Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Wewe unaikumbuka clabu Afrikane ,monastir, wanaweza kufanana na hao wa libya yanga timu brather.
Timu mbovu waliocheza nayo lkn simba wamepewa timu ngumu sn timu inajielewa lkn
Kumbuka hao waaraba walifungiwa na biashara ya mara goli 2 siyo timu ya kutisha eddo
Mlisema shilikisho hakuna timu bora leo vipi?
Edo Kumwembe maneno ya dharau kwa Hersi na GSM wamejenga timu tishio halafu mtu kama wewe unasema Yanga kacheza na timu dhaifu??? MATUSI hayo Edo.
Umeongea ukweliiii.....
Mtakufa Kwa Presha Yanga Itawatoa Roho Haaa Nyie Hapuogopi
Sawa Nanyie Zanu Yenu Kesho Mkitolewa Basi Na Nyie Vibonde Mkishinda Mpewapata Vibonde
Yanga Hii Utaifungaje Ee Utaifungaje Yanga Hii Utaifungaje Ee Utaifungaje Shukraan Harmonize Kwa Kibao Murwa Nakupa Maia Yk
Nyoooo, Nyinyi si ndio mliokuwa mnasema shirikisho ni kombe la loosers, sasa iwaje leo mseme simba wamepangiwa timu ngumu kukiko yanga!!😅, mchambuzi na the Ambakile na Mbwaduke nyinyi wengine ni mabwabwaja tuu.
Sema mjomba we mchAmbuzi lkn mchumia tumbo tu
Timu yenyw kibonde
Kumbuka makolo walichukua tano, au ndo na wao vibonde?