MKE wa Marehemu Prof MAJI MAREFU Yamfika MAZITO, Amlilia MAGUFULI!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 фев 2019
  • MKE wa Marehemu Prof MAJI MAREFU Yamfika MAZITO, Amlilia MAGUFULI!
    IKIWA imepita takribani miezi 8 tangu aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Korogwe vijijini (CCM) Profesa Maji Marefu, afariki dunia, mkewe mdogo aliyefahamika kwa jina la Alwiya Ahmed, yamemkuta mazito.
    #RIPProfesaMajiMarefu
    www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook:
    globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Комментарии • 217

  • @lilyrose4066
    @lilyrose4066 5 лет назад +2

    Ucjali mdogo wangu haya maisha tu.Kuwa na moyo wa subra.Mungu atakusaidia.lnshaallah

  • @gaonechinago3493
    @gaonechinago3493 5 лет назад +2

    pole Dada mungu yupo tena mkenya mwenzetu nakuurumia

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 5 лет назад

    maashaallah cute mam

  • @zinaibrahim7004
    @zinaibrahim7004 5 лет назад

    pole sana dada yangu mwenyezi mungu akupe nguvu na uvumi inshallah

  • @deboramatpapaztv
    @deboramatpapaztv 5 лет назад +4

    Penye wengi kuna mengi Dada. Ulivyofaidi akiwa hi vinatosha.isitoshe we bado mzuri tu..watakuua bureee Dada..wabongo si watu wazuri.

  • @babyyshayo3633
    @babyyshayo3633 5 лет назад +3

    Pole sana my sister kwa matatizo, sijui kwanini jamani uliolewa na mganga na wewe ni mrembo sana na tena ni umri wa baba yako. Vijana angalieni sana kwenye ndoa ambazo mnaingia

  • @wolframchikomo8873
    @wolframchikomo8873 5 лет назад +5

    Jamani ndugu na jamaa wa marehemu Majimarefu. Tafadhali msaidieni huyu dada na muoneeni huruma TAFADHALINI. Huyu ni Binti mdogo sana wa miaka 27 tu na alipendwa na ndugu yenu na halikuwa kosa lake kukumkubalia. Ni binti mdogo aliyepoteza ndoto yake kwa kuingia kwenye ndoa akiwa binti mdogo sana wa miaka 22 (kutokana na cheti chake cha ndoa kinavyoonyesha). Tafadhali msaidieni maana HAKUJUA kama Mungu angemuita mume wake kwa ghafla kama ilivyotokea. Haya mambo ya KULALAMIKIANA haya siyo mazuri ndugu zangu. Hebu msaidieni na Mungu awapeni moyo wa huruma. Mali tunazikuta hapa duniani na kisha tunaziacha. Asanteni sana

  • @babyyshayo3633
    @babyyshayo3633 5 лет назад

    Nimekupenda una hekima sana

  • @bijumakassim3697
    @bijumakassim3697 5 лет назад +1

    Mtihani wallahi pole Sana ila mm nakushauri nyumbani ni nyumbani rudi kwetu Kenya na nnaimani maisha yko yatakuwa vzr tu kwa sababu mumeo alizicha pesa na Mali zote alizo zichuma,so mm nakushauri muachie Allah sister haki ya mtu haizami kbsa Kama kweli ni riziki yko basi itakuja yenyewe,sister ukijiamini utaishi kwa uwezo wake allah,mm nikisimama nieleze nnavyo ishi au nilio fanyiwa na familia ya mume wallahi watu wote watashanga lkn naishi kishuja na kumuamini Allah kila kitu chaenda Sawa na yote hayo namini Allah ndio anae niwezesha,pole Sana sister

  • @juvicufjumuuiyayavijanacuf9538
    @juvicufjumuuiyayavijanacuf9538 5 лет назад

    Mapenzi bwana, Alhamdulilah

  • @karanjakamau57
    @karanjakamau57 5 лет назад +5

    sasa acha hii iwe funzo kwa hawa mabinti wadogo ambao wanaolewa na wazee na sio ya kwamba wanawapenda LA ila issue ni ile hela hao wazee wako nazo, sasa angalia maji marefu alikuwa na miaka 60, na haka kabinti miaka 23, tofauti ya miaka 37, sasa wataka niambia ya kuwa huyu binti hakuwa na kijana wa umri wake ambae alikuwa anamupenda, na je kaa majimarefu alikuwa masikini je huyu binti angekubali majimarefu amuoe? tafuta kijana kaa wewe au akikuzidi azikuzidi na zaidi ya miaka 10, muwe pamoja mutafute mali pamoja, hao mabibi wa majimarefu walijua wewe binti ulitamani utajiri tu wala hukuwa na haja ya majimarefu mweyewe, pole lakini

  • @chachamagoti2400
    @chachamagoti2400 5 лет назад +4

    Wazazi wetu elemikeni acheni kuozesha mabinti kwa wazee. Juzi tu tumeshuhudia Pr kapuya akioa binti. Ndo hayahaya.

  • @hassanmadodi5396
    @hassanmadodi5396 5 лет назад +5

    Majimarefu alijitambulisha kama muslim kwa huyu bint na ndio maana alizikwa kwa dini ya kiislam.
    kwahiyo suala dini kwa mume wake hakukosea.Ndio maana watoto wamebaki kuwa waislam.

  • @azizamkindi1784
    @azizamkindi1784 5 лет назад +2

    Dada mungu atakupa ridhiki nyingine jipange tuu mungu ni mwema

  • @makwirojryg1885
    @makwirojryg1885 5 лет назад +1

    We na urembo wako wala hutadoda Mama kapambane mungu atakusaidia tyu

  • @beatricehassan4877
    @beatricehassan4877 5 лет назад +1

    Majaribu Kwa binadamu ni lazma yatokee, but mungu anakupenda utashinda hay utakua na amani katika Maisha maana bad o bint mdogo in the name of Jesus,

  • @aboubakarkisuju6002
    @aboubakarkisuju6002 5 лет назад +2

    Mbona unazungumzia sana chakula

  • @MrAbdulrahmank07
    @MrAbdulrahmank07 5 лет назад +9

    Dadaangu uke wenza shida halafu wewe uliona umeaingia kichwa kichwa chawengi shida

  • @robertyrwagasanarwagasana7154
    @robertyrwagasanarwagasana7154 5 лет назад +1

    dada daaah pole nipe number yako nitakusadia inshaalah

  • @rehemahramadhani3428
    @rehemahramadhani3428 5 лет назад

    dada yang mshukur mung angalia maisha mengin mbel unaomba pemsas ya mtt dd angalia halyk sasa chan kanga au kiteng mvalishe mtt maziwa mnyonyesh maziwa wk mamb ya kisasa achan nay

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 5 лет назад +6

    Daah mimi na utu uzima Wangu lkn sikutaka kabisa mambo ya kushea Mume,haya mambo ya kuwa mke mkubwa,mke mdogo mi yalinishinda kabisa'na niliyaogopa sana hayo maisha,halafu bora mtu utafute mali yako Aiseee,mali Za kurithi usitegemee sana

    • @hamidudongo1879
      @hamidudongo1879 5 лет назад

      Hata hao wasioolewa zaidi ya mmoja wanadhulumiwa kila siku. Sio suala la tamaa Bali ni utamaduni wa watu. Mbona huko bara ndio kawaida tu na ndio utamaduni wao. Pili huyu mwanamke dini imekwenda kushoto ila kitambaa tu kichwani.
      Makaba ya Kaskazini yoooote ndio utamaduni wao huo . Ni Pwani ndio wanawake wanapata urithi. Tatu amekubali kuolewa kisirisiri na kuwekwa mbali na familia. Hii sio familia ya kidini wala nini.

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 11 месяцев назад

    Je sasaivi umeolewa?

  • @ummyameir266
    @ummyameir266 5 лет назад +3

    mkome kuingilia ndoa za watu na tamaa zenu izo mxyuuu mnaingia mnaharibu kila kitu na wake wa mwanzo tena huwa hawathaminiwi kisa ujio wenu wanawake tupendane na tamaa tuache

  • @athumanshekhe7836
    @athumanshekhe7836 5 лет назад +5

    Tunaooa wake wengi jaman tuandae mazingira mapema on a mateso haya saiv ya huyu mama

    • @amourfaki8737
      @amourfaki8737 5 лет назад

      Uko sahihi sana. Sisi waum lazima tuwaekee mipango hawa wenzetu.

  • @mejumaaalimejumaamejumaaal6901
    @mejumaaalimejumaamejumaaal6901 5 лет назад +3

    Njoo nyumbani utapata ilio rizki yako izo Mali zitawatoka rudi kwetu Kenya mwanangu wenikama first born wangu

    • @DrFatmaKhanPanAfrikan
      @DrFatmaKhanPanAfrikan 5 лет назад +1

      Tena sana, rudi kwenu na watoto wako ukawalelee kwenu ila ukienda uende kwakuaga na watoto uwapeleke kwao kwa bibi na mashangazi .. Mwenye-Enzi-Mungu-Allah-Subhana-Mlezi Akutangulie wewe na mayatima hao, ufanyikiwe . Aamiyn

  • @rehemamdoro5165
    @rehemamdoro5165 Год назад

    Tamaa zinawaponza

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 Год назад

    Nenda mahakamani au Bakwata

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 5 лет назад

    Duuh,,,!!

    • @sidisaid4833
      @sidisaid4833 5 лет назад

      Pesa iyo ukufata dini umefuata pesa

  • @hellenmwayole8715
    @hellenmwayole8715 5 лет назад +1

    Wewe bado mdogo tafuta maisha yako hats ukililia hivyo vihera havikufikishi popote, mnaendaje kuolewa na watu wenye wake zao jamani.

  • @shekhekhandereizer559
    @shekhekhandereizer559 5 лет назад +2

    daaa kumbe bd unalipa Shem ila pole sana asee sema ulikuwa umeshazaanae laiti ingekuwa bdo mm ningekutafuta uje tuzae uku mwanza bdo mrembo Kenya aikosei ase inavitu adimu sana asee pole sna sister

  • @husseinomary4466
    @husseinomary4466 5 лет назад +2

    Hivi marehem alikua dini gani mbona sielew wake watatu kwa iman ipi

  • @zebrongondwe
    @zebrongondwe 5 лет назад +8

    ILA WADADA TABIA ZA KUKIMBILIAGA WAUME ZA WATU SI NZURI,HEBU ONA 60YRS VS 23YRS SI BABAKO HUYO

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Год назад

    haki haipotei mama ,Siku zote familia zetu ni njaa ndio zinasumbua sana na Roho mbaya ,uchawi na chuki ,Sasa dada pambana sana IPO siku Kuna ushindi utakuja maana hao sio watu wazuri kabisa ni maadui kama maadui wengine .

  • @zainabumtubwi263
    @zainabumtubwi263 5 лет назад +2

    Ukikataliwa jikubali TU pole Kwa kufiwa

  • @chayogasperi9783
    @chayogasperi9783 5 лет назад +3

    USAHIHI NI ;
    Aliyekuwa mke wa Profesa maji marefu AU
    Mjane wa Profesa maji marefu .
    Waandishi wetu kiingereza hamuwezi basi hata kiswahili kinawashinda ??

    • @jumahamis227
      @jumahamis227 5 лет назад +2

      Chayo Gasperi vizuri sana kwa kugundua hilo, usahihi ni mjane wa profesa maji marefu na sio aliyekuwa mke wa profesa maji marefu.

    • @neemambisse7041
      @neemambisse7041 5 лет назад

      Chayo Gasperi hajakose coz kaandika mke wa marehemu

  • @salmaelhinai833
    @salmaelhinai833 5 лет назад +12

    Wanawake,watoto,mali ni fitna

  • @mouzahhamed4389
    @mouzahhamed4389 5 лет назад +15

    ww ulipenda pesa tuu hapo, sasa isome namba

  • @mankaswai5411
    @mankaswai5411 5 лет назад +1

    ulikua unaishi nae wpi wakati maji marefu alikua sambamba na wake zake wakubwa,wewe sema ulikua umefichwa na ndio maana kakupeleka dodoma,unapelekwa vip dodoma wakati kwake ni korogwe na mali zote ziko korogwe,ila pole mwaya wewe rudi tuu kwenu maana hujulikani kwa kweli korogwe

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 лет назад

    Mbona wanamwita profesa

  • @husnamarandu8380
    @husnamarandu8380 5 лет назад

    Aliugua?

  • @shabanikitula645
    @shabanikitula645 Год назад

    Ulikuwa huwajui uliingia kichwa kichwa kutaka umaarufu na pesa mama gress alikuwa mzuri kuliko wewe muwe mnaauliza

  • @modestusndunguru4479
    @modestusndunguru4479 5 лет назад +3

    achana nao njoo uolewe huku... wantakusalimia sikumoja..... hizo Mali zitafilisika tuu

  • @hilalisaidseif8483
    @hilalisaidseif8483 5 лет назад +3

    Mkomage tamaa mbele

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 5 лет назад +1

    kwa sheria ya dini ,watu wa dini tofauti hawarithiani

    • @mc-omoro2366
      @mc-omoro2366 5 лет назад

      Tazama shahada ya ndoa inaonyesha walioana kwa ndoa ya Kiislamu , jina lamarehemu limeandikwa Alhaji Maji marefu Stephen Ngonyani . Inaonyesha marehemu alislimu kabla ya ndoa.

    • @ausihaji2398
      @ausihaji2398 5 лет назад

      Amezikwa Kiislamu.jee! Kafiri anazikwa Kiislamu.

    • @danfordaugustino3461
      @danfordaugustino3461 5 лет назад

      @@mc-omoro2366 hakuwa muislam Jamani.

  • @kumulwa
    @kumulwa 5 лет назад +7

    Global tv naomba msada muulizeni alwiya kama ana m-pesa ili niweze kumrushia japo kidogo nilicho nacho.

  • @innocentpaulchillu1512
    @innocentpaulchillu1512 5 лет назад +2

    Unamatatizo we mdada,unaongea habari za misosi,badala ya point za msngi kuhusu watoto

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 5 лет назад

      Anaongea misosindio afya apate pumzi na nguvu ya ku fight

  • @hassantaban5987
    @hassantaban5987 5 лет назад +2

    Hivi ndg mbna munashindwa kuelewa mali zinakuwa za watoto,ndg munamisha mali zinakuwa zenu,jamani ndg muogope kula ya wajane na watoto wao.

    • @bernadethamsaki2921
      @bernadethamsaki2921 5 лет назад

      Jua kuwa c ndugu aliekula mali bali ni mtoto mkubwa wa marehem na mke mkubwa ndo wako navyo, mzee Ngonyani ni ndugu hajala ila ni msemaji tu wa familia na yy mwenyewe amesema mzee Ngonyaji amemwambia subiri!

    • @gsmtzinfogsm8601
      @gsmtzinfogsm8601 5 лет назад

      Sasa siangekuandalia bint, hebu achana nayo maana nae alikutenga nao tangu you hai

  • @saidangel8958
    @saidangel8958 5 лет назад +1

    We nan mpk wakushirikishe walikua hawakujui watakushirikisha nn we malaya ulifata pesa ukajua akifa kuna kitu utapata ukome kiranga koma

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Год назад

    Yaani marehemu wangekuwa wanarudi wakaona yanayoendelea ktk familia zao dhidi ya watoto wao ,HAKIKA wangeona ni Bora wasingerudi duniani tena Kwa uchungu na maumivu makubwa.

  • @samusonibalazingiza3689
    @samusonibalazingiza3689 5 лет назад

    Bint unalipa sana

  • @babyyshayo3633
    @babyyshayo3633 5 лет назад

    Lakini my sister usijali hayo yote MUNGU mwenyewe atakusaidia. Mimi ninaona huyu MUNGU atakupa Mwanaume wako mzuri sana, we achana nao

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 5 лет назад +2

    Mtihani kwakweli, ila mevutiwa na huyu dada,

  • @mussaothmani6273
    @mussaothmani6273 4 года назад

    Pole sn my friend kwa msiba Mungu akupe nguvu na subra . Ila kama hutojali naomba unitafute kupitia namba yangu niko tayari kukunusuru kwa kufunga ndoa mimi na wewe
    255 713912310 /255 752805213

  • @cmsa1r
    @cmsa1r 5 лет назад +2

    Mchawi alikuwa na mkee mzuri eehh

    • @wolframchikomo8873
      @wolframchikomo8873 5 лет назад +1

      Hakuwa Mchawi bali Mganga wa tiba za jadi. Aisee, hawa watu ni wajanja sana na wanajua kuchagua wanawake wazuri na wanabahati ya kukubaliwa na wanawake hao wazuri. Hata kama hana maisha mazuri huwapata wanawake wazuri tu kama hivi. Ni wajanja sana

    • @sadakhamis1261
      @sadakhamis1261 5 лет назад

      Alikua mchawi au mganga

  • @mako331
    @mako331 5 лет назад +9

    Hili ni somo kwa wasichana wengi wadogo kama wewe, kwa nini mnajiingiza kwenye matatizo haya du! Ila pole

    • @hamidudongo1879
      @hamidudongo1879 5 лет назад

      Sasa wewe unataka aolewe na masikini? Huyo watoto wake wanapata haki zake tu Ile kwa sababu hii ni ndoa mseto.

    • @issakawanya648
      @issakawanya648 5 лет назад

      Staraa haibu bibie

    • @captenndunga9385
      @captenndunga9385 5 лет назад

      Kumbe kuolewa ni matatizo nilikua sijui.

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 5 лет назад

      makoiga mg ni ujinga tu wa wanaadamu, uislam umeruhusu na uko wazi ktk suala la kuoa wake wengi,,,,,,

    • @abdifaraji2883
      @abdifaraji2883 Год назад

      Pendo halina mipaka.

  • @danfordaugustino3461
    @danfordaugustino3461 5 лет назад +1

    Waliokuwa wanamshambulia Mzee kapuya angalieni hela ndio kila kitu

  • @eladiuspeter586
    @eladiuspeter586 5 лет назад

    Mnatubania riski sisi vijana wadogo ambao hatuna kitu. Ila anyway wangetumia busara tu Walee hao watoto,

    • @abdallahrunwa1886
      @abdallahrunwa1886 5 лет назад

      Enyi mnayetuma comet zenu kwa kumdhihaki huyu muogopeni Mwenyezi MUNGU waswahili wana msemo kabla hajafa hujaumbuka hivyo basi kwa wale ndugu wenye mambo ya aja ajabu wawe na ubinadamu sababu shida hayichaguwi tajiri maskini mzee au kijana mwanamziki maalufu malihemu mbarak mshehe alituasa hilo leo hilo limetokea kwa mheshimiwa malihemu profesa maji malefu hivyo nasi litatutokea tuu ukiona wenzako wananyolewa weka maji kichwa ndugu sisi ni binadamu tuwache kabisa kuwadhihaki tuwasaidie tuwaombee kwa mwenyezi MUNGU awapunguzie mitihani huo uungwa ndugu zangu...!

  • @mamahustru
    @mamahustru 5 лет назад +2

    Hivi ni nini kina wapa motisha mabinti wadogo kiasi hiki kwenda kuolewa uke wenza tena kwa watu wazima waliopitiliza?

    • @nataemsuya
      @nataemsuya 5 лет назад

      Mbona jibu liwaz PESA TAMU, nani asiyependa raha..

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 5 лет назад

      Wacha kusem hivyo bint wengi ck hizi wake kwa waume wamebadilika mbo na sijui kwa nn jmn ss tizam hiyo sura ya huyo dada na huyo maji marefu hawaendan haswaaaaa

    • @ummyameir266
      @ummyameir266 5 лет назад

      tamaa tuu acha yawakute sasa kuingilia ndoa za watu bila kujua watu walianzia wapi kisha ujilete upewe urithi kajambe mbele

  • @hizim6699
    @hizim6699 5 лет назад

    Hv huwaga ni ugumu wa ndoa ama ni nini hio 65 yrs VS 23yrs eti godfrey mbanyi

  • @deboramatpapaztv
    @deboramatpapaztv 5 лет назад

    Mzee Kapuya nae aandae mazingira sasa...

  • @bernadethamsaki2921
    @bernadethamsaki2921 5 лет назад

    Haijalishi ww ni wa wapi, kama ungekuwa ni mke halali kwa nini alikuwa hataki uchangamane na wenzio??? Kuna jamno hapo na jambo lenyewe wenzio na ndugu hawakutaka mke mwingineee! Hivyo uclaumu au kulalamika sana zaidi ni kuomba watoto wapate haki yao maana ni damu ya prof ww tafuta maisha yako, kama ni kuendelea kuish hotelini haya, au ni kuishi na hao watoto wa kike wa prof haya, dada tafuta la kufanya achana na midia, unavyoonekana ulimpenda prof kwa ajili ya pesa sasa amekwendaaa! Nahis ww ni kama mtoto kwa prof sasa dada pole kwa hilo ila jua ulishakosea tangu ulipokubali kuolewa bila kuhusishwa na nduguu na wake za marehem! Hivyo kile ulichochuma na prof ndo chako hivyo vingine uwe mpole, watu wameishi zaid ya miaka 20 ww miaka 3 unataka haki sawa uuuuwi!!! Swali langu kwako, hauna kazi?? Au ndo ulikuwa upo upo tu na kusahau ya kesho(leo hii unayo lalamika)??? Mirath co rahic kama ufikiriavyo, watu wanakaa hata miaka zaid ya 5!!!dada poleee

  • @ramadhanhussein6008
    @ramadhanhussein6008 5 лет назад

    Jaman mbona wewe bado mdogo saana naomba nikuoe mke wa pili ili uendelee kula neema ya Nchi.

  • @smarty1064
    @smarty1064 5 лет назад +2

    Huwa nawaza halafu nashindwa kuelewa, yaani ndugu yangu afariki halafu nikomalie mali zake? seriously? watu huwa wanaanzaje yaani mtu kachuma kwa jasho lake kwaajili ya watoto wake halafu akisepa unakomaza shingo! duh!

    • @tareqhilal6750
      @tareqhilal6750 5 лет назад

      Mbaya sana haijawahi nigusa mali ya mtu yeyote br..haifai

    • @smarty1064
      @smarty1064 5 лет назад

      @@tareqhilal6750 watu wana tamaa sana aisee

    • @ashminhaabdullah4963
      @ashminhaabdullah4963 5 лет назад

      Mimi hata ya wazazi sipendi kuumiza kichwa yeye kafa mimi ntakaa milele

    • @smarty1064
      @smarty1064 5 лет назад

      @@ashminhaabdullah4963 ndo hivyo watu wanaumiza vichwa juu ya mali za watoto !

  • @peterkatete5645
    @peterkatete5645 5 лет назад

    Wakristo hatuna mtoto haramu wala kimila ukienda mahakamani inaweza kuwa kesi ya kujifunza.

  • @salmahassan617
    @salmahassan617 5 лет назад

    Du! Hii dhuluma ya mayatima jaman itaisha lini maana hili limesha kuwa nijanga tena kwa mayatima na wajane asilimia kubwa mume akifa ni kinacho baki nimanyanyaso ya yatima na wajane.

  • @gemkachar
    @gemkachar 5 лет назад +2

    Wanakutesa kisa wewe Mkenya. Rudi mombasa na watoto wako uishi kwa amani.

  • @rehemahramadhani3428
    @rehemahramadhani3428 5 лет назад

    sasa kwann hakuwakabidhi kil mt kitu chake na kwa maandish

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 5 лет назад +1

    Mimi nauliza hivyo huyu marehemu alikuwa ma dini gani, hata ukakubali kuolewa naye?.

    • @sadakhamis1261
      @sadakhamis1261 5 лет назад

      Maji marefu.. Alisilimu Akaw muislam... Kazi kwa kiislam.... Lakiin familia yake ilikua imegawika nusu islam nusu sio waislam

  • @nadiahussein5570
    @nadiahussein5570 5 лет назад

    Ulifunga ndoa msikitini au kanisani mbona sijaelewa na kama nikanisani wakristo wana ndoa moja naomba kuelewa jamani

    • @abdulazizjuma6202
      @abdulazizjuma6202 5 лет назад

      Nadia hussein maji marefu alikuwa muislam

    • @claudiabakisa8052
      @claudiabakisa8052 Год назад

      @@abdulazizjuma6202 maji marefu huyu alikuwa mfanya mazingaombwe kabla kuwa mbunge au huyu mwingine

  • @godfreywebiro4058
    @godfreywebiro4058 5 лет назад

    Fungua file la mirathi sasa. Hizi social netwok zipo kwajiri ya umbea tu. Watu watakukejeri tuu.

  • @ashminhaabdullah4963
    @ashminhaabdullah4963 5 лет назад

    Mmmh hivi wewe kwelii ulifata mapenzi au pesa ila pole maana leo wewe kesho mimi

  • @dorcaskihiyo3594
    @dorcaskihiyo3594 5 лет назад +1

    Kumbe ulikua unashinda hotel unachotaka nini wasambaa unawajua unawasikia mxiuuu

    • @habibadhikr9406
      @habibadhikr9406 5 лет назад +1

      Huyo alikua haja wajua alizani ataendelea kula baga kumbe anakutana na bada atajiju kutesa kwa zamu

    • @bernadethamsaki2921
      @bernadethamsaki2921 5 лет назад

      Kifupi huyu alikuwa ni wale wawinda wabunge, akawinda pasipokujua anachokiwinda hatimae prof akaona amrdhishe kwa chet cha ndoa, marehem alikuwa mkristu akalazimika kufunga ya kiislam ili kumridhisha asjue ya mbeleni! Nampa polr

    • @ummyameir266
      @ummyameir266 5 лет назад

      hawa ndo wale wanawafata waheshimiwa bungeni waolewe kwa kuendekeza tamaa acha yawakute

  • @shamisalmahruqi1527
    @shamisalmahruqi1527 5 лет назад

    Njoo mimi nitakuoa. Utakuwa mke wa pili

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 11 месяцев назад

    Sasa ww mdada mdogo upifata nn kwa hilo xee?? Ulifata hela,ugaiwe ulichuma nn?? Pumbafu

  • @habibadhikr9406
    @habibadhikr9406 5 лет назад +1

    Aa kumbe ulikuwa wataka sima hapo sima hakuna hapo ni bada kwa kwenda mbele

    • @mligombuma2287
      @mligombuma2287 5 лет назад

      Hahahaaaa sima ni nn na bada ni nn mpnz

    • @habibadhikr9406
      @habibadhikr9406 5 лет назад +1

      @@mligombuma2287 hao ungali wanaita sima lakini liwe gumu kama jiwe na bada ni ugali wa muhogo huyo kakulupuka tu angeuliza kwanza

    • @mligombuma2287
      @mligombuma2287 5 лет назад

      @@habibadhikr9406 aaanhaa sawaa....ahhh nimecheka

    • @habibadhikr9406
      @habibadhikr9406 5 лет назад

      @@mligombuma2287 alipo chezea sipo aulize Maana ya korongwe abiwe

    • @mligombuma2287
      @mligombuma2287 5 лет назад

      @@habibadhikr9406 yaani mradi ye mzimaa bora angerudi kwao kama wanachakumpa watampelekea huko huko Kenya kwao au anatafuta makubwa

  • @Rashidmhedhery
    @Rashidmhedhery 5 лет назад

    Ndio tabu ya kuchanganyika na wasio waislam,

  • @swalehsadik8114
    @swalehsadik8114 5 лет назад +1

    una haki udhurumiwe kwa sababu hata dini yako ulitelekeza na shariti ya kurithi lazima muwe dini moja sasa vumilia mateso

    • @yusufbasiliya1247
      @yusufbasiliya1247 5 лет назад +1

      Acha usenge wako,mumewake alibadilisha dini kuwa mslaam ndo anamuowa!na hakuna binadamu mwenye haki ya kuzulumiwa

    • @mamahustru
      @mamahustru 5 лет назад

      Inamaana wa dini moja huwa hawadhurumu au kudhurumiana?

    • @mc-omoro2366
      @mc-omoro2366 5 лет назад

      Tazama hati ya ndoa ilivyoandikwa jina la marehemu Alhaji Maji marefu Stephen Nyongani. Marehemu alislimu kabla ya kuoa. usizungumze jambo usilolijua.

    • @japhetkessy9446
      @japhetkessy9446 5 лет назад

      Pole sana Dada nitumie account ya bank nikutumie angalao ya maziwa ya mtto

    • @swalehsadik8114
      @swalehsadik8114 5 лет назад

      @@yusufbasiliya1247 asante kwa kunitukana Allah akuzidishe mwana haram ww

  • @bonim5517
    @bonim5517 5 лет назад +1

    Wanawume, muacheni kuharibu maisha ya wasichana, wakati munajuwa muko na familia ambayo imekubalika. Munakuwa waroho tu bila kufikiliya. Mutasema nini mbere ya Allah?
    Wasichana na nyiye, mufikiliye mala mbili, kabla ya kuwolewa na mwanawume mwenye familia .

  • @safiayussuf9308
    @safiayussuf9308 Год назад

    Ww unasema ni muislam. Na huyo ni mkiristo ss umeolewa vp? Hiyo dini nipii?ni hiyo Tama zenu tuu. Na huna dini ww.

  • @habibadhikr9406
    @habibadhikr9406 5 лет назад

    He dada vitu vyote umetaja ndio ule mkoba wa unganga mbona hukutaja uchukue ukasaidie wenzetu wakenya nao

  • @tatut3889
    @tatut3889 5 лет назад

    Mke wakapuya ukuje uku usikie 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃

  • @oyay2821
    @oyay2821 5 лет назад

    Huo ukumbi unaleta pesa za haramu za tembo na uasharati ndio maana kukawa na problem

  • @queenshomba8412
    @queenshomba8412 5 лет назад

    Waume za watu sumu

  • @agnesmwangombe6999
    @agnesmwangombe6999 5 лет назад

    Wewe ulikuwa mpango wa kando basi hayo ndio matokeo yake

  • @hajikhatib8840
    @hajikhatib8840 5 лет назад +1

    Wewe kwanza nikuulize uliolewa kwa dini gani !!!!?????

    • @ausihaji2398
      @ausihaji2398 5 лет назад

      Hilo swali lako ni Ujinga .HIVI maji marefu hujui amezikwa Kwa Dini gani?

    • @hajikhatib8840
      @hajikhatib8840 5 лет назад

      @@ausihaji2398 c.ujinga !! Couz kuuliza sio ujue na ndio maana nikauliza na ingekua nimeona alizikwa kwa dini gani !! Ningejua my self !!! Xo cdhan kua huo ni ujinga ..ujinga unarudi kwako !!!!

    • @mc-omoro2366
      @mc-omoro2366 5 лет назад +1

      Aliolewa kwa dini ya Kiislamu marehemu alislimu kabla ya kumuoa angalia hiyo clip kimeonyeshwa cheti cha ndoa na aliyemuozesha ni Sheikh Alhadi sheikh mkuu wa mkoa wa Dar-es-Salaam.

    • @claudiabakisa8052
      @claudiabakisa8052 Год назад

      @@mc-omoro2366 profesa maji marefu ndiyo alikuwa mfanya mazingaombwe kabla kuwa mbuge au huyu mwingine?

  • @africa7479
    @africa7479 5 лет назад +1

    mlikutan wapi sasa mmmh!

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 лет назад

    Kumbe huyu ndio mganga mtimkavu nilikuwa namsikia sana huyu mganga

    • @claudiabakisa8052
      @claudiabakisa8052 Год назад

      Maji marefu na mti mkavu nilikuwa nawasikia toka utotoni.

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 5 лет назад

    hamna watu wabaya duniani kama ndugu

    • @alphasjoseph7542
      @alphasjoseph7542 5 лет назад +1

      Na hakuna watu wazuri pia duniani kama ndugu coz hao ndo ukipata shida hata kuugua watakubeba kwa haraka kwenda hospitalini kulikoni kuliko mtu yeyote,cha msingi tuishe na ndugu zetu kwa upendo.

    • @claudiabakisa8052
      @claudiabakisa8052 Год назад

      @@alphasjoseph7542 kabisa yani

  • @shariffshuza4761
    @shariffshuza4761 5 лет назад

    Alwiyah pole kW matatizo mm npo tyr kukupa faraja so ukiwa tayar ntafute npo zenj

  • @kuchimillionaire6683
    @kuchimillionaire6683 5 лет назад +2

    Prof gani wewe? sema mganga wa Jadi.

  • @babyyshayo3633
    @babyyshayo3633 5 лет назад

    Shida yote iko kwa huyu mganga hakuandi yake

  • @abduljamadar9227
    @abduljamadar9227 5 лет назад

    Sasa tangazo la tatu mzuka limeingiaje

  • @habibadhikr9406
    @habibadhikr9406 5 лет назад +2

    Hiyo ndio tanga bwana ukiingia kichwa kichwa imekula kwako hapo tuna wezana wenyewe yani sisi kwa sisi watu wa kwamsisi

  • @habibadhikr9406
    @habibadhikr9406 5 лет назад +4

    Kwanza Pole kwa kufiwa na nimekusikiliza nikajua utaongea la maana kumbe unaongea habali za chakula pumbavu ongea ulisi wa watoto hapo sio kula vipi wewe mkamba

    • @sidisaid4833
      @sidisaid4833 5 лет назад

      Walahi mitiahani dadangu utamwambia vipi mwenyezi mungu wajua bwanako ni munganga pesa zake niaram mapato yake ni aramu

    • @juvicufjumuuiyayavijanacuf9538
      @juvicufjumuuiyayavijanacuf9538 5 лет назад

      Nilikua sijakoment, comment yako ila nimeona hilo

    • @bernadethamsaki2921
      @bernadethamsaki2921 5 лет назад

      Ndoa yao ni ya kufos, na usikute alikuwa ni shost wa mtoto wa marehem hatimae baba akamweleza mistar yake! Pole weee

    • @habibadhikr9406
      @habibadhikr9406 5 лет назад

      @@bernadethamsaki2921 bola wampe mkoba wa Uganda magali yatamsumbua bola kitendea kazi akaseidie ndugu zetu wakenya nao

    • @habibadhikr9406
      @habibadhikr9406 5 лет назад

      @@sidisaid4833 nashangaa anataka magali tu bola achukue na mkoba wenyewe ukasaidie wenzetu wa Kenya nao

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 5 лет назад +2

    Waharabu koko mmezidi taama. Wewe ni jizi. Subiria na yule wa Kapuya msaidiane kulia

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 5 лет назад

      Hadbunallah Waneemal Wakeel

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 5 лет назад

      Rahima sema pitisha istighfar duh ujuwe kwamba hizo chuki zenu na waarabu mpaka umwite mwenzio mwarabu koko kutwa waheshimiwa wenu kutwa wako arabuni kutafuta misaada rudi kwa MMungu wako

    • @RamadhanAli
      @RamadhanAli 5 лет назад

      Hujavuka uwendako, mushukuru Mola wako na umtake msamaha, safari ya mwenziyo usiyoijuwa usitiye neno bila kuwa na akiba ya neno.

    • @ummyameir266
      @ummyameir266 5 лет назад

      wallah mijanajike mengine tamaa tu acha yawafike shenzi kuingilia ndoa za watu hujui walitokea wapi leo ulilie urithi tafuta chako km rahisi

  • @flightclubtanzania1638
    @flightclubtanzania1638 5 лет назад

    Bado chomboooooo

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 5 лет назад +1

    SASA unataka nini. Mnaingilia ndoa za watu ngoja ukome

  • @saidimwishehekienda933
    @saidimwishehekienda933 5 лет назад

    TANGA TENA KTK UBORA WAKE , TANGA KUNANI???

  • @alven5202
    @alven5202 5 лет назад

    Ndo mkomage binti mbichi kabisa unaenda olewa na lizee kisa pesa sasa umezipata

    • @abdulazizjuma6202
      @abdulazizjuma6202 5 лет назад +1

      Exson Mwakibinga acha ujinga

    • @abdulfatahalsisy400
      @abdulfatahalsisy400 5 лет назад

      Mama vuta subraa utapata mbele ya allah lakini dada kueki makini punguzeni tamaaa mtaingia mkenge kwa ajili ya mali

  • @festomangile1478
    @festomangile1478 5 лет назад

    mkenya nenda kwenu unavamia waume za watu nenda acha kutafta kiki

    • @fortunatajohn9256
      @fortunatajohn9256 5 лет назад

      Yani tamaaa imekuponza unaolewaje mtu akutambulishi kwa ndugu zake..na sheria ya dini wake wenzio ilipashwa wajue..we mshukuru mungu kwanza hutoishi kwa aman jiendee kwenu...unatamaa unataka ela za rambirambi ili iweje

    • @mambonimotoewuser4888
      @mambonimotoewuser4888 5 лет назад

      Pole mama