KODTEC MANARA VALENTINE SPECIAL

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 мар 2024
  • KODTEC Sisi ni wauzaji na wasambazaji wa bidhaa bora kabisa zinazotumia umeme.
    -Tunabidhaa bora kwajili ya matumizi yako ya nyumbani, offisin na vifaa vya mziki fika kwenye maduka yetu yote nchi nzima na mawakala wetu wote au Tupigie +255 744240595 Kuwa wa kwanza kupata video zetu kwa kusbscribe youtube channel yetu.Tutembelee kupitiaInstagram: / kodtecstore Facebook: / kodtecstore #kodtec #kodtecmakinglifemoreperfect #cookwithwemasepetu #mapishi #mapishiyakiswahili #cook #homeappliances #wema #wemasepetu #mandonga #tanzania #portableblender #nitongoze #mandongamtukazi #ndoige #tanzania #blenderlovers #yanga #yangasc #simbasc #mchumba #juice #juicelover #juicewrld #cook #oven #kodtecoven #juicelover #juicerblender #cookwithwemasepetu #bread #breadmaker #breadrecipe #waffle #wafflemachine #wafflemaker #hajimanara #zainab
  • ХоббиХобби

Комментарии • 81

  • @nidaquincy5669
    @nidaquincy5669 2 месяца назад +8

    iyo chapati maker yafanya chapti ziwe ngumu utamu wa chapati nikusukuma

  • @mahidatatang521
    @mahidatatang521 2 месяца назад +4

    Nibora piano halitoka uko kwa dula angeyaona wapi hayo yote😂😂😂😂

  • @user-wu8qe4fv4j
    @user-wu8qe4fv4j 2 месяца назад +4

    Zag kapatae ngangania dada wenginee wanataka izo nafasii

  • @MwanaMwita-ks7xv
    @MwanaMwita-ks7xv Месяц назад +1

    Uvivu tu😂

  • @user-gy3dv3tq8d
    @user-gy3dv3tq8d 2 месяца назад +3

    Buga anatunza mke kapendeza uvumilie tu gubu

  • @rerisamba
    @rerisamba 2 месяца назад +1

    Warabu jamani yani hivi vitu vyote wanavyo halafu hawajui kuvihifadhi n

  • @user-hc8fi9lc6t
    @user-hc8fi9lc6t 2 месяца назад +1

    Mke ajisitiri basi

  • @mohamedswaleh6778
    @mohamedswaleh6778 Месяц назад

    Utakuta hapa watu wakijishauwa eti vitu vya toka Zaman sw unavyo bando lenyewe umekopa mbwa ww

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 2 месяца назад +2

    Tunazipataje

  • @user-ec2he1uo3d
    @user-ec2he1uo3d Месяц назад

    Eti mkate wa vilejs

  • @JeniferNgolanya-gt5xx
    @JeniferNgolanya-gt5xx 2 месяца назад +2

    Na ajue kupika basi😅😅

  • @user-yj7gj9mp7h
    @user-yj7gj9mp7h 2 месяца назад +1

    Nataka hiyo blenda bugat

  • @user-hs1en8dm7n
    @user-hs1en8dm7n 2 месяца назад

    We Christina huyo zylisa umemfanya hajui kusoma au umemdharau haifai kumdharau mwenzio hicho Nichoyo kinaitwa unamuonea chocolate wewe huna kama hivyo acha kudharau watu

  • @shamzone388
    @shamzone388 2 месяца назад

    Usiseme hawajui kuwifadhi kwao vipo huna haja kufitafuta madukani ya ghali na yarahisi vinapatikana kikiharibika unatupa unanunua kipya

  • @OnesmoEmmanuel-xr2rf
    @OnesmoEmmanuel-xr2rf 2 месяца назад +4

    Komaaa zai umependeza sana mdogo wangu😂😂😂😂😂😂

    • @mayrose9772
      @mayrose9772 Месяц назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mahidatatang521
    @mahidatatang521 2 месяца назад

    Sasa nikuuliza hizo sikuzote ulikuwa hauna hizo vitu mbona vishapitwa na wakati😂😂😂😂😂

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 2 месяца назад +1

    Nuthin new ..hio sio chapati maker its for waffles🙄

  • @anciladelay6316
    @anciladelay6316 2 месяца назад +1

    Mashallaah❤❤❤

  • @mukeshimanarose1334
    @mukeshimanarose1334 2 месяца назад

    😮😢😢😊😊❤❤🎉🎉🎉

  • @khatibmako3500
    @khatibmako3500 2 месяца назад

    Kichwa wazi jamani

  • @godlivermwasha2791
    @godlivermwasha2791 Месяц назад

    Safi kabisa,najua wenye wivu hawaachi kuongea na kupondea Mambo mazuri,weewe unayesema vipo Tu siajabu Hata kisu kuzuri kwako huna.Acha kudhalau maisha ya watu,kama huna huna Tu kupondea haisaidii, waswahili mnapenda kuwashusha watu kwa vimaneno vya mkosaji.bugati na zai msonge mbele Saima

  • @user-ds5tf9xx1d
    @user-ds5tf9xx1d 2 месяца назад +1

    Ongera zai umetoboa life

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 2 месяца назад

    Haji wangu kampuni imekuonea kukupa kazi ya kuadvatize bidhaa zao.mbona vinamuda takriban miaka 5 nyuma vimetoka watu walishatumia mpaka wakatupa nje.hivyo vitu vilianza kutumika kabla wa china hawajaingia tanzania na africa yote. Kampuni ikutake radhi haji wangu.kwani watu watakuona mshamba bureee.

  • @mohammedabdullah3868
    @mohammedabdullah3868 Месяц назад

    Zai tulia dada upendwee ❤❤❤❤❤

  • @HassanHassan-vh6pc
    @HassanHassan-vh6pc 2 месяца назад +1

    Basi hta karatasi la kujifunika kichwani hana

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 2 месяца назад

      Mwenzako yupo soko je wataonaje watu kama kapendeza 😊😊😊 atanguo aliyo vyaa kajionesha umbo lake ata kajisahau kama mke wa mtu ss atuna waume lkn siwesi kuvaa ivyo kwa nikivaa nguo kama iyo sitoki bila ya baibui

    • @user-tg2mn3xu1y
      @user-tg2mn3xu1y Месяц назад

      ​@@rayahamisi118😂😂😂😂😮 we zeruzeru kula nyoko

  • @bas2823
    @bas2823 2 месяца назад +1

    YES HIVI VITU VIKO KILA NYUMBA SASA NA WENGINE WANAVYO TANGU ZAMANI HUKO USA NA EUROPE COUNTRIES WE WERE IN USA ALSO WE GOT ALL THOSE N MORE IN THE USA NA HAPA OMAN TUNAVYO! NI VIZURI KUMWEKEA MKEO ATUMIE LAKINI SIO MARA ZOTE SOME TIMES SHE CAN USE THE COOKER TO COOK N SOME TIMES SHE CAN USE THOSE KITCHINE! AQUIPMENTS OR KITCHEN'S SANITARRIES! OR ELECTRIC COOKERS N MLANDINGS N JUICIES MAKERS! U R A GOOD HUSBAND U DONT LIKE YR WIFE TO SUFFERS IN THE KITCHEN SHE SOULD PROUD OF U👌 ! N LOVES U MORE❤👍"

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 месяца назад +1

      Mimi nipo uk na wala situmii nachoma kwa mkaa kuchoma kwa mkaa kuna utamu wake n

    • @shamzone388
      @shamzone388 2 месяца назад

      @@FatimaAli-of4ghasante umejua kumjibu ….kupika kwa mkaakuna raha na harufu nzuri ya chakula

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 месяца назад

      @@shamzone388
      Kweli hivo vitu ukiwa huna tu lakini wala sioni uzuri wake na hiyo machine ya coffee sasa hivi watu tumelemaa hata kupika chai kwenye sifuria hatuwezi

    • @pillyseleman8090
      @pillyseleman8090 2 месяца назад

      Wanafanya matangazo ya biashara baadhi tunavyo miaka kumi iliyopita Ila kuna wasio navyo ñdio wanunue

    • @sikukuuchuo3093
      @sikukuuchuo3093 2 месяца назад

      yupo kazini anatangaza baishara sio show off

  • @user-ef6tl6fy1g
    @user-ef6tl6fy1g 2 месяца назад +7

    Hivo😂 nivitu vya watu wasiojuwa kupoka😂😂😂

  • @ZainabAbdullah-bc6pu
    @ZainabAbdullah-bc6pu 2 месяца назад +1

    Tuoneshen na chumaban kwenu

  • @pillyseleman8090
    @pillyseleman8090 2 месяца назад +2

    Manara Ramadhan hii mbona ur beautiful wife kichwa wazi

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 2 месяца назад +1

    Zailysa hapo hajaelewa hata moja.vimeingilia huku vimetokea kule😂😂😂. Bora angeletewa moja ipita miezi kadhaa ndio nyingine lkn kiivo, hamna kitu kichwani kilichoka Hapo Asije akarushwa tu na umeme😂

    • @BMboss108
      @BMboss108 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂

    • @jamaal1300
      @jamaal1300 2 месяца назад

      😂😂😂😂 send me your number

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 2 месяца назад +1

    Si mpaka ajue kupika😂😂

    • @user-ef6tl6fy1g
      @user-ef6tl6fy1g 2 месяца назад

      Nakwambia hivo ni bizaa za wasiojuwa kupika km yy zailisa sijui atajuwa kukisia maji mchele

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 2 месяца назад +1

      @@user-ef6tl6fy1g ndo hapo kuwiva vitawiva test sasa si mpaka ujulie viungo vyake na vifaa vya umeme vina mkono wa mtu ukiwa na mkono mbaya vikianza kuharibika utaijua bathdei ya bibi yako 😂😂

    • @user-gv8kv2zd6x
      @user-gv8kv2zd6x 2 месяца назад +1

      Kwaiyo chakula anacho kula unapikaga weye acha umbea yako yameku shinda kazikusema yawe nzoko tu hovyo kagonwe uko wa napende zana

    • @annafrancis7313
      @annafrancis7313 2 месяца назад +1

      Acheni wivu. Kuna mtoto wa uswazi asiyejua kupika. Mnamsikiliza Dula kama alikuwa hajui kupika alimuoaje? Baada ya kuachwa ndo aseme ajui kupika

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 2 месяца назад

      @@annafrancis7313 watoto wa uswazi wanajua kupiga ugali na wali sasa kakutana na mtoto wa mjini anataka mahanjumati ya maana sio ugali na maharage. Na atapika saa ngapi na mwenyewe haji kasema anatoka saa 3 asubuhi anarudi saa 3 usiku eti anaenda kushoot movie 😂😂😂

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 месяца назад

    Kwa umeme huu, huu wa luku au?

  • @saidjelani1566
    @saidjelani1566 2 месяца назад +1

    Wewe mwehu nini watoka wapi hivyo ni vitu vya kujisifiya

    • @asmahassan5661
      @asmahassan5661 2 месяца назад +1

      Anatanga biashara mbona una makasiriko

    • @FatumaBaruti-qw6jm
      @FatumaBaruti-qw6jm 2 месяца назад

      Yupo kazini kaka tuli soma alama za maisha unauza bangi nini kuitangaza huwezi😂😂😂😂😂.

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 2 месяца назад

      Angefanya hayo matangazo mke wake ndiye anae shinda jikoni ..mwanaume tangaza bidhaa tofauti manly like kama magari

    • @user-tg2mn3xu1y
      @user-tg2mn3xu1y Месяц назад

      Msenge mboro kula nyoko zake

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 Месяц назад

    Manara utaoa lini?😢

    • @sophiamziray
      @sophiamziray Месяц назад

      Huyo ni mke wake wa ndoa. We upo nchi gani?

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 2 месяца назад +1

    Tumeshavitumia hivyo vitu miaka 3 iliyopita wewe ndio una tangaza sasa hivi mshamba kweli kweli sasa hivi kuna macrowave inafanya vyote airfrayer, oven na
    microwave Huna haja ya kuwa na mavitu mengii kuja a jiko,

    • @kilimanjaro695
      @kilimanjaro695 2 месяца назад +3

      I think you’re missing the point. I think Haji anafanya promotion si kuwa anajigamba. Tuangalie big picha si kukurupuka na kuanza kushambulia

    • @FatumaBaruti-qw6jm
      @FatumaBaruti-qw6jm 2 месяца назад

      Biashara iyo wangu ata kama miaka mitatu imepita lazima utangaze biashara yako wapo wanaoanza maisha kabla ya iyo miaka. Ukiona biashara imezoeleka na imedolala jaribu kutangaza.magidoro dodoma mbona kabla hujazaliwa na yanatangazwa .😅