Pishi Letu
Pishi Letu
  • Видео 32
  • Просмотров 85 674

Видео

JIFUNZE KUPIKA UGALI NA ROSTI NYAMA NA MWAMPOSA WA BUNJI
Просмотров 2432 месяца назад
Jifunze kupika Ugali na Rosti la Nyama Chakula Kitamu na kizuri ambacho staa wetu wa leo MWAMPOSA AMETUPIKIA Audio: Music: Bensound License code: XHTY4ATGBRKAXDGY
JIFUNZE KUPIKA LEMON CHICKEN / KUKU MWENYE VIUNGO KUTOKA MUSCAT OMAN
Просмотров 3022 месяца назад
Jifunze kupika Lemon Chicken Pamoja na Chipsi , Chakula Kitamu na kizuri kamabacho kinapatikana Basmat Restaurant. Audio: Music: Bensound License code: XHTY4ATGBRKAXDGY
JIFUNZE KUTENGENEZA UROJO WA ZANZIBAR MZURI KWA WAJAWAZITO
Просмотров 1,4 тыс.3 месяца назад
Jifunze kupika Urojo wa Zanzibar uikoe Ndoa yako na Familia yako.
CHAPATI ZA KUSUKUMA NA ROSTI LA KUKU WA KIENYEJI | Pishi Letu
Просмотров 3533 месяца назад
Jifunze kupika Chapati za kusukuma na Rosti la Kuku wa Kienyeji uikoe Ndoa yako na Familia yako.
JIFUNZE KUPIKA KEKI YA KINYAKYUSA KIFUGE | Pishi letu Season 2
Просмотров 744 месяца назад
Jifunze Kupika Cake ya Wanyakyusa inayotengenezwa na Maharage, Viazi vitamu na Maziwa chakula cha hasili pia ni kizuri kwa wanaume KWA MAONI TUPIGIE 0765 926458
JIFUNZE JINSI YA KUPIKA UJI WA KUNDE /DIWANI AONESHA UMAHIRI WAKE Pishi Letu SeasonTwo
Просмотров 1484 месяца назад
Jifunze Kupika Uji wa Kunde uliochanganywa na Nazi, Sukari. Chakula Halisi kwa Afya ya Mtoto na Familia. Kutoka Bagamoyo PWANI KWA MAONI TUPIGIE 0765 926458
JIFUNZE KUPIKA TUNA PIZZA NA PAPPAROTI/PIZZA SAMAKI BALAA
Просмотров 1987 месяцев назад
JIFUNZE KUPIKA TUNA PIZZA NA PAPPAROTI/PIZZA SAMAKI BALAA
JIFUNZE KUPIKA SAMAKI KOMBO NA JEDI23 HOTEL YA MBEZI GOBA
Просмотров 3558 месяцев назад
*JE UNATAKA KUPIKA NASI WASILIANA NASI (0765-92 64 58)*
JIFUNZE KUPIKA PILAU ROSTI NA BIBI PI KUNGWI WA VIKINDU
Просмотров 1,6 тыс.8 месяцев назад
*JE UNATAKA KUPIKA NASI WASILIANA NASI (0765-92 64 58)*
JIFUNZE KUPIKA KUKU MBOGAMBOGA NA CREAM NA CHEF ALOYCE
Просмотров 6999 месяцев назад
*JE UNATAKA KUPIKA NASI WASILIANA NASI (0765-92 64 58)*
JIFUNZE KUPIKA EGG CHOP TAMU,LAINI NA HAZINA MAFUTA MENGI
Просмотров 6059 месяцев назад
JIFUNZE KUPIKA EGG CHOP TAMU,LAINI NA HAZINA MAFUTA MENGI
JIFUNZE KUPIKA CHAPATI ZA KUSUKUMA LAINI NA ROSTI LA MAINI
Просмотров 4 тыс.9 месяцев назад
JIFUNZE KUPIKA CHAPATI ZA KUSUKUMA LAINI NA ROSTI LA MAINI
JIFUNZE KUPIKA VISHETI VYA SUKARI LAINI NA VITAMU BALAAH
Просмотров 41 тыс.10 месяцев назад
JIFUNZE KUPIKA VISHETI VYA SUKARI LAINI NA VITAMU BALAAH
JIFUNZE KUTENGENEZA ICE CREAM YA VANILLA NA MAZIWA
Просмотров 33410 месяцев назад
JIFUNZE KUTENGENEZA ICE CREAM YA VANILLA NA MAZIWA
JIFUNZE KUPIKA UNYUNYU WA MPISHI/CHAKULA CHA NGUVU ZA KIUME
Просмотров 37710 месяцев назад
JIFUNZE KUPIKA UNYUNYU WA MPISHI/CHAKULA CHA NGUVU ZA KIUME
JIFUNZE KUCHOMA NYAMA LAINI KAMA WAMASAI/BEEF CHOMA
Просмотров 202Год назад
JIFUNZE KUCHOMA NYAMA LAINI KAMA WAMASAI/BEEF CHOMA
JIFUNZE KUPIKA PAPER STEAK/NYAMA LAINIII TAMU
Просмотров 773Год назад
JIFUNZE KUPIKA PAPER STEAK/NYAMA LAINIII TAMU
JIFUNZE KUPIKA CAKE ZA CHOCOLATE NA MAYAI MATATU
Просмотров 429Год назад
JIFUNZE KUPIKA CAKE ZA CHOCOLATE NA MAYAI MATATU
JIFUNZE KUPIKA SAMBUSA ZA NYAMA LAINIII
Просмотров 498Год назад
JIFUNZE KUPIKA SAMBUSA ZA NYAMA LAINIII
JIFUNZE KUPIKA SAMAKI CHANGU ROSTI NA WALI
Просмотров 398Год назад
JIFUNZE KUPIKA SAMAKI CHANGU ROSTI NA WALI
JIFUNZE KUPIKA TAMBI ZA MAKANGE/NI TAMU BALAA
Просмотров 422Год назад
JIFUNZE KUPIKA TAMBI ZA MAKANGE/NI TAMU BALAA
JIFUNZE KUPIKA NYAMA CHOMA NA UGALI KISASA ZAIDI
Просмотров 27 тыс.Год назад
JIFUNZE KUPIKA NYAMA CHOMA NA UGALI KISASA ZAIDI
JIFUNZE KUPIKA SAMAKI MAKANGE NA WALI NJEGERE
Просмотров 278Год назад
JIFUNZE KUPIKA SAMAKI MAKANGE NA WALI NJEGERE
JIFUNZE KUPIKA BIRIANI LA NYAMA BILA MAFUTA YA KULA
Просмотров 282Год назад
JIFUNZE KUPIKA BIRIANI LA NYAMA BILA MAFUTA YA KULA
JIFUNZE KUPIKA KUKU MAKANGE WALIOWEKWA MASALA
Просмотров 1,4 тыс.Год назад
JIFUNZE KUPIKA KUKU MAKANGE WALIOWEKWA MASALA
JIFUNZE KUPIKA MIHOGO YA KOKO BEACH NA MISHIKAKI YAKE
Просмотров 486Год назад
JIFUNZE KUPIKA MIHOGO YA KOKO BEACH NA MISHIKAKI YAKE
PISHI LETU INTRO
Просмотров 122Год назад
PISHI LETU INTRO

Комментарии

  • @REDENTABENEDICT
    @REDENTABENEDICT 2 месяца назад

    Kwa sisi wakinga kifuge ni ugali sio keki, halaf tuletee mapish ya vyakula vya asili ya kinyakyusa na kikinga na makabila mengne tujifunze asili zetu

  • @ZuberiMamboleo
    @ZuberiMamboleo 2 месяца назад

    Mpishhhhhhhiiiii

  • @LeylahYusuph
    @LeylahYusuph 2 месяца назад

    Heee kumbe upo single 😂😂💃💃

  • @LeylahYusuph
    @LeylahYusuph 2 месяца назад

    🎉🎉🎉 utukaribishe na sisi bhn siku moja tukuje utupikie

  • @Tinnahlovee
    @Tinnahlovee 2 месяца назад

    Chief mwamposa😊😊

  • @Kellyjozee
    @Kellyjozee 2 месяца назад

    Chief mwamposaa🔥🔥🔥

  • @barwani890
    @barwani890 3 месяца назад

    Utatufanya nikija tzania nikutafute ktoka omani

    • @PishiLetu
      @PishiLetu 2 месяца назад

      Karibu sana Tutafurahi Kufanya kazi pamoja nawe

  • @salma0000
    @salma0000 3 месяца назад

    Miaka 6 ya ndoa imeondoa R zako zote😂

  • @salma0000
    @salma0000 3 месяца назад

    Ni Shira sio "shila". Asante kwa mapishi

  • @EverTarimo-f4r
    @EverTarimo-f4r 4 месяца назад

    😂mwandishi hujui unachofanya unauliza maswali tofaut na kipindi hayo mahojiano au mapishi

  • @MayaMoktan-lb7hr
    @MayaMoktan-lb7hr 4 месяца назад

    ❤❤❤❤🇳🇵🇳🇵🇳🇵🇳🇵🇳🇵

  • @JanetPeter-r9b
    @JanetPeter-r9b 6 месяцев назад

    ❤❤

  • @NuruNuru-z6b
    @NuruNuru-z6b 6 месяцев назад

    Mashaallah hiki kipindi cha mapishi lakin tukizungumzia maisha yake mm na ww pia tunapata kujifunza alimopitia na kujua,asant dada kwa mapishi❤

  • @BernadethaSheni
    @BernadethaSheni 7 месяцев назад

    Nitakutafuta my dear

  • @olgaapanga4249
    @olgaapanga4249 7 месяцев назад

    No sound why?

  • @agnessahia415
    @agnessahia415 7 месяцев назад

    Napenda visheti mno dada samahani naomba kujua ukiweka yai je vinakaa mda Gani bila kuharibika

  • @edwardkahembetz
    @edwardkahembetz 8 месяцев назад

    Kiukweli, mzee alikuwa ni shida

  • @edwardkahembetz
    @edwardkahembetz 8 месяцев назад

    Imependeza sana

  • @Marrymolel-ou3zu
    @Marrymolel-ou3zu 8 месяцев назад

    Asante sana

  • @DarKopo
    @DarKopo 8 месяцев назад

    Umetishaaaa Zeno best cooker ever kwny hiyo idara ujawahi kushindwaaaaa food look delicious 😋

  • @rosenancydavid6715
    @rosenancydavid6715 8 месяцев назад

    mama angu zeno umeweza🙌🙌 umeweza umeweza tenaaaa😂

  • @JescaDominic
    @JescaDominic 8 месяцев назад

    Acha kuongea fany a ukichiambiw Yanmhhhhhh 😢 mnaboa sana hmfai

  • @JescaDominic
    @JescaDominic 8 месяцев назад

    Mnaongea sana kuliko kufany tunachoangalia bwana

  • @KeziaKitina
    @KeziaKitina 8 месяцев назад

    Nauliza ukitia mayai haviharibiki kwa haraka

  • @LaurentyRoman-zc9pz
    @LaurentyRoman-zc9pz 8 месяцев назад

    Nimeenda naomba unielekeze vizuri besti.

  • @neemalema6220
    @neemalema6220 8 месяцев назад

    Tunaomba mpishi atueleze hayo makaa ya mawe yanapatikana wapii?

  • @asilahassan9965
    @asilahassan9965 8 месяцев назад

    ❤❤❤

  • @MapishiNaZuu
    @MapishiNaZuu 9 месяцев назад

    Kaandika cake ta mayai matatu mbona hapo inaonesha matano?

  • @EligiaMligo
    @EligiaMligo 9 месяцев назад

    Mbadala wa siagi

  • @Swaabeeryna
    @Swaabeeryna 9 месяцев назад

    Shila😂 Siagi na Samli ni vitu viwili tofauti

  • @enockmaige8936
    @enockmaige8936 9 месяцев назад

    Mapish au maisha ya mpishi duuh too funny

  • @tasnimmaka9747
    @tasnimmaka9747 9 месяцев назад

    Asante sana hapo kwa baking likua sijui mimi likua naeka sasa nimejua

  • @humphreymartin8880
    @humphreymartin8880 9 месяцев назад

    Ni hatari🔥🔥🔥

  • @najmanuru2021
    @najmanuru2021 9 месяцев назад

    Hiki ni kipindi cha maisha ya mtu sio mapishi 😂😂 yan watu wamejaa kwa comment hawajaelewa kipi kaeka wapi kiasi gani maana umebase kumuliza maswali kuhusu maisha yake than what she is preparing

  • @Leo-g8u8c
    @Leo-g8u8c 9 месяцев назад

    sukari sjaelew ulivotia👌

  • @monicaisuja8917
    @monicaisuja8917 9 месяцев назад

    Asante mi itaniongezea kipato

  • @esthercharles5945
    @esthercharles5945 9 месяцев назад

    Hadi nguo inaingia kwa bakuki la ngano

  • @esthercharles5945
    @esthercharles5945 9 месяцев назад

    Mgonjwa tupu sukari sukari,chemsha muhigo magimbi kunywea chai

  • @bas2823
    @bas2823 9 месяцев назад

    VISHETI VINALIWA NA KAHAWA SIKU ZA EID NA SIKU ZOZOTE ZELE PIA UNAWEZA KULA KWA CHAI UKITAKA PIA! LAKINI CHAI INA SUKARI NA VISHETI VINA NA SUKARI PIA! LAKINI KWA KAHAWA NI UZURI ZAIDI👌"

  • @bas2823
    @bas2823 9 месяцев назад

    VISHETI LIWA SIKU ZA EID SIO MWEZI WA RAMADHAN! VINALIWA AS A TAQADUM NA KAHAWA SIO TEA SHAI) TEA) CHAI) ALWAYS VISHETI HULIWA KWA KAHAWA👌 VISHETI VINALIWA KILA SIKU SIO LAZIMA IWE EID" NI KAMA TAQADUMU KWA KAHAWA VINALIWA NA SIO CHAI! LAKINI UKITAKA CHAI UNALIA PIA!

  • @AtienookothSelinaokoth
    @AtienookothSelinaokoth 9 месяцев назад

    Sasa tusikue mazungumzo au?

  • @meowzna
    @meowzna 9 месяцев назад

    😋😋😋👍

  • @elikaiman1332
    @elikaiman1332 9 месяцев назад

    Sawa Doy birian umeua nitakupa kaka 🎉🎉🎉

  • @MaryKazungu-id2oo
    @MaryKazungu-id2oo 9 месяцев назад

    Too much talking mnaboesha

  • @MariamMohamed-wo3vi
    @MariamMohamed-wo3vi 9 месяцев назад

    Thanks

  • @MuniAli-t1j
    @MuniAli-t1j 9 месяцев назад

    Mbona hatukiskia kitu kuhusu chapati

  • @selenezekiel3497
    @selenezekiel3497 9 месяцев назад

    Aiseee mnaongea mpaka mnakera mmmmh

  • @MariamLigoha
    @MariamLigoha 9 месяцев назад

    Vipi sauti? Au ni kwangu tu

  • @MzeeAhmad
    @MzeeAhmad 9 месяцев назад

    Kanaongea sn Acha wenye ujuzi waongeye ayo yakuliza watoto ayatuhusu

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 9 месяцев назад

    💖