Nakupenda sana hamisa.Nimwamke unaejua kujielezea,kwautulivu,unajitambua,unajibu maswali kwautulivu.Unamjua Mungu nakumshukuru pia.So Mungu akuzidi kukuweka kwenye mikono yke.naakupe mume sahihi wakukufanya ulee wanao katika malezi bora
Hamisa wewe ni mwanamke bora ktk wanawake wa ulimwengu huu napenda unavyomueka Mwenyezi Mungu mbele, usibabaishwe na vikaragosi visokutakia mema, nakupenda kwa ajili ya Allah 😘
HUYU dada ,amelelewa ktk maadili ya kidini anaonekana anahofu ya MUNGU sema tu, njia anazo pitia ktk maisha ndio njia za kishetani, lkn.bado anajitahidi kumleta MUNGU mbele,
Mwonekano na Tabia NI vitu viwili tofauti....ukiacha vyote hivyo umekua NI binti mnyenyekevu na unajibu maswali kwa. Utulivu mngu azidi kukupigania...🙏
Hamisa, I have proposals for you & Diamond about how to solve your son's paternity issue. Don't let pride or shame stand in the way. I suggest you approach the American Embassy in TZ as to how to have a paternity test in the USA. I read where you objected blood to be drawn from your son for another test. In the USA, no blood drawing is involved but swapping from inside the mouth for the specimen. You and Diamond can make the necessary arrangements via the Embassy. If that is not doable, then I suggest you change your son's name to that of yours - Mobetto - through the court system. You need to avoid all these rejections and humiliations because they are detriment to your son's long-term well-being. You need to give him a sense of belonging. As he gets older, he will sort these things out himself if he is interested. I ask that you take these suggestions to God in prayers.They are suggestions to consider. Be 🙌
Huwa sifatilii mahojiano ya watu lakini leo nimefatilia na nimempenda hamisa bule kwaajili ya Allaah anajitambua Sana na huyo mtalajiwa wake amepata mke!.
Mobeto the most beautiful lady I know in diamonds life. Among the ladies she was the hottest but keep moving baby girl pretty ladies we move on and on never give up.
Mobeto wewe ni mama Bora na mungu akupe baraka na umejibu vizuri sana maswali ya mwaandishi ,Kila wakati una mwamini mungu ni mwenza wa wote ,amina🙏🙏
Naam
Nampenda sana Misa ni Malkia wa nguvu jembe la Kazi umependeza mwaya ❤️❤️🙏🙏
Una maanisha malaya msenge wewe
Mna vituko nyinyi wabongo duuuh
Hhhhhhhhhh kazi iyo
Mashallah Hamisa umekua na uko makini sana Allah akuongoze katika njia sahihi
Mimi binafsi nakuombea hamisa. We love you, destined for greatness
Really 😂😂😂😂?
Nakupenda sana hamisa.Nimwamke unaejua kujielezea,kwautulivu,unajitambua,unajibu maswali kwautulivu.Unamjua Mungu nakumshukuru pia.So Mungu akuzidi kukuweka kwenye mikono yke.naakupe mume sahihi wakukufanya ulee wanao katika malezi bora
I love this mother because she is brave and she knows what she is doing
BRAVE😂😂😂 REALLY?
Jua mtu ndo umuzungumzie I like the way u are answering those quiz mum and God continue giving u that Good heart
Mwanake ni mtoto wa ki🤗🤗🤗🇰🇪 KENYA...babake Jaguar
Hongera Sana mrembo mchapa kazi .Mungu amekuinua Sana, Endelea kumtaja Mungu kwenye hatua zako zote.
She is so beautiful ❤️❤️
Hamisa hongera sana upo vizuri,mtulivu,una Hekima,mchapa kazi,endelea kumwomba Mungu,yeye ni Kila kitu kwetu
I love this lady,anajitambua sana,she knows what she wants and she stands for what she believes in.
❤️🇰🇪
HAMISA uki ongea nakupa 💯💯 love my sister nakupenda Sana
Jamani ktk watu maarufu wenye heshima na warembo hamisa anawazidi wote,nampenda kiukweli huyu dada mungu akupe mume mwema
Napenda vile hupendi kuweka kucha au kufunga mikucha Hamisa❤
Ni mtoto wa kiislamu huyu wewe!
She looks very beautiful ❤❤❤🎉
Hamisa mobeto ww ni mrembo sana nakupenda bureee na unajielewa mama wa watoto 2 bt ni karembooo❤❤❤❤
Hongera sana hamisa mungu aendelee kukulinda Kwa kila kitu
Wewe ni mama boraa Duniani❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹🌹🌹🌹💯
Matajiri ndio tulivyo hatupendi Sana mambo ya mitandaoni😂😂😂😂😂😂❤️❤️❤️👏🏾💪🏽
Una maanisha malaya wa taifa
🤣🤣🤣🤣🤣
Mungu akushikilie kwa kazi yako mama wewe ni mtu unajitegemea hongera sana hamisa
Nitashangaa ... pia nitamcheka... alijisifu sana alipoharibu love ya Chibu na Boss lady Zari
Hamisa wewe ni mwanamke bora ktk wanawake wa ulimwengu huu napenda unavyomueka Mwenyezi Mungu mbele, usibabaishwe na vikaragosi visokutakia mema, nakupenda kwa ajili ya Allah 😘
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Ilove you❤❤❤❤ mobeto nakupenda kwa xababu unajitambua upo tofauti na wanawake wengine mungu akulinde
Hongera zake kwa kupata boss wa ukweli sio yule officer ricky
Naku kubali san my sr ♥️ ❤️ 💕
Everyone deserves happiness this lady has gone through alot God's tyme is the best relax mamah enjoy ur self 254 we love u❤❤❤
I just love this woman,,,mungu akuzidishie baraka
Ameen
Wishing you Hamisa the very best in life , more blessings and love
Hamisa jazakaAllah for brave & brilliant mother from universe😇
❤❤❤❤❤good nimekupenda zaidi mrembo wangu❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Mungu akupe nguvu yakulea mwanao ❤❤❤❤
Huyu dada anaongea kistarabu kabisa alafu kiupole Allah bless you
Mungu gani unaye mzungumzia wewe
Fanya yako dada wew ni mama bora❤❤❤
Majibu mazuri sana ...sometimes vitu vikipita vimepita kama ni mtoto anazidi kukua vyema hayo ya kukataliwa ni kawaida
Hongera dada una hekima sana❤
Ongera Sana kwa kulea best mungu ata msaidia tuu! Yani ya walimwenguu mengii
Simple and clear, Nimekupenda bure juu ya majibu yako
Allah atamkuza mtoto wetu In sha Allah
Mastaa wa bongo wa kike hamisa ni no one haweki kucha hafugi kucha hapaki rangi kucha mashaallah ❤️majibu mazur sana hamisa
Ila anabandika kope
@@TashwillKaroolse angalia nilicho andika ni nn Acha kukurupuka
Ila anapaka makeup
@@rosemery3017 c upake na ww kwani umekatazwa ? Na ni msafi pia 😃
@@ruqaiamohammed345 mbna kma umepanic relax huu mchezo hauhitaji hasira😡😩
❤❤❤ nakupenda dadangu
Smart lady.on point Yu are IQ iko sawa
Hammy nakupenda unaustaarabu uliotulia big up Hammy mobby
Inshallah Mwenyenz Mungu akujaalie kher
❤mobeto mzuriii sana nakukubar dada
HUYU dada ,amelelewa ktk maadili ya kidini anaonekana anahofu ya MUNGU sema tu, njia anazo pitia ktk maisha ndio njia za kishetani, lkn.bado anajitahidi kumleta MUNGU mbele,
Mmmh nani???
Hamisa
Ni kwel kabisaa
Mwonekano na Tabia NI vitu viwili tofauti....ukiacha vyote hivyo umekua NI binti mnyenyekevu na unajibu maswali kwa. Utulivu mngu azidi kukupigania...🙏
Jamani.nakupenda❤❤❤wedadaa❤❤❤aunabaya
Mtoto Mremboo kweli❤
Mashallha mrembo sana hamisa pia mpole ❤❤
Kidevu kama qumnrrrrrr
@@faiththawe4371 subhanallh
I just love hamisa
Kicheko tu nakipenda my ❤
Mobetto to the top!👏👏
I like your brightness 🙏 hamisa
Hamisa, I have proposals for you & Diamond about how to solve your son's paternity issue. Don't let pride or shame stand in the way. I suggest you approach the American Embassy in TZ as to how to have a paternity test in the USA. I read where you objected blood to be drawn from your son for another test. In the USA, no blood drawing is involved but swapping from inside the mouth for the specimen. You and Diamond can make the necessary arrangements via the Embassy. If that is not doable, then I suggest you change your son's name to that of yours - Mobetto - through the court system. You need to avoid all these rejections and humiliations because they are detriment to your son's long-term well-being. You need to give him a sense of belonging. As he gets older, he will sort these things out himself if he is interested. I ask that you take these suggestions to God in prayers.They are suggestions to consider. Be 🙌
Maisha niya Mungu hamisa wangu Mungu atazidi kumulinda mtoto wako
Mtoto sio wa diamond hamuwezi elewa hicho masenge nyie huyu mwehu alizaa na billnass mtoto si wa diamond ishafanywa DNA
oh god I like this interview
Nampenda huyu dad❤️😘
I love that mama 💕 ❤️ ❤😊
Hongera sana tulia Sasa mama❤️❤️❤️❤️
Kazuri jamani ❤❤❤😊
Mungu akutendee mema
Mwanangu hamisa huyo mtoto ni wako mungu anajuwa usiwe na hofu kwani hakukuowa
Nakupenda sana Amisa❤❤
Hamis upata jibu unafiki wagu 😂😂
I love you Missa🥰♥️
So cute❤
So so humbled woman
Nimekupenda Bure hamisa
Together as one mbengo tv
First time hearing her voice
Hamisa good 🤲💕💕💓💓👍
Huyu mtoto ndio atakua successful hadi washangae
Lea mwanao hamisa rizki inatoka kwa Allha mtukufu
Kanajifanya katakatifu kumbe kachawi na ndo mana mwanao hatakiwi kigagula😅😅😅
Kichwa timamu 🥰🥰🥰
She is so down to earth,,
Mtoto mpelekee billnas bwana
Acha ujinga wew
Huwa sifatilii mahojiano ya watu lakini leo nimefatilia na nimempenda hamisa bule kwaajili ya Allaah anajitambua Sana na huyo mtalajiwa wake amepata mke!.
Hamisa wangu I love you ❤❤❤
Nakupenda Sana mama D
We love you Hamisa
Hamisa njoo nikuowe mm usiangaeke na wanaume ambao awana mapenzi ya kweli
Mwanamke na nusu 🥰♥️
Kanaongea vizuliii😍😍😍😍
Mobeto the most beautiful lady I know in diamonds life. Among the ladies she was the hottest but keep moving baby girl pretty ladies we move on and on never give up.
Hata sisi tupo walea watoto bila baba,hongera
Mutotomaraika arakini wamua che❤😂
MMM 😋 kilembo sana jamani mimi nakupenda sana dada 🎉
Achana nae mama Lea mtoto wako atakua kwa uwezo wa mungu kwn baba ndo nn mungu anatosha na imani atakua tu
Nikupe hongera tu mdogo wangu pambana kumlea mwanao
Kaji changa huyo dada kiu kwe manyunyu fisi hapa kalibuni RUclips kwangu manyunyu fisi
Watoto wa Zarina Hasan ambaye jina lake la kweli ni Mariamu hata wao siyo watoto wa Diamond platnum na Hilo ni kweli.
Mungu Baba awabariki
Hamisa is very brilliant cheki vile anajibu maswali
the Hamissa much love 😍
Wanake wa mond wote Hamisa no.1
Uko vizuri dada!
Nakupenda sn hamisaa
Keep it