Luludiva Maneno mengi ya kejeli nilipewa/mpenzi wangu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 58

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 3 года назад +2

    LuLu kumbe niwakwetu Tanga pole saan dadaangu na mazito uliyo nayo kwa mama Allah amfanyie shufaa mama Aponee nadua yako mungu ataijubu kwa wakati dadaangu

  • @frederickkimweri1899
    @frederickkimweri1899 3 года назад +3

    Msiangalie alivyovaa wala mwili wake you guys get serious she is a star lazima avae ki-star hayupo msikitini wala uarabuni hapa .... Lulu Diva sex lady endelea kuvaa ki-star big up

  • @jamilahathumani4222
    @jamilahathumani4222 3 года назад +3

    Lulu diva nakupendaga Sana mim lulu mungu atakusimamia nani Kama mama

  • @zaifatishengoma2364
    @zaifatishengoma2364 3 года назад +1

    Lulu pole sana ila swali langu ni je huyo mtangazaji anakunywa #mirinda au #Dompo! Amenitamanisha.

  • @leaderofpatriotofcongopatr4385
    @leaderofpatriotofcongopatr4385 3 года назад +1

    Pole sana dada mungu akupe nguvu

  • @beautywithnay5974
    @beautywithnay5974 3 года назад +8

    Pole sana darling diva mungu atamsimamia atapona inshaaalh

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  3 года назад +1

      Amen🙏🙏ni binti mwenye upendo kwakila mtu

  • @elizabethsakina9987
    @elizabethsakina9987 3 года назад +3

    Lulu diva we ni mzuri acha mambo ya kujichubua ona jinsi miguu imeharibika but I love you❤️

  • @queen.christelle1
    @queen.christelle1 3 года назад

    Mungu amusaidie mama luludiva apone 🙏

  • @leaderofpatriotofcongopatr4385
    @leaderofpatriotofcongopatr4385 3 года назад +3

    Kma mutu anataka kumusaidiya mama lulu tunafaza je

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 3 года назад +14

    Some people are so wicked.....Mnachoona ni alivyovaa tu!!!! Anayoyasema kuhusu maisha yake hayana maana kwenu...kazi yenu ni kutafuta kasoro iko wapi...Nyie mmekamilika? Mnayoyafnya kwny maisha yenu nani anajua? Au 7bu sio spotlight kama LuLu...Acheni kujiona Hakimu kwny maisha ya mtu hamgharamii chochote

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty 3 года назад

      Yan watu wanamambo kha

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty 3 года назад

      Kam wamezaliwa na nguo vile kha tumwache Mungu kazi yke

    • @barutiabuu9492
      @barutiabuu9492 3 года назад

      Sindio nyie maya wote nyie mnaovaa ovyo msio kuwa namalez ya wazadh msio waogo wadhaz mpaka mungu mpia ham muogop kaz kutuonesha tu mitako yenu ndomaa had sasa mmetuharibia vijana wanaenda sehem ambayo mung hajaiweka itumike kaweka sehem maarum itumik lakini kwakukaa uchi nakuonesha mikundu yenu ovyo ndomaana leo hii vijana wengi wana wafanya sehem ambazo mwenyez mung kazilaani dunia inamwisho nyie endereeni nahayo maisha ya kifuska siku ya msiba wako ndo utajuwa huko unakoenda kukoje🙏

  • @asiliyetu
    @asiliyetu 3 года назад

    Pole sana luludiva Mungu atakusaidia

  • @husnanandonde4034
    @husnanandonde4034 3 года назад +10

    Du maisha bhana 😂😂😂 sichrk kwa furaha maana Mimi mama yangu nimeanza kumlea nipo form two na amelala kitandani miaka mingi 2018 amefariki so naona familia nyingi zinapitia haya kikubwa dua tu kwa wazazi wetu maana tunapitia magumu

  • @halimammary7398
    @halimammary7398 3 года назад +3

    Pole sana Dada mung atamponya mama inshaallah

  • @alisalim1785
    @alisalim1785 3 года назад

    Mwenyezi mungu akutoe kwenye wakati ngum

  • @yvonnepeter8696
    @yvonnepeter8696 3 года назад +3

    Sasaa shostiiii unavaaa alafu unajifisha na mtoo wa kochiiii ...😂 ahahhhah girls sisi tunakaziii🙆kweliii.. hatujielewi

    • @maryammhina2268
      @maryammhina2268 3 года назад

      akili yako ilivyofupi umeona nguo tu sio maneno anayosema ww unamabaya mangap kwakuw sio msanii watu hawakujui shenzi

  • @ashoasho6542
    @ashoasho6542 3 года назад +1

    Inshaallah mngu atamponya🙏🙏

  • @safmarwa2977
    @safmarwa2977 3 года назад

    Samahani sana MUNGU NI
    moja lakini dada tukotafauti na dungu zetu wakrito hata maombi tukutafauti

  • @joshuamwijonge7677
    @joshuamwijonge7677 3 года назад +4

    Lulu mbona unaendana ata na ukirsto karibu

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 3 года назад +4

    Hivi hiii miguu meusi au sijaona mie uzur au kivuli tu ndo kimeleta weusi

  • @sekelamwangosi3289
    @sekelamwangosi3289 3 года назад

    Ila lulu mzur sana

  • @frederickkimweri1899
    @frederickkimweri1899 3 года назад

    Mpare wa Tanga , haya dada na mimi ni msambaa wa upareni 😂🤣😂🤣

  • @faithfulphilemon9890
    @faithfulphilemon9890 3 года назад +5

    Tunapaswa kuwasaidia wazazi wetu sana ,lkn kiubinadamu kuna muda unafika unamuona mzazi wako kama anakuletea kero fulan ,kiukweli tunapaswa kukumbuka kuwa wazaz wetu wamehangaika sana kipindi tukiwa wadogo mpka kufika tulipo hivi

    • @neemapatrick8281
      @neemapatrick8281 3 года назад

      Daaar pole sana dada mungu yu pamoja nawe ndo maana anakupa nguvu ya kupambana na kukuonyesha njia

  • @mtmlevel2001
    @mtmlevel2001 3 года назад

    insha'allah atasimama mtengemea Mung

  • @julianacharles6014
    @julianacharles6014 3 года назад +5

    Unampenda mwanaume Mwenye Hofu ya Mungu wewe Mungu unae Kazi kukaa uchi nyoo 😏

    • @faudhiajuma7340
      @faudhiajuma7340 3 года назад +1

      Kwakweli😆

    • @aminasaid7657
      @aminasaid7657 3 года назад +1

      Hilo nao neno

    • @zaynabyusuph4414
      @zaynabyusuph4414 3 года назад +2

      Usimuukumu binaadamu mwenzako maana wewe siye Mungu wewe nimja tu kama yeye

    • @aminasaid7657
      @aminasaid7657 3 года назад

      @@zaynabyusuph4414 hpo cjaona hukumu ameambiwa tu

    • @saumumrisho2532
      @saumumrisho2532 3 года назад

      Hyo mikono Sasa kwel anahofu ya Mungu anavyojchubua hvyo

  • @neemalipembe1929
    @neemalipembe1929 3 года назад

    Wapi ndizi choma

  • @gracesafi9791
    @gracesafi9791 3 года назад

    Pole sana

  • @Qtep-eb3og
    @Qtep-eb3og 3 года назад

    Mikono ka ndizi za kuchoma

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 3 года назад

    Pambana tu

  • @empresslulu9775
    @empresslulu9775 3 года назад +1

    So the interviewer has her pajamas on with messy hair ...my Tanzanian people

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 3 года назад +2

    Huyu Uisilamu hauwezi kwanza, aolewe tu na *Wakristo

    • @ashoasho6542
      @ashoasho6542 3 года назад

      😂😂😂😂😂😅😅🤣🤣eti uislam huyu hauwezi aolewe na wakirsto🤣🤣😀nimecheka Kwa sauti kubwa aloo Aya Lulu wetu mtanga mwenzetu waambiwa uislam umekukalia Lushoto😅😅😂😂