Mdada umeongea kwa uzur hasa kwenye matangazo ya mwanzo umeongea kwa mpangilio mzur lkn Giza limefifisha sanaaàa muonekano wako kwahyo umekosa baaz ya credity ikiwemo urembo wako haujaonekana kwa uzur.tutaongea na bro..mbwaduke kama anatupa madin Mazur kwenye uchambuzi basi ata vifaa au vitendea kazi viwe bora zaidi na km ni bora basi pengne matumiz yake hayakuwa sahihi,coz Giza sna.all in all hongera kwa kazi nzur
Naipenda sana yanga yangu🙏🙏🙏🙏

YANGA for life 🎉🎉
Huyu camera man afukuzwe kazi hajuinkazi yake😢
Mbona camera man amekuficha sura mzee wa data
Yanga mmechanganyikiwa mara ahli mara masandawane mtatia aibu safari hata nafasi ya pili kwenye kundi lenu hamuipati
Nini maana yakuchanganyikiwa? Ni hili mtu achanganyikiwe anatakiwa awe vp