USHUHUDA wa kusisimua, Hakika inafurahisha, kIJANA Asimulia Bikira maria alivyomuonekanikia

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии • 99

  • @michaelkasogela370
    @michaelkasogela370 3 года назад +9

    Mimi pia nina shuhuda nyingii sanaa........za mama bikira Maria

  • @antoniadavid1233
    @antoniadavid1233 3 года назад +6

    Asante mama Maria Kwa upendo Kwa nchi yetu pia Kwa kaka yetu huyo naomba unipe Neema ya kusali rozali kila siku pia kuichangia radio yako 🙏🏼

    • @stevenmwenda3005
      @stevenmwenda3005 Год назад

      Mama anaupendo gani kwa nchi sio mungu tena mbona mnapenda kukufuru waziwazi shida ni nini embu rudini darasani msome tena upya maandiko inakera sana kwa jinsi watu wanavyopindisha mafundisho

    • @josephmusagasa
      @josephmusagasa 11 месяцев назад +1

      Acha hizo my friend,rosali ni sanamu,picha ya huyo mmuitaye bikira maria ni sanamu pia. Biblia inasema; (usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni au kilicho chini duniani, au kilicho majini chini ya nchi. Usivisujudie wala kuvitumikia) Hapo vipi?

  • @phillipgabriel6102
    @phillipgabriel6102 2 года назад +1

    shuhuda nzuri mno mno Mungu akubariki.Ningepata no zako ningekushuhudia makuu zaidi ili usirudi nyuma.Mama Maria anatenda.Niko Arusha

  • @einhardmbuge7692
    @einhardmbuge7692 5 лет назад +15

    "Laiti mngejua ninavowapenda mngelia machozi ya furaha" asema Mama Wa Mungu Bikira Maria.
    Hakika Mama anatupenda mnooooooo

    • @laumasefi66
      @laumasefi66 3 года назад

      Amina

    • @stevenmwenda3005
      @stevenmwenda3005 Год назад

      Ivi mungu ana mama kwanini mnakufuru wazi wazi jamani kweli mungu anavumilia mengi sana ila siku inakuja baada ya kufufuliwa na kuhukumiwa ndo tutajuta kwa haya watu wanayoyafanya sasa

  • @winniewilliams2331
    @winniewilliams2331 Год назад

    Wow 😊 I love the way u love mother Mary am impressed 😁🙏Mungu akubariki sana kaka 😊 ki ukwel mama Maria anasaidia sana ❤ hapa tunavyongea na mm kanitembelea nyumbani mwangu tena kanitendea makuu 😊😊😍

  • @evamringo2331
    @evamringo2331 4 года назад +1

    Yesu Kristo ndio msaada wetu .. ameni

  • @meckrinamatembo2926
    @meckrinamatembo2926 3 года назад +3

    Amina
    Mama anatupenda sana

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 5 лет назад +10

    Sio wewe tu ni kweli mama Maria anasaidia.mnooo mimi amenisaidia mnooo siwezi kueleza

  • @fadhilapretty5876
    @fadhilapretty5876 2 года назад +1

    Najiskia kubarikiwa mno..🙏💕🙏💕

  • @battyomabene482
    @battyomabene482 3 года назад +3

    Our father is in heaven will forgive all of us every sin and he can not Leave us alone God to bless through the name of the father and the son and the holy spirit together 🙏➕👍❤️💟👋😇💐🥰🤑Amen

  • @fellytemba9064
    @fellytemba9064 Год назад +2

    Mama yetu msaada wa daima utuuombee.

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 3 года назад

    Aminaa barikiwa sana kaka mama Maria hakika ni mama wa upendo

  • @d.a.t3383
    @d.a.t3383 3 года назад

    Nimejifunza kitu Asante Mama Maria

  • @vedastoyohana9075
    @vedastoyohana9075 4 года назад

    Hongera sana Mungu azd kuwa nawew katika kulijenga kanisa

  • @traudkamugisha8051
    @traudkamugisha8051 5 лет назад +1

    Nimejifunza kitu barikiwa bro na familia yako

  • @kapendalubowa534
    @kapendalubowa534 4 года назад +3

    Mama Maria tumaini letu,umenitendea maajabu.

  • @neemataris3273
    @neemataris3273 Год назад

    Rozari kwangu ni kila kitu mama ana upendo sana

  • @beaab1248
    @beaab1248 4 года назад +1

    Hongera sana Kaka... nimependa sana uamuzi wako wa kujenga Groto ya Mama, niombe na mm natamani kujenga Groto ya Mama..Natamani saan kuja kusali kwako.. Tupo pamoja rafiki wa Radio Maria🙏🏽🙏🏽

  • @aichaabdul5844
    @aichaabdul5844 4 года назад

    Asante sana, mama kanisa aendelee kuwa nazi....huku nilipo nimebahatika kusali katika parokia tofauti tofauti na nilichokigundua baada ya misa kabla waumini hawajarudi majumbani kwao hupita katika kroto kumsalimia mama kanisa. Ndio maana ni karibu parokia zote huku zipo na kroto ya bikira Maria.

  • @zenosaki4328
    @zenosaki4328 2 года назад

    Mungu ni mwema

  • @kwayayamt.mariaconsolatasu4773
    @kwayayamt.mariaconsolatasu4773 3 года назад

    Kaka Mungu akubariki saana

  • @majaliwaphilipo8277
    @majaliwaphilipo8277 3 года назад +1

    Asanteee

  • @davisfidelis4149
    @davisfidelis4149 Год назад

    Inasemekana katika uchaguzi huo uchaguzi huo wa papa mwaka 1978 aliyeshinda ni Rugambwa ila busara ikatumika,dunia haikuwa tayari kwa papa mweusi wakati huo,sijui leo!

  • @winfridahaule4364
    @winfridahaule4364 3 года назад

    Barikiwa

  • @sophiealto
    @sophiealto 5 лет назад +2

    Amen

  • @blandinakimbe8910
    @blandinakimbe8910 11 месяцев назад

    Mama maria yupo nakwambia wewe unayebisha,taratibu,hatuachi kusali, Nampenda Bikira Maria,

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 5 лет назад +3

    Niko USA najitahidi kuchangia kila mwezi naomba ndgu zngu tusiache kuchangia uinjilishaji nachingia kupitia neema msacky

  • @AstridaNdovanga-tz6vj
    @AstridaNdovanga-tz6vj Год назад

    Kama hujui namna tunavosali tulia vinginevyo utamkosea mungu

  • @dianamaugo3032
    @dianamaugo3032 3 года назад +1

    Mama Bikira Maria anajibu

  • @restitutanjau2585
    @restitutanjau2585 2 года назад

    Mama Maria muombezi wetu,utuombee

  • @shamimushittindi1418
    @shamimushittindi1418 5 лет назад +2

    Jamani wewe kaka mungu aibariki familia yako jamani

  • @shamimushittindi1418
    @shamimushittindi1418 5 лет назад +9

    Rozari siwezi kuielezea ila Nina ushuhuda nayo sana kiukweli rozari ukiiweka kama kimbilio haikuachi nilipata viza mbili USA na CANADA kupitia rozari na novena ya mt.Ritha na sikukutana na maswali wala vikwazo kuanzia ubalozini mpaka airport Mimi hivi vitu viwili ndio hirizi yangu

    • @deogratiaskomba8333
      @deogratiaskomba8333 5 лет назад +1

      Hongera sana

    • @Annethpius_234.
      @Annethpius_234. 5 лет назад +1

      Mama ni mwema sana kwetu daima hatuachi. Huko vizuri sana

    • @vedastoyohana9075
      @vedastoyohana9075 4 года назад +2

      Ubarikiwe sana

    • @edwiniluther3263
      @edwiniluther3263 4 года назад +2

      Kinywa chako kinasema kuwa hirizi zako sasa ww ni wa Mungu au Shetani??? Tegemea damu na Jina la Yesu Mpendwa fungukaaaaaaaa

    • @shamimushittindi1418
      @shamimushittindi1418 2 года назад

      @@edwiniluther3263 wacha kucomplicate mambo namaanisha Kuna watu wanaamini hirizi za waganga sasa mimi ukiniuliza hirizi yangu ni nini nitakujibu rozari(hope you get my point)

  • @felisterkokuberwa5783
    @felisterkokuberwa5783 5 лет назад +2

    Yaani Ni silaha kubwa I wish watu wote waisali mama anatuombea sana

  • @davidfirst714
    @davidfirst714 9 месяцев назад

    Naomba namba ya huyu brother tafadhali

  • @delmasonyancha9301
    @delmasonyancha9301 2 года назад +1

    Mama Bikira Maria utuombee

  • @robistermwansepele5456
    @robistermwansepele5456 2 года назад

    Hakika Mama Maria ni Tumain Letu

  • @nkombemaro7852
    @nkombemaro7852 4 года назад

    🙏

  • @kastoriooko7157
    @kastoriooko7157 Год назад

    Kuna njia ionelanayo ..........., bali njia ya mauti

  • @anethchua4041
    @anethchua4041 5 лет назад

    Urikiwe sn

  • @revocatuskyaishozi1702
    @revocatuskyaishozi1702 5 лет назад

    mm nataka sana ila sijui sijui unanisaidia vp

  • @freddokuckelmann8502
    @freddokuckelmann8502 4 года назад +3

    Bikira maria hatokei watu bana, wacha kutuzingua. Wacha kuomba sala kwa bikira Maria, omba kwa Yesu.

    • @fridabernadette6872
      @fridabernadette6872 4 года назад +1

      Do yourself a favor and stop commenting what you don't know Freddo

    • @heriethkusigwa8469
      @heriethkusigwa8469 4 года назад

      Imani yako haba inakutesa San Mungu akusaidie 🙏🙏

    • @kasianzulu3859
      @kasianzulu3859 3 года назад

      Usichokijua ni bora ukanyamanza maana hujui ukiomba msaada ujulishwe unapewa ila kwa comment yako,ya jeuri hatakusaidia, JARIBU kuchunga ulimi wako uskupelekeshe kukutendesha dhambi nakupenda,badilika,ata kama huna iman hiyo, ahsante ndgu yangu katika KRISTO, AMINA

    • @alphoncetemu9859
      @alphoncetemu9859 3 года назад

      Amina kweli kabisa nami pia ni mshirika mkuu saana wa kusali rozari, nampenda saana mama bikira Maria, ukiomba naye anakuombea

    • @lovemkalawa7965
      @lovemkalawa7965 2 года назад

      Ni kweli rozari Ina nguvu sana hata Mimi ni mengi sana nimefankiwa ninachosubir saizi ni kufika nga ndoa TU naomba kw maombezi ya mama Bikira Maria na iwe hivyo

  • @freddokuckelmann8502
    @freddokuckelmann8502 4 года назад +3

    Badala ya kuomba kwa Yesu mnaomba kwa bikira Maria. Mtaamka lini usingizini nyie???? Haya onyesheni maandiko mliyoambiwa kuomba kwa bikira Maria

    • @erastom5277
      @erastom5277 4 года назад

      Kuma ww kwani uliitwa imani yko fala nini

    • @edwiniluther3263
      @edwiniluther3263 4 года назад

      Ameeen Mungu azidi kuwainua waijue kweli!!!

    • @edwiniluther3263
      @edwiniluther3263 4 года назад

      Ombeni kwa jina langu Yesu Kasema ..sasa habari za kutoamini maandiko ni shida huu wote n Uvivu wa kutomtafuta Mungu kwa bidii kila kitu kutafuniwa kisha Amen

    • @edwiniluther3263
      @edwiniluther3263 4 года назад +1

      Mbingu sio mchezo Wapendwa tuamke na kuijua kweli itatuokoa !!Mungu azidi kulibariki neno lake ameeeeen

    • @edwiniluther3263
      @edwiniluther3263 4 года назад +1

      Hata Shetani ujifanya Malaika wa Nuru maandiko yamesema