shukran bin seif sisi tupo mbali na nchi yetu hufarijika kusikia nyimbo za zamani ila naomba msaada kitu kimoja ukiweka nyimbo weka na ina la muimbaji ili tumbuke vizuri pia tukituma tuletewe nyimbo iwe rahisi shukran
Wazo Zuri sanaa ILa huyo muimbaji anaitwa Khamis Juma. Aliwahi kuimba nyimbo hizi: #Hatupendani kwa pesa wala tamaa ya kitu. #Yeye ni mchumba wangu.. #
shukran bin seif sisi tupo mbali na nchi yetu hufarijika kusikia nyimbo za zamani ila naomba msaada kitu kimoja ukiweka nyimbo weka na ina la muimbaji ili tumbuke vizuri pia tukituma tuletewe nyimbo iwe rahisi shukran
Wazo Zuri sanaa ILa huyo muimbaji anaitwa Khamis Juma.
Aliwahi kuimba nyimbo hizi:
#Hatupendani kwa pesa wala tamaa ya kitu.
#Yeye ni mchumba wangu..
#
daima tutawakumbuka mungu awe nanyi popote mulipo
Zanzibar music
nzuri
jamani wanaume nyinyi hamuna ahadi za kweli
Ata wanawake pia
Zanzibar bado Tamu!!!zilipwendwa