"NILINUNUA MAGARI KWA MAVUNO YA KWANZA YA MPUNGA" SHUHUDA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 20

  • @OmanGabbi-xw8qs
    @OmanGabbi-xw8qs День назад

    Muongo sana eka 25 katumis milioni mbili galama ninyimgi kilima

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  День назад

      Asilimia kubwa ya wakulima wadogo wao wenyewe na familia zao hufanya kazi shambani na hivyo kupunguza gharama za uzalishaji kwa kulipa vibarua.
      JE Unahitaji USHAURI AU UNA SWALI JUU YA KILIMO/UFUGAJI NA UNGEHITAJI KUJIBIWA KWA KINA NA WATAALAMU WETU WA KILIMO, UFUGAJI NA MASOKO YA MAZAO ? Bonyeza link hii 👉🏿 direct.lc.chat/18957423/
      SASA HUDUMA ZETU NI MASAA YOTE!

  • @kagombaEnok
    @kagombaEnok 4 месяца назад +1

    Hongera sana

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  4 месяца назад

      Ahsante na karibu.
      Tafadhali SUBSCRIBE LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI.
      Kwa Mawasiliano zaidi WhatsApp:0757 757 968 ili kupata muongozo kamili wa KILIMO CHA MPUNGA.

  • @OmanGabbi-xw8qs
    @OmanGabbi-xw8qs День назад

    Mimi wananiuzi sana onges ukweli ili kama mtu anataka kulima ajue galama zake asije akatafuta milioni mbili akalima eka25 akaidhos njiani wawe eanaongea ukweli

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  День назад

      Mashamba mengi ya wakulima wadogo huudumiwa na wenye shamba wenyewe wakishirikiana na pamoja na familia zao. Hii hupunguza gharama za uzalishaji.
      Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII 🙏🏿.
      JE Unahitaji USHAURI AU UNA SWALI JUU YA KILIMO/UFUGAJI NA UNGEHITAJI KUJIBIWA KWA KINA NA WATAALAMU WETU WA KILIMO, UFUGAJI NA MASOKO YA MAZAO ? Bonyeza link hii 👉🏿 direct.lc.chat/18957423/
      SASA HUDUMA ZETU NI MASAA YOTE!

  • @OmanGabbi-xw8qs
    @OmanGabbi-xw8qs День назад

    Muongo uy0

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  День назад

      Ni vizuri kudadisi juu ya mbinu anazotumia kupunguza gharama za uzalishaji shambani kwake.
      JE Unahitaji USHAURI AU UNA SWALI JUU YA KILIMO/UFUGAJI NA UNGEHITAJI KUJIBIWA KWA KINA NA WATAALAMU WETU WA KILIMO, UFUGAJI NA MASOKO YA MAZAO ? Bonyeza link hii 👉🏿 direct.lc.chat/18957423/
      SASA HUDUMA ZETU NI MASAA YOTE!

  • @OmanGabbi-xw8qs
    @OmanGabbi-xw8qs День назад

    Kwanini wanakua waongo awaongei ukweli ajatumia mili0ni mbili katumia milioni kumi au nane

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  День назад

      Asilimia kubwa ya wakulima wadogo nchini Tanzania hufanya kazi pamoja na familia zao mashambani na hivyo kupunguza gharama za kulipa vibarua.
      JE Unahitaji USHAURI AU UNA SWALI JUU YA KILIMO/UFUGAJI NA UNGEHITAJI KUJIBIWA KWA KINA NA WATAALAMU WETU WA KILIMO, UFUGAJI NA MASOKO YA MAZAO ? Bonyeza link hii 👉🏿 direct.lc.chat/18957423/
      SASA HUDUMA ZETU NI MASAA YOTE!

  • @ZubedaAbdallah-s5p
    @ZubedaAbdallah-s5p 4 месяца назад +1

    Hongera naomba no yako

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  4 месяца назад

      Ahsante na karibu.
      Tafadhali SUBSCRIBE LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI.
      Kwa Mawasiliano zaidi WhatsApp:0757 757 968 ili kupata muongozo kamili wa KILIMO CHA MPUNGA.

  • @ZubedaAbdallah-s5p
    @ZubedaAbdallah-s5p 4 месяца назад +1

    Na mimj natamani kulima naomba tuwasiliane

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  4 месяца назад

      Ahsante na karibu.
      Tafadhali SUBSCRIBE LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI.
      Kwa Mawasiliano zaidi WhatsApp:0757 757 968 ili kupata muongozo kamili wa KILIMO CHA MPUNGA.

  • @LawranceMahungu
    @LawranceMahungu 4 месяца назад

    Alilima heka ngapi,akapata hizo gunia?

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  4 месяца назад

      Wa kwanza Joseph alilima ekari 35 akapata gunia 750 na Mr.Masunga alilima mbegu ya asili ekari 25 akavuna gunia 350 kwani sehemu ya shamba ilichukuliwa na mafuriko.

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  4 месяца назад

      Tafadhali SUBSCRIBE LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI.
      Unaweza pia kuagiza kitabu cha KILIMO CHA MPUNGA kwa WhatsApp 0757 757 968 AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA

    • @dedancaleb153
      @dedancaleb153 5 дней назад

      Hamna kitu alifanya ekari 35 gunia 750 wakati hapo alikuwa anatakiwa kuwa na gunia zaidi ya 1000​@@aje-farmsmashambayanayotem7392

    • @dedancaleb153
      @dedancaleb153 5 дней назад +1

      Inamaana kwa wastani wa Kila eka alipata gunia 21, alooo

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  5 дней назад

      @dedancaleb153 hakika na bado unaweza kuvuna hata gunia 30 kwa ekari.
      Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII 🙏🏿 TUWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI.
      JE Unahitaji USHAURI AU UNA SWALI JUU YA KILIMO/UFUGAJI NA UNGEHITAJI KUJIBIWA KWA KINA NA WATAALAMU WETU WA KILIMO, UFUGAJI NA MASOKO YA MAZAO ? Bonyeza link hii 👉🏿 direct.lc.chat/18957423/
      SASA HUDUMA ZETU NI MASAA 24 !
      Unaweza kuagiza kitabu cha KILIMO CHA MPUNGA kwa WhatsApp:0757757968