Yani wimbo uko very smoothly! Kuanzia melody, mashairi na kila kitu kinachopatikana katika wimbo! Hizi ni aina ya nyimbo zinazoweza igeuza dunia kuwa sehemu salama kabisa! Kazi nzuri sana sana sana sana B2k! Umetisha sana! Sauti yako namna ulivyotembea na hii beat aah noma sana! Vanilla pia umeupiga mwingi sana humu!
B2K broo hii n hit song an video yako n Kali ila natoa ushaur kwako kama utaufanyia kaz ... Kuna maneno mwisho ya kutoa tahadhar Kwa WATU kuhusu hii Sanaa ya video I mean hayo maigizo humu ... Kwann usingeandike Kwa kiswahili pia ?? Vijana weng wa bongo hawajui kiingereza #sillo music forever ... B2K tukutane Kwa TIZO TOUCHEZ MBEYA SOON BROO
💯💯 the best.hit #b2kmnyama to the world 🔥. showing love from 🇰🇪. If it was not for #b2kmyama me singekuwa fan wa bongo.i like your songs brother.Aiming to be an artist like you😮. 😴😴
Kaka ni mdaa sasa vp,naonah kila ngomah zako hit,naomba unibles atah kwa komentiy yako,sasa najua huwezi nikumbukah,hata komentiy nita xhkurh mm ni yuleyule bado nipo nyubani,n nyimbo 3 youtube..naomba koment tu yako.....
@@B2KMnyama Mimi ni yule shabiki yako ambae similiki nyimbo zako Kwene simu ila Kila siku naingia you tube KUSIKILIZA nhoma zako zaidi ya kumi ! Naamini KUSIKILIZA nyimbo online ndo kussuport mziki wako kama sipo sahihi nirekebishe
nmekua for vocation mombasa,, so was in matatu mtwapa naenda kenol nyali center...hii ngoma ilikua inachezwa kwa iyo mat....so ikabidi niulize conductor name of the artist..nliskia raha saana .ilibidi nimlipie ka something ya lunch to conductor...mombasa matatus wanapenda this kind of music...
Na ikiwa mapenzi sumu basi we ndo utaniua mwanadamu ukitaka nihukumu naomba simama kunitetea maana sio mwilini tu ❤❤❤❤❤ vanilla hatar jaman 💕 unaweza ukahis upo dunia nyingine ya mapenz❤❤❤
DMK KADHR From Nksvegaz city Kenya finally Rakhimanir Allah has done it agen @ B2K long time My G..keep it that lit 🎉🎉 King Kiba keep on discovering talent s and mje 254 Nairobi, Nakuru Mombasa City pia 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Daaah! I'm sorry jamani hii ngoma pindi inatoka sikutaka hata kuipa mda wa kuipa sikio nikajua ni zilezile tuu za kawaida tuu. Jana narudi home nakuta wife anaicheki Kwa TV. Kumbe bonge la HIT yaani hapa Nisha I download kila platform. Kwa Sasa hiii ndio My favorite songs kwenye play list yangu kitu kinasoma repeat 🔥🔥🔥🌟 🌟🌟🌟🌟
Hiii imeenda final uneiteka Tanzania nzima lilikua swala la mda dar ndo sehemu pekee ngumu kupenya coz wew Umetokea mkoani but now upo top ngoja tu enjoy mziki mzuri
Aiseee good music good melody bongo fleva ni kali buana sijui tunafeli wapi we deserve better aiseee much love Tim kiba much love b2k ❤though vannila ametisha sana mistari yake wanadam wakitaka nihukum naomba simama unitetee 😍usoni moyoni nimejaa furaha 😊
Nimekuwa wa kwanza mimi kuweka comment nipeni like zangu na comment za kutosha ❤❤❤❤ LALA
Shuusha k2 bro Big Upo
Shuusha k2 bro Big Up
❤❤❤❤
Lala
Tusha #lala
Nyimbo ya mapenzi ambao imejawa na hisia yaani unaweza ukapata faraja kabla hujamuona mpenzi ❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢
Kwel kabis
🎉🎉🎉🎉🎉
Umetisha
Aisee hii nyimbo nasikiliza muda wote
Yani wimbo uko very smoothly! Kuanzia melody, mashairi na kila kitu kinachopatikana katika wimbo! Hizi ni aina ya nyimbo zinazoweza igeuza dunia kuwa sehemu salama kabisa! Kazi nzuri sana sana sana sana B2k! Umetisha sana! Sauti yako namna ulivyotembea na hii beat aah noma sana! Vanilla pia umeupiga mwingi sana humu!
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
I have never expected to Vanilla as King Musician kuvaa mavazi ya jinsi ya kike. Sometimes we better look at #Alikiba
Bonge la ngoma
Nyimbo nzuri sana ila niseme ukweli ile video mliokuwa watu watatu B2k spana na ali kiba naipendaaaaaaaa sananaaaaaaa ❤❤❤❤❤❤❤
Hongera sana vanillah kwa ukubwa ulio nao kwasasa katika game ya alikiba na mondi ww ni mfalme mpya mjini
Zao la makambako mfalme WA Iringa big up blood.
wakukae
B2K X SPANA Mmefanya utofauti na kazi zote ambazo zimetoka mwezi huu , Salute 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Nimeanza mwazoo nipo hapa saiz so #b2kmnyama x #vanillah #lala nipen like comment zote hapa bonge la Song b2k nipo hapa nasubir like comment hapa❤❤❤❤
tuko tunasubil mdaaa
@@B2KMnyamaoya mwanetu b2k lini Tena swax uku
Yooo vanilla ni machine….. from South Africa 🇿🇦 nd still learning Swahili
B2k
Wangapi tulisubiria video ya hii ngoma 🥰😘
Kama umeikubali hii video gonga like hapa
Braza B2K nyimbo nzur sana napenda unavyo tuwakilisha vyema wakusini ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤lala
Mungu azidi kukulinda asante kwa wimbo mzuli sana mwaaa❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huyu vanillah sio wa mchezo chezo🔥🔥
Aiiseee kazi mzuri sanaa nakufuatilia toka kitambo sanaa❤❤❤
A sweet song for good people. Much love from Kenya 🇰🇪
Vaniiila utakuwa watu sio Kwa ukari huu big up San ngomma Kali chupa lakwenda 🎉🎉
B2K broo hii n hit song an video yako n Kali ila natoa ushaur kwako kama utaufanyia kaz ... Kuna maneno mwisho ya kutoa tahadhar Kwa WATU kuhusu hii Sanaa ya video I mean hayo maigizo humu ... Kwann usingeandike Kwa kiswahili pia ?? Vijana weng wa bongo hawajui kiingereza #sillo music forever ... B2K tukutane Kwa TIZO TOUCHEZ MBEYA SOON BROO
Tunasubiri ngoma la mwaka
💯💯 the best.hit #b2kmnyama to the world 🔥. showing love from 🇰🇪. If it was not for #b2kmyama me singekuwa fan wa bongo.i like your songs brother.Aiming to be an artist like you😮. 😴😴
Congratulations on B2K mnyama and VANILLAH. Kiukwel huu? Mziki ni mzuri sana tu? ❤❤❤
Kaka ni mdaa sasa vp,naonah kila ngomah zako hit,naomba unibles atah kwa komentiy yako,sasa najua huwezi nikumbukah,hata komentiy nita xhkurh mm ni yuleyule bado nipo nyubani,n nyimbo 3 youtube..naomba koment tu yako.....
Kama unaona huwu wimbo ni hit make likes vanillah kabixaa spana 💊🐐
✌👌👌
Daah vanilla Kaua sana
Best song ,best directory ongera sana wazeee🎉🎉🎉 🇨🇩
Woo oo oh kazi nzuri kaka💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
Hayaaaaaaa gonga like Kwa b2k mnyama
KING'S MUSIC FOR LIFE 💐 TEAM KIBA WOTE GONGA LIKE HAPA
❤❤
Na hizi nguooooo Sasaaaaa Hayaa😃😃😃
Unyma mwingi Sana b2k😍🙌🙌🙌🙌
Vanilla n msumbuvu sana
Ngoma Kali sana mzee unatuwakilisha vyema kusini daima tupo pamoja mnyama
Hili video likali sana mzee daaa we proud of our talents
Nyimbo nzr video nzr Ila jamaa kuvaa shela sijapenda kabisa au ameshaleft group
B2k unacoment kabla huja aprod nyimbo
😂😂😂😂 tulia kaka
Siku kabla hujapandisha nyimbo twambie uone watu tunao kushabikia mpka tunalia tutakavyo comment
@@B2KMnyama Mimi ni yule shabiki yako ambae similiki nyimbo zako Kwene simu ila Kila siku naingia you tube KUSIKILIZA nhoma zako zaidi ya kumi ! Naamini KUSIKILIZA nyimbo online ndo kussuport mziki wako kama sipo sahihi nirekebishe
nmekua for vocation mombasa,, so was in matatu mtwapa naenda kenol nyali center...hii ngoma ilikua inachezwa kwa iyo mat....so ikabidi niulize conductor name of the artist..nliskia raha saana .ilibidi nimlipie ka something ya lunch to conductor...mombasa matatus wanapenda this kind of music...
2:04 vanilla ni mwanamke tenaa😂😂😂creativity of high level 🔥🔥🔥I appreciate it vanilla👏
Cool broo
Ushoga huo
Kazi kali sana
Sipana noma sana
Na ikiwa mapenzi sumu basi we ndo utaniua mwanadamu ukitaka nihukumu naomba simama kunitetea maana sio mwilini tu ❤❤❤❤❤ vanilla hatar jaman 💕 unaweza ukahis upo dunia nyingine ya mapenz❤❤❤
In love with this song especially that first part oooohmy
Uyo video queen angeyakiwa awe Nice Moshi 😀😀😃mawazo 2
🔥🔥much love from Kenya🇰🇪🇰🇪
Nimekupa maua yako kaka fantastic song na huyo video queen mzuri sana
Unyama ni mwingi sana 💪💪👊👊🤲🤲🙏🙏🇰🇪🇰🇪
Mbena na msukuma to the top ,,yaan home boy na shemeji yNgu..afu mbaya zaid wote Nawajua tangu wanHaxtle nyie maisha msiyakatie tamaa
Finally, been a fan since Nibebe days and Wewe around 2015,always been here!
Hongereni kwa ubunifu mkubwa kichupa kinatazamika bila kuchosha Kaka kinarudiwa mara kwa mara hii NI Movie mazee
Kings music forever 👑
Hii nayo ni moto 🔥🔥🔥much love from 🇰🇪
Bonge la ngomaa, vanillah ameuaa❤❤❤❤
sana bro umetisha sana kwa kazi hii mungu akupe maisha malefu 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Home boy nipo apa naskilizia mzigo
enjoy
Mwana unajua sana hujawahi niangusha kila ngoma unaachia ya moto
Lalala on fire 🔥🔥🔥
Lazma nafasi zipatikane kwa ajili yenu,🎉🎉🎉
#meekjeddy
Kaka hujawahi feliiii b2k🔥🔥🔥🔥 kubwa sana hii8i
Bonge La Hit❤🎉.
Kali sana
Home Boy .... Real Definition of Good Music Beautiful Melodies....🎉🎉 @B2K
Uhakika ✅
Umetudhihilishia kwamb haushuki unapumzika tu❤❤
Safi sana mkuu ulika kimya sema umerudi na bonge la pumbu hongera sana sisi tunapenda vitu vizuri kama hivi hongera mkali
Video 4k quality alaf song ni kali good job bro.zizaboy official a musician from Kenya 🇰🇪
Vannila ni motooo 🔥🔥🔥 kwenye iyo verse ila ubnifu wa mavazi kazingua
Definition of good music🎶❤
🎉🎉
Mwamba wa nyanda za juu kusini afu mwamba wakuimba sema kwa madio queen hunaga unyonge like mbosso khan😂😂😂😂 mnawanyonyaaa saaana
Vannila moto wakuotea mbalii kabisa namuona mbalii huyu jamaa Mungu azid kumtunza ❤
apo umeongea pwent ndug yangu 🙏
Mchawi Dua tu wanangu tuipeleke kings mbali mazee v ni jini
Yaani hawajui vile unanipendelea ❤😢
Kenya ❤❤❤🇰🇪🇰🇪
❤❤❤ nkubali hio nyimbo nakuombea mungu uzidi kutoa Kali tena
B2K never disappoint 🚀🚀 keep going brother ♥️♥️
Thank you very much Tanzania I just got this song from American ❤❤
Keeping the good music alive home boy🎶🎵
Hit song
Dah! unyama ni mwingi sana humu ndan very congrats my brother's 👊👊
Can't get enough of this song😊I need someone i sing for him aki😂
2bk na vanilla asanten kwakunifulaisha
One of the best song 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🔥🔥
DMK KADHR From Nksvegaz city Kenya finally Rakhimanir Allah has done it agen @ B2K long time My G..keep it that lit 🎉🎉 King Kiba keep on discovering talent s and mje 254 Nairobi, Nakuru Mombasa City pia 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
You did it home boy🔥
In town
Siyo poa kaka unajua sana ngoma nii🔥🔥🔥🔥🔥 sana brother
B2K to the world 🔥🔥🔥🔥
Kipigo cha jana sio poa
Tupo na B2k anatupooza tulale
Lala.......Lala.....Lala.....😂❤❤❤❤❤
Like zake wapendwa sijapata like ❤
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪💕
Daaah! I'm sorry jamani hii ngoma pindi inatoka sikutaka hata kuipa mda wa kuipa sikio nikajua ni zilezile tuu za kawaida tuu. Jana narudi home nakuta wife anaicheki Kwa TV. Kumbe bonge la HIT yaani hapa Nisha I download kila platform. Kwa Sasa hiii ndio My favorite songs kwenye play list yangu kitu kinasoma repeat 🔥🔥🔥🌟 🌟🌟🌟🌟
Walae am in love with this song...give me my likes guys
Hiii imeenda final uneiteka Tanzania nzima lilikua swala la mda dar ndo sehemu pekee ngumu kupenya coz wew Umetokea mkoani but now upo top ngoja tu enjoy mziki mzuri
Ngoma kaliiii kinoma 🔥🔥🔥🔥🔥
Vanillah kiboko ka nikumbusha baraka the prince ❤️❤️❤️🇨🇩
This song touch my heart, b2k unaweza sn tu❤❤❤
Mmetishaaaaaa
Much love from+254🔥🔥🔥
Good Project🎉🎉🎉
Magnifique vraiment
Aiseee good music good melody bongo fleva ni kali buana sijui tunafeli wapi we deserve better aiseee much love Tim kiba much love b2k ❤though vannila ametisha sana mistari yake wanadam wakitaka nihukum naomba simama unitetee 😍usoni moyoni nimejaa furaha 😊
Vanillah no1❤❤
Shida hiyo shela🚮
Mmezingua kabisa ..kabisa yani mnavaa nguo zakike mungu samehe hawa viumbe🙏😭😭😭😭😭
Kama unaaminj vanillah ameua mpeni likes zake
Njombeeeeee3
Bonge la combination 🎉🎉🎉😊
Vanilla now umekuwa nomaaa nakuona mbali brother 💥🙌all the best brother