutumia na m nijarbu bahati yangu

  • @Duniatzltd
    @Duniatzltd 7 месяцев назад +1

    Host I like your story . Kwenye mtu mwenye ufahamu wafunguwe ubongo zao mimi mwenye I have been German hongera sana sana.i like to have your contact number yako

  • @Lizzyktd
    @Lizzyktd Год назад +1

    Mbavu zangu mm hak 😂😂😂😂anafurahisha

  • @lucymsigwa443
    @lucymsigwa443 7 месяцев назад

    Ivi wazungu waliookoka wapo kweli ndio nawataka

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 Год назад +1

    Zena hizo nywele ziache tu huku mbele maana inakuwa shughuli

  • @rachelsamwel5359
    @rachelsamwel5359 Год назад +1

    Hata hivyo jitahidi hujui kupenda

  • @edithajohn9600
    @edithajohn9600 Год назад +1

    😂😂😂😂😂uyu dada umejuwa kunivunja mbavu,

  • @fredrickjohn8412
    @fredrickjohn8412 Год назад +1

    Nahitaji ufafanuzi kama kuna online dating free

  • @MwalimuShauri
    @MwalimuShauri Год назад +1

    ❤❤

  • @masomekitwala3758
    @masomekitwala3758 Год назад +1

    mbona hatuoni wanaume

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 7 месяцев назад

    Kwani lazima uolewe na wazungu wTanzania wenzenu hakuna acheni yawakute mnaishi kwa kubahatisha mie nilikwambia Bibi ditaki kuolewa na Mzungu rafiki yangu kaniambia baadhi yao ni wanyanyasaji jwa ajili ya weusi wetu

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  7 месяцев назад

      Hamna watanzania watesaji ?
      Kila mtu ana haki ya kuoa au kuolewa na anayemtaka.. Na wote tunapaswa kuomba Mungu atuepushe na watu wabaya haijalishi rangi kabila wala dini
      Watu wabaya wapo kila Kona ya dunia

    • @jonfredkewe3451
      @jonfredkewe3451 6 месяцев назад

      Sister hebu nipe dira nataka nioe mke wa kizungu nimlete bongo

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 Год назад +1

    ZENA unatuvunja mbavuu

  • @anisiamchembe6552
    @anisiamchembe6552 Год назад +2

    Hi kila kitu ni kuvumilia tu

  • @NeemaWilliam-n7t
    @NeemaWilliam-n7t 9 месяцев назад

    Achana naye kama anaboreka asiangalie sisi tunajifunza vitu vingi

  • @BINTIwaKITANGA
    @BINTIwaKITANGA Год назад +3

    Mamii ❤nahitaji kujiunga na darasa online dating

  • @simonmwandu2214
    @simonmwandu2214 Год назад

    Nimependa dada mcheshi karibu paris tutembeleane

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 Год назад +2

    Shenna naomba help kwenye dating na namna ya kuingia

  • @najmahhassan7853
    @najmahhassan7853 Год назад

    Iyo ya video call na live ni kweli, nilimeet nikakuta nimu hendsom mpaka cio poah 😂 kati nilkua namuona mzee , nikakuta ye kavlana me mkubwa tena😂 but hatujatoboa😭waturuki mbwa😂

  • @ghanimajongo7817
    @ghanimajongo7817 6 месяцев назад

    Mm najilaum nishafik miak ming na namume km engekua sinamume ningel det ss nnd kwaz akil inakua napend niwakamat t nngoz yao

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 6 месяцев назад

    Funga. Ndoa bwana itakuwa zuri zaudi ndoto yako ikamilike

  • @SuzanaSuzana-u3j
    @SuzanaSuzana-u3j Год назад +2

    Anaongea ukweli jamani❤❤dada ukweli ila
    Kwnye zanzibar kamanukakasi. C hamkufanya mapenzi mimba imeingia fasta au

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  Год назад +1

      Siku za mwanzo za Znz ndio hakukua na kitu, after that waliacha chemistry iendelee 😁