Assalam Alleyhkhum/Hi Lovies Kwa video zengine za biashara hizi hapa ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5 Please Subscribe 🙏 Nawapenda sana kwa ajili ya Allah Video gani munataka niwaletee?? NB:Wapenzi sio lazima utumie maziwa hatakama sio za biashara🔥🔥 #roadto50k
Hey kipenzi unaeza kueka sukari ya ndani kama huviamini lakini sukari yako njee ikikauka vizuri na uviache vipoe kabisa vitakua sawa ama labda utumie mfuko wa khaki
Assalam Alleyhkhum/Hi Lovies
Kwa video zengine za biashara hizi hapa
ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5
Please Subscribe 🙏
Nawapenda sana kwa ajili ya Allah
Video gani munataka niwaletee??
NB:Wapenzi sio lazima utumie maziwa hatakama sio za biashara🔥🔥
#roadto50k
Nice
Ma Sha Allah... Allah ahifadhi ujuzi wako.... Thanks for sharing
Ameen yarrabal Alameen mpenzi
Vishete vitamu sana. This is a nice business idea. Kids will always come running to buy.
Yes kids wanapenda sana hasa vikue laini na tamuu
Maasha Allah 👌👌👌❤
Masha Allah nice receipe ya Vishete crunchy I will try mine
Tabarakallah utafurahi baby
It was nice learning a new recipe ukiongeza hio sukari zinaongeza kua tamu sana na zakuvutia😋👌
Yes sis tamu sanaa
Mashallah. Na mimi ntajaribu. Shukran
Afwan utapenda love
I will try this one
You will surely love it
shukran kwa recipe
Afwan darling
Mashallah tabarakallah napend bure kwa ajili y Allah mafunzo mazur sn
Shukran sana kipenzi pls share
Nafurahi sana Asante dada❤❤❤
Aa mzuri mashlh haukukanda na maziwa
Ws mm kila kitu changu wazi nimetumia maji
Maa sha ALLAH
❤️❤️❤️
Yani nimepika leo viko so mwaaahh ubarikiwe dear ndy mara ya kwanza lakini nimetoa kitu 🔥
Ameen my love asante sana
i love the final outcome, I will try cooking this🥰
Thanks sis
Ukitaka za biashara how do u pack them
inategemea uanuzia kina nani
Watoto je avialbk
GOD BLESS U
Ameen darling
Mashallah smart
Santee
Masha Allah Shukran
Tabarakallah afwan
aslm alkm when do u add sugar na ni kiasi gani?
Niko na cravings,nipewe tu saa hii to snack on
Nakutumia percel babe🥰🥰
Bismillah mashaAllah ❤❤❤❤
Tabarakallah 😍
Masha allah
Tabarakallah
Gud
❤️❤️
Hongera pishi zuri linaeleweka na rahisi kujifunza,Hapo jamani samli hujasema kipimo chake
Asante sana kipenzi
Woow
Maji ya mferejin jmn
Masha Allah 💫, tnakupend pia dd ytu
Thanks kipenzi
Je vinaka mdagan vikiwa mepkwe
Inategemea na shemu yenye uko
Ok kumbe hizi no visheti...I call them kaimati...woooi
🤣🤣🤣
Mashaallah
Tabarakallah
Assalaam aleikum naweza kutumia maziwa?
wslam ndio
Naomba kuuliza swal Da khadija ,please naomba unijibu, nikiweka kwenye mifuko au vifungashio vikilala havitatoa jasho,naomba unielekeze hapo coz naogopa nisije nikavifunika asubh vikatoa jasho. Please naomba unijibu
Hey kipenzi unaeza kueka sukari ya ndani kama huviamini lakini sukari yako njee ikikauka vizuri na uviache vipoe kabisa vitakua sawa ama labda utumie mfuko wa khaki
Kwenye nusu ya unga unaweka baking powder vijiko vingapi
Robo kijiko kidogo
I meen nusu kijiko kidogo.. Pole
Asantw
Unga wa nini
ahsante dada amila haifai kutumia?
haitumiki hapa
Asalam alaykum didah MashaAllah nakupenda pia kwa ajili ya Allah ♥️
Waaleykhm mussalam nakupenda pia darling kwa ajili ya Allah🥰🥰
Mashallah recipe ikwie kiac maan htjaandk ishaondka🤣🤣🤣🤣
Pole sana kipenzi
Assalam Aleykum waeza kuuza vp kwa vifuko va mabuyu kwa kenya
Waaleykhm mussalam kipenzi kama madrasa dala bora size upunguze ama wakubwa 10bob
@@HadijaSheban Shukran habibty ni za wakubwa mpenzi Allah akubariki umenisaidia sana kwa video zako za biashra nafanya mabuyu pia Alhamdulillah
@@ummuipty789 MashaaAllah MashaaAllah mungu azidi kukutulia barka kipenzi nimefurahi sana tuombeane dua tu love
@@HadijaSheban Amiiin yarabby Amiiin kwa sote in shallah habibty shukran sanaa
Ningependa kujua,mbona hiyo coating ya shira huwa inapata unyenyevu baada ya kupack n nimeuwacha wazi kwa muda..
unafaa usiwe na haraka kupack wacha zipoe kabisaa yaani masaa 3
Mm nataka apo kweny Blue band unaweza tumia km vile samli au siagi au
N piaa katika hapo pa shira MAJI kipimo chake kwa kilo moja ya sukari inkuaje
Nimetaja kipenzi mambo ya maji...hivi ni special vya blueband unaeza try prestige ama hata hio samli sijawai jaribu
MASHALLAH
Tabarakallah
Asente 😍🥰🥰🥰
Karibuu
😋😋😋😋😋😋😋
Asant
Karibu
Hiyo siyagi Ni kiyasi gani
nimesema kwa video
A s w dada weka vpm bc mamy
Naomba kuuliza km Ninataka kuuza ni pck Kwa vimifuko ili nipate faida niweke visheti vingapi Kwa mfuki na nitaiza shs ngapi
Hi dear tafadahli pika kilo moja alafu panga kumi kumi uangalie utapata vp
Habar
njema
Asante dada nimepatepo ujuzi nitaleta mrejesho ila nina swali je nispoweka bluband haifai ??
Ndani haueki sukari
unaeza weka kama wapenda
Laiiiniiiiii
Sanaaa
Metaman
Poyeee
💖😍
Please remove ur ring 💍, while kneading ur flour Please.
Ok
Maa shaa Allah
Tabarakallah
aslm alkm when do u add sugar na ni kiasi gani?
Wslam kwa video nimesema kipenzi
Mashaallah
Tabarakallah 🥰
Maa sha ALLAH
Tabarakallah