KWA MARA YA KWANZA DUDU BAYA AWEKA WAZI MAHUSIANO YAKE NA MONALISA/sijawahi kupenda hivi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 ноя 2024

Комментарии • 71

  • @AmranWilson-qv4kh
    @AmranWilson-qv4kh 23 дня назад +1

    Nimejifunza mengi sana toka nianze kukufuatilia konk master ila mshamba hawezi elewa

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 Месяц назад +17

    Naona dudu baya anatumia hii interview kutaka kurudiana na Monalisa

    • @Ismail-db5oj
      @Ismail-db5oj Месяц назад +1

      Kweli hata minaye naiona hivyo

  • @HurumaeldaudMakala
    @HurumaeldaudMakala Месяц назад +6

    Konki konki konki masterrrrrrr....nakubali sana broo unajua sana kujieleza afu ukiongea mtu anapenda kukuckiliza you are so talented....❤❤❤❤

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn Месяц назад +2

    Pole kaka Kwa kupoteza zahabu maana mona hakika angekufaa sema hizi frimbi zetu zina tuponza Sana inshallah 🙏 bro

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 Месяц назад +8

    Kwamara ya kwanza konki master kumbe anapenda

  • @gregorypantaleo6987
    @gregorypantaleo6987 Месяц назад +7

    Monalisa please listen to my brother.

  • @mikejr.7717
    @mikejr.7717 Месяц назад +5

    Dah bro dudubaya nimependa sana ulivyoonyesha hisia zako kwa Dada Monalisa,nilikuwa cjui kama ulishawahi kuwa nae kimahusiano,ila nimeshajua sasa,sasa iv Monalisa sio Dada yangu tena ila shemeji yangu na ninapenda mrudiane tena,na nipo tayr kuwarudisha tena pamoja kama mkinipa nafasi,maana kosa sio kosa Bali kosa kurudia kosa....

  • @teddymutani856
    @teddymutani856 Месяц назад +3

    Hee kumbe mama yake Willy ni Asha boko😂😂😂jamn dudu alikuwa anaishi na wake wote wasanii

  • @MatherJames
    @MatherJames Месяц назад +4

    Nakukubali sana dudubaya nakufatilia Kila kona

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 Месяц назад +1

    Huyu anahitaji matibabu zaidi... dishi limeyumba ila huwezi jua hadi utulie😂😂

  • @EmanuelHugo-i5m
    @EmanuelHugo-i5m Месяц назад +6

    Naungana na wewe juu ya kujieshimu kwa mdada huyo ata mie naheshimu sana myenendo yake

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Месяц назад +1

    Basi tena bahati uwa hairudi mara 2,Monalisa kwa kweli ulipoteza mke❤❤

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 Месяц назад +6

    Dudu baya akili nyingi sana

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp Месяц назад +3

    Mwandishi Leo Umempiga Maswali Yamaana Dudu Baya

  • @falilafalu3052
    @falilafalu3052 Месяц назад +7

    😢 mimi nampenda dudu baya

  • @Elizabethlizy-w1v
    @Elizabethlizy-w1v Месяц назад +4

    dah dudu baya noma sana nimecheka eti linaenda kupigwa miti

  • @bahatishabani1392
    @bahatishabani1392 Месяц назад

    Rudianeni please 😂😂😂😂😂you look good together 😂😂😂😂😂

  • @bahatishabani1392
    @bahatishabani1392 Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂uwiiiiiii monalisa atakoma mbona

  • @jafarishabani9686
    @jafarishabani9686 Месяц назад +10

    Putin Leo ume kamatwa lakini umeongea kwa busara saana konki

  • @QueenQueen-i4k
    @QueenQueen-i4k Месяц назад +1

    Mwamba anapenda dah kumbe Mapenzi Yana Nguvu

  • @aishaabrahaman9957
    @aishaabrahaman9957 Месяц назад

    Mwezi tuuuh 😂😂😂😊😊😊😅pole mwaya 😂kakoo na ufala kweli konki kama konki

  • @MagdalenaMatiko
    @MagdalenaMatiko Месяц назад +2

    Ila hawa wasanii Mungu awahurumie wanawanaume lorry nzima

  • @EstaDaffi-wg5cr
    @EstaDaffi-wg5cr Месяц назад +1

    Dudu nahisi your going through some depression but ungenyoa kidg na ndevu ukaweka sawa at least

  • @MajaliwaMhungati
    @MajaliwaMhungati Месяц назад +2

    Leo hajapiga mionzi ni kama mtu...😅😅😅😅

  • @johnbarasa9929
    @johnbarasa9929 16 дней назад

    Vitu gani hivo vinasense😂😂😂😂😂😂😂

  • @ivanamkapa2369
    @ivanamkapa2369 Месяц назад +3

    Aiseee kwer upendo nikutoka moyoni

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w Месяц назад

    Love achana nayo this is reality true love ❤

  • @shafiichusi1897
    @shafiichusi1897 Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂.. konk kumbe naye anapenda

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 Месяц назад

    Dah Monalosa nilikuwa namuona wa maana sana kumbe alikuwa anatoka na huyu mpuuzi

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 Месяц назад +1

    Hahhh pole naijua hiyo ukimpenda mtu wewachatu 😅

  • @GULIELMAS
    @GULIELMAS Месяц назад +1

    Hahaha, mama mkwe nouma

  • @shijacs23
    @shijacs23 Месяц назад +1

    Gigi kalambwa ila zilikuwa pombe!😂

  • @LuhanyaLuhanya
    @LuhanyaLuhanya Месяц назад

    monalisa pleas kama haupo kwenye mahusiano mrudie konk mjenge familia iliyo bora🙏🙏🙏

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 Месяц назад

    Mama will ni Asha boko 😂😂😂 ndio sababu wile kiburi sana

  • @DorisZephania-ci8ym
    @DorisZephania-ci8ym Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂,, kwa nguvu nimechekaaaaaaaa!
    Baba una wake wangapi???
    Aki wanaumeeeeeeeeeeeee!

  • @aishakambenga6191
    @aishakambenga6191 Месяц назад +1

    Kumbe wanaume huwa mnajutia pole majuto ni mjukuu

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 Месяц назад

      SI Kila Mwanamke tunamjutia, ni kwa wale tu wanaojiheshimu na wenye akili za kujiendesha! Kama pwayupwayu liende zake

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 Месяц назад

    😂😂Anniversary ya mwezi ndo uongee hivo

  • @ScolaMasanja-fg7hi
    @ScolaMasanja-fg7hi Месяц назад

    Mwezitu mmmh konk n konk kweli

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 Месяц назад +3

    Dudu baya atakua na matatizo ndio maana kaachana na wanawake lukuki

    • @chotarawakingoni8148
      @chotarawakingoni8148 Месяц назад +3

      Hapana dudubaya Hana matatizio ni kwamba ni mtu mwenye misimamo na mkweli
      Shida wanawake wengi wa bongo wana matatizo ivyo hawawezagi mtu wa aina hiyo

    • @Rakim-y2z
      @Rakim-y2z Месяц назад

      Na pombe pia

  • @GeraldSwai-ty1hr
    @GeraldSwai-ty1hr Месяц назад

    Wagogo wana kucheka😂😂

  • @ShadrackSumila
    @ShadrackSumila Месяц назад +2

    Nikweli, madem wengine wanaboa sana Bora nipge tungi nilale tuu

  • @Mabelabahati-u4l
    @Mabelabahati-u4l Месяц назад +1

    Katika huwa nafurahi kuangalia interview za ngosha ni kucheka.

  • @michaelmazoya9244
    @michaelmazoya9244 Месяц назад

    Akili nyingi sana wa kwetu

  • @stationerykinondoni7241
    @stationerykinondoni7241 Месяц назад

    Gigy money tayari 😂😂😂

  • @MwanjiNzala-mo5ni
    @MwanjiNzala-mo5ni Месяц назад +1

    Nimejikuta naguzunika mwe.eti mwezi tu😂😂sena mwMba kaamua tu.kuyazagaxa

  • @DorisZephania-ci8ym
    @DorisZephania-ci8ym Месяц назад

    Yani Dudu baya, duuuuuuuuu!
    Kumbe wanaume pia mnajutaga????

    • @mungamichael9354
      @mungamichael9354 Месяц назад

      Pale tunapo poteza dhahabu ndo tuna regret 😢

  • @MariamHamis-x4t
    @MariamHamis-x4t Месяц назад

    Mona anaakili, hata ww so mbaya ila dah ingependez km angekwg mke wk

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 Месяц назад +3

    Kweli Monalisa ametulia sana

  • @nikiwakwanza
    @nikiwakwanza Месяц назад +2

    😂😂😂😂😂

  • @taurehassan7399
    @taurehassan7399 Месяц назад +1

    Atakuja kupigwa na T.I.D

  • @MichaelMwamanda
    @MichaelMwamanda Месяц назад

    Sasa itakuwaje jamani mbona unalalamika Sanaa??

  • @noonelike6382
    @noonelike6382 Месяц назад +1

    10:02 ..... Hahahah

  • @MichaelMwamanda
    @MichaelMwamanda Месяц назад

    Duh! Itawezekana kweli?? 😅😅😅

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 Месяц назад

    Dudu

  • @nshaijatedy5512
    @nshaijatedy5512 Месяц назад

    Yan uyu alishatendwa sehem

  • @KiangoKipingu-f2y
    @KiangoKipingu-f2y Месяц назад

    😂

  • @hamidasalum157
    @hamidasalum157 Месяц назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣