Alhamdulillahi ni jambo nzuri kuwa elekiza au kutowa funzo ambao wako tayari kupambana na kuweza kufika huko. Hongera sana kwa kutumie wakati na nguvu zako. Na siyo wote wana moyo kama wako. Allah akuzidishie kwa upendo huwo.
Content yako ni nzuri sana kaka, ubarikiwe uko clear sana. Lakini ningependa siku moja uelezee pia kuhusu hizo rank za jeshini unavyoweza kuzipata ukianzia level kama yako.
@Blacksmith bro napenda elimu zako,naomba kujua two process zakupat green card,pia nauli ya kutonga bongo kwenda usa ,na nikipind kipi kizur kusafir ambacho unawz kubalance nauli
Hi bro vp i you new fun frm Kenya ur hav good n useful information but i asked ur a question kwa last video but ur didn't reply ? but thnk ur busy thanks
@@mshanatheblacksmith ok I'm planning to apply dv lottery inshallah I win ameen so my question is I'm also join forces once I'm de so wht is process of joining n wht is de age limit to joining army? at37 is possible? Thnk
Kazi safi sana kaka, nina umri wa 30+ na je hiyo nikusema nikifika Marekani na nikifanikiwa kujiunga na jeshi siwezi fikisha hiyo mark ya ku serve miaka ishirini jeshini?
Hapo ni ww na afya yako wengi wanaokaa jeshi hadi umri mkubwa ni wale waliofanikiwa kufika vyeo(rank) kubwa kwani ukifika rank kubwa hutumii nguvu jeshini ww unaongoza na kuamrisha kazi ifanyike kama 1Sgt na kuendelea au officers wenye rank kubwa
@@mshanatheblacksmith Ooh shukran sana, na hii ya kupanda from from E1 to labda E7 huwa inategemea na nini? nimejaribu kuielewa lakini bado naba ufafanuzi hapo kaka
Umetisha sana....... Vp lakini hyo yote ni kambi ya jeshi..... 24:00 nimeona hadi basi la shule ..... Vp na uko shule za jeshi ni gharama bure
very valid point..... confience as a child akikua muhimu sana
Alhamdulillahi ni jambo nzuri kuwa elekiza au kutowa funzo ambao wako tayari kupambana na kuweza kufika huko.
Hongera sana kwa kutumie wakati na nguvu zako.
Na siyo wote wana moyo kama wako.
Allah akuzidishie kwa upendo huwo.
Good morning sir,thank you for your educative content, iam your adent follower
Morning and you are welcome
HIYO ni ukweli nikiwa jirani kutoka kenya english na confidence god bless yoo
Content yako ni nzuri sana kaka, ubarikiwe uko clear sana. Lakini ningependa siku moja uelezee pia kuhusu hizo rank za jeshini unavyoweza kuzipata ukianzia level kama yako.
I got it dude. I have a dream to be there eventhough my written and spoken English is not good. I’m watching your video from Tanzania.
Valid Point bro
🎉🎉🎉🎉❤ Amazing
Big thumb brother
Good job 👏
Ninapenda sana masomo haya yanayoendelea
Maitaji kujiunga na jeshi la marekani dares-salaam napatikana chang,ombe Temeke
Safi
money circulates in America I like topic
Long life kwako
Shout out Bro kwa madini 🦾
❤🎉😊
@Blacksmith bro napenda elimu zako,naomba kujua two process zakupat green card,pia nauli ya kutonga bongo kwenda usa ,na nikipind kipi kizur kusafir ambacho unawz kubalance nauli
hello man
Hi bro vp i you new fun frm Kenya ur hav good n useful information but i asked ur a question kwa last video but ur didn't reply ? but thnk ur busy thanks
@@yusufmwangazi5286 swali gani hlo
@@mshanatheblacksmith ok I'm planning to apply dv lottery inshallah I win ameen so my question is I'm also join forces once I'm de so wht is process of joining n wht is de age limit to joining army? at37 is possible? Thnk
Kaka unatungua ubongo kila siku
Please nijibu Mr shana
Nikujibu nn ss
Mimi ninaurefu wa futi 5 na nusu je marekani napata jeshi
Ni umri Gani wa kujiunga na jeshi la marekani na Miaka mingapi mwisho kujiunga na jeshi la marekani
Kazi safi sana kaka, nina umri wa 30+ na je hiyo nikusema nikifika Marekani na nikifanikiwa kujiunga na jeshi siwezi fikisha hiyo mark ya ku serve miaka ishirini jeshini?
Hapo ni ww na afya yako wengi wanaokaa jeshi hadi umri mkubwa ni wale waliofanikiwa kufika vyeo(rank) kubwa kwani ukifika rank kubwa hutumii nguvu jeshini ww unaongoza na kuamrisha kazi ifanyike kama 1Sgt na kuendelea au officers wenye rank kubwa
@@mshanatheblacksmith Ooh shukran sana, na hii ya kupanda from from E1 to labda E7 huwa inategemea na nini? nimejaribu kuielewa lakini bado naba ufafanuzi hapo kaka
Inachukua mda gani kusoma?
@Mshanatheblacksmith maswali ya pale embasy yanaulizwa kiswahili au kingereza? Nisaidie kujua soldier
Mara nyingi visa ya kutembea unaweza kuomba uulizwe kwa kiswahili ukihitaji ila visa zingine huwa wanakutwanga kwa kingereza
@@mshanatheblacksmith hhhhhhh huo ni mziki mwingine ngoja tuingie Darasani Kama GREEN CARD itatiki boss wangu SHUKRAN SANA🙏🙏🙏
Brother how can I get you through email!!!?