Mdada wa kwanza kututia moyo sisi wenye ndoto ya kutoka Tanzania..umepitia magumu ila hauwavunji moyo wenye kiu ya kuja huko ila wale ooh siwashauri waje huku kheri wabaki nyumbani fulsa nyingi huwa wananikera bhasi tu..,pole kwa mapito Hafsa na Allah akuongoze kwa kila hatua zako na hongera sana kwa kupambana💪🙏❤❤
Wow wow I’m happy for u Hafsa nakukumbuka Roho yako nzuri mnoo Hafsa uliniokotea pesa nilizodondosha za Kodi ya nyumba yaani Mungu azidi kukufanyia wepesi akufungulie milango yoote ya baraka akupe Amani na furaha daima Nakupenda Sanaa
Huyu dada kanitia hasira sana yaani yeye na hali yake kaweza kupambana kiasi hicho Mimi nalala TU hapa nasubiria muujiza,,noo sista umeniamsha leo nianze kupambana kwa speed ya 5g dadeq
Ukiwa nje kufanya kazi kw Wanigeria na Wakenya hauwezi toboa hao watu Wana roho mbaya sana wanaangalia masali ya pesa tu, hivyo usibweteke jjiongeze utafute sehem nzuri ambayo utakuwa comfortable na Hali yako,
@JulianaNakwawi siongopi nawajua ndugu zetu wakenya wadhaifu na hamjali hat km mtu ana shida atajua mwenyewe mnachoangalia pesa mbele ila Kuna utu na maish ya baada ya kufa na Dunia duara Leo kwake kesho kwako hivyo utu kwanza pesa badae
Nadhani amewachukua kuwalea sio wake hapa USA wanaigeria wanafanya sana hiyo kazi wanawachukua hao watoto serekalini na kuwalea alafu wanalipwa hela nyingi sana ni vile tu hawezi kukwambia kua sio wake
pole sana dada! wanigeria wengi huwa hawasemi kama watoto wana changamoto ukiishi nao ndo utawajua wanigeria wako very rude, na huwa hawawezi kuwakanya watoto wao wanapokosea.
Pole sana Hafsa mim ningeshaur because Umekuja na visiting visa na hauna work permit then don’t put your story in public u will be deported coz uliomba visa ya training sio kaz. Ukipata greencard then come tell ur story. Also ni vyema utafute short course online ili uweze kupata work from home jobs or kaz za officn baadae ikipata work permit. pia Washington is a good place to get driving license work on it hata kama Huna gari ukishajichanga ufanye DoorDash or uber. Pia jifunze kusuka au kama unajua andika tangazo lako market place, styleseat or booksy. All the best karibu US 🇺🇸
Ooh pole sn Kuna kitu pia sisi watanzania tukifika hapa hatujui mambo mengi sana namna ya kuishi Huku tofauti na wakenya wakifuka tu wanatafuta namna ya kuishi Kwa Uhuru japo changamoto Ni nyingi sn lkn ukitulia unatoboa
@OfficialDatingAssistance Mimi natamani kushare na watu wetu sn ttzo lingerie watanzania baadhi yetu hatupendi kbsa kumsaidia MTU Mimi Hayo yoote nimepitia kufukuzwa unakaa na MTU Kwa uzuri kbsa lkn unapomwambia tu kuwa ungependa kuondoka muda flani unafukuzwa kabla ya ule muda kufika kukosa kujua miezi yetu ya viza ni sita tu lkn jitahd sana ndani ya huo muda nenda kwenye ofisi za department of license.kabla ya mwaka kuisha.
Mashehe wa Africa wanachojua ni Kuoa na Kuongeza Wake, huwa hawafikirii mambo ya Maendeleo Kwa Mwanamke zaidi ya Kuolewa na Kuwa Object ya Mwanaume ya kutumia. Kwenda kumwomba Shehe ushauri wa Kimaendeleo ulikosea na Unabahati hakukwambia Anataka kuongeza Mke na hivyo Wewe uwe Mke wake wa 4.
dah hyo dada alikua na roho mbaya maana kazi ya kulea wtt dizain hyo si kazi ndogo yani huhitaji hata kufanya kazi yoyote uwashuhulikie wao tu it's not easy pole sana ndo mthn watu wengine hata shukrani hawana
TATIZO SISI WATANZANIA TUNAFIKILI UKIFIKA TU AMERICA AU ULAYA, BASI MAMBO NI RAHA TUU. MAISHA YA WENZETU AMERICA NI KAZI TU. NA NDO KAZI INAYOTUPELEKA NASHANGAA WENGI WANALALAMIKA ETI KAZI NGUMU.
Ushauri wangu kwa dada au kaka yoyote akipata matatizo au ku kwama mahali ni bora kuenda BALOZI hutakosa mahala pa kulala. Ni kazi yao kusaidia wananchi waliokwama.
@ hapana , bâlozi hawawezi kukurudisha bila idhini yako . Wana kusaidia temporarily . Mfano waeza kukupa malazi au kukuweka hôtel kwa muda ili utatue shida zako . ishatokea kwa Wa dada wengi sana kuwa balozi wanakustiri usiwe homeless
@ kuna HAKI flani mwanamchi ako nazo chini ya ubalozi lakini wengi hawafahamu. Wana ona huko ni mambo ya serikali tu . Lakini kuna benefits nyingi ukikubwa na shida kama homelessness au kuibiwa fedha, kuwa stranded . Wataku-accommodate kulingana na shida zako . Ni fedha za Umma( tax money)
@ basi itakuwa ni Wa binafsi au wavivu kwasababu wametolewa huko foreign affairs headquarters kuja kuhudumia ummah Wa Tz nchini ulaya . Ndio kazi yao haswa. Sema tu……corruption
Mdada wa kwanza kututia moyo sisi wenye ndoto ya kutoka Tanzania..umepitia magumu ila hauwavunji moyo wenye kiu ya kuja huko ila wale ooh siwashauri waje huku kheri wabaki nyumbani fulsa nyingi huwa wananikera bhasi tu..,pole kwa mapito Hafsa na Allah akuongoze kwa kila hatua zako na hongera sana kwa kupambana💪🙏❤❤
Aisee dada umenipa moyo
Yaaan me wananiboa sn
Yan naisi we hawakuboi, mi wananikera kwelikweli
pole dada etu.watanzania popote mlipo kwenye nnchi za watu tusitupane tusaidianeni ndugu zangu km mlivo msaidia dada etu mungu ndo mwenye kuwalipa
Wakongo ni watu wazuri sana hasa huku nje wanasaidia watu wengi mungu awabariki kwa kweli
Amen 🙏
Wow wow I’m happy for u Hafsa nakukumbuka Roho yako nzuri mnoo Hafsa uliniokotea pesa nilizodondosha za Kodi ya nyumba yaani Mungu azidi kukufanyia wepesi akufungulie milango yoote ya baraka akupe Amani na furaha daima Nakupenda Sanaa
Daah jamani wallah nmefurahi mno kupata hii comment yako za masiku?
@@hafsasaid5148dada hafsa unitafutiye connection niko single mwezio natamani sana kufika ula haswa America
Nakuona mbali sana dada, ukiona changamoto zimezidi ujue kunakaribia kupambazuka.continue shinning baby
Sawa kabisa Hafsa, Dhahabu huwa inapatikana baada ya kupitia kwenye tanuru la Moto mkali sana! You are a very strong Lady!
Nimempenda huyu dada ni mpambanaji ndio inavyotakiwa kwenye maisha kuna mafunzo mengi kwenye story yake❤
Pole sana Hafsa na hongera kwa kuvumilia hayo ni mapito tu,utafika mbali sana.Shukurani sana Shenah kwa kumleta huyu dada tumejifunza mengi sana❤
Huko wanataka watu waumri kuanzia Mika mingapi nakuishia mingangapi
Wa congo tunaroho nzuri💓💗❤️
Huyu dada ni strong jamani mungu akubariki❤😢 utafika mbali
Mungu akucmamie kipenzi ufanikiwe kwa kila jambo❤❤❤
Mungu akufanyie wepesi
Ooh pole mdogo wangu umepitia makubwa ,Bado unatabasamu Mungu asikia ache
Hongera sana Hafsa wewe ni jembe,kuna kitu unacho, umepita kwenye tanuru la moto utafanikiwa mpaka hizo shida utazisahau👍👏🏼
Habari zenu wapendwa,naona mambo ni motomoto mashaallah ❤❤
Mashallah she is very smart..😊
Pole sana ndo safari ya maisha dada Hafsa you're very strong 💪
Da pole na Hongera sana.
Mungu anakupenda sana.
Nakuombea unfamiliar zaidi
Huyu dada kanitia hasira sana yaani yeye na hali yake kaweza kupambana kiasi hicho Mimi nalala TU hapa nasubiria muujiza,,noo sista umeniamsha leo nianze kupambana kwa speed ya 5g dadeq
Nimeelimika sana ❤❤❤ asante sana hafsa Mungu akubarki na kukuongoza
Duuh nimefarijka hii xtori Nzuri Mungu akubariki sana sana naukutie nguvu nuru ya uso wake akuangazie Mamy
WANIGERIA NDIVYO WALIVYO MAMA . WAKIPATA KIDOGO BASI HAKUNA HESHIMA KWA WENGINE.
Hongera sana dada .you are suçh a strong lady.wengi wamejifunza
Pole sana hafsa pia hongera kwa ujasili uliokuwa nao❤❤
Ukiwa nje kufanya kazi kw Wanigeria na Wakenya hauwezi toboa hao watu Wana roho mbaya sana wanaangalia masali ya pesa tu, hivyo usibweteke jjiongeze utafute sehem nzuri ambayo utakuwa comfortable na Hali yako,
Mmh!!!aki wewe
@JulianaNakwawi siongopi nawajua ndugu zetu wakenya wadhaifu na hamjali hat km mtu ana shida atajua mwenyewe mnachoangalia pesa mbele ila Kuna utu na maish ya baada ya kufa na Dunia duara Leo kwake kesho kwako hivyo utu kwanza pesa badae
@@salehkhamis3000unasema kweli ata wa meninyima muzungu wa kenya watatu ati pesa mbere nikiwabebereza ila wapi nikasema namuachiya mungu
@@RahmhRr-d9v wakenya roho mbaya, waganda ubinafs, watz unaweza fika nje akakupokea vzr bdae anakuibia na anakimbia mji mwengn
Tz to America🎉🎉
Hongera sana sister unafanyakazi nzuri sana Mungu akubariki mno
Hatusikii Wollof ukimaanisha nini maa. Wew ni jembe Mungu atazidi kukuongoza keep up the good faith😊
Dada yangu na kasauti kake mwenyewe.. proud of you dada😀😀❤️
Hahaha😅I miss you jamani
Me more❤❤@@hafsasaid5148
Safi sana diasporas,,,kusaidiana ni jambo jema sana,,,pia kumsaidia mtu ni baraka kubwa sana.
Tuendelee kusaidiana
Mwanamke wa shoka.Hongera
Nice interview. Nimejifunza vingi. Kwenye maisha ni kupambana bila kukata tamaa.
Hongera Sana dada kwa kupambania kile ulichokuwa ukikiamini maashallah ❣️🌹
naomba ukipata chance uende shule ndugu yangu
Pole sana. Uyo mama alikuwa mkorofi kweli, madhali watoto wake wanachangamoto za akili alikuwa akusaidie alee watoto wake nayeye.
Nadhani amewachukua kuwalea sio wake hapa USA wanaigeria wanafanya sana hiyo kazi wanawachukua hao watoto serekalini na kuwalea alafu wanalipwa hela nyingi sana ni vile tu hawezi kukwambia kua sio wake
Nakukumbuka hafsa tuko group moja my love ❤❤❤❤
Hello zainabu
Ahsante dear
pole sana dada! wanigeria wengi huwa hawasemi kama watoto wana changamoto ukiishi nao ndo utawajua wanigeria wako very rude, na huwa hawawezi kuwakanya watoto wao wanapokosea.
Hongera ukweli binti ni mpambanaji. Anajiamini...
Pole sana Hafsa mim ningeshaur because Umekuja na visiting visa na hauna work permit then don’t put your story in public u will be deported coz uliomba visa ya training sio kaz. Ukipata greencard then come tell ur story.
Also ni vyema utafute short course online ili uweze kupata work from home jobs or kaz za officn baadae ikipata work permit. pia Washington is a good place to get driving license work on it hata kama Huna gari ukishajichanga ufanye DoorDash or uber. Pia jifunze kusuka au kama unajua andika tangazo lako market place, styleseat or booksy.
All the best karibu US 🇺🇸
Uko brave kweli ❤
Pole kwa changamoto
Wa tanzania ni wakarimu sana
Pole dada dunia nimwalimu tosha 29:19
Wakatoliki hoyee Catholic church ❤woyoooooo
na ushoga wenu
Was this necessary?@@Rawdha-y8t
one day yes, ntaongea na wewe kama mwanajeshi wa marekani kama kaka mshana
Huyu kaka yako aliyeko marekani hakukupigania vizuri kama mwenyeji wako
Dada iyo ndio hitakuwa sababu ya maisha yako uko uliko na utakuwa na maisha mkubwa sn mung hakupa njia kubwa zaid
Nilijua shagala kumbe yuko melikani 😊😮
Pole endelea kupambana sana ❤
Hongera sana bidada ❤❤❤❤❤
Hongera dear
Ooh pole sn Kuna kitu pia sisi watanzania tukifika hapa hatujui mambo mengi sana namna ya kuishi Huku tofauti na wakenya wakifuka tu wanatafuta namna ya kuishi Kwa Uhuru japo changamoto Ni nyingi sn lkn ukitulia unatoboa
Pia hatuambiani, watu hawana information
Karibuni kwenye kipindi, mnayoshare yanawaponya wengi
@OfficialDatingAssistance Mimi natamani kushare na watu wetu sn ttzo lingerie watanzania baadhi yetu hatupendi kbsa kumsaidia MTU Mimi Hayo yoote nimepitia kufukuzwa unakaa na MTU Kwa uzuri kbsa lkn unapomwambia tu kuwa ungependa kuondoka muda flani unafukuzwa kabla ya ule muda kufika kukosa kujua miezi yetu ya viza ni sita tu lkn jitahd sana ndani ya huo muda nenda kwenye ofisi za department of license.kabla ya mwaka kuisha.
Ila inasemekana wanaijeria kudhurumu ni kawaida kwao
Wanapenda Dhuruma
HAFSA NAMJUA ALIKUWA ANASOMA JANGWANI... ALIISHI MAGOMENI.. JAMANI
Mmh pole kwa mapito🎉 dia, natamani kujiunga na magroup ya what's up ya wa Tz , please assist..
Hatukusikie
Hafsa yupo open sana mashallah. Mtu mzr
Ahsante dear😍
Hawa wanigeria ni nyoko sana ndivyo walivyo tafadhali wadada zetu wa tz msije mkawaamini mbwa sana Hawa wapopo
Hii stori imenihuzunisha 😢😢
Sauti hamna
Mashehe wa Africa wanachojua ni Kuoa na Kuongeza Wake, huwa hawafikirii mambo ya Maendeleo Kwa Mwanamke zaidi ya Kuolewa na Kuwa Object ya Mwanaume ya kutumia. Kwenda kumwomba Shehe ushauri wa Kimaendeleo ulikosea na Unabahati hakukwambia Anataka kuongeza Mke na hivyo Wewe uwe Mke wake wa 4.
Dada. HAFSA pole sana ndio maisha ya ulaya
❤❤❤❤❤❤❤
Ho gera jamani Dada kumbe. Inawezekana kutoka jamani
Msenge huyo shekhee ingekuwa kanisan ungesaidika chap waislam wana roho ngumu sana
Hatukusikii
Hatumsikii tena
Hatumsikii
Recording inakata sana maeneo mengi
Naomba na mimi nimuwekee kaka yangu kwa hiyo project. Nipo usa pia ila sina njia ya kumsaidia
Ndani ya miezi 6uweze kupata kitambulisho Cha hapa Cha kukusaidia kupata kz nzuri na haki ht MTU akikufukuza hauwezi kuteseka
Kama umeview usisahau ku like na kukomenti jamani. Kulike ni kuclick tu wala hakuli bando lako
Shukran sana 🙏
dah hyo dada alikua na roho mbaya maana kazi ya kulea wtt dizain hyo si kazi ndogo yani huhitaji hata kufanya kazi yoyote uwashuhulikie wao tu it's not easy pole sana ndo mthn watu wengine hata shukrani hawana
Samahani nimeandikavibaya lakini mutanielea 40:04
Mimi ni mukongomani
Mtoto wangu jamani
najifunza
Maskini nimejiskia vibaya jaman huyo mama watoto 3 wote wanamatatizo
Ndio mana ukiomba visa unatakiwa ujue unafikia wapi pole sana.
Toa namba yako tueasiliane dada
Amejiamini huyu bint endelea kupambana bint yetu
Wungu ni mukubwa atakusaidia 40:04
daaa network imetukoesesha Mamboo
Me nahitaji kujua anatumia jina gani social media zake
Kwa halo yako wewe ni SUPER WOMAN umenitia moyo sana hata Mimi nipo njiani.
Hajatuambia Ile training alioombea Visa iliishiaje na ndio iliompa access kuingia Marekani?
kwe kabisa
Training ndio iliyomfanya apate visa ya kuingia Marekani
@@OfficialDatingAssistance only visa? bila ya kazi na mahali pa kulala?
@@AliMohamed-w3bnice question bro
@@OfficialDatingAssistance naomba niunganishe nae. Niko NY
Namba yako ya simu hapa USA?
TATIZO SISI WATANZANIA TUNAFIKILI UKIFIKA TU AMERICA AU ULAYA, BASI MAMBO NI RAHA TUU. MAISHA YA WENZETU AMERICA NI KAZI TU. NA NDO KAZI INAYOTUPELEKA NASHANGAA WENGI WANALALAMIKA ETI KAZI NGUMU.
Dada mm naomba unisaidie mawasiliano ya huyu mdada ili anisaidie kupata huo mchongo wa treni ili mwakani nijikanyage
nasisi ututafutie nafasi hata ya kufanya usafir chuoni
Hasfa,bank statement ulionesha nin au ulifanyaje ,kila kitu ninacho kasoro bank statement
Atuambie aliulizwa maswali gani ubalozini
Sauti
Hatukumsikia dada kama shena utaweza mrekodi then tutumie recoding zake
Ushauri wangu kwa dada au kaka yoyote akipata matatizo au ku kwama mahali ni bora kuenda BALOZI hutakosa mahala pa kulala. Ni kazi yao kusaidia wananchi waliokwama.
Huyu kaenda kufight life, akienda Ubalozi bila kukaza si atamrudisha
@ hapana , bâlozi hawawezi kukurudisha bila idhini yako . Wana kusaidia temporarily . Mfano waeza kukupa malazi au kukuweka hôtel kwa muda ili utatue shida zako . ishatokea kwa Wa dada wengi sana kuwa balozi wanakustiri usiwe homeless
@ kuna HAKI flani mwanamchi ako nazo chini ya ubalozi lakini wengi hawafahamu. Wana ona huko ni mambo ya serikali tu . Lakini kuna benefits nyingi ukikubwa na shida kama homelessness au kuibiwa fedha, kuwa stranded . Wataku-accommodate kulingana na shida zako . Ni fedha za Umma( tax money)
Sio Kwa balozi za kitanzani,Hakuna msaada kabisa
@ basi itakuwa ni Wa binafsi au wavivu kwasababu wametolewa huko foreign affairs headquarters kuja kuhudumia ummah Wa Tz nchini ulaya . Ndio kazi yao haswa. Sema tu……corruption
She has to be carefull she is new no documents na yuko tayari kwenye mitandao
😂😂😂 this is America watanzania acheni uoga ndo maana hatuendelei kwa mauoga ya kijinga 😂
Hatukusikii jamani
all i can say hafsa ni mtu mwema anaroho nzur,ata jinsi anavyozungumza.ila pole sana umepitia motihani na hakika Allah azidi kujulinja
Allahumma Ameen ahsante dear
Duuh, mtu mwenye Autism kumlea ni mtihani jmn daah
Kuna kitu sijaelewa hakwenda Tena kwwnye training