Uwez muacha salama dadaangu pole Sana mtihan na Ana manaake dadaangu pole Sana na mungu akupe nguvu na akujaalie subira ya nabii ayub nataman cku tukutembelee Jana
Dada pole sana.Endelea kuwa na Imani Kwa Mungu kwani ana lengo jema na wewe.Maisha yako yote yapo mikononi mwaka.Hatakuacha vumilia muda ukifika atakujalia unachokihitaji.Amina.
Pole Sana Sister Allah Yupo Nawewe Insha'Allah Allah Atakujaalie Shifaa Atakujaalia Twahuyr Yarabiy Nasisi Tusameh Pia Mimi Nilifikiria Wewe Ni Mkiristo..Kumbe Ni Muislamu Vipi Unamuliza Mungu Kunaswala Unaswali Inaitwa Istikhara.Rakaa Mbili Kisha Unamuimba Allah Anakuonesha Kilalakheri au Nishariy..
Dada Asha ana full package ya Mwanamke bora Uzuri Imani na utulivu wa akili yaani IQ kubwa sana ni mtihani tu uo alioupata M/Mungu ampe subira asikate tamaa 🙏
Hilo la Kuzini hata usingelisema, ni aibu zaidi..😢 Hata kama alikupa msaada mkubwa, haikuwa njia ya wewe kumuonea huruma na kulala nae.. Allah amekataza Zinnah.. Allah Atusamehe pale tunapokosea...
MashaLLAH dadangu kwa msimamo wako wakiimani kwenye dini yako yakiislam,hiyo mitihani yote hapa duniani,ALLAH ankuonja tu(subra)kesho akhera unafungu kubwa sana na starehe ya milele,usitingishike
Kweli dadaangu hii nchi matahira wangi pumbavu Sana kwa niaba ya dadaangu ifike mahala watu tujitambue hapa stand twa subiri kila mmoja na daladala lake alafu mnazihaki mungu halal ucngiz na hasahau matendo ya waovu
Pole dada utafanikiwa wengine tunapitia changamoto izo we utakuwa sawa unasimama kabisa zingatia mazoezi utakuwa sawa Mungu akusaidie upate mtoto wa kusumbuana naye akufariji rafiki wanakimbiaga hadi ndugu wasio na utu
namshukuru Mmungu Dada Asha Yuko vizuri ila kama anavyoeleza huo ni mtihani na kupambana nao nikutovunjika moyo na ajitahidi subra na ajuwe Kila kiumbe Kuna mambo hayafikii lkn inampasa kusubiria ama Kwa hiari au Kwa Hila za Allah, namtakia kheri aendelee kupambana
Pole sana dada yetu kwa mitihani iliyokukuta. Kwakuwa wewe ni muislam jitahidi kuamka usiku kisha usali salat ist-hara rakaa utazoweza kuanzia 2 muombe Allah akupe mume mwema, Insha Allah atakupa mahitaji yako
Ndomambo dadaangu pole sana kuwa mstahamilivu muombe mungu na mungu akupe Imani shufaaa , ujira mwema , na upate mwisho mwema kwa sote. Mungu atakupa hitajio lako.
Pole mdogo wangu nakuomba saana huo mdaa umeka ufanyie kazi swali fanya zikri Allah atakulinda nakukukinha na hio misuko suko yote mimi ndio ushauri wangu tawaza swali ila kuksa tu ivo bila swala hutobowi Aisha naomba swali utaona mabadiliko mengi
Pole sana dada, ila wanaume loh yani wakiona iyo shepu mioyo inawaenda mbio, dada wakija kwa uzinifu watukane kisawasawa mana ukiregea watakuchezea mpk mwisho wa maisha yako, inshaAllah mungu atakupa rizki yenye kheri na ww
Pole Sana mdg wangu kuwa na subra kwani huo ni mtihani kutoka kwa Allah ili akulipe akhera Kwa hiyo badilika Anza kujistiri vaa juba na buibuimda wote uwe na stara Dumu na swala za Usk Sala tano soma qur aan Mungu akubariki na akuhifadhi
Subhaana llah assalam alaykum pole sana madam ni sehemu ya maisha ya mwanadamu mungu akupe subira lkn dada naomba ujifariji kwa maneno haya " hakuna ugonjwa utakaoweza kumuua mtu kinyume na siku za uhai wake na wala hakuna afya itakayoweza kumbakisha mtu duniani baada ya kumaliza siku zake za kuishi .mungu atakusaidia ktk kukuongoza
Ma sha Allah, Allah ukudhidishie kila lakher.Allaha atakupa kilichokua sahii kwako.wala usiwe na mashaka kuhusu ndoa yako utampa mume alie kua sahii kwako.
Dar pole sana dada yani naumia sana kukuona unapitia magumu sana ila Namin utapata alie mwema usiache kuomba mungu ivo ivo napia hongera sana kuwa na msimo wako
Ni kweli unajitetea mama,kuwajibu watu wa aina kwa jinsi hiyo ni sawa tu,waka auhitaji kuomba msamaha,endelea kuwa na msimamo huohuo na uzidi kumtumainia Mungu na mwisho wako utakuwa mzuri sana
asalam alykum warahmatulwahi wa bara katuh nili penda kuuliza je dada ni muisilam ? lapili ana umri gani nala tatu ata kubali kuwa mle wapili ? naomba maswali haya yamfikie huyu dada ili utaratibu mwingine uendeley shukran
Huyu dada ni msanii sana sana niliwahi kumtafuta huko miaka ya nyuma wakat ndo kwanza anaanza interview akaweka namba baada ya kumtafuta na kumuuliza unaishi wapi inshallah nataka nije nikuone nakukuletea chochote wallah alinitolea maneno huyu mpka Leo najiuliza nilimkosea kitu Gani,siku mvunjia heshima Wala nini tena nilimpigia mbele ya boss wangu ili nae amsaidie dah nilijiskia vibaya sana tena nilikuwa naskia makele ya watto mwisho akanikatia nikamuliza dada nimekukosea nin mbona unanijibu Ivo au nimekosea namba dah😭😭
Hilo hata mimi nimeligundua nikiangalia jinsi anavyoo ongea na kukosa ktk nyumba ni kawaida ila huyu dada pia ana hasira sana imagine Sasa mtu anazungumza kujiua
@MariamAhmadaMwikalo hakuna mahusiano ya upwiru na hasira hizo ni unscientific thoughts, Kuna vitu vingi sana hususan vya afya ya akili ambavyo kwa jamii yetu hatuvijui au kuvipuuza na ndio matokeo yake ni haya tunabashiri tu usipofanya ngono unakua na hasira thts absurd
POLE SANA MAMA YANGU NAKUOMBA SANA UWE NA SUBIRA MUMGU KASEMA TUWE NA SUBIRA KATIKA MAMBO YA KHERI NA SHARI NAIOMBA NAMBA YAKO YA SIMU NINA JAMBO LA KUSEMA
Pole sasa dada asha Allah akuponye na akuondolee mtihani tafadhali tafadhal tafadhali usiruhusu kufanya uchafu wwte ukiwa ktk hiyo hali una kila sababu yakumuogopa mola wako dada asha nimekupenda kwa ajili ya Allah jaman 😢😢😢
Huyo anakula Kwa kujificha ana makosa na ana dhambi zake pia .awe shekhe awe mtu wa kawaida ni yeye na sio huyo dada na hakuna ndoa baina ya muislam na dini nyengine .muislam na muislam imeisha hiyo
M.MUNGU ataendelea kukusaidia kuwa na Imani nae allah ndio muweza wa haya yote Inna llah maaswabirin endelea kuwa na subiria na hofu ya alla usikubali wakutumie tuma namba yako hapa
"BABA ALIVYOKUWA ANAMPIGA MAMA, KISHA MAMA BADALA YA KULIA YEYE ANAIMBA NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI" ruclips.net/video/QCAVb9RiLjI/видео.html Huu ni ukatili wa kutisha, Msichana huyu ambae ni muhitimu wa mafunzo ya Kijeshi nchini anaeleza jinsi akiwa a miaka 4 Alianza kushuhudia ukatili mkubwa aliokuwa anafanyiwa mama yake mzazi na baba yake kwa kumpiga kama mwizi. Lakini katika hali isiyokuwa ya kawaida kila baba yake anapoanza kumpiga MAMA yake anaanza kuimba nyimbo za tenzi za rohoni pamoja na zile za kuabudu na ataimba kwa kipindi chote anachopigwa hata kama saa zima hadi baba yake huyo atakapo choka basi yeye anaacha kuimba. Kuvumilia vipigo kwa mama wa msichana huyu kumempeleka sasa kupata maradhi mbalimbali mwilini mwake. Licha ya kwamba amehitimu mafunzo ya Kijeshi lakini ashindwa kupata ajira kwa sababu ya kukosa cheti cha kidato cha nne. Wasiliana na Mkoi Tv Online kupitia no 0713575718 ipo WHATS APP
Wakristo Na Waislam wte wameumbwa Na Mungu Kusema Mkristo Humtak mmh Oohutak Vijana Ee Kwahao Ambao Unawakataa Ndio kuna mume
Dada Mungu atakufanyia wepesi muombe Mungu kwa sana wewe dada ni mtu mwenye Imani sana wewe na mtangazaji wako nyote Mungu atawabariki sana
Pole sana dada kwa masibu unayo pitia mungu atakusimamia
Mimi ni mwanamke ninae mume ngoja nimshauri mzee achukue chombo tuwe wawili inshalah
Ya kwel hayo??
😂😂😂
Huyo Kwa mdomo anaoneka si mchache nawe kanowe mdomo maana hapo Kuna makuu .
Inshallah
Nasi tunakuombea dua,amjalie wepesi akubali
Uwez muacha salama dadaangu pole Sana mtihan na Ana manaake dadaangu pole Sana na mungu akupe nguvu na akujaalie subira ya nabii ayub nataman cku tukutembelee Jana
Pole sana ndugu yangu ila usife moyo ni mtihani tuu ya Dunia yatapita tuu yupo Mungu wetu wa neema mwenye uwezo ipo siku Mungu atatupumzisha my
Pole sana dadaa mungu atakusaidia
Mungu yuko na mwenye subira. Mungu atakupa mme mwema. Subira yavuta kheir. Inshaa Allah
Mimi nitakuja nyumbani kwa ndugu zako inshaallah sasahivi nipo safarini
Dada pole sana.Endelea kuwa na Imani Kwa Mungu kwani ana lengo jema na wewe.Maisha yako yote yapo mikononi mwaka.Hatakuacha vumilia muda ukifika atakujalia unachokihitaji.Amina.
Anaekuja vizuri mpokee vizuri, na aliekuja vibaya mshukie vibaya. Upo sahihi.
Kabisa
Dada nakupenda sana upo vizuri naomba JB msaidie huyu dada kwenye kazi yako
Pole sana dada yangu mungu atakupa mume bora
Pole Sana Sister Allah Yupo Nawewe Insha'Allah Allah Atakujaalie Shifaa Atakujaalia Twahuyr Yarabiy Nasisi Tusameh Pia Mimi Nilifikiria Wewe Ni Mkiristo..Kumbe Ni Muislamu Vipi Unamuliza Mungu Kunaswala Unaswali Inaitwa Istikhara.Rakaa Mbili Kisha Unamuimba Allah Anakuonesha Kilalakheri au Nishariy..
Dada Asha ana full package ya Mwanamke bora Uzuri Imani na utulivu wa akili yaani IQ kubwa sana ni mtihani tu uo alioupata M/Mungu ampe subira asikate tamaa 🙏
amiin thumma amiin
Pole
Allah, mpe mume mwema da asha.
Hilo la Kuzini hata usingelisema, ni aibu zaidi..😢
Hata kama alikupa msaada mkubwa, haikuwa njia ya wewe kumuonea huruma na kulala nae..
Allah amekataza Zinnah..
Allah Atusamehe pale tunapokosea...
Umeongea
Pole dada yngu Allah atakutia nguvu Allah yupo hafi milele atakusaidia amin
MashaLLAH dadangu kwa msimamo wako wakiimani kwenye dini yako yakiislam,hiyo mitihani yote hapa duniani,ALLAH ankuonja tu(subra)kesho akhera unafungu kubwa sana na starehe ya milele,usitingishike
Pole sana mwaya mungu yupo naww
Huyo bwana mbali na tamaa.na ushirikina anao..
Bora uliwatukana wapumbavu ni wengi mno
Asee pole Sana sister
Mugu yupo pamoja nawe punguza kuwaza Sana sawa
Naomba ! Ujikaze Hadi nimeumia
Kweli dadaangu hii nchi matahira wangi pumbavu Sana kwa niaba ya dadaangu ifike mahala watu tujitambue hapa stand twa subiri kila mmoja na daladala lake alafu mnazihaki mungu halal ucngiz na hasahau matendo ya waovu
Pole dada utafanikiwa wengine tunapitia changamoto izo we utakuwa sawa unasimama kabisa zingatia mazoezi utakuwa sawa Mungu akusaidie upate mtoto wa kusumbuana naye akufariji rafiki wanakimbiaga hadi ndugu wasio na utu
Pole sana Dada ila swala la kujiua liondoe Mwenyezi Mungu ndo mtetezi wa kila Mja wake.
Mdogo wangu we mzuri sana Mwenyezi Mungu azidi kukutunza.
namshukuru Mmungu Dada Asha Yuko vizuri ila kama anavyoeleza huo ni mtihani na kupambana nao nikutovunjika moyo na ajitahidi subra na ajuwe Kila kiumbe Kuna mambo hayafikii lkn inampasa kusubiria ama Kwa hiari au Kwa Hila za Allah, namtakia kheri aendelee kupambana
Hongera mdogo unajua kujieleza vzr na pole mtihani
Zidi kumuomba Mwenyezi Mungu bila shaka yeye ndiye mwenye uwezo wa kila jambo, atakunusuru na aweza kukubariki ukafurahia maisha upendavyo.
Pole sana dada yetu kwa mitihani iliyokukuta. Kwakuwa wewe ni muislam jitahidi kuamka usiku kisha usali salat ist-hara rakaa utazoweza kuanzia 2 muombe Allah akupe mume mwema, Insha Allah atakupa mahitaji yako
Waafrika kwa kuendekeza imani za wazungu na waarabu,huku wakikataa tamaduni,mila na dini nzuri za asili ya mamabu zao
@@jovithngaiza1020hiyo dini ya wabantu ni ipi? Au ni Ramli ya waganga hapokweli unatudanganya
@@jovithngaiza1020Mila gan yawaarabu umevurugwa
Pole dada yangu mdg wangu anachangamoto kama Yako kaolewa atukuamn tulilia kazaa na mpka leo
Allah atakusaidia inshaallh utapata mumeo bora
Ndomambo dadaangu pole sana kuwa mstahamilivu muombe mungu na mungu akupe Imani shufaaa , ujira mwema , na upate mwisho mwema kwa sote. Mungu atakupa hitajio lako.
Pole mdogo wangu nakuomba saana huo mdaa umeka ufanyie kazi swali fanya zikri Allah atakulinda nakukukinha na hio misuko suko yote mimi ndio ushauri wangu tawaza swali ila kuksa tu ivo bila swala hutobowi Aisha naomba swali utaona mabadiliko mengi
Ila nikupe haki yako wewe nimzuri wasura Masha Allah ,Mungu akuondoshee hayo maradhi Insha Allah ,Amiin
Pole sana dada, ila wanaume loh yani wakiona iyo shepu mioyo inawaenda mbio, dada wakija kwa uzinifu watukane kisawasawa mana ukiregea watakuchezea mpk mwisho wa maisha yako, inshaAllah mungu atakupa rizki yenye kheri na ww
Una umri gani dada
@@Omariathumansakilango mm nipo 28, kwann umeniuliza umri au kuna tatizo
😂😂😂
Mungu anampango na ww dada ipo sku ataleta neema yk kwako insha'Allah
Dada Kwa uwezo wa allah ipo siku utayasahau yote inshaallah
Pole sana dada angu Allah atakusaidia unachokiitaji InshaAllah 🙏🏻🙏🏻
Dadaangu wewe nimrembo lkn iposikuutasimama simama na mungu utapona
Pole sana kwa mtihani wa maisha ni swala la muda tu mambo yatakwisha wenye subura Mungu huwalipa.
😂😂😂😂sis Asha Hamis Alawi, ulivyomkata jicho huyo mwanahabari kuhusu kina Zuchu na Nandy, duu jicho la huba lile....sexy eye inaitwa❤
Pole Sana mdg wangu kuwa na subra kwani huo ni mtihani kutoka kwa Allah ili akulipe akhera
Kwa hiyo badilika
Anza kujistiri vaa juba na buibuimda wote uwe na stara
Dumu na swala za Usk
Sala tano soma qur aan
Mungu akubariki na akuhifadhi
Dada Pole sana, Allah ni mkamilifu, atakuwezesha update haki zako duniani 😊
Mungu akufanyie wepesi..dada Aisha umefanana kidogo na Sofi nimeroa.
Inauma Sana kufanyiwa tendo Ilo kwa Mwanamke yyte mbal ata n ww,Mungu akusimamie dada siku y Mungu itafka
pole dada hao wanaooleta mazarau hachananao
Pole sana dada angu mungu atakufanyia wepesi kila penge uzito na wepesi upo usikate tamaaaa dada angu
Asc.quick recovery inshallah
Pole sana dadat 'nataman nipate no yako angalau faraja yakukusalimia tuu
Subhaana llah assalam alaykum pole sana madam ni sehemu ya maisha ya mwanadamu mungu akupe subira lkn dada naomba ujifariji kwa maneno haya " hakuna ugonjwa utakaoweza kumuua mtu kinyume na siku za uhai wake na wala hakuna afya itakayoweza kumbakisha mtu duniani baada ya kumaliza siku zake za kuishi .mungu atakusaidia ktk kukuongoza
Ma sha Allah, Allah ukudhidishie kila lakher.Allaha atakupa kilichokua sahii kwako.wala usiwe na mashaka kuhusu ndoa yako utampa mume alie kua sahii kwako.
Pole sana dada , jamani ni njia ipi mtu anaweza akamsaidia huyu dada
Daah wanadamu hatuna hofu ya Mungu Hadi mlemavu tunamfanyia mambo kama haya Daah inauma aisee
Kweli dada mwenyezi mungu akupe subla in shaallah
Dar pole sana dada yani naumia sana kukuona unapitia magumu sana ila Namin utapata alie mwema usiache kuomba mungu ivo ivo napia hongera sana kuwa na msimo wako
Dada nakuombea kwa Allah akupe uzima autakao na afya njema mwenyezi mungu atakufanyia wepesi wa kila kitu ishaallah 🙌
Mwenyezi mungu akujalie inshaa Allah
Subhallah...Mstiri Nawewe Allah Atakulipia Mimi Sinauwezo Ila Nigekuowa Na Ungestarehe Sana Kwakweli Nilisha Fanya Hija Uko Wapi Kiukweli Tanzania...
Uwezo wanini msitiri natamani ningekua namume ningemuambia amuowe mke wapili
Pole dada yangu .ira nakuomba usibague dini Ombi tu.wote dada tunamuabudu mungu.2 pole Kwa mitihani unayo pitia pole sana
Kazuuri kabint mungu atskusimamia tuu cmama tuu na mungu
pole sana dada mungu atakujalia utafikia malengo yako2
Ni kweli unajitetea mama,kuwajibu watu wa aina kwa jinsi hiyo ni sawa tu,waka auhitaji kuomba msamaha,endelea kuwa na msimamo huohuo na uzidi kumtumainia Mungu na mwisho wako utakuwa mzuri sana
polesana dada huyu dada akimsikiliza vizur ana umia kwahisia na moyoni
Pole sana Allah atakuponya In shaa Allah
Nipe namba yako dada mm nikuoe ❤❤❤❤❤❤❤❤😢😮😅😊😅😮😢🎉😂❤❤❤😂😢😮😅😊❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ukimchezea atakutukana
@@AverinaShirati😂😂😂
Pole sana dada m/mungu akufanyie wepesi zaid upone
asalam alykum warahmatulwahi wa bara katuh nili penda kuuliza je dada ni muisilam ? lapili ana umri gani nala tatu ata kubali kuwa mle wapili ? naomba maswali haya yamfikie huyu dada ili utaratibu mwingine uendeley shukran
ALLAH akufanyie wepec dada Asha
Huyu dada ni msanii sana sana niliwahi kumtafuta huko miaka ya nyuma wakat ndo kwanza anaanza interview akaweka namba baada ya kumtafuta na kumuuliza unaishi wapi inshallah nataka nije nikuone nakukuletea chochote wallah alinitolea maneno huyu mpka Leo najiuliza nilimkosea kitu Gani,siku mvunjia heshima Wala nini tena nilimpigia mbele ya boss wangu ili nae amsaidie dah nilijiskia vibaya sana tena nilikuwa naskia makele ya watto mwisho akanikatia nikamuliza dada nimekukosea nin mbona unanijibu Ivo au nimekosea namba dah😭😭
😅pole sana
JB Monalisa Kijo Gabo Lolita uwoya Dr Mary Dr cheni msaidieni kikazi dada huyu
Watukane kabisa mbwa hao hawana jema kwako wanataka kukupa ukimwitu hao washenzi
Dada huna baya nimependa unavyomtanguliza mungu usikate tamaa Dada yangu mungu atakutimizia unachotaka ishahraa from sauth port elizabert
Pole dada Allaah ameahidi kuwalipa madhalim malipo mabaya
Fanya ibada dada yangu na fanya subra sana Allah atakulipa pepo
Pole dada ALLAH akuondoshe mathila amin 🤲 amin 🤲 YARABI amin 🤲
Nenda maombi kwa manabii utapona
Sawa Mungu amekuumba kwenye huo mtihani Ila na wewe mzinifuutuuu
Kiukweli kumuoa dada kama huyu inahitaji uwe mvumilivu sana, kwanza anaonekana ana hasira za karibu, Allah amsaidie kwa kweli.
Hilo hata mimi nimeligundua nikiangalia jinsi anavyoo ongea na kukosa ktk nyumba ni kawaida ila huyu dada pia ana hasira sana imagine Sasa mtu anazungumza kujiua
Ameongea na kusema asamehewe kua walemavu huwa wanaahasira za karibu kutokana na Hali wanazopitia
Hasira ni lazima kwavile ana upwiru wa mda mrefu sio kusidio lake
@MariamAhmadaMwikalo hakuna mahusiano ya upwiru na hasira hizo ni unscientific thoughts, Kuna vitu vingi sana hususan vya afya ya akili ambavyo kwa jamii yetu hatuvijui au kuvipuuza na ndio matokeo yake ni haya tunabashiri tu usipofanya ngono unakua na hasira thts absurd
Inamaana upwiru unafanya mtu awe na hasira @@MariamAhmadaMwikalo
Dada asha usife moyo uko smart and you very beatyfull tuko tayari kukufanyia kile unataka
Pole dada,Allah akufanyie wepec....Mwanadamu,hujafa hujaumbika
Pole sana dada asha Allah atakupa afya njema endelea kumuomba Allah, Allah amuachi mja wake
Pole sana dadaangu ,wanaume wanamaudhi hata niheri ubaki bila mume.
Allah akupe subra zaid na pepo iwe mafikio yako
POLE SANA MAMA YANGU NAKUOMBA SANA UWE NA SUBIRA MUMGU KASEMA TUWE NA SUBIRA KATIKA MAMBO YA KHERI NA SHARI NAIOMBA NAMBA YAKO YA SIMU NINA JAMBO LA KUSEMA
Dada pole mungu atakuponya
Pole sasa dada asha Allah akuponye na akuondolee mtihani tafadhali tafadhal tafadhali usiruhusu kufanya uchafu wwte ukiwa ktk hiyo hali una kila sababu yakumuogopa mola wako dada asha nimekupenda kwa ajili ya Allah jaman 😢😢😢
❤❤❤❤ hpo Sasa ndo Masheih washawachanganya Sana hya autak mkristu sawa pambana nao wanaokulag nguruw kwakujificha
Huyo anakula Kwa kujificha ana makosa na ana dhambi zake pia .awe shekhe awe mtu wa kawaida ni yeye na sio huyo dada na hakuna ndoa baina ya muislam na dini nyengine .muislam na muislam imeisha hiyo
Dar mungu amfanyie wepesi
Pole dada usikate tamaa
Tafadhali mnitumie namba ya M-pesa ni msaidie dada uyo.
Mwandish wa habar usiongee sana mumeshamalizana kuhojiana nipishe kwangu mm niaminini nakuja kuchukua chuma hicho hyo ni Pepo fanya uondoke nije kuoa
Pole sana dada Kwa hiyo CHANGAMOTO unayoipata iko siku Allah atakupa kile unachokiitaji
Pole dada wengine tunapitia mitihani iyo watu wanakimbiaga na kubaki pekeako Mungu akusaidie upate mtoto wa kusumbuana naye
SWADAKTA DADA YETU....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AKUONGOZE NA AKUPE MAISHA MEMA DUNIANI NA MWISHO MWEMA...AMIIN.
Mimi ni mlemavu wa mikono, niko Kenya. Pia nahitaji mke wa kupanga maisha nae
Pole sana dada,mtihani wako ni mgumu sana aisee
Upon sahihi Dada yangu pole San nimekuelewa Pole kwa mitiani iyo Dada yangu Mungu anakupenda usijali tunakuombea
Pole sana dada
Mungu anamakusidi, amekuepushia mengi , zidi kuomba 😊
Dada uko sawa usikubali kunyanyasika
Wanaume tusicheze na hisia za huyu dada.. yuko kwenye maumivu ya kimwili na hisia za mapenzi
hahaj
Sure sio vzr hata kdg😢
M.MUNGU ataendelea kukusaidia kuwa na Imani nae allah ndio muweza wa haya yote Inna llah maaswabirin endelea kuwa na subiria na hofu ya alla usikubali wakutumie tuma namba yako hapa
"BABA ALIVYOKUWA ANAMPIGA MAMA, KISHA MAMA BADALA YA KULIA YEYE ANAIMBA NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI"
ruclips.net/video/QCAVb9RiLjI/видео.html
Huu ni ukatili wa kutisha, Msichana huyu ambae ni muhitimu wa mafunzo ya Kijeshi nchini anaeleza jinsi akiwa a miaka 4 Alianza kushuhudia ukatili mkubwa aliokuwa anafanyiwa mama yake mzazi na baba yake kwa kumpiga kama mwizi.
Lakini katika hali isiyokuwa ya kawaida kila baba yake anapoanza kumpiga MAMA yake anaanza kuimba nyimbo za tenzi za rohoni pamoja na zile za kuabudu na ataimba kwa kipindi chote anachopigwa hata kama saa zima hadi baba yake huyo atakapo choka basi yeye anaacha kuimba.
Kuvumilia vipigo kwa mama wa msichana huyu kumempeleka sasa kupata maradhi mbalimbali mwilini mwake. Licha ya kwamba amehitimu mafunzo ya Kijeshi lakini ashindwa kupata ajira kwa sababu ya kukosa cheti cha kidato cha nne.
Wasiliana na Mkoi Tv Online kupitia no 0713575718 ipo WHATS APP
Unasema Kweli Ndugu Jitolee basi Umuoe
Asalam alaikum warahmatullah wabarakaatuh Allah akupe subra dada usjiue please fanyatu subra huondio mtihani wako