HALF KEKI ZA BIASHARA ZENYE FAIDA KUBWA/HALFCAKES/KANGUMUU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 196

  • @sollyamojoamojong8154
    @sollyamojoamojong8154 3 года назад +6

    Thanks alot may God bless you,this is what I was hoping to know alot, God has brought you with a purpose to show up

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  3 года назад +2

      Ameen my Love kwasote and thank you soo much for stopping by

    • @sollyamojoamojong8154
      @sollyamojoamojong8154 3 года назад

      @@HadijaSheban may God add you knowledge dear

  • @clairewairimu9054
    @clairewairimu9054 2 года назад +1

    First time I trying, and it turned out crunchy and delicious, your instructions are simple, easy to follow, and the results are awesome. Thank you

  • @Habibawairimu
    @Habibawairimu Год назад +2

    alhamdulillah i was suching for u habibty i will join

  • @SleepyAzaleaFlower-ub3gy
    @SleepyAzaleaFlower-ub3gy Год назад

    I like your work and teachings

  • @KulwaAlphonce-e6e
    @KulwaAlphonce-e6e 11 месяцев назад

    MUNGU hakubaliki sana nimebalikiwa Kwa kukusikiliza wewe na kuongezeka juu ya upikaji huo

  • @rehemamvungi5514
    @rehemamvungi5514 2 года назад +2

    Mashaalwa nimependa sana Mimi mwenyewe napika ila zako ziko zuuri

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 года назад

      Awww asante sana kipenzi nimefurahi

  • @JasminRajabu
    @JasminRajabu Год назад

    Asante da hadija mwenyezimungu akupe maisha marefu

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  Год назад

      Ameen my love asante sana kwa dua nzuri

  • @eugeniajoseph7937
    @eugeniajoseph7937 2 года назад +1

    Asante Sana Hadija, unaeleza vzr Sana na kwa upendo! U' r, a true inspiration for other woman! Keep up a good job! Inshallah na Allah akubariki 🙏

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 года назад +1

      Thank you soo much dear and thanks to you too much love for the support don't forget to share na Ameen may you also be Blessed 🤲🤲

  • @mwesigwaharryskkk8475
    @mwesigwaharryskkk8475 2 года назад +1

    Thanks for teaching me dear l have learnt l appreciate

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 2 года назад +1

    Thanks madam khadija kwa kweli napenda sna na naamini nitajivunia kwa kkufatilia 🥰🥰🥰🥰🥰😋

  • @PaulOyan-x4v
    @PaulOyan-x4v 3 месяца назад

    Kwakweli umenisaidia sana mungu akubariki

  • @rehemaoyier5587
    @rehemaoyier5587 Год назад

    NI nzuri Sana Ubarikiwe Sana Madam Hadija

  • @fauziaomar3193
    @fauziaomar3193 3 года назад +1

    Ameeen
    Allah Bariq Habibty

  • @mercyofgod9243
    @mercyofgod9243 2 года назад

    Shukran sister.... Nime'learn Sana.... Mungu akubariki

  • @alisalum8908
    @alisalum8908 3 месяца назад

    Shukrani Habibty

  • @LifeTogether000
    @LifeTogether000 3 года назад

    Good preparation delicious recipe good video

  • @SharletOnyango-l4i
    @SharletOnyango-l4i 2 месяца назад

    Wow love it

  • @FaidhaLyimo
    @FaidhaLyimo 4 месяца назад

    Asante sana ubarikiwe

  • @scola833
    @scola833 2 года назад

    Nashukuru sana kwa daraxa zuri nmeelewa but lazima nichomee kwenye jiko la mkaa2

  • @Ommyjr-en9fc
    @Ommyjr-en9fc Год назад

    Masha Allah

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 2 года назад

    Nimependa unavyoelekeza safi sana

  • @ruthrioba1491
    @ruthrioba1491 9 месяцев назад

    Mum Asante kwa hii resipu

  • @georginasebastian832
    @georginasebastian832 Год назад

    Asante kwa maelekezo

  • @ummuipty789
    @ummuipty789 2 года назад

    Amiiin yarabby Shukran sanaa

  • @prospernsengiyumva1905
    @prospernsengiyumva1905 2 года назад

    May God bless you unatusaidia sana

  • @SharonandFamily
    @SharonandFamily 3 года назад +1

    Ningekua huko nianzishe hii biashara. Halfcake zinakaa tamu kesho nijarabu hii for breakfast. Happy new month sis

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  3 года назад

      To you too sis hii inafaa sana huku kwetu thanks sis❤❤

  • @يلا_نطبخ
    @يلا_نطبخ 3 года назад +1

    Very beautiful 🌹🌹

  • @Farhiya-b8f
    @Farhiya-b8f Год назад

    I dont have baking powder,want to make for just me alone for my breakfast. Will it be bad if i dont put?

  • @JovithastiviniJovithastivini
    @JovithastiviniJovithastivini Месяц назад

    Jaman mbona mi nikipika madaz Aya pasuki naomba unifundeshe jamn

  • @paulmwangi6675
    @paulmwangi6675 2 года назад +1

    Asante mrmb

  • @DenizeMugisha-hi2kt
    @DenizeMugisha-hi2kt 9 месяцев назад

    Thanks Hadi hii imekua ya msaada kwangu❤❤

  • @HamadRajab-o5l
    @HamadRajab-o5l 2 месяца назад

    Amina nisiweke?

  • @rizikimsesula8730
    @rizikimsesula8730 Год назад

    Nice mumy

  • @YoungmannUg
    @YoungmannUg Год назад

    Wow

  • @JoyWangui-em9yq
    @JoyWangui-em9yq 7 месяцев назад

    Asante sana,na plz nisaidie nieze kupika za bizna

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  6 месяцев назад

      ziko andika halfkeki za biashara hadija zitakuja

  • @hashimuliloto8017
    @hashimuliloto8017 Месяц назад

  • @HamidKhan-sb2xk
    @HamidKhan-sb2xk 2 года назад +1

    Sallam waleikum dada hadija alhamdulliha kwa resipi yako nzuri . J namba yako ntapata kwa ajili ya msada zaidi. Asante

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 года назад

      Waaleykhm mussalam njoo insta najiita Didashebbs_Kitchen

  • @allyjuma7285
    @allyjuma7285 Год назад

    Je hawek amira

  • @veronicamiracle2147
    @veronicamiracle2147 11 месяцев назад

    How many grams was the flour?

  • @SadaNusra-dt5tx
    @SadaNusra-dt5tx 3 месяца назад

    Réveil

  • @Maddiart-1K1
    @Maddiart-1K1 3 года назад +1

    Nice recipe 👌

  • @CeciliaJuma-f8b
    @CeciliaJuma-f8b Год назад

    🙏🙏 kipenz

  • @SalahMwashuya-uc9xq
    @SalahMwashuya-uc9xq Год назад

    Uko wapi

  • @subiraalmasi5059
    @subiraalmasi5059 2 года назад +4

    Samahani naomba kuliza mie huwa napika lkn naweka bkn soda na hamira ya chenga je ni sahihi maana kuna watu naskia wakisema harfu cake hupikwa na hamira moja je ni kwer

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 года назад

      Tumia baking powder na soda

    • @subiraalmasi5059
      @subiraalmasi5059 2 года назад

      Kuna baking poda na soda na hamira ya chenga inayoumua andazi haiwekwi ni izo tyu soda na poda

    • @raheelolne8625
      @raheelolne8625 6 месяцев назад

      ​@@HadijaShebanni lazima nitumie baking soda na powder Kwa pamoja au kimojawapo

  • @maryrogers7141
    @maryrogers7141 Год назад

    Hongera kwa mapishi mazuri swali kuhusu baking powder na baking soda zikikaa muda mrefu pasipo tumika ukaja tumia je halfcake zako zitakuwa katika muonekano gani?

  • @MoshyTina
    @MoshyTina Год назад

    Nzuri kwel nimefata process zote but zimekua ngumu sana na hazijapasuka lkn zimeiva na nitam wap nakosea msaada plz

  • @rosecharles9284
    @rosecharles9284 2 года назад +2

    Jaman kumbe half cake haziwekwi Amira?

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 года назад

      Ziko za kila aina kipenzi ila sana huwa haziekwi hamira

  • @salimagulamu4083
    @salimagulamu4083 3 года назад +1

    Mashallah nusu kilo umetoa halfcake ngapi

  • @angiepesh2381
    @angiepesh2381 Год назад +1

    I wish I knew Swahili they look tasty

  • @ibraabuemu9231
    @ibraabuemu9231 2 года назад

    Maa sha ALLAH

  • @shekenyatv4217
    @shekenyatv4217 3 года назад +2

    Aiya this is what i was watching, i mean the other video ulifanya ka hii

  • @LilianKasaya-nr3vt
    @LilianKasaya-nr3vt Год назад

    Naweza choma half keki na gesi

  • @hildakilufi8778
    @hildakilufi8778 2 года назад +1

    Naomba ujisaide picha ya Baki ng poda zinazotumika kwenye hafu kek

  • @LangatRobert-c5f
    @LangatRobert-c5f Год назад

    Ntajaribu

  • @clarachebet3263
    @clarachebet3263 Год назад

    Niandikie recipe

  • @MONALISAARTARENA
    @MONALISAARTARENA 3 года назад +1

    Looks so great😍 yummy😋
    Keep up and stay connected ❤

  • @rehemamvungi5514
    @rehemamvungi5514 2 года назад

    mashaalwa

  • @muroniderrick8676
    @muroniderrick8676 2 года назад

    I like it

  • @sipangwingwi7766
    @sipangwingwi7766 2 года назад +1

    Give measurements for 2kg pls, 😍 🇰🇪

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 года назад

      Kindly check my new video nimeeka ya 3kg also kama hutaona just double the ingredients

  • @safiayussuf9308
    @safiayussuf9308 2 года назад

    Mbona hamira yasoda hukuweka?

  • @hiralifestyle
    @hiralifestyle 3 года назад

    lk for u🌷🌹🌺

  • @ConceptaNgunene-ex6xj
    @ConceptaNgunene-ex6xj 10 месяцев назад

    Uko sawa

  • @Georges.Kitchen
    @Georges.Kitchen 3 года назад +1

    ❤️🔥❤️

  • @GovenMolel
    @GovenMolel 11 месяцев назад

    Nzur

  • @nakiryadaffin6984
    @nakiryadaffin6984 Год назад

    ❤❤❤❤❤

  • @joanagola5556
    @joanagola5556 Год назад

    Hivi sio lazima kutumia baking soda kwa kupika half keki?

  • @saidasalum7460
    @saidasalum7460 9 месяцев назад

    Kwani aziweki amila?

  • @KulwaAlphonce-e6e
    @KulwaAlphonce-e6e 11 месяцев назад

    Unaweza tiya hamila

  • @lilliannyambu5782
    @lilliannyambu5782 2 года назад +1

    I tried to make half but zlikuwa ngumu sana n hazikupasuka.plz assist.

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 года назад

      Hi dear kupasuka ulizipa mda hata 10min kabla uchome hakikisha usikate nyembamba sana sometimz zinagoma kupasuka ila raha zikipasuka angalia my other video Ya Halfkeki

  • @Tatw-s3x
    @Tatw-s3x 10 месяцев назад

    Hamira hutumii

  • @sakinaabdulrahman5395
    @sakinaabdulrahman5395 3 года назад +1

    Umm asmaa wengine wasema watia maize flour kidogo ni kweli haya? If yes zinakua vp

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  3 года назад

      Sijawahi jaribu mpenzi labda tujaribu

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  3 года назад

      Maybe wanataka ziwe crunchy

  • @shebanishebe7866
    @shebanishebe7866 3 года назад

    Ni tamu sana

  • @neemakullaya7221
    @neemakullaya7221 2 года назад +1

    Waoo yani naangalia leo 1st November nime sikia anasema happy new months I thought ni ya mwezi huu kumbe ni November ya last year
    -

  • @paskalineodhiambo3530
    @paskalineodhiambo3530 Год назад

    Nilifuata masharti ikatoka poa shida ni nina toa kidogo sijui nilikosea wapi?

  • @mombasaraha1502
    @mombasaraha1502 3 года назад +1

    Kisha hizi hukaa siku ngapi kabla itupwe au ziwe .ngumu haziliki?

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  3 года назад +1

      Huwa yategemea ukiziacha wazi hazikai sana week zafika ukizihifadhi vizuri

    • @mombasaraha1502
      @mombasaraha1502 3 года назад

      @@HadijaSheban asante sana dadangu nakupenda buree bila hata kuweka sukari haha

  • @lornachebet7020
    @lornachebet7020 2 года назад +1

    Black hands, wueeh!!!!

  • @janetndumi1513
    @janetndumi1513 2 года назад

    Lakini kuna tembe nyeupe umeweka nini hio?

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 года назад

      Tembe gani tena kila nlichoeka nimetaja love

  • @NorahStarnley-i6r
    @NorahStarnley-i6r 7 месяцев назад

    Umetumia unga gani wa ngano dada

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  6 месяцев назад

      unga wa kawaida All purpose flour wowowte

  • @tiktoktanzania2832
    @tiktoktanzania2832 2 года назад

    Nimejaribu but mbona yalikuwa yanamupuchuka kwwny mafuta,,mafuta zimenyonya,,yani nimevurunda kabiza

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 года назад

      Nieleze umefanyaje nitajua ulipokosea ama moto ulikua mdogo sana je ulikua unaongeza na kupunguza ama

    • @tiktoktanzania2832
      @tiktoktanzania2832 2 года назад

      Moto haukuwa mdogo ,kwanza ziliungua

    • @tiktoktanzania2832
      @tiktoktanzania2832 2 года назад

      Kile kikando kilikuwa kilaini nikiwa naongeza unga

    • @tiktoktanzania2832
      @tiktoktanzania2832 2 года назад

      Nahisi niliweka kilaini sana coz process zote za kuweka
      Unga ,nikaja chapa mandashi japo nilizidisha co sijajua kipimo,nikaja maji mafuta nikaweka vijiko vitatu vya chakula,nikaja na maji ya uvugu vugu,,unga wenyewe niliweka robo kilo

    • @tiktoktanzania2832
      @tiktoktanzania2832 2 года назад

      Lakini kitu nilicho toa ,,hata mwenyewe sijala,home wananicheka wananiambia naharibu mafuta ,

  • @ClaraKiria-be1gd
    @ClaraKiria-be1gd Год назад

    Kutengeneza kalmat

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  Год назад

      nishaeka video shuka chini ama search Hadija Kaimati

  • @fauziaomar3193
    @fauziaomar3193 3 года назад +1

    Nisambazie na chai

  • @damarismwawiro6897
    @damarismwawiro6897 2 года назад

    Nimependa unavyo elezea. Kwanza mambo ya biashara🤔🤔🤔

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 года назад

      Asante sana kwa support pls share

  • @fridambithi6874
    @fridambithi6874 8 месяцев назад

    Unga ni self raising

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  6 месяцев назад

      ukieka baking powder usitumie selfrising

  • @NonivyShan
    @NonivyShan Месяц назад

    Nimefuata kila kitu but imekuwa kama ugali kwa mafuta sijui nilikosea wapi

  • @tecklaphilipo2986
    @tecklaphilipo2986 2 года назад +1

    Me napika keki za biashala ila mbona nnje zinakua ngumu

  • @Elim_The_Poet
    @Elim_The_Poet 3 года назад +1

    Yummy 😋🤤

  • @salmaselemani-q9l
    @salmaselemani-q9l Год назад

    Kumbe hamira hawatii eeh dada

  • @jacobvenantkomba
    @jacobvenantkomba 6 месяцев назад

    mafuta natumia kijiko cha chai au

  • @badawyhaji9288
    @badawyhaji9288 3 года назад +1

    😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋

  • @stansiauisso5441
    @stansiauisso5441 10 месяцев назад

    Samahani nipo Nairobi nauliza kwa unga kilo 2 zinatoka hafcake ngapi za sh 10

  • @angelamulelwa5819
    @angelamulelwa5819 2 года назад

    Mimi nimefata masharti yote ila ya mekuwa magumu ni kwa nini

  • @mwanaishambaruku9258
    @mwanaishambaruku9258 Год назад

    Amila ueki

  • @IreneMideva-h5b
    @IreneMideva-h5b Год назад

    Iko poa

  • @giliadmugeta9136
    @giliadmugeta9136 2 года назад

    Sa dada me nakaanga half cake lkn mbn hazvmbi kama haziwekew hamira

  • @quashartsandcrotchets4715
    @quashartsandcrotchets4715 2 года назад +1

    Ukieka yeast itakua aje

  • @essiehtracieh2279
    @essiehtracieh2279 3 года назад +1

    maji ni moto ama baridi

  • @mombasaraha1502
    @mombasaraha1502 3 года назад +2

    Hujasema umetowa. Vioande vyingapi cost yake shingapi na faida ningapi

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  3 года назад +1

      Yes sikusema sababu zilikuwa zinaokotwa okotwa ila nimeeleza ukitymia mobile utapata zaidi ya zangu kama ni za 5bob

  • @clairenjiru2553
    @clairenjiru2553 2 года назад

    Give instructions for 6kgs please and especially when using baking soda

  • @Esther-kp8ug
    @Esther-kp8ug 8 месяцев назад

    Chumvi

  • @shelaghskitchen
    @shelaghskitchen Год назад

    Leo lazima nipike half cake kwenye channel yangu

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  Год назад +1

      All the best

    • @shelaghskitchen
      @shelaghskitchen Год назад

      @@HadijaSheban I tried but I guess nilikata vidonge vidogo but zilikua tamu sana. Thanks🙏