NEW‼️JINSI YA KUPIKA VISHETI VITAMU SANA/VIKOKOTO/EID RECIPES
HTML-код
- Опубликовано: 14 дек 2024
- #villagelife
Assalam Alleyhkhum/Hi Lovies
Asante sana kwa kufika hapa ukitaka video za Biashara ya chakula Link⬇️
• BIASHARA
◼️Ukitaka snacks⬇️
• Eid Snacks
◼️Halfkeki za kila aina⬇️
• Halfkeki
◼️Vyakula vya kiswahili⬇️
• Ramadhan 2022
Thanks for stopping by please Subscribe Road to 50K Subs💃💃
#roadto50k
Hi Lovies
Video za biashara ya chakula⬇️
ruclips.net/p/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5
Please Subscribe ❤️❤️
Hongera nmependa recipe zako lkn da khadija unaenda haraka sana yaan hutuoni kwa usahihi ingredient ambazo unaweka
Hi dear unaweza kutumia kukandia kimbo
Alhamdulillah napika kila siku na video yako nnayo na watu wanapenda nashukur dada hadija
Thanx for reminding us on tamutamu
MashaAllah MashaAllah
Tabarakallah love
❤❤❤❤❤❤❤ mashaalah 😋
MashaAllah tabarakalla hadija Vipi hali ?Eid Mubarak to you and family dear
Leo nimepika pilau kwa kuni mahali ur video juzi inspired me alot
Shukran
Nakipenda recipe ya visheti,Mungu akuinulie zaidi vipaji vyako!
Ameen kipenzi
Mashaa allah thanks nimepatia
Santa dadake MashaAllah vimetokea vizury
Karibu mpenzi wangu
Sijui mbona notification haikuji kama si Tiktok singejua juna new video. Nimezipenda visheti. Mwanangu atazipenda pia. Simple recipe moto kiasi rangi mzuri na visheti vimeivaa.
Mpenzi hata sijui why but sometimes nihivyo
Mash allah visheti vizur sana
Na ninavyovipenda ..
Pongezi mpenzi
Asante sana kipenzi changu
❤nimepend kwakeli
Mashallah ntajaribu asante dada Allah akubariki
Atubariki sote kipenzi Ameen
Nakupenda bure we Dada,Mungu akubariki mno
Nakupenda pia kipenzi🥰🥰
Mashallah shukran habibty ila napendekeza ueke recipe kwenye description tafadhal
Shurani my sister
I love it MashaaAllah, the confidence is everything ❤❤
Shukran soo much love
Hongera. Dampishi
Asante dadaake 😘
Karibu lovee
Jaman vizuri niandikie maitaji nijaribu dada
Asant somo wang allah akupe umri mrefu
Allahuma ameen somo
Yummy! Thank you for sharing your recipe my friend I really appreciate your effort ❤️
Most welcome
Mashaallah shukran jazaqallahu 🥰
afwan kipenzi
Mashallah ❤❤❤👍👍👍
❤️❤️
Maa sha ALLAH
❤❤hngera sana
karibuu
Napenda sana mapishi Yako mungu azidi kukutunza
Ameen asante sana love
Mashaalah
Tabarakallah ❤️
Mashallah tabarak Rahman shukran ukhty ❤❤🇴🇲
Afwan love ❤️❤️
Baarakallahu fiiqu habibty
Allahuma ameen
Yummy mashaallah
Tabarakallah
MashaAllah... Eid Mubarak from my family to yours💕💕💕
Minael faizeen darling
Kesho inshallah
Shukran sana
Karibu dear
Asante ninejaribu nimewezaaaaaaaaaaaa
hongera sana kipenzi
Dada apo pw👍👍
Asantee
Asantee
Mashaallah
Tabarakallah
Ndani
Weuweeeez
Asante sana
Karibu darling
Nihamuna kuweka amila my
I have just finished my vishety. Very nice recipe thank you so much for the video. It was very useful. Regards from Oman.
Aww shukran my love nimefurahi sana
Imependeza kipnz
Asante sana
Shukran
Afwan❤️❤️
Hamna sukari?
Napenda unavyopika
Asante saana
Thanks, I have learned from you. I will try
Most Welcome ❤️❤️
Woow
Thanks😘😘
Yummy 😋 Eid Mubarak dear ❤️
❤️❤️❤️
Mashallah
Tabarakallah ❤️
❤maziwa n warm ama baridi?
unaeza tumia warm
@@HadijaSheban thanks dear I will try them
Siagi ngapi
Do you have an English version of this recipe? I do speak Swahili but did not understand some of the words. Thank you for sharing the recipe
can i use mafuta ya sunflower instead of siagi au samli
Naeza kutumia unga wa self raising
Yes usieke baking powder
❤❤❤❤
Unawez kuwek amira
Blueband kias gan
Waeza eka mafuta ya uto kama hauna blue band
Yummy yummy
Thanks
shukran habibti tunatumiya hiliki pori ?
Hiliki pori ni ipi
Kg moja naweza uza sh. Ngapi?
Ikiwa huna blue band huwezi kuvipik
Tiktok unatumia jina gan
Hadija sheban mpenzi
Asante. Je unapatikana wapi
Hlw Hadija,samahani,naomba kujua sukari uliyotumia ni aina gani au naweza tumia yyt?
Hey dear sukari ni yoyote
Je Kama nikitaka kufanya vya biashara uswahilini kwetu naweza nikapunguza kipi ili nipate faida maana kwa nilivyoangalia nikisema nitumie vitu vyote hivyo sitapata faida
Jaribu kufanya vya mafuta na pia kwa packet usivijaze weka vitano mpaka saba
Assalam alleikum nilkua nauliza vyaeza Kaa Kwa mda gani
Hat mwez@@NajmaSharif-m6j
Sukari kiasi gani
Nimetaja
Hamira ni baking powder ama
Hamira ni yeast
Viko poa
Sanaaaa
Nimejaribu sister wangu ila vimekua vigumu kama Mpira
Mpenzi Pole sana sijui nitakusaidiaje ila havifai kuwa vigumu hivyo
Naomba kuulza je weza tumia bicarbonate
yes ila sijawai
Kwahy hv havitakiw amila wala banking powder
Angalia video vizuri
Kisha vinaeza jeti for how long
1 week
Dada nlijaribu kuchanganya sukari haikua hivyo ilikua ile ya kunata nilikosea wapi
Hukuiacha ichemke uzur
Mayai ni lazima?
Sio lazima mpenzi
Hadi mate yamenidondoka
Utamuu
Kwan hiyo haiwekwi chumvi?
Nam nimeuliza chumvi haiwekwi?
Nahitaji
uko?
Samahan hakuna chumv wala sukari unaweka humo??
Chumvi unaeza eka kiduchu
Ongea taratibu bc daahhh 😂😂😂
😋😋😋😋😋😋😋
😂❤
♥️♥️
Chumvi uweki
Kwanini dada vikokoto vinabutuka jikono?
Kubutuka ninini
Hio chila baada ya Siku ya pili mbona inaanza rojeka haiwi unga kama ivo na ukivipaki kwa mfuko inapotea kabisaaa vinakuwa vinang'aa kama umepaka asali ivi nakosea wapi?
baada yakupika wacha vipoe kabisa kisha weka kwa tight container
But Sina iliki nafanye aje
sukari je hauweki
Anglia video mpaka mwisho
Poa
Vipimo vya 2 cups of flour please
Punguza sis
Au nazi?
Yep
Maa shaa Allah
Tabarakallah 🥰
❤maziwa n warm ama baridi?
yakawaida tu
unaeza tumia warm
MashaAllah
Tabarakallah ❤️
❤❤
❤️
Maa shaa Allah
Tabarakallah
MashaAllah
Tabarakallah
❤❤❤
MashaAllah