Aiisse Kijana, ahsante sana kwa kuelimisha watu, ebu nikueleze hitoria ya waaAfrica hapa Minneapolis kwa mimi nimeishi hapa miaka 50. Good to promote Ndugu Jojo.
Bro Sasa Unaishi Minneapolis? niko hapa MPLS. hapo huitwa ghetto in the sky yani Projects. African americans walikuwa hapo, lakini walalo wakaingia wakakitoa. siku hizi ni walalo wanaishi hapo. Hapo Tamu grill umepita ni ya JOJO ukiwa Twin cities nishtuwe
Huku Yues Mr maboringo in the Ark..Yup it has been a while since we last spoke..Anyway it's awesome process keep the zeal sir You never know who you are inspiring
@@HukuYues172 Absolutely 💯 comrade we must support our own DCI Because we are always using our buddies to other people we don't deserve to support anyway..you deserve our support sir 👏 # congratulations for your speed feed back reply darling I didn't expect you to reply my comment on the comments section ❤ thanks for the reply and love ❤
Uyo jamaa ni mkenya anafanya kaz america pia yeye anapiga content zake alikua akimwambia anaeza akashtkiwa kwa ile video ya magays siku wanasherekea aliwaweka kwa video bila wao kukubali
Hao wasomali wana save pesa za rent majuu,halafu huku kenya wanajenga maplots,hio ni ujanja poa sana ❤
lkn sio 200 dollars huyu ibra anatafuta na views ana spread uwongo. its 1400 dollars
@@hismajestyhaidarhe didn't say 200, alisema hayuko sure.
Sikiza tena.
4:55 that's the timing.
@@hismajestyhaidarlisten here.
4:50
Baridi na hiyo jua yote
Acha niwaoneshe never gets old😅
Don't ever give up bro. You are a star. You are the best at this. Usiskize discouragements...Good to see you back
Aiisse Kijana, ahsante sana kwa kuelimisha watu, ebu nikueleze hitoria ya waaAfrica hapa Minneapolis kwa mimi nimeishi hapa miaka 50. Good to promote Ndugu Jojo.
How can i come also. I wish to be there. Na hapa hamna inbox youtube. 😢😢
Happy to see you back. Usihepe tena
You're the best on this man, happy to see you back
I appreciate that!
Izoo man Wacha kupotea sana we always love it ❤
Not everyone has your best interest at heart.
Sometimes the one person you'd take a bullet for ends up being the one behind the gun.
Very True 🎉😂❤
Good to see you back man we can wait for winter contents
I like how authentic this video is, umejaribu mtu nguyaz, chukua uzito👊👊
Good you are back bro...God help you in your endeavors bro, you are educating us a lot...achana na yule mluhya mwenye hatakii mluhya mwenzake mema.
Welcome Back G ❤
Onami you made me know US kwa macho. Usipotee hivo. 😂😂😂😂
Am glad you are back my favourite RUclipsr. 🎉🎉🎉🎉🎉
you actually make the best of these , keep up weka nguvu zaidi
First one to like to watch to comment,,, nipeeni likes,,, good work onami🤝🤝🤝
Big up
Kali sana bro... eti cousre inaitwa Building bridges 🤣🤣🤣
Ata mimi nikikuja huko naezaishi hapa it looks good as comoared to the hostel nilijua naishi nikiwa campo 😂
Welcome back bro
Thanks for showing us. Kibera ya yuess n smart kushinda ya kenya
Ati kibira 😢 na Hadi Ina kaa smart, beautiful and clean kuliko Tao ya Nairobi 😂😂😂
Good sharing bro. Share a video on Rochester Minnesota
Finally....hapo sawa sasa
Big ups Onami for the info and exposition ❤❤
Good to see you back bro, keep winning
Be consistent mazee ,,,,,Good job
Well said.....
Kizee kinapoteanga tunaskia lonely ebu mshow
We want more videos
Ako consistent pale tik tok
I am happy to see how God has lifted you
Good job Ibra, keep up
Welcome back. We expect More videos. Back to back🎉🎉❤
Another good one from Huku Yues
Karibu buda jo. Wasee wamekuhata mbaya
Wewe uko funny sana.
Alafu conversation na uyo madha iko top notch,madha anaload sana mazee😂😂
Nime furahi you back.. never get that lost, mazee!
good job bro, ume tutembesa sana US ata tumekwa wenyeji wa Yues🤣🤣
goodwork ,,nikikuja us ntakusaka mkuu
Wee mambo imechemukaa umepotea sana mr maboringo au ulifreez maboringo weeee
Big up bro tumekumiss xana ulituwacha hanging
Vipi Ibrah? Long time on RUclips manze....
Huku yues is back like was not gone
Ukikuja na students visa utachange aje upate immigrant citizenship
Kwanza enda ukifika utajua, or you fingure it out.
@@ReginaMusau78 Ni poa🙏
Oa an American.
Enyewe Bro this in nice content ,NIPITIENI GYUYS
We are following yu everywhere ❤❤
Imepotea sana bro.
Kibe kinakuja kenya Friday Kuja nikusaidie kukipiga
Bro Sasa Unaishi Minneapolis? niko hapa MPLS. hapo huitwa ghetto in the sky yani Projects. African americans walikuwa hapo, lakini walalo wakaingia wakakitoa. siku hizi ni walalo wanaishi hapo. Hapo Tamu grill umepita ni ya JOJO ukiwa Twin cities nishtuwe
Walalo ni watu gani?
Ni wasomali@@bintalmasi2393
Bro I love your vibe broo your videos zimeweza😂😂 💯
umepotea bro this is good stuff ukipata time we need more. 👍✊
She damn in engle
Bro we love the show,usipotee sana
Bro Unapotea sana.....we like you bro nomatter what..
Kwani unamdai
@@antony-5321 Tunadai contend sio kivingine,sijui umefikiria nini?
Onami am back men from Tanzania 🇹🇿
Welcome back onami we missed you ❤❤
Glad to see you here fan wako wa chini ya maji
nanajua haulipwi poa na youtube lakini do it for ma fans bana.............. maisha states wanangangana kupata viewers na wewe una upload video ukitaka
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Coz he is original
Respect to that woman for respecting and following the Islamic law...
The religion of peace. ...
No shaking hands... religion of peace
The religion where you can have sex with your mother and can also marry a six year old like Aisha 😂
You discriminate your woman's motherfucker
Religion of peace 😂😂😂
Good one
Kaka kwema ningependa kujua upo jimbo gani america from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Yuko Minnesota
It's good to be back and doing what you do best
Welcome back
Umeharass huyu masa sana....Ata hashikanishi !!
Big fun from kenya niko na maswali man drop connection
Was asking myself ulipotelea wapi
Acha niwaoneshe🤣🤣🤣🤣yu r back
Huku Yues Mr maboringo in the Ark..Yup it has been a while since we last spoke..Anyway it's awesome process keep the zeal sir You never know who you are inspiring
Margaret thanks a lot for your support
@@HukuYues172 Absolutely 💯 comrade we must support our own DCI Because we are always using our buddies to other people we don't deserve to support anyway..you deserve our support sir 👏 # congratulations for your speed feed back reply darling I didn't expect you to reply my comment on the comments section ❤ thanks for the reply and love ❤
Margaret si unitafute
@@Shimakajr OK 👍 no Bproblem comrade Aluta continues
@@Shimakajrhuyu dem hua amenoki onami,anaweza mpea mpekejeng akidai
na vile ni ku smart wee huko kuna Kaa buru ama west madaraka hee hta Mimi naweza taka kuishi hko bwsns
Manze umelost sana mtu wetu but thx for the video
Ibrah aliingia baridi yule mshenz alikua ameanza kuona wivu anaona ibrah anapata pesa nyingi youtube, bro piga kaz tunakusapot sana from mombasa
Nani huyo?
Uyo jamaa ni mkenya anafanya kaz america pia yeye anapiga content zake alikua akimwambia anaeza akashtkiwa kwa ile video ya magays siku wanasherekea aliwaweka kwa video bila wao kukubali
@@خسنموس okay..nimeelewa
Kizungu inasumbua watu sijaijua🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Wewe ulikataa kutupeleka minnesota timberwolves arena..hujui ukona na mafans wanagame bakeh😂😂
Be consistent unaboooo you used to be my morphine huku kenya zakayoo anaturambaaaaa mbaaaaya
😅😅😅ok
Iyo ghettoh inakaa Moi Avenue
Steve Safari ironically made us love you more & more, but hajui hivo😂😂😂😂😂
Uko ndio little mogadishu ya yues
Buda tunakuhata sana, wacha izo bana. Mavida zi kuom.😊
Kama huyo Oyo anaongea English, pia mimi Niko na Imani ntafika YUES Na Niongee English 💯💯
That is asmoll plece but well used, that are jobs Zakayo need Workers from abrood towork for kenyans
Big up manze
Unamatatizo gani kama mieziii4 hadiii nmekonda ilininenepe kwenye content nyingine inafuata ujitaidiiii kunitaja liberatus Jackson bukulu..from kahama shinyanga TZ.nausiacheee jamaaa nkekua nikiwapea watuu content zako Ibrahim
Unam torture huyo shosh😅
I hope you back for good❤
This info is paramount..saa hii me najua places we hujua pia😂..... alafu hiyo ghetto bana imechill sana ...watu walienda?
Mr.Maboringo is back😂😂😂after kufreeze for long chini maji😅
Eti Moshi ni mutura zinapikwa😂
ni kibera hadi unaona moshi huko juu watu wanachoma mamuturaa 🙄🙄🙄🙄
Nime waste bundles zangu to hivyo bure
Kumbe unakuwanga updated na happenings za Kenya.
Onami usituchoree ivo sana
Hakuna matope ama sewage iko juu Kwa baro.
Was the "watu wanachoma ma mituraa huko juu" so necessary aki😂😂💔
Hata mimi nimesikia hiyo harufu ya kuku
Usipotee sana kutupa contects.
I had hiyo ni Eastleigh ya huko
Tupeleke LA pia toune Compton
Urikua wapi aceni kutuacha
Niaje Huku Yues, we sent a project proposal to you, we hope utaiona, asante.
Hizo mastructures yote hadi saa na masquare c inakula alot of space
umekua wapi mkuu
Acha kupotea broh🎉😂😂❤
Nipo
Kwani watu wako?
4.58 hiyo building huitwa Cedar..kumbe Cedar ni ghetto
Have you ever had an encounter with the police. I have seen some videos of people(black) being harassed,roughed up...😢😢
mr jaywalker Huku Yues😂....utashikwa