HIKI NDIO KITABU CHA MAWAHABI KILICHOJAA UONGO NA JINAI DHIDI YA WAISLAMU || USTADH HAJI UPEPO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 220

  • @shafikakrabi8490
    @shafikakrabi8490 21 день назад +4

    Mashaalah mashaalah mungu akubariki akupe elimu zaidi uwatowe watu katika upofu. Jazakallah kher.

    • @KhamisiMulusi
      @KhamisiMulusi 20 дней назад

      Huyu Allah amuongoze kwanza...anatoa watu kwa haqqi anawapeleka kwenye upotofu...sijui ni Upepo wa wapi....hana kitu kwenye kichwa...wallahi aki

    • @amirimshaali9872
      @amirimshaali9872 20 дней назад

      Awaingize kwenye upotovu ama

  • @Thabitilubunani
    @Thabitilubunani 20 дней назад +2

    Sbhan llaah muche allaha haji upepo acha kupotosha watu

  • @binzubeir6510
    @binzubeir6510 20 дней назад +4

    Huna adabu Hajji upepo.

    • @AbuuswalhaYousuf
      @AbuuswalhaYousuf 22 часа назад

      @@binzubeir6510 haji upepo ni dajjaali miongoni mwa madajaajila apuuzwe

  • @BashrahilAshaary
    @BashrahilAshaary 20 дней назад +1

    Allaah akupe Umri Twaweel ya Sheikh,, umesema Haq,, mtu hatojua haq isipokua apekua vitabu waone fitna ya Mawahabi,,

    • @AllyAman
      @AllyAman 23 часа назад

      NAOMBA MSAADA MAANA AU TARJAMA YA HIZI AYAH
      قَالَ يَا إِبْلِيسُ مَا مَنَعَكَ أَن تَسْجُدَ لِمَا خَلَقْتُ بِيَدَيَّ ۖ
      تَبَٰرَكَ ٱلَّذِي بِيَدِهِ ٱلۡمُلۡكُ وَهُوَ عَلَىٰ كُلِّ شَيۡءٖ قَدِيرٌ
      وَكَلَّمَ اللَّهُ مُوسَىٰ تَكْلِيمًا
      SASA SISI HATUMFANANISHI ALLAH ﷻ NA VIUMBE ABADANI
      ## (NA ATAKAE MFANANISHA ALLAHU NA VIUMBE NI KAFIRI) ##
      ALLAH ﷻ ANA SIFA ANAZO ENDANA NAZO KWA DHATI YAKE MIM NA KUTOLEA MFANO MDOGO TU
      TEMBO ANA MIKONO NA MIGUU JE❓MIGUU YA TEMBO INA FANYA KAZI SAWA NA YA BINADAMU AMA INAFANANA❓HAYA WANAYAMA WANA MASIKIO JE YANAFANYA KAZI KAMA YA MWANADAMU❓
      KWAHYO ALLAHU HIZO NI SIFA ZAKE NA ZIMETAJWA KATIKA QUR-AAN NA SUNNAH MIKONO YA ALLAH ﷻ INAFANYA KAZI KULINGANA NA DHATI YAKE NA YEYE NDIYO ANA JUA ZAIDI
      بارك الله فيكم

  • @Ibrahim-st3uo
    @Ibrahim-st3uo 22 дня назад +5

    InshaaALLAAHU nitaandika kitabu Niraddi porojo zenu nyote makadhaab

    • @jumahamad3723
      @jumahamad3723 22 дня назад

      انشاألله

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 22 дня назад

      Sawa.Mtume mpya, ila si wa Mungu.

    • @Ibrahim-st3uo
      @Ibrahim-st3uo 21 день назад

      @@omaryjumas6327
      Mimi si mtume Mimi ni mtu ninayeamrisha watu wamfuate mtume wasimfuate jahil Haji upepo

  • @MkindiRama-lp6hy
    @MkindiRama-lp6hy 20 дней назад +3

    Allah akulipe kheir

  • @BashrahilAshaary
    @BashrahilAshaary 20 дней назад +2

    Allaah atuepushe na fitna za Mawahabi

    • @AbuuswalhaYousuf
      @AbuuswalhaYousuf 13 дней назад

      Alhamdulillaah umejiweka wazi ukhurafi wako

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 20 дней назад +2

    Sh haji ni rafki yangu ila hapa kakosea sana anaonesha upembuzi wake c mzuri sana

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      sasa ni haji au nikitabu au hayo maneno hayamo kwenye hicho kitabu tueleze hemu

  • @AbuuSaad-e3i
    @AbuuSaad-e3i 20 дней назад +1

    Ww upepo ww allah akuongoze huna adabu ata kidogo

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      nabado mtaumwa sana utatu wenu mtakatifu

    • @AllyAman
      @AllyAman 23 часа назад

      ​@@darajanidaNDUGU YANGU KATIKA IYMANI NA KUNASIHI VYEMA UKAE CHINI USOME UACHE KUWA MSHABIKI KATIKA DINI KAMA MSHABIKI WA MPIRA

    • @AllyAman
      @AllyAman 23 часа назад

      ​NAOMBA MSAADA MAANA AU TARJAMA YA HIZI AYAH
      قَالَ يَا إِبْلِيسُ مَا مَنَعَكَ أَن تَسْجُدَ لِمَا خَلَقْتُ بِيَدَيَّ ۖ
      تَبَٰرَكَ ٱلَّذِي بِيَدِهِ ٱلۡمُلۡكُ وَهُوَ عَلَىٰ كُلِّ شَيۡءٖ قَدِيرٌ
      وَكَلَّمَ اللَّهُ مُوسَىٰ تَكْلِيمًا
      SASA SISI HATUMFANANISHI ALLAH ﷻ NA VIUMBE ABADANI
      ## (NA ATAKAE MFANANISHA ALLAHU NA VIUMBE NI KAFIRI) ##
      ALLAH ﷻ ANA SIFA ANAZO ENDANA NAZO KWA DHATI YAKE MIM NA KUTOLEA MFANO MDOGO TU
      TEMBO ANA MIKONO NA MIGUU JE❓MIGUU YA TEMBO INA FANYA KAZI SAWA NA YA BINADAMU AMA INAFANANA❓HAYA WANAYAMA WANA MASIKIO JE YANAFANYA KAZI KAMA YA MWANADAMU❓
      KWAHYO ALLAHU HIZO NI SIFA ZAKE NA ZIMETAJWA KATIKA QUR-AAN NA SUNNAH MIKONO YA ALLAH ﷻ INAFANYA KAZI KULINGANA NA DHATI YAKE NA YEYE NDIYO ANA JUA ZAIDI
      بارك الله فيكم

  • @AllyAman
    @AllyAman День назад +1

    NAOMBA MSAADA MAANA AU TARJAMA YA HIZI AYAH
    قَالَ يَا إِبْلِيسُ مَا مَنَعَكَ أَن تَسْجُدَ لِمَا خَلَقْتُ بِيَدَيَّ ۖ
    تَبَٰرَكَ ٱلَّذِي بِيَدِهِ ٱلۡمُلۡكُ وَهُوَ عَلَىٰ كُلِّ شَيۡءٖ قَدِيرٌ
    وَكَلَّمَ اللَّهُ مُوسَىٰ تَكْلِيمًا
    SASA SISI HATUMFANANISHI ALLAH ﷻ NA VIUMBE ABADANI
    ## (NA ATAKAE MFANANISHA ALLAHU NA VIUMBE NI KAFIRI) ##
    ALLAH ﷻ ANA SIFA ANAZO ENDANA NAZO KWA DHATI YAKE MIM NA KUTOLEA MFANO MDOGO TU
    TEMBO ANA MIKONO NA MIGUU JE❓MIGUU YA TEMBO INA FANYA KAZI SAWA NA YA BINADAMU AMA INAFANANA❓HAYA WANAYAMA WANA MASIKIO JE YANAFANYA KAZI KAMA YA MWANADAMU❓
    KWAHYO ALLAHU HIZO NI SIFA ZAKE NA ZIMETAJWA KATIKA QUR-AAN NA SUNNAH MIKONO YA ALLAH ﷻ INAFANYA KAZI KULINGANA NA DHATI YAKE NA YEYE NDIYO ANA JUA ZAIDI
    بارك الله فيكم

  • @husseinazizi1275
    @husseinazizi1275 19 дней назад

    علينا أن نقول الحق وليبغضب من بغضب وليرضى من يرض فالذي نطلب رضاء هوالله وحده

  • @idrisaabkar3760
    @idrisaabkar3760 22 дня назад +2

    je Allah jina lake pia linawakiliaha miungu mingine asiekua yeye. subhanahu

    • @darajanida
      @darajanida 21 день назад

      sasa unamuliza shekh jambo hilo kwan hiyo ndo mada yake

  • @hassanmussa4734
    @hassanmussa4734 21 день назад +1

    Kumbe haji upepo alkuwepo zaman

  • @twahaally7251
    @twahaally7251 17 дней назад

    Na katika Aayah nyingine Allaah Anamuuliza Ibilisi:
    قَالَ يَا إِبْلِيسُ مَا مَنَعَكَ أَن تَسْجُدَ لِمَا خَلَقْتُ بِيَدَيَّ ۖ أَسْتَكْبَرْتَ أَمْ كُنتَ مِنَ الْعَالِينَ ﴿٧٥﴾
    (Allaah) Akasema: “Ee Ibliys! Nini kilichokuzuia usimsujudie Niliyemuumba kwa Mikono Yangu? Je, umetakabari, au umekuwa miongoni mwa waliojitukuza?” [Swaad: 75]

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q 21 день назад +1

    Ccm na chadema ,mtihani sana dah Allah haogopewi mpaka na wanaojiita mashekh ,upepo unapepea unasomba kila kitu

  • @sheikhyusufdiwan2489
    @sheikhyusufdiwan2489 22 дня назад +4

    جزاك الله خيرا

    • @AlmasAbdallah-r3g
      @AlmasAbdallah-r3g 22 дня назад

      Wewe tapeli fungulia comment huko jaahil murakkab😁😁😁umefunga comment halafu upo katika comment za watu??Lipiga ramli

    • @BrothersAbuu
      @BrothersAbuu 22 дня назад

      Mwana funz wa bachu ww nenda aka kusomeshee

    • @khalifa_kuchi
      @khalifa_kuchi 22 дня назад +3

      Kumbe huyu mganga na haji upepo ni jamaa ndio maana hata mganga akimtokana mungu bx upepo unakaa kimy hauwez vuma amakwel umzaniane ndie kumbe sie yaan leo ndo nimeamin kua w2 wanaangalia zaid manhaji zao kuliko ukwel ktk dini subhanallah

    • @khalifa_kuchi
      @khalifa_kuchi 22 дня назад +1

      Huyu alifunga comments baad ya kuongea utoporo wake na haji upepo alifunga pia sijui km hawaambizan yaan mtu akishatoa utoporo anafunga comments ila pia hiyo ni dalili ya kushindw sasa unganeni hlf mujiandae kwn kw binaadam mutapata sifa ila kw allah atajua vya adhabu atayoona inastahiki kw kila mwenye kufich ukwel dhidi ya anapotokanw

    • @MussaYasini
      @MussaYasini 21 день назад +3

      Unakuja kukoment huku ila kule kwako umefunga watu wsikomenti ujinga wako mpuuzi ww

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 22 дня назад +4

    Haji Upepo pole sana, nafurah nikikusikia unasikia vitabu vya Masalafy. Allah atakuongoa insha'Allah.
    Ushauri tu Haji Upepo punguza hasira na chuki kwa Masalafy kwa7 unaweza ukafa kwa Hasira kw7 hujasoma kabis kbisa Elimu yako n ndogo sana Kijana.

    • @darajanida
      @darajanida 21 день назад +1

      ukisema vitabu vya masalaf wamanisha vitbu vya mawahabi au vip dah watu kwakujipa sifa wasokuwa nazo wahabi na usalafi wapina wapi

  • @abdikadirshariif5311
    @abdikadirshariif5311 20 дней назад

    Masha Allah.

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 22 дня назад +3

    Uhuru wako sema utakavyo lakini wallahi inshallah tutakutana kwa muumba wetu inshallah inshallah inshallah

    • @darajanida
      @darajanida 21 день назад

      kumbe mawahabi wakati mwengine wanakuwa na adabu ust haji usirudi nyuma wataelewa ti taratibu

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 21 день назад

      Kwani lipi geni alilosema haji upepo kitabu ni chenu mawahabi yeye kanukuu tu hakuongeza Wala kupunguza kweli ukweli uanauma mulianza nyinyi sasa tulieni sindano ziwachome kitaeleweka tuu

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 21 день назад

      @AbdulkarimShosi sawa

    • @AllyAman
      @AllyAman 23 часа назад

      ​@@AbdulkarimShosi KASOME VITABU VYAKE أَبُو ٱلْحَسَن ٱلْأَشْعَرِيّ
      Abu al-Hasan al-Ash'ari
      Ili uache porojo Mfatilie Mwanzo mwisho

  • @YussufYussuf-w9m
    @YussufYussuf-w9m 2 дня назад

    Haji upepo acha ujinga hutaki kufa Wewe acha upuuz

  • @MustafaChiumbwe
    @MustafaChiumbwe 22 дня назад +4

    Kasome kijana

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 21 день назад

      Wakusoma ni wewe hunaujualokurupuka ndio lenu na kukufurisha waislamu wenzenu mukijiona kuwa nyinyi ndio waislamu safi kama wanyodai mayahudi na huu uwahabi ni uyahudi

  • @SalimMohamedFaraj
    @SalimMohamedFaraj 22 дня назад +3

    Mnajua mnatuchanganya sana sisi wenye elimu ndogo wacha nisome Quran

    • @PrincessMaryam-c1r
      @PrincessMaryam-c1r 22 дня назад

      Aaah wala usiseme Allah atufanyie wepesi mda mwengine mmpk hutamani usiklz chochote kutoka kwa viongozi wetu wa dini maana kila1 anarlimu yk na usibitisho wake asa sisi tulokua na ELIMU ndogo tu nashindwa wapi ni hakki na wapi ni baatwil

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 20 дней назад

      Soma utafaham ndugu yangu sh haji upepo kajitahid ila kakosea sana na hajasoma hadithi

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      ​@@OmarSalum-y9c kakosea wapi au hayo maneno hayamo kwenye kitabu

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 20 дней назад

      Ckiliza ndugu yangu muandishi wa kitabu ni binadamu na wala c mtume na vitabu vyote vina kasoro kasoro msahafu pekee sasa ukikuta kasoro ucseme mawahabi sema ni yeye kapitikiwa na ubinadamu

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 20 дней назад

      Hata ivo vitabu vya kisufi pia vina makosa na ukivisoma utashangaa kasome miujiza ya sh Abdul qadir utasema masufi wote wana mawazo yale hapana ni yeye 2 muandishi

  • @ابنقدامة
    @ابنقدامة 20 дней назад +2

    Upeo wako mdogo sana kaka

  • @abdulmajidbakar6647
    @abdulmajidbakar6647 19 дней назад

    Innalillah wanna illah rajiun, wewe unasema Allah haoni wala hana mkono wakati kwenye Quran Allah ameonyesha kua ana mkono ,Allah hafanani ,akisema ana mkono lakini hufanani na kiumbe

  • @NemaJuma
    @NemaJuma 22 дня назад

    Ustadh haji endelea hvy hvy bila kuchoka.

    • @AbuuswalhaYousuf
      @AbuuswalhaYousuf 21 день назад

      Kijana mdogoo Sufi anakula nyama za wanachuoni, masufi mnapongeza ujinga!

    • @darajanida
      @darajanida 21 день назад

      ​@@AbuuswalhaYousuf.mawahbi tulieni dozi ingie nyinyi ndo mumeleta fitna tena shila adabu yako usitupangie cha kusema mbuzi wewe

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      ​@@AbuuswalhaYousufkama anavo kula tarumbeta la mawahabi muhammad bachu au humuon wacha kasumba mbuzi wewe

    • @AbuuswalhaYousuf
      @AbuuswalhaYousuf 19 дней назад

      @darajanida zafa zinafundisha ukhanithi mwanamme rijali hawezi kukatika kiasi hiki

  • @twahaally7251
    @twahaally7251 17 дней назад

    Sisi tunaamini kuwa; kwa vile Allaah Amesema kuwa Amemuumba Aadam kwa mikono yake basi haiwezekani kuwa Amekusudia kuwa Amemuumba kwa njia nyingine.
    Ndani ya Qur-aan tukufu Allaah Anazungumza na watu wa kila aina, wenye elimu na wasiokuwa na elimu. Na kusudi Lake Subhaanahu wa Ta’ala ni kuwafundisha watu hao waijuwe dini yao, juu ya hitilafu ya ufahamu wao. Kwa hivyo haiwezekani Azungumze nao kwa njia ya mafumbo au majazi akawa Anasema neno huku Akikusudia jambo au neno lingiine.
    Allaah Angelitaka kusema kuwa Amemuumba mwanaadamu kwa Kudra Yake, kwa mfano; basi Angelisema tu, pasingekuwa na haja ya kuutaja mkono.
    N

  • @jumamasoud1188
    @jumamasoud1188 22 дня назад

    Maaashaallah

  • @MussaYasini
    @MussaYasini 20 дней назад +1

    Haji upepo tunakusubir kwenye niqashi ulojigamba kua wataka kufanya na bachu twambie nilini?! Au ndoumeshatoka speed?!

  • @solomomadej
    @solomomadej 22 дня назад

    فهمنا يا معلم وجزاك الله خيرا جزيلا

  • @saidmohamed6543
    @saidmohamed6543 21 день назад +1

    Alafu wew haji upepo wew kila siku unapinga masalafi alafu hamna kundi la mawahabi Bali ni kundi la manhaj salafi alafu wew haji upepo huna elimu kubwa elimu yako ndogo acha kupinga manhaj ya maswahaba wew utakuja kuulizwa na Allah na utakosa majibu acha kiki rudi kwa Allah na ufuate sunna za mtume na maswahaba

  • @Ibrahim-st3uo
    @Ibrahim-st3uo 22 дня назад +1

    Kesho tuletee hicho kitabu Cha Ibana utusomee
    Na sisi tuko mbali na unayotuzuulia

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 21 день назад

      Hakuna kuzuliwa hicho ni kitabu chenu

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      sasa yapinge hayo maneno kuwa niwongo usilete porojo

  • @rushu1232
    @rushu1232 22 дня назад +1

    Jibuni hoja ametaja kitabu niuwongo hicho kitabu sio kumtukana kumkufurisha.

  • @rushu1232
    @rushu1232 22 дня назад

    Hongera sana Haji waambie ukweli japo watakutusi na maneno mabaya lakini hawana hoja.

    • @AbuuswalhaYousuf
      @AbuuswalhaYousuf 21 день назад

      Masufi mpo kama nazi, macho matatu lakini yote hayaoni

    • @darajanida
      @darajanida 21 день назад

      ​@@AbuuswalhaYousufjibu hoja kama unaeza

    • @abdulmwalimu7111
      @abdulmwalimu7111 21 день назад

      Mimi nimemjibu juu nimemwambia namsubir ila naona kimya hadi Sasa kwahiyo mwambieni shekh lawajinga anijibu, naukiwa mjinga hukusoma lazima umuone anaelimu ​@@darajanida

    • @rushu1232
      @rushu1232 21 день назад

      @AbuuswalhaYousuf Alhamdulliah twaswali twasoma twafunga twafanya ibada zote za fardhi na sunnah twaunga vizazi na amal za kheri muhimu tutahukumiwa na Allah sio na fikra zenu.

  • @MordiySB
    @MordiySB 16 дней назад

    nawajulisha tena, sauti ya video zako zimelea upande mmoja wa sikio, sauti haiko balanced, rekebisheni....

  • @AbushekhSalimu
    @AbushekhSalimu 22 дня назад +1

    Ajabu inayo jitokeza nikwamba kunawatu hawajui maana yadalili hicho kitabu kinatowa ushahidi wa watu ambao tunadhani niwenzetu kumbe wanatuona makafiri huku tukiswali nao

  • @twahaally7251
    @twahaally7251 17 дней назад

    ...أَوَلَمْ يَرَوْا أَنَّا خَلَقْنَا لَهُم مِّمَّا عَمِلَتْ أَيْدِينَا أَنْعَامًا فَهُمْ لَهَا مَالِكُونَ ﴿٧١﴾
    Je, hawaoni kwamba Sisi Tumewaumbia kutokana na yale iliyofanya Mikono Yetu;.....

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 21 день назад +1

    Mbona kuna aya ALLAH anasema ,kumwambia shetani ,Kwani nini umekataa kumsujudia Adam ambaye nimemuumba kwa mikono yangu,,kwahiyo ALLAH akisema mikono haifanani na chochote na yy ndiye anayejua mikono yake ikoje

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 21 день назад

      Haya huo mikono wa Allah uko vipi kwa maana mola a asema Hana mfano wakitu chochote nae ni mwenye kusukia na mwenye kuona lete jibu

    • @suleimanmkanga
      @suleimanmkanga 21 день назад

      Mikono hiyo mingapi

  • @Aakhar-z3c
    @Aakhar-z3c 20 дней назад +1

    Huyu hata thanawi hana wala hajaelewa anaenda kujipindua kama jina lake upepo kasome mbona vyuo vipo bado na mtandao upo usiharakie mambo soma kwanza.

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      thanawi ndio ujinga gani kwani tjanawi ndio ilimu au sidarasa tu lile au waonaje wewe

  • @abuuaisha6110
    @abuuaisha6110 21 день назад +1

    Ukifanya jambo moja la kutengua uislamu unakuwa kafiri

  • @AbumuadhikaasimKidocho
    @AbumuadhikaasimKidocho 20 дней назад +1

    Ni kweli mnatetea shirki baadhi yenu na mnapinga sifa za Allah kwani yadullah fauka aidiihim maana yake nini wee ustazi uchwaraa?

  • @Ibrahim-st3uo
    @Ibrahim-st3uo 22 дня назад +2

    Sasa wewe unatwambia sisi tutapata tabu SIKU ya kiyama Umefunga ahadi na ALLAAHU

  • @KameBakari-s2v
    @KameBakari-s2v 18 дней назад

    Tunajua mukitajiwa vitabu vyenu huwa muna umua sana hata kumuzia mtu mwengine hamutaki zaidi munauziana wenyewe kwa wenyewe

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or 21 день назад +1

    Masufi nyinyi hamna mpya kwanini Madh,habi ya itikadi yansbishwe na abulhasan

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      hujui historiya ndio mana kamaunajuwa historia usingesema pumba hizo kaa isome kwanza usikurupuke

  • @RashMash-l1b
    @RashMash-l1b 22 дня назад +2

    upepo mpotoshaji tu ila unawapotosha wasiojielewa.

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 21 день назад

      Njoo wewe unaejielewa uje upinge hicho kitabu chenu

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 21 день назад

    Mawahabi ni mtihani mkubwa katika jamii ya waislanu duniani.

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 22 дня назад +1

    Hata mbingu na ardhi zinawastajabu, mmeachiwa Quran na Hadithi, hayo mavitabu mengine ya ajabu ajabu hayo yameandikwa kwa ajiri biashara na upotoshaji, ha vifai mnavisoma vya nini? Au marumbano ya biashara mitandaoni? Duni ni taswira machoni pa watu.
    Mashehebu mengi mengi ni janga. Watu wataanda kuona siku tu ukifumba macho. Utaonyeswa kuwa haya ndiyo utakayo kutana nayo. Njooni kwa ngu tuongee.

  • @abuuaisha6110
    @abuuaisha6110 21 день назад +1

    Hajj upepo chuki zako dhidi ya watu wa sunnah zitakuuwa

  • @huriyaomar3313
    @huriyaomar3313 20 дней назад

    DUNIA YAENDA PABAYA YAANI MTU UPEPO APOTOSHA WATU BILA ELIMU YOYOTE NA KUNA WAJINGA NA WAPUMBAVU WAONA YUKO SAWA AMA KWELI SHIRKI NA BIDAA NI HATARI KWA UMMA WA KIISLAMU NA WAISLAMU !!!

  • @SelemanAmir-ze8zz
    @SelemanAmir-ze8zz 21 день назад +1

    Haya makundi yanalengo maalum kuyumbisha waislam tu tujitafakar tuendako tunasombws vbaya

  • @abdoumadiousseni4835
    @abdoumadiousseni4835 22 дня назад +1

    nyinyi mnataka uzushi wenu musihabie bali munataka

  • @NemaJuma
    @NemaJuma 22 дня назад

    Bila kuchoka ustadh haji

  • @MhabeshiMaluja
    @MhabeshiMaluja 22 дня назад +1

    Huyu msighurike nae jamani kwanza maashaaghira wameshakufa mda mrefu huyu anajitutumua kunyenyua kichwa ili angalau awapate watakaomshika mkono huyu ni bado mjinga anajaribu kuchafua manhaji ya salafiyya lakini wp...

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 21 день назад +1

    Usilete maneno yako!!!! Kalete hiyo al,ibaana

  • @9119-r4t
    @9119-r4t 21 день назад +1

    Sufu huyu mtu hafai kuswali nyuma yake

  • @shanimpenike7568
    @shanimpenike7568 20 дней назад +1

    upepo bidaa imemtafuna hajielewi kabisa

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      bidaa ni nyinyi mnaozusha tena kwenye akidah ukofaa wahabi kumbuka huna salama toka kwenyekundi la wakufuridhaji

  • @idrisaabkar3760
    @idrisaabkar3760 22 дня назад +2

    kwani huyu nae shekhe au mganga njaa tu ?

  • @NemaJuma
    @NemaJuma 22 дня назад

  • @abdulshakuurmwenda7519
    @abdulshakuurmwenda7519 22 дня назад +1

    Naomba kujua hawa masufi madhehebu yao niipi ktk Uislamu ktk madhehebu nne maarufu ktk Uislamu - nakusudia - madhehebu ya Imaamu Abiy Haniifah, au Imaamu Maaliki, au Imaamu Shafii na Imaamu Ahmad bin Hambal?.

    • @darajanida
      @darajanida 21 день назад

      dah maseali mengine ni ya kitoto kwa wewe ukisikia taswauf wafahamu nini hunaujuwalo kumbe

  • @KombHaji-dr5pd
    @KombHaji-dr5pd 22 дня назад +2

    mawahabi ni tawi la mayahud uwongo ubabaishaji

    • @Saidimkwizu
      @Saidimkwizu 22 дня назад +1

      Ukishakua sufi lazma uwe punguani katika tauheed na uwe muongo sana

    • @darajanida
      @darajanida 21 день назад

      ​@@Saidimkwizuushahid.wa hilo tunaomba

  • @binzubeir6510
    @binzubeir6510 20 дней назад +2

    Huna hoja porojo tupu.
    Mpumbavu.
    Allah hajajithibitishia au humujamthibitishia nyie ASHAAIRAH?!

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or 21 день назад +1

    Haji wewe unakula sumu mwenyeo kutetea bid,aa zakupelekea kuwatusi maulamaa au ndio munafundishwa matusi ndio silaha mcheni Alwah

  • @SadickMussa-g6h
    @SadickMussa-g6h 21 день назад +1

    Nyinyi waabudu makaburi ndo mnao potosha waislamu

    • @darajanida
      @darajanida 21 день назад

      unaweza.ukanipa taarifu ya ibada

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 21 день назад

      Umebaki namatusi huna jengine mungu akuongoze uiyone hakki na kutoka katika taasub

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 20 дней назад

    Kwani hamujui kama ALLAH ana sifa nying za binadamu kama ufalme nguvu ubaya unakuja ukitia kama mfano ukisema ALLAH ana nguvu kama malaika hapa usha kufuru ukisema ana nguvu huja kufuru ukisema yuko juu hujakufuru ila ukisema yuko juu kama malaika kushakufuru jamani someni kidogo musipende midahalo ya kiushabiki usio na faida jamani hii ni dini c mechi ya mpira

  • @AmourAmour-ux3nm
    @AmourAmour-ux3nm 22 дня назад +3

    Kijana kuw na Subra wew

  • @FelixMurishi
    @FelixMurishi 18 дней назад

    Pambaneni wenyewe,hamna jipya😅😅

  • @abughaneem9220
    @abughaneem9220 22 дня назад +6

    Amakweli wewe ni upepo kabisa na huwezi kufahamu hata kidogo nadhani walikupa jina la upepo maana kuelewakwako kuchache kabisa

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 22 дня назад

      Mlikuja na utatu mtakatifu, Bado mnaendelea kuumbuka.

    • @jamalkishangu
      @jamalkishangu 21 день назад +1

      Mawahabi ndio hao wanaojiita answari sunna, au masalafi?

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 21 день назад

      @jamalkishangu Wote hao niwale wa utatu mtakatifu.

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 21 день назад +1

      Abuu ghaneem umetolewa kitabu hicho sasa wewe ni kukisoma hicho kitabu na kuelewa kama hivyo alvyosema haji upepo ni sawa ama kupotosha sio kukurupuka ovyo ovyo

    • @omarabdi3604
      @omarabdi3604 21 день назад

      acha mihemko mpuuz ww

  • @maase2023
    @maase2023 20 дней назад +1

    Yani huyu dogo anaweza kushindana kwa ilmu na hao waliopita??? Mbn maneno yake kama hamna kitu??? Hii youtube na watu wake mbn mtihani

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 22 дня назад +1

    Hili Haji Upepo kumbe ni jinga kweli kweli kwaio wewe unapinga sifa ambazo Allah mwenyewe amjipa na kusema kua anasikia ,anaona, ana mikono, nk. Wewe unapinga heee kumbe . Wewe Haji Upepo na Mjinga kiasi hicho . Rudi tena kasome Dogo.

    • @shanimpenike7568
      @shanimpenike7568 20 дней назад

      mungu hamfichi mnafiq waache wajichomoe diwan tayar sasa huu upepo ndo kajianika tunawaona kweupeee mwenye macho haambiwi ona

  • @UstadhahusnaSteven
    @UstadhahusnaSteven 19 дней назад

    Astaghafirullah!! Wewe kweli wajielewa?

  • @idrisaabkar3760
    @idrisaabkar3760 22 дня назад +1

    tarehe ya nikaash ni lini UPEPOO?

    • @darajanida
      @darajanida 21 день назад

      mawhabi hamuezi nikash msitusumbue bwana kwenye mjadala mnashindwa munakuja.kuleta porojo kwenye akaunt zeny zs yutubu

    • @MussaYasini
      @MussaYasini 20 дней назад +1

      ​@@darajanidaAcha kumtetea bana sie tunataka tumfanye haji upepo kua ubao yeye aje atwambie tarahe anaitoa lini?! Sis twasubir majibu yake

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      @MussaYasini kwani anaetakiwa kutowa tarehe ninani au wewe unajinga tu mawahabi hamuezi mijadala namasuf ndio mana munajikojolea mbuzi nyinyi

    • @MussaYasini
      @MussaYasini 20 дней назад +1

      @darajanida Acha matusi nduguyang nachuki shekh bachu alisema yeye yupo tayar .na upepo akaomba uthur kua yupo bize atakapokua saw atamwambia wapange ajabu mpk leo kajikausha nasio yeye tu hata yule saidi mapiano alikua anajigamba katangaziwa niqashi mpk leo kkauka kama hayupo vile mh .alhamdulillah

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      @@MussaYasini kwanza wewe mbuzi usinipangie cha kuxungumza mawahabi hamna adabu kwahiyo tuliaa nadhani wewe humfatilii ust haji alipanga siku ya kutatibu mjadala baadae pakawa kimya sasa hapo utajuwa shida nikitu gani wakati hata muhammad bachu hajasrma kitu halafu wewe tafiya vitabu usome ilimu haichukuliwi kwenye mijadala

  • @NoelNjementi
    @NoelNjementi 22 дня назад +2

    Uyu aji nikatika watu wamakundi mabaya kbs kama Co ibathi au Shia au kama Co sufi bc atakuwa hamadia

    • @hassaniddihassan9085
      @hassaniddihassan9085 22 дня назад +1

      Sasa shida ikoap si kataja kitabu chenu wenyenu

    • @Mohamedi.12
      @Mohamedi.12 22 дня назад

      waahmadiyya Huwezi kuwasikia mitandaoni au kuwakuta mitandaoni wanajibizana au kubwekeana kama wanyama bana .hivi huwajui waahmadiyya?sisi waahmadiyya tumetulia tu . wachamungu huwezi kuona wanabishana

  • @maalimhalidi7260
    @maalimhalidi7260 21 день назад +1

    Ama kweli wewe ni jinga lawajinga hujui wajibu wako kama shekh? Acha kufitinish waislam

  • @mohamedrashid7864
    @mohamedrashid7864 22 дня назад +1

    Uwahabi ni uhuni

    • @idrisaabkar3760
      @idrisaabkar3760 22 дня назад

      shika adabu yako

    • @mohamedrashid7864
      @mohamedrashid7864 22 дня назад

      @idrisaabkar3760 walimu uwahabi pale saudia Arabia ni mayahudi na wamarekani , mawahabi mna tabia mbovu uvundo uvundo tuu

    • @idrisaabkar3760
      @idrisaabkar3760 22 дня назад

      kua na adabu kwa hao uloaita walim halaf unawatukan

    • @darajanida
      @darajanida 21 день назад

      ​@@idrisaabkar3760 wewe ikitukana so tatizo

  • @AdnanMohammed-l6i
    @AdnanMohammed-l6i 21 день назад +1

    Wewe Haji anapo sema Sheikh Ibnu Baz ww unatakiwa ukae kimya cy typ yako tunataka uje na vitabu vya masheikh wa kipindi chake mana walikuwepo masheikh kipindiicho wakishaaira walikuwepo lete hoja ktk vitabu vyao cy uropokeww acha vitabu viongee cc ww hatukuzingatii nichukizakotu

    • @darajanida
      @darajanida 21 день назад

      ila nyinuo mumrpewa kibal ya kuwajeruh wana chuoni wakibwa tulia wahabi wewe utengenezwe

  • @WardaShabani-nn1xk
    @WardaShabani-nn1xk 19 дней назад

    Soma kwanza uijue haki

  • @KhamisiMulusi
    @KhamisiMulusi 20 дней назад

    Kwanza ndipo tukuelewe ...ebu twambie maana ya wahaabi ni nini

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 22 дня назад

    Na mayahudihawa wakipewa ukweli watamani kuuwa ila ukwali mutapewa kwasababu sukatika waislamu

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi 22 дня назад

    Hongera leo kw kufungua comments ila usiwe km yusuf diwan anapoongea porojo zake hufunga comments na ww nashangaa sheikh mzima tunakutegemea unafunga comments sijajua una maanisha nn na pia je alichokiongea yusuf diwan mganga kuhusu kua ALLAH haitumik peke yake kw miungu ya kiislam bali hutumika mpk kw miungu ya kikitosto hili jambo kwk limekaa vp na ikiwa km ni kosa kw nn unyamaze kimy hali ya kua una elimu na unaliona ama kwakua ni mtu wa maulid mwenzako ndio hata akikosea ukae kimy sheikh upepo ktk hakki usiangalie kasema nani bx tizama hakki kwn allah anakuona na atakulipa kinachostahiki InshaAllah huo ni usia wng km ni muislam mwenzako...

    • @shanimpenike7568
      @shanimpenike7568 20 дней назад

      wanajuana wote wanjia moja hao wapiga ugali ndo maana wanafuchiana siri.hii dini upepo anawapumbaza wasoelewa ndo maana coment zinafungwa

  • @KhamisiMulusi
    @KhamisiMulusi 20 дней назад

    Ehh....huyu kapiga maji kama skosei ndo kaingia kutoa darsa hata hajui anachozungumza...

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 22 дня назад +2

    Ndugu Waislamu njooni katika Dawatu Salafiya hiiii ndio Dawa ya kweli na haki. Ndio Dawa ya haki, Dawa ya Mtume Muhammad Swallahu alayhi Wassalam. Dawa ya Masahaba, Alhamdulillah.
    Masalafy tunachota ELIMU kila leo, Haji Upepo anapapatika na kutapatap tu, Masheikh zetu wako busy na kusomesha Elimu, Wewe Nzi endele kutafuta kula Uchafu na uvundo wa Kisufi

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 21 день назад

      Dawa Gani hiyo ya kumfafanisha muumba na viumbe vyake kwa kusema mola ana macho ana mikono ana miguu yuwacheka muka chukua Aya ambazo ni mutashabihatu na kuzifasiri hivyo hivyo ambapo sio maana yake hii SI kufuru halafu mwadai nyinyi ni watu wa kitabu na Sunnah na dhwahiri yake nyinyi ni mujassima

    • @zanlec7357
      @zanlec7357 21 день назад

      @AbdulkarimShosi Akhy Sisi hatumfananishi Allah na chchte kile Bali tunamuamini kama alivyojieleza yeye Mwenye Allah Subhanahu wataala. Kwa mfano (Allah amesema anaona, na kusikia Sisi tunaamini hivyo na usikivu wake sio kama WA Viumbe wake Yani haufanan kabisaaa na Viumbe, sasa wewe ukisema Allah hasikiii wala haoni utakua n mtu WA Ajabu Sana. ) ttazo lenu nyny mnahisi Ukisema anaona umemfanisha na kiumbe kw7 kiumbe nae anaona, na jee Ukisema haoni hakuna Viumbe vipofu wasioona?
      Dawa ya kweli n Dawatu Salafiya Alhamdulillah

  • @saddiqsaddiq6880
    @saddiqsaddiq6880 22 дня назад +3

    Mashekhe kama nyinyi sawa na mbwa au ngurue pori kazi yenu ni kufitinisha waislam kwa waislam

  • @KhamisiMulusi
    @KhamisiMulusi 20 дней назад

    Haka kanahitaji makofi mawili tu kaende katafute sehemu kalale...ni kashamba sana ...ni kama kanataka kupigwa picha kaonekana kwenye RUclips

  • @alisosola-rb1vc
    @alisosola-rb1vc 21 день назад

    Duh ili kundi la uwahab ni pote lmepotea..

    • @fadhilhelebula664
      @fadhilhelebula664 20 дней назад

      Mawahabi huwa ni makafiri ni mayahudi walioingia ndani uislamu ili wawapotoshe waislam.hongera saana sheikh kwa kunukuu vitabu vyao hao mashetwani mawahabi

  • @silimakhamis7088
    @silimakhamis7088 22 дня назад +2

    Uwahabi ni uvundo😮
    Dini mpyaaa

    • @MussaYasini
      @MussaYasini 21 день назад

      Hahaha yani sunnah namwenendo wamaswahaba ndio mpya ila uzushi ndio ni 😅 unatumia kipimogan ww nduguyangu?!

    • @darajanida
      @darajanida 21 день назад

      ​@@MussaYasini suna ipi mulio nao maehabi zaid ua fitna

    • @saidmohamed6543
      @saidmohamed6543 21 день назад

      Wew ni mjinga uwahabi siyo dhehebu ba siyo dini mpya Bali salafi ni manhaj ya mtume

    • @MussaYasini
      @MussaYasini 21 день назад

      @@darajanida achakuongea kwachuki nduguyang hiv unaweza kusimama mbele ya allah ukadhibitisha kua bidaa ndio usawa na sunnah ni uwahabi?!

    • @darajanida
      @darajanida 21 день назад

      @@MussaYasini nanyinyi piya mwaweza mukathibitisha mbele ya allah kuwa usuf ni.ushirikina kama mnavodai

  • @AllySuleimani-r1z
    @AllySuleimani-r1z 22 дня назад +1

    Hiviwewe siokafiri kweli mtu mwenye akili na aliyesoma hawezi kuwa na akili kamahizo soma wewe umezowea maulidi hunaelimu nenda kasome kwa muhammadi bachu ungekuwa naelimu ungeitisha mnaqasha nawewe wa kidunia unamuona muhammadi bachu anasimama kidunia mwenyehoja aende mbona hutokei Kwa bachu tukakuona hioelimuyako unaongelea kwenye mtungi jitokeze umuite utetee ukhulafiwako

    • @shanimpenike7568
      @shanimpenike7568 20 дней назад

      hatokei huyo ni ubao ili tuelumike kuptia porojo zake ili simba bachu utupe ladha .bachu yupo vzr huchoki kumsikiliza kama nabii wetu alivyokuwa akiwapa elimu maswahaba

  • @faiswalhamza7761
    @faiswalhamza7761 15 дней назад

    Huyu moyo wake unakufuli kamwe haggi hataiyona kwa kiburi chake ktk dini ya Allah. Mtovu wa adabu hakupata malezli ya wazazi wake na km kalelew na wazaz wake bc pia wazaz wake ni km yey , huyo ndio ktk watoto waovu wanaotakiw waisilamu kijingika kw Allah kupt mtoto km huyu.

  • @ShabranAmiriMohamed
    @ShabranAmiriMohamed 19 дней назад

    Ndo tuwafuate kwa maulidi na mahitima?

  • @IbrahimIbrahim-kq1os
    @IbrahimIbrahim-kq1os 4 дня назад

    Wewe mjinga tu

  • @KhamisiMulusi
    @KhamisiMulusi 20 дней назад

    Huyu mtu ni Qur'an ipi anaisoma huyu

  • @RachidaIacine
    @RachidaIacine 19 дней назад

    Ww kiumbe hatari sana, unapinga aya za kuraani na haditsi za mtume (sw) waziwazi, unawasema masheikh wanaojitahidi kumpwekesha Allah pekeake. Ww unataka masheikh wafundishe shirki, na porojo za kidiaa. Muongo mkumbwa ww

  • @KameBakari-s2v
    @KameBakari-s2v 18 дней назад

    Sikuzote mtu akipijwa nafimbo yake lazima achukie na aumie

  • @darajanida
    @darajanida 21 день назад

    mawahab mbona munatoka povu wakati ndokwanza kazi inaaza.sasa

  • @AKAKarimu
    @AKAKarimu 16 дней назад

    wewe kweli ni upepo hujui uvumiapo , weweni mshirikina kabisa na huwezi kupingahata

  • @NuhuAbedi
    @NuhuAbedi 20 дней назад +1

    كذاب

  • @abdulshakuurmwenda7519
    @abdulshakuurmwenda7519 22 дня назад

    Naomba kujua hawa Ash'ariyyah nikina nani? Na wao wanafuata Qur aan na Sunnah au wanafuata nini ktk Uislamu?.
    Huyu Abul-Hasana Ash'ariyy alikuwa ktk madhehebu ya Ah'lussunnati Wal-Jamaaah kabla ya kufariki kwake au alikuwa ktk madhehebu iipi?.

  • @rajahleather2035
    @rajahleather2035 2 дня назад

    Ukijitia ww ni upepo basi kimbunga kita kupata video yako hii nikikaa saa limoja nairadi huna jambo mweupee tena mungunya hujui hata kupangilia mada hapa umeleta malalamiko tu Alhamdulillahi dawa salafiya inapaaa hatari

  • @yahfatmudswiddiq2271
    @yahfatmudswiddiq2271 21 день назад

    سفیه مرکب

  • @SuleimanAbdulla-b2g
    @SuleimanAbdulla-b2g 20 дней назад

    Acha kuvuta bangi wewe

  • @AlmasAbdallah-r3g
    @AlmasAbdallah-r3g 22 дня назад

    Sasa hapo kaongopa nini si ndio itikad zenu hizoo???

    • @zanlec7357
      @zanlec7357 22 дня назад

      Hajui anachokisema kama Masalafy tutaamua kuvichambua vitabu vyevu Vya KISUFI Mtajikuta Mmeshatoka katika Uislamu kabisa kbisa.
      Huyu Mtoto anatutia Aibu Wazanzibar,kwa7 Yuko na Matusi na ELIMU ndogo Sana , sijui kama wazazi wake wako hai au wameshakufa. Pole yake . Kwanz Hana Ufasaha w kuongea

    • @AlmasAbdallah-r3g
      @AlmasAbdallah-r3g 22 дня назад +1

      @zanlec7357 Wallah wanachuoni wa Kisufy wana madudu mengi sana katika aqiidah ambayo mengine yanaweza hata kumtoa mtu katika uislamu.

    • @zanlec7357
      @zanlec7357 22 дня назад

      @@AlmasAbdallah-r3g tena hichi KIHAJI UPEPO KIJINGA SANA KUMBE kwaio Allah kasema mwenyewe kua anaona wewe unataka kubadilisha useme kua Allah haoni yeye n kipofu au?
      Allah amesema anasikia ,wewe unataka kumsema Allah na ubadilishe usema Allah NI kizuwi kua hasikiii au?
      Hivi nyny MASUFI mna nini lakini mbona hamuamini Allah, Sifa za Allah hazitiwi mkono tunapaswa kuamini Moja Kwa Moja, ukiambiwa Allah anashuka kila ifikapo Nusu ya Usiku na kunadi Nani Mweny Madhambi nimsamehe? Nani Mwenye shida nimtatulia fahamu hayo n Maneno ya Mtume Muhammad Swallahu alayhi Wassalam jeee hujaamini? Usijenge picha anashukaje anajua yy mwenyew . JAMANI kaeni mbali Sana na MASUFI N WATU WABAYA SANA SANA TENA SANA

  • @NemaJuma
    @NemaJuma 22 дня назад