Ushuhuda: Abel Suleiman, part 01 of 05

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 76

  • @norahmulandam9891
    @norahmulandam9891 8 лет назад +2

    Glory to God Yesu ndiye njia ya kwenda kwa baba yetu aliye mbinguni..👍👍👍u hv made agood dicision my bro may God bless u.

  • @braysonkabobo6257
    @braysonkabobo6257 7 лет назад +3

    andiko la unabii linatimia kidogo kidogo wengi wataokolewa kwenda kwa Yesu ivyo injili bado inaenezwa mpaka uarabun Yesu anatupenda mkristo ni yule aliyeokoka na kumkili Yesu kuwa mwokozi mkristo sio jina kama brayson john na happy baba katk jina la Yesu atusamehe sisi sote amina

  • @charlesanthony7170
    @charlesanthony7170 6 лет назад +2

    EE BWANA YESU KRISTO nakuomba utufanye NURU katika maisha yetu

  • @saidiclementine1719
    @saidiclementine1719 8 лет назад +2

    barikiwa sana Mtumishi.hata waongehe wao ndio walio katika njia zaki shetani.hendeleza injili yake Mungu ili mataifa ipate kumjua Mungu wakeli aliye ndani ya Kristo na wala sio mwamadi.

  • @salehlofy4251
    @salehlofy4251 7 лет назад +2

    Tunajua sisi waislam Yesu anatupenda sana tena kuliko wakristo hii hatuna shaka kabsa.....

    • @daviddavid-gq8zp
      @daviddavid-gq8zp 5 лет назад

      Saleh Lofy Ubarikiwe Allah pamoja na malaika zake kwa jina la Mohamed Abdalah!

  • @vesitinalevocatus4886
    @vesitinalevocatus4886 6 лет назад +1

    huwa nafurahi nikiona mungu anavotenda miujiza yesu ndonjia salama

  • @janekamau8349
    @janekamau8349 6 лет назад +2

    Angekua mkristo kaslim mgekuwa mnafurahia sanaa lakini sasa mnamtusi sababu ameacha uislam akaingia ukristo

  • @kareemmucky8414
    @kareemmucky8414 6 лет назад

    Pole Sana Akhy Ndmn Nuru Imepotea

  • @peterngeri6661
    @peterngeri6661 7 лет назад +2

    OUR LORD ALMIGHTY BLESS YOU BROTHER

  • @davisrotich116
    @davisrotich116 6 лет назад +1

    Bwana ndivyo ulivyo ww ni Mungu mkuu uawaonyesha watu wako njia iliyo sawa kuja kwako kuliko na makao mazuri

  • @happyabdallah8379
    @happyabdallah8379 8 лет назад +3

    yesu ndiye njia ya uzima

  • @missarngweshemi9983
    @missarngweshemi9983 6 лет назад +1

    Wengi wanadanganywa kutokana na kutosoma Vitabu VYA imani Bali wanaelezwa wakati mwingine Kwa kufichwa ukweli. Tafuta kweli Kwa kujifunza au kusikiliza pande zote. Ninachofahamu Yesu alikuja Kwa Kwa ajili ya watu WOTE ili kuwapatanisha na Mungu wa kweli! Amua ili usiangamie.

  • @markanthony5628
    @markanthony5628 6 лет назад

    ubarikiwe sana Yesu ndo kweli na uzima

  • @emmanuelkiungo9372
    @emmanuelkiungo9372 6 лет назад +1

    Yesu ni njia ya kweli ila nashangaa wengine hawataki kuamini

  • @angelinawillium7330
    @angelinawillium7330 7 лет назад

    Tunashukulu mungukuku to a katikagiza tunaombamungu mwangauendeeree moyoni mwako

  • @Mwl.Nickson_Mabena1
    @Mwl.Nickson_Mabena1 9 лет назад

    Nakufatilia Sana Mtumishi, Mungu akutunze!

  • @iamjoseph795
    @iamjoseph795 2 месяца назад

    2024/10/20 baada ya kumwabgalia TikTok anaweza sana

  • @wizzahgfalme3874
    @wizzahgfalme3874 3 года назад

    Kumbe abel alikuwa muislamuuuuu nfomana anawanyorodha kweli hawa waislamu sahii

  • @happymahube2014
    @happymahube2014 6 лет назад

    Asante Yesu kwa kuniokoa

  • @happyabdallah8379
    @happyabdallah8379 8 лет назад +5

    waislam wote wataokoka kwa la yesu

  • @happyabdallah8379
    @happyabdallah8379 8 лет назад +5

    waisilam njoo kwa yesu

  • @anjelinawiliam5415
    @anjelinawiliam5415 7 лет назад +3

    amina

  • @zahaljamal4520
    @zahaljamal4520 5 лет назад

    Waislamu twendeni kwa yesu

  • @rodalove5614
    @rodalove5614 8 лет назад +3

    waislam Yesu anawapenda

    • @mamatuishi-mamatuondoke8822
      @mamatuishi-mamatuondoke8822 8 лет назад

      Roda Love"Sijajua nini tatizo ya mashekh weng wao wanaokoka

    • @abdulrahimmtunzi953
      @abdulrahimmtunzi953 8 лет назад +3

      sababu YESU anaokoa na yeye ni njia ya uzima na haki mtu hawezi kumwona MUNGU BABA pasipo yeye AMEN.

  • @agnesnjoroge4259
    @agnesnjoroge4259 8 лет назад +3

    yesu ndiye uzima na njia ya kweli

  • @barakajuma7287
    @barakajuma7287 7 лет назад +2

    asante YESU

  • @michaelassam5789
    @michaelassam5789 7 лет назад +2

    ASANTE YESU

  • @elizabethfares4650
    @elizabethfares4650 6 лет назад

    We muogope mungu

  • @magdalenamatiko9995
    @magdalenamatiko9995 6 лет назад

    Kila muislam aliebobea ni mchawi na mfuga majini,ambae hajaishika ndo hajui kinachoendelea,lakini walobobea wanajua Yesu vizuri tu,maana wanakutana ulimwengu wa roho.

  • @cmsa1r
    @cmsa1r 10 лет назад +5

    Jesus rules

  • @susynjambi
    @susynjambi 6 лет назад

    Jesus is the only way

  • @maryjustapeter5430
    @maryjustapeter5430 6 лет назад

    Munhu anaupendlea kila anaye mwamini anaupata uzima

  • @legrandmsangi9789
    @legrandmsangi9789 5 лет назад

    15;18 wakorinto wakwnza inasema, na kw ytte alielala ktk kristo amepotea. kam bibilia yenyew inakiri alielala ktk kristo atakua amepotea bac wakristo wote mmepotea.

    • @saitotisapiyo7167
      @saitotisapiyo7167 5 лет назад

      Hahaha mbona umalizi andiko mwongo wewe soma bibilia poa wacha kukata mandiko.

    • @Wambuiwakori
      @Wambuiwakori 4 года назад

      Hilo huwa ni swali.. sio husema eti aliyekufa ndani ya Yesu amepotea.

  • @salmasalama3754
    @salmasalama3754 8 лет назад

    ww kama umedandanywa uwe mkristo .mupate pesa za pasta ole wako kama umekuwa kafiri SAA hii wakashifu dini ya waisilamu utakufa na moto wa jahanam wakungoja kadri unavyokashifu uisilamu na kaburi lako litakuwa moto ww hufai kuishi duniani tena wapoteza watu sana mungu akusaidie sana bro

    • @chiniyamuti
      @chiniyamuti 8 лет назад +2

      Dada yangu Salma.... wewe ndo kafiri maana unaabudu mungu wa uongo.... allah ni shetani anayejifanya mungu, Mkubali yesu upate uzima wa Milele .

    • @حسامالراشدي-د9ن
      @حسامالراشدي-د9ن 7 лет назад

      wewe jililiie nafsi yako acha ujinga hata kama ataenda kuungua jehanum niyeye aikuhusu wetengeneza yako nae anatengeneza yake msipende kutukana ok jua utaukumiwa kulingana na matendo yako tena ushindwe ujue ukweli ndooo huo mie Waislam wanaokoka wengi tuu nawafaham yananyongwa na majini yao hafu mnakimbilia kwa Wakristu kuombewa acha Mungu ajitukuze usijisifie kwamba wewe ndoo una haki usijipalie mkaaa usio zimikaa jitambue uwe mkristu hue muislam jali nafsi yako nawaombeni dunia ina mwenyewe

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 8 лет назад

    hamna jipya uzushi tu

  • @سلاممسالمه-ن4ي
    @سلاممسالمه-ن4ي 8 лет назад

    sikuhizi mnaritadi kujidai mashehe mnakashifu kuaran ukweli utaujia siku sio nyingi

  • @musapoli4276
    @musapoli4276 2 года назад

    Hakuna kitu anajua huyo hata kusoma kwenyenwe ana soma mahalage matupu

  • @yaaqubsuleman9096
    @yaaqubsuleman9096 8 лет назад

    matayo 24:24

  • @mohamedmsangi6939
    @mohamedmsangi6939 6 лет назад

    hiyo lam alifu alivyoitamka tu n hpo yuko balekh ana akili timam katamka kimakosa. kosa la kwnz hilo la kufnya mm nisimuamin kuw yy alikuw n muislam. hana tofaut n said mbuz alosetiwa na gwajima. tutawazoea hayo

    • @lusekelokisomo6398
      @lusekelokisomo6398 5 лет назад

      Kwani umwamini wewe Nani kaa kimya subiri muda wako huo wa mwenzako anasimulia usitake umuelewe wewe atakaye muelewa ni Mungu na watu wenye akili tu bac

  • @jofureyepimaki716
    @jofureyepimaki716 6 лет назад

    Wote mnao pita humu na kuweka comet zenu zisizo faa akili zenu hazitoshi kabixa unabishana na kukoxoana wakati wote tutakufa kila mmoja abakie na anacho amini unamuita mwenzako kafiri wakati wew mwenyew binadam umekuwa nani wew umkoxoe mwenzako acheni ujinga huo wote waslam na wa kristo

    • @جانيتكينيا
      @جانيتكينيا 6 лет назад

      My dear come saudi if you are christian they will call you many names matusi wacha tu am working saudi

  • @kassmbilali5013
    @kassmbilali5013 7 лет назад

    Acha unahalibu umekalilishwa hujui lolote we ulikuwa mkrsto nautambue biblia sio kitabu cha mungu ili kiwe kitabu cha mungu mtume wake ninan

  • @yaaqubsuleman9096
    @yaaqubsuleman9096 8 лет назад

    hana lolote huyu kafiri mkubwa nimnafiki sana

  • @mohamedmsangi6939
    @mohamedmsangi6939 6 лет назад

    kila mkristo akija na ushahid anasoma sura hiyo hiyo suratil fatha.. kama yy alikuw muislam. atoe ushahid ktk qur an kuw uislam co din ya mungu. au angesoma suratil baqara kuanzia aya ya 212 mpka 220.xx kasoma sura ina aya 5 tu. hta mkristo yyte anawez kukariri. mpuuz mmoja

  • @kassmbilali5013
    @kassmbilali5013 7 лет назад

    Wala haukua muislam mmepangana hiyo haya haisomwi hivo w muongo acha kunadanya watu hukusoma dini hujui hata kidogo chiz kwel hujawa muislam hata muingo mkubwa huna elim yeyote

  • @mzeelusazi1101
    @mzeelusazi1101 7 лет назад

    nyie kweli mazuzu mnaongopewa yesu kaumba na ardhi mnakubali! mnapenda kuongopewa ndh zetu ktk adam, jitambueni zitumieni akili zenu vzr dunia tunapita hii.

  • @Fatma-tx4os
    @Fatma-tx4os 8 лет назад

    utakua mwenye hasara kubwa kama utakufa haliyakua kafiri

    • @chiniyamuti
      @chiniyamuti 8 лет назад +3

      Fatma .... Damu ya Yesu pekee ndo inaweza kuosha dhambi zako....bila damu ya Yesu hakuna msamaha wa Dhambi... mpokee yesu na achana na kuabudu jiwe jeusi.

    • @جانيتكينيا
      @جانيتكينيا 6 лет назад

      Only Jesus is the way my friend not dini.

    • @جانيتكينيا
      @جانيتكينيا 6 лет назад

      @@chiniyamuti tell her again

  • @athumanijuma6553
    @athumanijuma6553 5 лет назад

    kwa Yesu wanakwenda wajinga tu dizaini ya huyo muhubiri kilaza