Jaman dudu bay mim ni shabiki wako kitambo Toka umeaza mzik nakukubal San napenda uludi kwny game kwa kumwibia mungu nyimbo za kumsif mungu najua umeokoka tunapenda kusikia sauti yako jaman napenda ujumbe huu ukufikie jaman
Kuna watu wengine ,wanaasili ya ushettani , hatauwafanye nini ,nahapo huenda yeye mwanamme alipenda ila hakupendwa ,shettani Hana jema ,siowanawake wote ,punguza hasira ,ijapo inauma
Dah hii story imenigusa sana, tunapaswa kuwa makini sana na watu tunaongia kwenye mapenzi nao.
Pole kaka Lauden ameniuma
WANAWAKE ni majitu mabovu sana
Aisee mimi nimeache mke kisa ujinga
Uwo uwo
Inasikitisha sana tuwe sana karibu na Allah
Dudu kapenda 😂😂😂 kitu monalisa😂😂😂😂❤❤❤
Kupiga miti,ana maana aliyenda kukutana naye kimwili
😂😂😂😂😂😂
Willy apige.miti😂😂😂😂
Jaman dudu bay mim ni shabiki wako kitambo Toka umeaza mzik nakukubal San napenda uludi kwny game kwa kumwibia mungu nyimbo za kumsif mungu najua umeokoka tunapenda kusikia sauti yako jaman napenda ujumbe huu ukufikie jaman
Pole, japo wanawake wengine kama mimi ni mke mwema.
Dudubaya kaolewa lini jamani. Oirichafu
Dudu baya ni noma ukweri tup
Sasa kufanya mapenzi
Bila kuoana ni inakuwa zinaa
Na nizambi na watoto unao zaa nao
Bado siyo haki yako kidin
Kuna watu wengine ,wanaasili ya ushettani , hatauwafanye nini ,nahapo huenda yeye mwanamme alipenda ila hakupendwa ,shettani Hana jema ,siowanawake wote ,punguza hasira ,ijapo inauma
Acha watoto wake, sio kupiga miti na kupata watoto. Unawatamkia watoto vibaya , yaani uzinzi tu.
Ukisema wanawake ni mbwa unajumuhisha mama ako mzazi mama mwenye nchi
Aisee! LAUDEN.
Duuuu pole jamani
The dudu dah mwamba anamwaga maneno tu
3:06 ni ni ni nikawa na Mona 😂
Dudu nakuelewa sana
Kama mtume Paulo😂😂😂
The dudu tuambie maana ya kupiga miti bhana
Dudu facts OG sana konkiiiiii
Kama utaki watu waende disco pesa wasani watapata wapi na wewe pia
Mmm??
Dudu nimekuelewa xn kuhusu fact
Usile kiapo,aliyenichekesha ni huyo mwamba aliecheka hapo nyuma
Shida umeamua kuangalia mapubgufu tuu tuambie na mazuri uliyoyaona kwa hao wanawke wako
Inauma sana story nzuri ila inauma saana
Huyo ni gendaeka zee la nyani ,kuishi na familia ni uwezo mwingine ambao huyo hana ni sawa na kumbadilisha mbwa mzee jina
Ze dudu hujakosea
Nikweli
Njoo uoe kwenu kisesa
HIVI NI KWELI DUDUBAYA NA MONALISA WALIWAHI KUOANA NA KUISHI KAMA MKE NA MME!?
Piga miti go 😂😂
Lugha za Madingi wa hovyo
Dudu unapiga kwenye mshono
Chuo Gani kaka madrasa au
Mimi siami mameno ya huyu mtu
Sio kudanga ni umasikini
Eti wanawake mbwa. Kwani wewe si mbwa pia
😅😅😅😅😅😅
😅😅😅
😂😂😂
Dudu kupiga miti ndio nini?
Kwichi kwichi midabanguro
@@AdamLameck-x5n sawa
The dudu mambas dah noma sana
Piga miti afu chukuwa😂😂😂😂😂😂
Wakongo ndo wanaongea saana ivyo😊, kupika miti= kwichi
Kaambwa kameebebwa