Maa shaa Allah, in shaa Allah nitajaribu lkn mm nitafanya ya duara. Nikishatia nyama na kueka kipande cha juu nitafunga vzr km ulivyofanya baadae nina kikatio cha round kikubwa nitakata vzr. Vijunga vitakavyokatika mwisho naeza kusukuma nikaunda andazi jengine, situpi🤔
Jaribu kutuandikia ingredients na kizungu pia huku Kenya unaweza tafuta vitu madukani Hadi uchoke wanasema hawajui,,kindly looks yummy 😋
Tangawizi- ginger
Kitunguu saumu- garlic
Kitunguu maji- red bulb onion
Maji ya vuguvugu- lukewarm water
Amira- yeast....
I hope it helps
😂😂😂 true
Wow....a great way of making mahamri.
Wakenya itabidi tujifunze kutika bingo nation
Woooow ma sha Allah... futari ya Leo hii sijawahi Kula maandazi ya nyama yametokea bomba Sana 😋😋👌👌
Very interesting. First time to see stuffed mandazis. Great presentation thanks👍🏽
Bumped into ths channel now im addicted😊😊please put english captions esp for ingredients
dada samahani hahuwenzikunifundisha😍😍😍😍
Uko vizuri kwenye mapishi. Nimejifunza kupika piza
Asante
Hongera sana , naomba jinsi ya kupata malighafi ya kutengeneza mtindi na yogat, samahani
Nimejifunza vitu vingi kupitia vidéo zako🙏asante Sana dada♥️
My dear nimependa Sana Asante niamtamu Sana Ila Mimi nimetumi samaki huwa sili nyama
Mashaallah ni ubunifu nzuri ingawa wengi twayapika lkn sio kama hivi Ongera sana
Nimependa sana jaman thats amazing mandazi kwakwel
MashaaAllah my love yaani hii recipe hatari🔥🔥 asante sana
Safi sana andazi zuri sana
Maa shaa Allah
Nntajaribu in shaa Allah
Kutumia lugha ya kingereza next tym.will try
Ma shaa Allah yavutia ntaijaribu hii recipe
Jaman sijawahi hata kusikia maandazi ya nyama Wala kuona Asante dada ntajaribu kuyapika😋😋
Jaribu maini ndani.....loooooooh
Nimependa hii style.
Mapishi mazuri Dada.Ahsante kwa kutufunZa
Mashaallah nimependa kwa kweli nitajaribu mungu akujaalie
Wao dda najifunza vingi sana kwako asante kwa somo
I will try this I love trying new things
Hongera sanaaa Madam nimekuelewa sanaaa asante Kwa somo
My dia nimekupenda
Wooooow mashaaaallah nzurii mwaaah'😎😎💋💓💓💓 hongera mwaya
Asante
Masha Allah mamitho nitajiaribu hii yakaa tamu jamani asante sana
Umepotea. Nilitengeneza ice cream ilikuwa nzuri sn. Maandazi pambeee nikipika nitakupa mresho. Mungu akubariki
Amen
Mashaalah mpishi bora sio bora mpishi
Very nice I could like you to visit n cook for me
Kitaaaaamu kweli kweli. Kwanza hiyo nyama😊😊
Good and understandable ìnstruction
Thank You
Interesting I will try to make this
🥰🥰🥰
@@ikamalle what is amira
Yeast
I like it, it so beautiful .Masha Allah😍😍😍
Lazima nitengeneze hii❤❤
Mashawallah nitajaribu😊
I will try but you're amazing..😋😋
Thank You 🥰
Nimependa ulivyopka dada ang ❤
Ahsante kwa elimu nitaifanyia kazi
Mashallah nmepnda
Mi mgeni Ila nimekupenda Sana,am expecting more from you habibty. Shukran ❤️
Na mim pia
Ongera
A must try
paprika ni nn jamani wapendwa Masha Allah ika malle hongera ngoja nami nikarekebishe jikoni
Ni hoho iliyosagwa,, yan ya unga,, hiyo nyekundu
Am enjoy about your cooks
Thank You
Mapishi mazuri nimeipenda nitapika kwangu🙏🙏👍
Unapk kulingan na vipim au km Rob kil ktu kiwe robo mamy
Mashallah unapika vizuri lakini sijaona mahambri yaki tengenezwa hivyo
Ma Shaa Allah upishi mzuri, thanks for sharing..
Asante
Inaonekana ni tamu thx 4 this I will try
Namba uposrma unga kikombe kimoja sema pia na ujazo wake kwasbabu wengine unasikiliza tu hatuoni asante.
Hamuoni munaandika
Amazing... l'll try this look yummy
Asante sana best
Mashallah shukrani ❤
Nimependa hayo mandazi ningependa kama upo hapa dar nije kwa karibu zaidi
I'm gonna try out one day
Mashaalla pambe nimeyapenda dear
Nimejaribu nimeangalia Leo na ni meshyajaribu is so yummy 😋😋😋
Nilijaribu nikatoa Boko kwenye kufunga yalikuwa matamu
Ahsante nitajaribu kupika
Mashallah I like it. 😋😋😋
Very wonder ful
Keep going i am new person i liked 🥰
I can smell the dish from this other side. . Nimependa😍
Waoooh ahsante mummy
I love it
I hv been eating such snacks bt nt frm mahmbir 😂this look yam yam 🤤
Aunti mimi siju utanioyesha
Umeivaaaa aswaaah asaht kutufundisha😋
Mashallah i will try this thank u
This is amazing. Love itttt
🙏 ahsante
Iko poa i will try it
Wow l ike it
unajuwa sana
Mashallah hbbty ❤️
Hayo ni mahamri sio mandanzi mpenzy though thy look 😋
Majina tofauti kitu kimoja mombasa huita mahamr bongo mandazi
Umeivaa,asante kwa mapishi mazuri
I love that food
This is beautiful 👌👌👌
New follower ❤️ nimejifunza mengi kwa mapishi yako ❤️
Karibu sana
thank you for th guide. My question si, can i use selfrising flour without adding backing powder?
Nimeipendaa sana mwaaa
They are just like samusas/sambusas
Unatisha kwa mapishi siikuwezi.
Wow mash.lah thanks sister 😍😍😍😍✋🏻🇸🇴
🥰🥰
Mashalla mazuri sana nitajaribu
Am your new subscriber 😍😍😍😍😍😍
Nice looks yummy will appreciate if you can write below the ingredients and measurement or subtitles in English thks
Tamu sanaaaaaaa
Wow 👍
Ntajaribu kupika
Asante kwa mafunzo
Asante sana. Yaani nimefurahi sana kupata chanel yako.
Karibu sana
I like it 😋😋 and nice work
Maa Shaa Allah, Shukran Sana.
Nimependa maandazi mazuri
Asante dada tamu sana 🙏🙏🙏❤❤❤
Dada nakukubaliiii
Maa shaa Allah....vikombe viwili ni sawasawa na kilo ngapi
Nice recipe😋😊
Can one use mincemeat instead?
Yes
@@ikamalle Thanks a lot👍
Your recipes are amazing,I've learnt so much from you.
I'm a fan from Kenya🇰🇪❤
77⁹
Nimependa mno❤
Nimependa pishi
Mazuri sanaa
Maa shaa Allah, in shaa Allah nitajaribu lkn mm nitafanya ya duara. Nikishatia nyama na kueka kipande cha juu nitafunga vzr km ulivyofanya baadae nina kikatio cha round kikubwa nitakata vzr. Vijunga vitakavyokatika mwisho naeza kusukuma nikaunda andazi jengine, situpi🤔
We sio bakhili
Nimependa saaan
Good idea 💡👍