HISTORIA YA KABILA LA WAIRAQW Walitoka MESOPOTANIA NCHI iliotawaliwa na MIUNGU WATU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 май 2020
  • HISTORIA YA KABILA LA WAIRAQW NA WAGOROWA Walitoka MESOPOTANIA NCHI iliotawaliwa na MIUNGU WATU
    Bonyeza Hapa KUSUBSCRIBE ruclips.net/user/Tricodskills...

    FOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram!
    / tricodmedia
    LIKE TRICOD SKILLS on Facebook!
    / tricod-skills-11524157...
    FOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter!
    / tricodskills
    #historia
    #waafrika
    #Makabila

Комментарии • 44

  • @user-ov4js4sw5w
    @user-ov4js4sw5w 2 дня назад

    Thanks

  • @jacksonmodaha1590
    @jacksonmodaha1590 3 года назад +3

    Kiongozi Mmoja anaitwa Saigilo Magena

  • @glaqgloryaqram7511
    @glaqgloryaqram7511 4 года назад +6

    Ni wairaq na siyo wambulu jamani.......gorowa ama fyomi...ni koo jamani msituharibie

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 года назад

      sawa dada angu coment yako nzito mpaka nimebadilisha haya nimeweka wairaq pekeyao

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 года назад

      ni kweli ni wagowa na wairagw

    • @yahayakingazi2956
      @yahayakingazi2956 2 года назад

      Adosn kila ama

  • @sephaniehb9933
    @sephaniehb9933 4 года назад +2

    Iyo ni kweli

  • @AscendinSoul
    @AscendinSoul 4 года назад +1

    This is good info... needs English subtitles.

  • @youngjun8098
    @youngjun8098 4 года назад +6

    Nikurekebishe kdg hakuna kabila la wambulu kuna wairaqw na wagorowa au wafyomi....usichokijua hawa jamaa(wairaqw na wagorowa) naweza sema wayahudi wa kweli yaan ni mojawapo ya makabila 12 ya israeli tena yaweza kua ni kabila la lawi(Levi) maan hawa jamaa miiko yote ya kwny torati ya Musa na matambiko yao yanafanana sana jaribu kufatilia

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 года назад

      sawa nimefanya marekebisho nashkuru sana kwa kwa kuweza kuchangia kitu cha muhimu sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 года назад +1

      Ni kweli ni wagorowa maaana walipofika paleGUSER TUWALAY kulitokea mapigano kati yao na wabarbeig, wairaq waliokimbilia gallapo ndiyo wakaitwa wagorowa na wale waliokimbilia milima ya Dabil hadi gangaru hawa walibaki na jina lao la asili Wairagw,

    • @peterisavika8719
      @peterisavika8719 4 года назад +3

      Wengi hawaelewi ni wairagw sio wambulu,mbulu sio kabila ni eneo wairagw baadhi wanaishi.

    • @peterisavika8719
      @peterisavika8719 4 года назад

      Wewe mwenyewe ni mwiragw mbona unashindwa kutamka baadhi ya maneno.

    • @youngjun8098
      @youngjun8098 4 года назад +2

      @@peterisavika8719 kabsa mbulu ni eneo na si kabila

  • @mustafayahyarunigangwakani6037
    @mustafayahyarunigangwakani6037 4 года назад

    pamoja sana!!

  • @peterbillas9131
    @peterbillas9131 11 месяцев назад

    Ethiopia sio nchi ya Ethiopia sasa hivi

  • @111dudi
    @111dudi 3 года назад +1

    Sasa baba, umeanza kwa lengo la kuwaelezea Wairaqw, mara ukabadili ukazungumzia madawa asili. Vipi

  • @hamisiramadhani8661
    @hamisiramadhani8661 4 года назад +2

    Dawa zakizungu. ndiodawa mbadala

    • @vascobenedict488
      @vascobenedict488 4 года назад

      Sahihi kabisa

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 года назад

      mkushi wewe ni nomaaaaa sanaaaa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😂🙏😂😂😂😂😂😂

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 года назад

      Ni kweli, kwetu sisi Waafrika asilia, tunahaki yakuziita dawa hizi za wazungu ni dawa mbadala kwasababu kwa asili tunazo dawa zetu😎

  • @deemayamsi
    @deemayamsi 9 месяцев назад +1

    Wana metimani

    • @gidaybhuko7854
      @gidaybhuko7854 Месяц назад

      Metimani ni Jambo la lanaa kama kuingizia chips kwenye sehemu za siri za mwanaume. Hii unaweza kuleta balaa kama iliyotokea Hanang.

    • @gidaybhuko7854
      @gidaybhuko7854 Месяц назад

      Kuingiza chupa kwenye sehemu ya haja kubwa ya mwanaume ni metimani

  • @djovitadiyami6085
    @djovitadiyami6085 Год назад

    WAGOROWA kwetu asili yao na binti wa Wairaqw aliyeolewa na jamaa wa kabila jirani enzi zile Wairaqw wapokuwa Kondoa Irangi na baadaye kupanda ukuta wa bonde la ufa kupitia AMOWA na kutua IRQWAR-DAAW.

  • @djovitadiyami6085
    @djovitadiyami6085 Год назад

    Bila kufanya utafiti ni makosa kutoa hoja kuwa Wairaqw ni waoga.Wairaqw walitumia akili nyingi kupambana na maadui vinginevyo wangeteketea njiani wakati wanahama ubambali mrefu vile wakati idadi yao ilikuwa ndogo.

  • @davieskelmen7125
    @davieskelmen7125 2 года назад

    Mwalimu, hebu nieleze uhusiano baina ya Wairaq na Wakalenjin huko Kenya. Maanake wanapo ongea, ninaweza kuelewa kaaribu aslimia 30% ilhali historia haituambii uhusiano baina jamii hizi mbili. Mfano Wakalenjin wanasemekana kua 'Nilotes' na Wairaqw wakawa ni 'Cushites'. Mwalimu nifafanulie hapo.

    • @maqwaybaran9905
      @maqwaybaran9905 3 месяца назад

      5:19 hakuna uhusiano.... kalenjin na Barbaig ndio wana uhusiano

  • @jacksonmodaha1590
    @jacksonmodaha1590 3 года назад

    Wairaqw ni waoga Sana ndoo maana wamekuwa wakuhamahama

    • @agustinodamiano6436
      @agustinodamiano6436 3 года назад +1

      Tuthibitishie woga wao Hilo ni suala la mtu mojamoja kaka huezi include watu wote

    • @ElihurumaThomas-kz8nq
      @ElihurumaThomas-kz8nq 3 месяца назад

      Sio waoga walikua wachache

    • @user-un2yo1ly1l
      @user-un2yo1ly1l 10 дней назад

      Thibitisha uoga wao labda ungesema niwapole ningekuelewa...je niwaoga Kwa vigezo vip

    • @djovitadiyami6085
      @djovitadiyami6085 10 дней назад

      Wajinga ndiyo wanaosema Wairaqw ni waoga.Kuna mfalme gani ataweza kuamuru watu wake waingie vitani bila kupeleleza ukubwa wa majeshi ya adui na silaha zake?Pia kuna mbinu nyingi za KUSHINDA adui so vita tu.
      Wairaqw alikuwa na akili nyingi ndiyo maana wako wanastawi hata leo.

  • @myself4128
    @myself4128 2 года назад +1

    Nitafanya Documentary ya Kabila letu bado nafanya Utafiti sababu Huyu jamaa hana Knoweledge kabisa!!! anachanganya watu akili tuu!! Mbulu ni Eneo sio kabila sawa na kusema wanyakyusa na wambeya!! au Wakurya na wamara! au Warombo na wachaga! Ni aibu kwenda live na knoweledge ndogo!!!

    • @djovitadiyami6085
      @djovitadiyami6085 9 дней назад

      Documentary lazima ifanyiwe utafiti wa kina na makini.Pia muhimu kutumia nyenzo kama DNA kujua nasaba za JAMII na mtawanyiko wake na hata kutumia 'archaeology" kubaini tamaduni na ustaarabu wa watu husika.

  • @djovitadiyami6085
    @djovitadiyami6085 Год назад

    Hamana kitu hata HAJUI HAKUNA SEHEMU ILIYOWAHI KUITWA MESOPOTANIA.
    WAIRAQ AMKENI HAKUNA ALIYESOMEA ANTHROPOLOGY?
    GUSE YA AWALI NI TABORA-PANAPOCHIMBWA DHAHABU TULAWAKA.
    HALAFU HAJUI TULIPOTENGANA NA WASOMALI KULE HARAR(NAKO ILILAANIWA Baada ya utengano na leo wanaoitwa wasomali)

    • @user-un2yo1ly1l
      @user-un2yo1ly1l 10 дней назад

      Unauhakika kuwa guse inayozungumziwa ni hiyo?

    • @djovitadiyami6085
      @djovitadiyami6085 10 дней назад

      @@user-un2yo1ly1l KABISA.BAADA YA ILE VITA WALIOBAKI WALIKIMBILIA MASHARIKI KONDOA IRANGI HATIMAYE WAKAHAMIA AMOWA-IRAQARDAAW

    • @djovitadiyami6085
      @djovitadiyami6085 9 дней назад

      JAMBO MOJA MUHIMU SANA NI NAMNA YA KUWAUNGANISHA WAIRAQW HAVE WASOMI KUUNDA 'TRUST' IFANYE UTAFITI NA KUANDIKA HISTORIAN RASMI YA JAMII HIYO NA KUEDELEZA TAMADUNI ZAKE ZISITOKOMEE NA GHARIKA ZA NYAKATI.
      WAZEE KAMA AMINA DR.TLAÀ NA MAPROFESA WASTAAFU WANASTAHILI KUONGOZA MKAKATI WA JUHUDI HIZO NI AIBU HISTORIA KUBWA KUZIKWA NA UPOTOSHAJI NA UPOFU WA WAJANJA WA MITANDAO.