🚨Uchambuzi EFM, Mazito performance ya Yanga ni mbinu za Ramovic au bado za kocha Gamondi,Mshery.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 6

  • @MohamedChillo
    @MohamedChillo 2 часа назад

    Bado mbinu za Gamondi na wasipotumia mbinu walizozoea wanafungwa ,high press kutokea juu ,wakipiteza mpira wanautafuta Kwa haraka ,na wakielekea lango la mpinzani spidi kama zote

  • @audaxkarurama9052
    @audaxkarurama9052 6 часов назад +2

    Mpira ni uleule. Mbinu tofauti na uendeshaji tofauti. Kila siku na matokeo yake. Tuache kulinganisha ya zamani vile kila siku ni tofauti. Falsafa za kila mwalimu au kocha ni kama wahubiri wa dini. Biblia moja maelezzo tofauti.

    • @songombingo108
      @songombingo108 4 часа назад

      Umenena kweli100&

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 4 часа назад

      Waulize Man City mbinu inayotumika ni ya Pep Guardiola au Nani?
      Maan hawa wachakondoo wanajiita wachambuzi ila sio

  • @musamagulu2023
    @musamagulu2023 4 часа назад

    Wanataka kila kitu kulinganisha na kubalamce vitu vya hovyo tu

  • @monicaogeno2993
    @monicaogeno2993 6 часов назад

    Hawa nao kutwa yanga ipo matakoni mwaoo mamae