VISHETI VINALIWA NA KAHAWA SIKU ZA EID NA SIKU ZOZOTE ZELE PIA UNAWEZA KULA KWA CHAI UKITAKA PIA! LAKINI CHAI INA SUKARI NA VISHETI VINA NA SUKARI PIA! LAKINI KWA KAHAWA NI UZURI ZAIDI👌"
VISHETI LIWA SIKU ZA EID SIO MWEZI WA RAMADHAN! VINALIWA AS A TAQADUM NA KAHAWA SIO TEA SHAI) TEA) CHAI) ALWAYS VISHETI HULIWA KWA KAHAWA👌 VISHETI VINALIWA KILA SIKU SIO LAZIMA IWE EID" NI KAMA TAQADUMU KWA KAHAWA VINALIWA NA SIO CHAI! LAKINI UKITAKA CHAI UNALIA PIA!
Hiki ni kipindi cha maisha ya mtu sio mapishi 😂😂 yan watu wamejaa kwa comment hawajaelewa kipi kaeka wapi kiasi gani maana umebase kumuliza maswali kuhusu maisha yake than what she is preparing
JE UNATAKA KUPIKA NASI WASILIANA NASI (0765-92 64 58)
Mashaallah hiki kipindi cha mapishi lakin tukizungumzia maisha yake mm na ww pia tunapata kujifunza alimopitia na kujua,asant dada kwa mapishi❤
Allah akulipe umeniongezea kitu Kuhusu kutokuchemsha siag maana ni kweli vinakatika kwenye shila❤🙏
Munaongea sana, punguza maneno na huzingatie kupika
😂😂😂😂😂
Mashallah kazi za ndani uarabuni zimekusaidia kujifunza Mapishi ❤❤
Alikua arabuni
Mashallah Mashallah ❤❤❤
Mashallah hongera sana
sukari sjaelew ulivotia👌
Mashallah shukrani tumepata mengi ❤
Nimeenda naomba unielekeze vizuri besti.
Ni Shira sio "shila". Asante kwa mapishi
ManshaAllah shukran uyu dada anafanana na Layla
Nitakutafuta my dear
Shila😂
Siagi na Samli ni vitu viwili tofauti
Mashallah Tabaraka Lwah ❤️
Siz. Pls jitahidi nguo. Yako mikono ikunje kidogo .
Napenda visheti mno dada samahani naomba kujua ukiweka yai je vinakaa mda Gani bila kuharibika
Upishi wa visheti, nimependa masha a Allah, ila ingependeza zaidi vikaliwa na kahawa
Na kg1 ngano, siagi robo ni nyingi. Inapunguzwa kdg.
Asante mi itaniongezea kipato
Asante sana
Hongera Sana
Asante sana hapo kwa baking likua sijui mimi likua naeka sasa nimejua
Miaka 5 watoto 5 😮mashallah mpemba wa dar
Kwakweli maongezi nimengi kuliko vitendo
Kanaongea sn Acha wenye ujuzi waongeye ayo yakuliza watoto ayatuhusu
Manshallah madam brembo
Mapish au maisha ya mpishi duuh too funny
Mm mtu ananikwaza akianza kusema meme 😡 kwan kula vishet lazm umpikie mume? Mm napika na nakula na wanangu uku tunachek move ni safi sana ❤
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
😂😂😂
Aiseee mnaongea mpaka mnakera mmmmh
Mnaongea sana kuliko kufany tunachoangalia bwana
Pishi zuri ila zingatia kuvaa nguo ya mikonomifupi unapokuwa unapika kuzingatia usafi.
💖
Safiii sanaa.💥💥💥 good job 👍🫶
Huweki hamira ama magad soda
😂mwandishi hujui unachofanya unauliza maswali tofaut na kipindi hayo mahojiano au mapishi
Asante sana
Acha kuongea fany a ukichiambiw Yanmhhhhhh 😢 mnaboa sana hmfai
VISHETI VINALIWA NA KAHAWA SIKU ZA EID NA SIKU ZOZOTE ZELE PIA UNAWEZA KULA KWA CHAI UKITAKA PIA! LAKINI CHAI INA SUKARI NA VISHETI VINA NA SUKARI PIA! LAKINI KWA KAHAWA NI UZURI ZAIDI👌"
Thanks
Miaka 6 ya ndoa imeondoa R zako zote😂
❤❤❤
Siagi ya visheti inayeyushwaa.
Dada brembo maashallah... Dada asnath💜💜💜💜
Mgonjwa tupu sukari sukari,chemsha muhigo magimbi kunywea chai
❤
🙏👍😋
Sor sijaelewa, ivo visheti hujaweka baking soda wala baking powder?
Baking powder unaweka.
@@RitbayRitbay sawa na baking soda hauweki ?
@@ashurajengela3926 huweki
VISHETI LIWA SIKU ZA EID SIO MWEZI WA RAMADHAN! VINALIWA AS A TAQADUM NA KAHAWA SIO TEA SHAI) TEA) CHAI) ALWAYS VISHETI HULIWA KWA KAHAWA👌 VISHETI VINALIWA KILA SIKU SIO LAZIMA IWE EID" NI KAMA TAQADUMU KWA KAHAWA VINALIWA NA SIO CHAI! LAKINI UKITAKA CHAI UNALIA PIA!
Sasa tusikue mazungumzo au?
Visheti kwa kahawa
Umetumia maji moto au baridi
Tuambie umetumia maji yamoto au baridi,lkn pia umetumia baking powder?
Baking powder unaweka
Maji kawaida
Shila 😂
MashaAllah kazi mzuri lakin kunja nguo yako
Nauliza ukitia mayai haviharibiki kwa haraka
Mbona visheti na juice havi endani kabisa visheti mwenziwe ni kahawa
Haswaaa na Siku ya Eid ndio Vinaliwa Na Sio Mwezi wa RAMADHANI 😢... Visheti mwezio Kahawa
Hmn kila mtu na mapendekezo yake vpnz
@@asilahassan9965 Yaani Anasemea kuwa visheti mwenzake Kahawa Habibty
Kweli haviendi na juice muhimu kujua uhalisia wa vyakula
Siyo Kila mtu anakunywa kahawa
Sukari muka weka vipi ndani ya Visheti?
Hadi nguo inaingia kwa bakuki la ngano
😂
Samahani kilo unauzaje
Hiki ni kipindi cha maisha ya mtu sio mapishi 😂😂 yan watu wamejaa kwa comment hawajaelewa kipi kaeka wapi kiasi gani maana umebase kumuliza maswali kuhusu maisha yake than what she is preparing
Nimependa usafi na mpangilio nzurii wa Kila kitu
Hiki kipindi huwa kinaonyweshwa siku gani kwa wenye azam
Kila siku ya Jumatano Saa 11 Jioni, Jehova Jire Tv. Kingamuzi cha Azam kwenye Other Channel Namba 006
Mbadala wa siagi
Too much talking mnaboesha
❤❤❤
❤