Mungu akupe maisha marefu yenye kheri na baraka Mr Joel nanauka nakukubali Sana Allah akuzidishie hotuba na speach zako nzuri kuliko kawaida . naitwa issa nassor naishi zenj , karibu Sana.
Am 50 yrs old now Nimekufahamu since 2 weeks ago,nakusikiliza speech zako tangu za miaka 3 iliyopita mpaka sasa nahisi sijachelewa na nitaweza kutimiza ndoto. zangu
@marymkamwa3779 Asante sana 🙏 kwa kunitia moyo nilikuwa najiuliza kwa umri wangu ulivyoenda nitaweza kufanya nn sasa (nilikuwa nimejikatia tamaa kabisa) Nashukuru kwa msg Yako kumbe naweza kufanya jambo🎉❤❤
Ubarikiwe sana kaka joel umekuwa ni baraka kubwa mno kwetu na kuna watu walikata tamaa lakini baada ya kusikiliza mafundisho yako wameona wana sababu zaid ya elf 10 za kuishi 🙏🙏
Mashaallah broo jaribu kusoma na uislamu nakuona unapenda kusoma sana huenda ukajifunza zaidi na zaidi
Mr Joel mm nakupa big up San uko vym .🙏
Mungu akupe maisha marefu yenye kheri na baraka Mr Joel nanauka nakukubali Sana Allah akuzidishie hotuba na speach zako nzuri kuliko kawaida . naitwa issa nassor naishi zenj , karibu Sana.
Am 50 yrs old now
Nimekufahamu since 2 weeks ago,nakusikiliza speech zako tangu za miaka 3 iliyopita mpaka sasa nahisi sijachelewa na nitaweza kutimiza ndoto. zangu
@marymkamwa3779
Asante sana 🙏 kwa kunitia moyo nilikuwa najiuliza kwa umri wangu ulivyoenda nitaweza kufanya nn sasa (nilikuwa nimejikatia tamaa kabisa)
Nashukuru kwa msg Yako kumbe naweza kufanya jambo🎉❤❤
Asante sana Mr Joel , Nina mshukuru Mngu mwenye kutupa mutu kama wewe🙏
(ENOCK from Rwand🇷🇼)
Umeua kwenye hii elimu unayotupatia bureee Arafati Tz nanyumbu mtwara
Maneno ya kiingereza mm cyaelewi, muwe mnajikita kwenye lugha zetu zilizonyooka ili tuwe tunaelewa zaidi.
ASANTE MENTOR, MASTER ARTHUR NANAUKA JOEL 🙏🙏🙏
Kiukweli speech zako huwa nazikubali sana. Hasa kwa jinsi unavyotoa mifano
Mungu akubariki sana wasema kweli umeniumbia kitu ndani ya maisha ya ngu🇨🇩
Ahsante sana kaka Joel leo nimejifunza kitu kikubwa sana MUNGU akubariki
Ukweli kabisa mungu akubaliki sana . Kupitia mafudisho yako sai najitabua sana .
Ni kweli baba mafundisho yako mazuri sana
My MENTOR, God bless you
Watu watatu kama wewe dunia inakuwa sehemu nzuri yaku ishi 🤝❤️🫴
You never disappointed daddy 👏🏼👏🏼🙏🏻 be blessed
Unanifungua Sana ubongo na maneno yako na vitabu vyako usichoke kutupa maarifa
Asante san umetfunua san mung akuwek maish marefu
Kaka Mung anakutumia kushape zone
Nimekuelewa sana kaka
Ahsante sana kaka nina jambo langu nitakushirikisha kama unaniruhusu maana umekua mtu muhimu sana kwangu.
Ahsante 🙏
Asante kwa mafundisho yako Mr.Joel
Uko vzr unafaa kuwa kiongoz wa taifa
Safi sana okoa jamii n kazi ya Mungu iyo
Jamani uko sahihi mmmh penye kusaidia ndugu hapo hakika yakikukuata hata kama uliwasaidia vipi hawakusaidii dah Wacha nichukue hatua binafsi nimeshuhudia
Kaka nakupenda sana unafundisha Mambo mazurió sana
Hakika umenifungua Leo
Fact😢😢😢
Mungu akubaliki sana!
we jamaa uishi milele najivunia sana kuwa haki kipindi kimoja n wwe
Nakutakia kila la kher
That's what you said ni vizuri ❤
God bless you servant of God
Mi nakukubali sana mungu akubariki
Unatakiwa utumie Lugha moja wapo,Kama Kiingereza au kiswahili
Brain Vitamins from this man is such an awesome❤
Mungu akubariki sana sana ki ukweli Huwa unanifanya kupiga hatua kubwa
Barikiwa sana kaka,na Mungu azidi kukujaza maarifa ili wengine tunufaike❤❤❤
Ubarikiwe sana kaka joel umekuwa ni baraka kubwa mno kwetu na kuna watu walikata tamaa lakini baada ya kusikiliza mafundisho yako wameona wana sababu zaid ya elf 10 za kuishi 🙏🙏
Neno moja tu kaka Nashua sana
asante kaka @nanauka ❤
Noel tunashukuru Tanzania lazima tupambane tuzishinde roho za umasikini 😢
Barikiwa Sana bro unatupa madini imara
Kweli ndugu yangu
Kila siku napenda kuchukua point zako, napenda unachokifanya bro. Mungu akubariki sana Ili uzidi na uzidi kutupa hayo madini.
Hakika ❤
Fact sana bro
Kaka ubarikiwe sana
Facts and inspires for really get u from malawi as a refugee in dzaleka dowa
Sensa ya nchi gani hyo kaka
😅😅😅😅
Mm nilikua nataka no Yako kaka
Brother Mungu akubariki sana
Mr joel nmekuelewa
Barkiwa sana
I'm speechless!
Asante sana
Be blessed
Shukrani somo nzur la kujifunza 🙏🙏
Thanks a lot a man of God
Mwalimu wanqu huyu 👨🏫
BE BLESSED.
Brave one day I'll meet with you for more conversation sir brace
KAKA WEWE MTU BORA SANA
Tatizo Unachanganya Lugha,
Nakuelewa sana
Mwalimu ❤😊
UBARIKIWE KAKA
Kweli kabisa
❤ asante Kwa kweli
Saf brother
Blessed
Good advice broh I want to be alike oneday🙏🙏
Madini ya kutosha
Asante brother ❤
Nimekupata kaka
Great
Good bro
naitaji namba zako braza joel
Vitabu vinapatikana wapi na vinauzwaje
Kaka nilikuwa naomba unisaidie kwa kutoa ushauri kuhusu upambanaji kwa eneo la shule
Asntee
❤
❤❤❤❤🎉
💯💯
🙏🙏🙏
👍👍👍👍👍
🧠🧠🧠🧠
✍️
😆😆😆😆💯💯💯💯💯💯💯💯💯
That's what you said ni vizuri ❤
Asante sana