NENO LA SIKU | Mathayo 5 | Maombi Ya Kuvunja Vifungo Vya Maneno | Isaac Javan
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Leo tunasoma kitabu cha Mathayo sura ya tano, na tunaenda kufanya maombi ya kuvunja vifungo vya maneno. Katika maisha haya, watu wengi wamefungwa kiroho kwa sababu ya maneno. Inakuwa hivyo kwa sababu maneno yana nguvu ya kiroho ya kubadilisha maisha ya mtu.
Maneno yakitumiwa vibaya yana uwezo wa kuharibu maisha ya mtu. Katika siku ya leo tunaenda kuomba ili YESU atufungue na kutuweka huru kutoka kwenye kifungo cha utumwa wa maneno. Nakuombea Mungu akutane na wewe siku ya leo, na akushindie kwa utukufu wa jina lake. Mungu akubariki sana na kukulinda. Amen!
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
Amina 🙌🏽
Amen ubarikiwe na Mungu wa Ibrahimu kwa kurisha KOndoo za Bwana uzidi kujazwa na Roho mtakatifu asante
Asante sanaaa kwa naombii maana yanatufunguaa na neno linatubarikiii Amina Amina amina
Amen, ubarikiwe sana mtumishi wa mungu. Asante kwa kutufungua mimi na familia yangu
Amen and Amen more blessings 🎉🎉🎉🎉🎉
BWANA YESU asifiwe mtumishi wa Mungu aliye hai asante sana kwa kunifungua macho na kunifundjsha jinsi ya kuomba be blessed servant of God 🙏
Amen amen and amen 🙏🤲😊
Ubarikiwe kwa neno na maombi mazuri
Mungu akubariki sana sana Baba unazobaraka zako toka kwa Bwana umetuwezesha kusoma. NENO LA Mungu tena na Maombi juu Barikiwa Mtumishi wa Mungu asante
Amen barikiwa na Mungu
Amen ubarikiwe mchungaji
Asante yesu amen ❤❤
Asante sana mtumishi wa Mungu hakika nimebarikiwa
Ubarikiwe sana mutumishi wa mungu
Barikiwa mtumishi wa Mungu
Amen amen
Ameen Ameen baba barkiwa kwa somo 🙏
Amen be blessed ❤
Asante YESU
Amen 🙏🙏❤❤
Amen Amen 🙏
Shalom
Amen
AMEN AMEN AMEN
Hallelujah 🙌
Ameeen ameen
Emen
Baba ubarikiwe sana kwa huduma njema
Amewn
Mbona no yako haifanyi WhatsApp
Asante Yesu
Amen amen 🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana mutumishi wa mungu
Amen 🙏🙏
Amen
Amen Amen
Amen
Amen
Amen
Amen