Asante Pastor. Style yako inatusaidia kuvutiwa kusoma maandiko na kuelewa. Kweli ni muhimu kujichunguza sana ktk maisha yetu ya ukristo tunavuna baraka au laana. Mungu tusaidie. Pastor wangu Mungu akubariki
😂😂nimecheka,nikapenda injili hii,na nikafikia kujifunza mambo kadhaa.asante sana mchungaji zidi kutubariki na kutuelimisha kupitia neno la mungu.na ubarikiwe sana...AMINA🙏
I have never laughed such way yaani INJILI inaguzika mpaka ninahisi raha jameni 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😀😀Be blessed PST 😀😀😀wakenya wenye mnafuatlia mafundisho ya PST Mubaka just wave him💪💪💪💪💪💕💕💕💕💕
Nimebarikiwa sana na hili somo hakika MUNGU wetu n mtenda miujiza tu 😂😂nimecheka eti hawaitishag sukumawiki n ng'ombe, mbuz yan n neema ya Mungu tu ndio ituokoae
Asante MUNGU kwa chakula cha roho.
Wow! so profound pr. Mbaga am so inspired saana kwaaaani nilikuwa waapi huu muda wooote ..... MUNGU AKUZIDISHIE DAIMA Indeeed PRAYER WORKS
Asante Pastor. Style yako inatusaidia kuvutiwa kusoma maandiko na kuelewa. Kweli ni muhimu kujichunguza sana ktk maisha yetu ya ukristo tunavuna baraka au laana. Mungu tusaidie.
Pastor wangu Mungu akubariki
😂😂nimecheka,nikapenda injili hii,na nikafikia kujifunza mambo kadhaa.asante sana mchungaji zidi kutubariki na kutuelimisha kupitia neno la mungu.na ubarikiwe sana...AMINA🙏
I have never laughed such way yaani INJILI inaguzika mpaka ninahisi raha jameni 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😀😀Be blessed PST 😀😀😀wakenya wenye mnafuatlia mafundisho ya PST Mubaka just wave him💪💪💪💪💪💕💕💕💕💕
Mchungaji hekima yako siyo ya kawaida.
Mungu akuinue maradufu.
Listening from 🇺🇸
❤❤Nimbarika sana mahubiri ya leo niko kenya
Haleluya ukimtumainia Mungu kuna faida
Amen Amen barikiwa Kuhani wa Jehovah
huwa na barikiwa sana pr na huduma yako mwenyez mungu akusimamie.
Point taken...Amen
Ubarikiwe mtu wa mungu.
Asanti pastor, nimeguzwa kwaiyo mafundisho yako,Amen
Barikiwa sana pr mbaga unanibariki sana. Mungu azidi kukutumia zaidi na za zaidi
Exactly sio kila kitu ni ya kusema sometimes we should jst talk it with God alone what a powerful message
Amen. God bless you Pastor.
Amen Amen good message am blessed
Nabarikiwa sana MUNGU ni mwema
Napenda sana sabato namwomba MUNGU anisaidie
Hio nikweli dada Esther Koya. Nawewe ni musabato???
Somo zuri sana ,pastor naomba kufaham habar ya Lilith .
Asante kwa mafundisho mazuri,barikiwa mchungaji
Elishua Marijo Mmh kweli wasukuma tunaongoza kwa adabu na utii
Elishua Marijo thnx pr
Asaaaaanteeee Pr David Mmbaga
Gehazi na Yuda Iscariot huwa wanafanana kwa tabia kabisa. Mungu atusamehe kweli nakutuhepusha na roho kama hizo...
Amina nimepata funzo barikiwa
Amen Amen
Moyo wangu umejaa matumaini kwa hubiri hili
ubarikiwe pr mmbaga!
mchungaji barikiwa saana neno hili la mwana mke wa Tajiri limenibariki saana nimegundua kwamba mwana mke anaweza akawa tajiri
Amen kwa mafundisho. Ila kauli ziwe za hekima
Wiza Mushi ni kauli zipi zisizo za hekima? Anachokifanya mchungaji ni kutumia lugha isiyowavutia na kuvuta usikivu wa watu
Ubarikiwe sana
Wiza Mushi kivipi
Amina
Amen
Nimebarikiwa sana na hili somo hakika MUNGU wetu n mtenda miujiza tu 😂😂nimecheka eti hawaitishag sukumawiki n ng'ombe, mbuz yan n neema ya Mungu tu ndio ituokoae
kiukweli ujumbe wako ni wapekee san asante pr.
hakika pr midomo yetu ndo imetulejesha nyuma kwani siri tunasema bayana tunaficha.
Pasta nilikua naomba namba zako. Ulipo kuwa ukonga sikupata nafasi ya kuongea nawe.
Amen
Amen