Sasa ndugu Kama sijachagua kwenda misa ila parokiani kwangu kila jioni napenda kushiriki misa Alafu jumapili ni misa moja tyu nifanye Nini ila sijachagua misa ila naenda tyu kusali
Samahani , kwa mfano Kama Huwa ninasali Sala za kawaida za kila siku Kama ya Imani , Matumaini , Mapendo , Baba yetu , Salamu Maria , Hizo Sala zitaingiliana na Sala ya Novena niliyoichagua?
Huwezi kusali hii novena kama sio mkatoliki kumbuka sharti la pili lazima uwe umepokea ekaristi ili ikupe neema ya kudumu na kumaliza novena, sasa kama sio mkatoliki unaendaje kupokea mwili wa yesu, wanaopekea mwili wa yesu lazima uwe umebatizwa na ni mkatoliki na lazima uwe umepata sakramenti ya mafundisho ya kumunio na kipaimara. Pole sana.
Namshukuru Mungu leo siku ya 53 , naamini Mungu ameyapokea Maombi yangu na atanijibu🙏🙏🙏
Endelea kupumzika kwa amani,Mungu akusamehe ulipo teleza na akuweke kwake mbinguni 🙏🏽
Christ the kingdom come,,, iwapo humpokei mwili wa yesu kristo unaweza Anza hiyo novena
Pumzika Kwa amani baba Mbiku
Endelea kupumzika kwa amani Father Mbiku🙏
Jamani nielekezen ina maana sala yoyote unaisali
Asante Father
🙏
Sasa ndugu Kama sijachagua kwenda misa ila parokiani kwangu kila jioni napenda kushiriki misa Alafu jumapili ni misa moja tyu nifanye Nini ila sijachagua misa ila naenda tyu kusali
Samahani , kwa mfano Kama Huwa ninasali Sala za kawaida za kila siku Kama ya Imani , Matumaini , Mapendo , Baba yetu , Salamu Maria , Hizo Sala zitaingiliana na Sala ya Novena niliyoichagua?
Asante sana Baba,
Swali langu ni Je naweza kutumia litania ya Mtakatifu Rita Wa Kashia kama Sala yangu ya kuomba wakati wa novena ya siku 54?
Fafher kuhusu novena hii tunatakiwa kufunga?
Iyo novena unatakiwa ufunge?
Asante Sana baba ..
Nlikua nauliza kwa MTU ambae sio mkatoliki anaweza akaitumia hii novena ili kutatua matatzo yake??
Ndio kwa imani
Ndiyo
Huwezi kusali hii novena kama sio mkatoliki kumbuka sharti la pili lazima uwe umepokea ekaristi ili ikupe neema ya kudumu na kumaliza novena, sasa kama sio mkatoliki unaendaje kupokea mwili wa yesu, wanaopekea mwili wa yesu lazima uwe umebatizwa na ni mkatoliki na lazima uwe umepata sakramenti ya mafundisho ya kumunio na kipaimara.
Pole sana.
Baba samahan, je kma unaendelea na novena,gafla ukatenda dhambi, na mazngra uliyopo padri kumpta Ni shida, je unaweza kuungama mwenyew?
Kasema lazima uungame kwa father tofauti na apo novena inayeyuka
🙏🙏🙏🙏
Na kwa waliofungiwa sakramenti takatifu wanafanyaje?
Kwa wale wanao ishi mbali na mapadri sharti la kuungam siku hiyo hiyo inakuwaje . au anakuwa hana sifa ya kusali hiyo novena?
Mfano nasali novena yangu saa mbili nimechagua sala fulani baada ya sala nikasali rozari nia nyingine nakuwa nimeharibu novena?
Sikiliza tena
Nilikuwa naomba kuuliza Kama nilianza hii novena alafu nikawa nimeanza nyingne zote nasali Ila wakati tofauti na Nia tofauti je!? Nimefanya kosa
Nafikiria ni sawa Bora ili time ya novena tuu iweke on time yake.
Mbona hiyo novena hai onekan? Natamani ni isali hiyo novena na sii pati
Ipo kwenye kitabu kinaitwa "NGUVU YA SALA "
Je kama siyo mkatoliki anaweza kufunga Novena hiyo?
Yes waweza mungu ni mmoja tuu .
Ndiyo
Asante baba. Sasa novena ikifanywa na kikundi inawezekana ?
Baba samahn hii nobena ya siku 54 inakitabu chake au niile novena ya roho mtakatifu maana nimetafuta kitab chake kila bookshop akuna