jinsi ya kupika visheti vya no 8 hatua kwa hatua rahisi sana

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 35

  • @RehemaAbuu-r4k
    @RehemaAbuu-r4k 15 дней назад

    Masha allah nimekupata vizuri nitapika km vyako nashukuru ninauzoefu mzuri tuu wakutaka kujifunza zaidi ❤❤

  • @shamzone388
    @shamzone388 4 месяца назад +1

    Shukran sana lakini weka vipimo kwenye description box inaoendeza zaidi❤❤❤

  • @simaisalim108
    @simaisalim108 20 дней назад

    Mm ktk kuchoma vinanipa shida vinafura hivooo inakua mibunda hsta kama nlifanya vidonge vdonge

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080  15 дней назад

      @@simaisalim108 unavifanya vikubwa itakuwa ,hv vnataka viwe vidonge vidog vidog na pia ktk uzongorashaji hakikisha vinabana uzur

  • @pilihussein1469
    @pilihussein1469 5 месяцев назад

    Masha allah

  • @jabrial5295
    @jabrial5295 5 месяцев назад

    Mashaallah ukhty please kipimo cha maji na nazi please

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080  5 месяцев назад

      Nazi 1 ,weka maj kdgo wakat wa kusaga iyo nazi yko

    • @jabrial5295
      @jabrial5295 5 месяцев назад

      Shukran ukhty

    • @jabrial5295
      @jabrial5295 5 месяцев назад

      Kwa ile nazi kavu inafaa?

    • @jabrial5295
      @jabrial5295 5 месяцев назад

      Kwa hicho kipimo inatakiwa vitoke takriban visheti vingapi?

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080  5 месяцев назад

      @@jabrial5295 sijawah kujarib ila nahic inafaa but cna uhakika

  • @Fauziajumaa84
    @Fauziajumaa84 3 месяца назад

    Kitu Ajab❤

  • @rehemamajura1549
    @rehemamajura1549 5 месяцев назад

    Asante

  • @Salamajamshi
    @Salamajamshi 3 месяца назад

    unaweza tumia maziwa badala ya nazi

  • @RuthStephano-o1w
    @RuthStephano-o1w Месяц назад

    Nitmie hiv 1:29 y vit

  • @rehanadawood6377
    @rehanadawood6377 3 месяца назад

    Andika mahitaji

  • @rozavalentin-hx8is
    @rozavalentin-hx8is 2 месяца назад

    Unaweka maji ya moto

  • @GrolyRichard-r8z
    @GrolyRichard-r8z 2 месяца назад

    Samahani unaweka na machicha

  • @mbwanangare3233
    @mbwanangare3233 3 месяца назад

    Kurovya nini maanayake

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080  3 месяца назад

      @@mbwanangare3233 🤣🤣🤣🤣kizanzibar icho, kurovya inamaanisha kuutia maji mengi ukawa tepe tepe

    • @DorryMsigwa
      @DorryMsigwa Месяц назад

      Kubunya?​@@fatyscooking8080

  • @GhanimaShaaban
    @GhanimaShaaban 5 месяцев назад

    Ounguza speed wakt wa kuongea

  • @HappyMallyo
    @HappyMallyo 5 месяцев назад

    Vya biashara lazima kuweka Nazi

    • @fatyscooking8080
      @fatyscooking8080  5 месяцев назад

      @@HappyMallyo inategemea na wateja wako kipenz km wataweza kuikubali bei ilochuchuka bc weka kulingana na bei utakayowapa ila km ndo ivo wanataka bei ndogo basi usiweke naz ili uweze kupata faida

  • @rehanadawood6377
    @rehanadawood6377 3 месяца назад

    Mafuta hamna