Hatupaswi kusikiliza kazi za shetani. Yesu alipokuwa duniani Alitufundisha kuhusu Ukuu wa Mungu na Ufalme wa Mungu. Tumeagizwa kuihubiri INJILI. shetani hana kitu kwa YESU.
Ukisoma vita walivyopigana wayahudi kabla ya vita walituma wapeleleza kupeleleza siri na nguvu za adui, ili kujua ni mbinu na silaha Gani zitumike, kwa nini?
Hahahaaaa tamthilia imefeli Hahahaaaa lilian umekuwa mchungaji tushakuona usijali jitahidi tu kuchunga vizuri kuliko kutunga tamthilia hujui
Unaeleza Kwa furaha utafirir amefanya mazur, Mungu atusamehe sn , usimwache Mungu ukarudi huko gizan
Hatupaswi kusikiliza kazi za shetani. Yesu alipokuwa duniani Alitufundisha kuhusu Ukuu wa Mungu na Ufalme wa Mungu. Tumeagizwa kuihubiri INJILI. shetani hana kitu kwa YESU.
Ukisoma vita walivyopigana wayahudi kabla ya vita walituma wapeleleza kupeleleza siri na nguvu za adui, ili kujua ni mbinu na silaha Gani zitumike, kwa nini?
.Ni vyema kujua siri za adui,na vizazi vyetu vijue
I love your show my dada
Hii story ya uwongo
Damu ya yesu inatosha.
Hahahaaaa unajidanganya
Mimi sipendi uongo jamani sasa ndio nini hiki,
Uchawi makanisani balaa watu wananywiwa damu waumini ni makafara ya watu maskini
😱😱😱😱
Huyu ni muongo asilimia kubwa kuna jambo anatafuta
Uchawi ni laana tu kwa vyovyote
Na ni uharibufu wa hali ya ujuu usio hata na maana!
Ukitubu na kuacha, Mungu anasamehe na kusahau wala hatakumbuka kamwe dhambi zako