KAMWE: YANGA HAWANA DOGO AL HILAL WANA KISASI NAE “ALITUTOA SISI YULEEE, KAJICHANGANYA”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 152

  • @aminahussein4866
    @aminahussein4866 Месяц назад +4

    Semaji tunalo walah allah akuweke kijana ally kamwe❤

  • @mussabacar5452
    @mussabacar5452 Месяц назад +11

    Kamwe boy nakupata nikiwa Nampula Mozambik we ni mtu na nusu 🎉

  • @LupimoclinicBlogspotsanitarium
    @LupimoclinicBlogspotsanitarium Месяц назад +12

    Amin mungu ibariki yanga tutawapiga! Wote!

  • @RebekaTweve-s9m
    @RebekaTweve-s9m Месяц назад +2

    Unatufariji, unatupa confidence , Yan God bless you ally

  • @allysinde6208
    @allysinde6208 Месяц назад +14

    Imekaa vzuri Sana hii....
    Full confidence..💛💛💛💛💚💚💚

  • @AbelLazaro-y4p
    @AbelLazaro-y4p Месяц назад +20

    Ni timu nzuri,ni kubwa kwenye kundi la Yanga, viongoz wetu wa yanga. Mjipange Sawa Sawa

    • @halunimnenwa5224
      @halunimnenwa5224 Месяц назад +2

      Ila simba kuma nyoko mkishindwa kuchukua kombe la shirikisho.msim huu bs mkafie uko

  • @mendradmh.kigola7952
    @mendradmh.kigola7952 Месяц назад +1

    When I hear about my team Yanga, it really makes my day great. It's such a good team that truly satisfies us Tanzanians.

  • @JonasAthanas-m5n
    @JonasAthanas-m5n Месяц назад +6

    Ally kamwe upo vizuri nakukubali

  • @zitongwang6278
    @zitongwang6278 Месяц назад +2

    Football doesn't operate more on theory it need more practices , consistently ,and good chemistry among players , so players must take their time for preparation right now, God bless Tanzania 🇹🇿 God bless young African 💛💚 I real wish young to lead in the group stages 🙏

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv Месяц назад +10

    Young Africans ndio TBS ya mpira wa #Tanzania 🇹🇿

  • @AgenesMugema
    @AgenesMugema Месяц назад

    Mungu atupiganie tufike nusu.Hongera Kamwe uko vizuri.

  • @mohamedikisinga9714
    @mohamedikisinga9714 Месяц назад +5

    Mungu ibaliki yang Africas mungu ibaliki tanzania

  • @davabackup7767
    @davabackup7767 Месяц назад +1

    Yanga daima mbele nyuma mwiko 💚💛🇹🇿

  • @RehemaLupeke
    @RehemaLupeke Месяц назад +1

    Mungu ibariki Yanga tupate ushindi wa magoli 5 kila lenye kheri Mungu uwatangulie wachezaji wetu kwa kila hatua na kila jambo

  • @blacknighttv7148
    @blacknighttv7148 Месяц назад +6

    Nmecheka kwa nguvu bravo ni nomino sio tima kamwe utatuua

    • @thobiaskatoto1770
      @thobiaskatoto1770 Месяц назад

      Bora wew bravo ni nomino mie hapo kwenye wimbo tu 😂😂😂😂😂

  • @FrankKafene
    @FrankKafene Месяц назад +11

    Yangaaaaaaa raha sanaaaaa ❤❤❤❤❤❤❤ MUNGU ibariki Yanga Yetu

    • @LuciaMagari-h8o
      @LuciaMagari-h8o Месяц назад

      Kopa za yanga n njano na kijan bhn

    • @FrankKafene
      @FrankKafene Месяц назад

      @@LuciaMagari-h8o saw dada yake

  • @selemanibakari7555
    @selemanibakari7555 Месяц назад

    Yanga oyeeeeee wananchiiiiiiiiiii

  • @SaidEmmanuel-dl6er
    @SaidEmmanuel-dl6er Месяц назад

    Ally we ni part ya haji najua kaka ako haji hana baya na wew pambana uximiangushe dogo

  • @MohamediSleyum
    @MohamediSleyum Месяц назад

    Mungu ibarik yanga ipite had fainal

  • @LucasYohana-m4l
    @LucasYohana-m4l Месяц назад +1

    💛💚💪

  • @fredgonga9470
    @fredgonga9470 Месяц назад +4

    😂😂😂 ety wakacheze kwenye michoro😂😂

  • @LeahSixtus
    @LeahSixtus Месяц назад +1

    All the best my team

  • @HuseniadamuIddy
    @HuseniadamuIddy Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤ napenda yanga yangu

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 Месяц назад +1

    Yanga kuna Zengeli azizi mzize,yao,baka,nondo,shua,mdasil boka,mkude wote ni hatari kwao

  • @zakiazakaria3316
    @zakiazakaria3316 Месяц назад +1

    Yanga lazima robo fainali lazima hiyoooooo mungu2 atusaidie katika mashindano ya group stage

  • @EliudAmos-m1q
    @EliudAmos-m1q Месяц назад

    Iv unajua ukiwa yanga unajiona bingwa

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs Месяц назад

    Mwixhoni umenifuraixha 😂😂 awa simba maludiano tuwalete Neson mandera sumbawanga tuwapulizie upupu tuwapige kama ngoma duu ingekua poa xana 😁

  • @HarithKamgasha
    @HarithKamgasha Месяц назад

    Allah afanye wepesi kila kitu kitakaa sawa twende mpaka fainali

  • @RebekaTweve-s9m
    @RebekaTweve-s9m Месяц назад

    God bless you ally wetu💛💚

  • @AlphaJacob-j9y
    @AlphaJacob-j9y Месяц назад

    Semaji lenye idea kubwa na fikla za mbali yanga ibarikiwe sana kwa maana inanipa rahaaa

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan Месяц назад +3

    ALLY KUONGEA SANA SIO TIJA LA MSINGI NI MAANDALIZI MAZURI,HAO MC ALGER,AL HILAL WANA WACHEZAJI WAZURI SANA

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 Месяц назад +1

      Wanajua vzr viongozi wetu wapo makini kuliko unavyofikiria subir utajionea muda ukifika

    • @FrankKichele
      @FrankKichele Месяц назад +1

      Timu yetu iko vizuri

    • @thobiaskatoto1770
      @thobiaskatoto1770 Месяц назад

      Wew unadhan kwamba viongozi hawalijui hilo eti

    • @FkBoy-n4f
      @FkBoy-n4f Месяц назад

      kazi yake nn

    • @mwanamatofali6981
      @mwanamatofali6981 Месяц назад +1

      Hawana uzur wowot, Sema mnawaona wazur wakichez na timu zetu, mbona kweny ligi zao wanakamatwa tu na vitim vibovu, kila sik wanachana mikeka

  • @hamisisalum6318
    @hamisisalum6318 Месяц назад

    Yanga 😂Raha
    Kama machine ya kusaga.
    Mwenye gunia hayaa
    Mwenye debe hayaa
    Mwenye kikapu haya
    Yaani yenyewe inasaga TU.

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs Месяц назад

    Ebu kwanza nichekeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 Месяц назад +1

    Kwa upande wangu mimi ni wakati wa kuenjoy football

  • @AbdoulkarimNzohabonayo
    @AbdoulkarimNzohabonayo Месяц назад

    Young bingwa

  • @BariatuAbutwaha
    @BariatuAbutwaha Месяц назад

    Napenda Ali anavyoongea huwa sichoki kumsikiliza

  • @gabrielmchau8764
    @gabrielmchau8764 Месяц назад

    Mungu Awe nasi

  • @KwizeraIbrahim-r9g
    @KwizeraIbrahim-r9g Месяц назад

    Bab ni kuapiga mbele na nyuma 😂😂😂😂😂😂

  • @kessysenga8700
    @kessysenga8700 Месяц назад +1

    Yanga huu ndio wkt wa timu kuonyesha uwezo wa timu hapo Sasa ndio tutaona ubora timu yetu

  • @Ambagaye
    @Ambagaye Месяц назад +1

    Yanga ni kama tembo; hatusahau kulipiza kisasi hata kama ni baada ya miaka 20.

  • @godfreysimoni4270
    @godfreysimoni4270 Месяц назад +1

    Ally unavyo ongea unaongea vizuri Hadi unanipa Raha sana

  • @AlfeusJames
    @AlfeusJames Месяц назад

    Pamoja na ugumu wa kundi letu lakini lazima tutoboe.. Yanga ni kubwa mno kwa sasa imeimarika sana kwa sasa

  • @kingallydj2667
    @kingallydj2667 Месяц назад

    Yanga nibora na hatari sana ndiomana mnasema Kila cku KUHUSU yanga inakufunga vyovyote vile 🎉

  • @ToradEmanuel
    @ToradEmanuel Месяц назад

    Chama ni mzr kwenye game kama izii

  • @YusuphJilala-r4e
    @YusuphJilala-r4e Месяц назад +2

    Tutawakandaaa

  • @mendradmh.kigola7952
    @mendradmh.kigola7952 Месяц назад

    God Bless Yanga African

  • @JasminHassan-j4o
    @JasminHassan-j4o Месяц назад

    Majirani mbona hawasemi kitu

  • @amadeusmdetele6206
    @amadeusmdetele6206 Месяц назад +1

    Hapa yanga anachukua points 9 nyumbani plus 6 za nje

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Месяц назад

    unapenda kujisifu ww halafu Mchome huwa anamsema Ahmed Ali Tuu

  • @wazirijuma-v6p
    @wazirijuma-v6p Месяц назад

    Tunaiombea yanga yetu itushinde.

  • @DullakhalidSaid
    @DullakhalidSaid Месяц назад

    Mungu. Ibarikl. Yangatunaipedasanatu

  • @aminahussein4866
    @aminahussein4866 Месяц назад

    Pira lichezwe kama lilivochezwa na cbe zanzibar yarabiii nafs zetu

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 Месяц назад +1

    Acha majigambo mpira usitengeneneze mazingira magumu kwa timu.kumbuka hujuma zipo.....😮😮😢

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 Месяц назад

      Wameshajifunza mengi wanajua vzr naamin wajiandaa kwa vyovyote vile

  • @ZaydShafii-v2n
    @ZaydShafii-v2n Месяц назад

    Allah ajaalie ushindi

  • @Barakah2590
    @Barakah2590 Месяц назад

    Kweli mungu atupe nguvu

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 Месяц назад

    ❤❤❤tutavuka inshallah 🙏

  • @chrisantusnditi8670
    @chrisantusnditi8670 Месяц назад

    Al Hilal Omdulman wamejileta,hawa inabidi washughulikiwe ipaswavyo.Na uzuri tunaanza nao.

  • @hanskahwage6304
    @hanskahwage6304 Месяц назад

    😅😅😅😅😅😅😅 alikamwe mshenz sanaaaaa

  • @drallan6879
    @drallan6879 Месяц назад

    ally unatoa Siri za timu be careful

  • @kenethrungwe9852
    @kenethrungwe9852 Месяц назад

    Ila wee jamaa, kwahiyo Simba kapangiwa Team zenye majina ya watu, team zenye majina yake ni kama madawa🤣🤣, team zenye majina ya vichocholoni🤣.... Yaan Kwamba Bravoh ni Nomino duuuh Shekheeeh
    Bas tusamehe tuache na Simba yetu🤣🤣

  • @drallan6879
    @drallan6879 Месяц назад

    we ni zaidi ya muongo ally kamwe

  • @LucasYohana-m4l
    @LucasYohana-m4l Месяц назад +1

    😂😂😂

  • @NicholousBudodi
    @NicholousBudodi Месяц назад +1

    Kisas kiko palepale razime tukilipe

  • @ADELADamus
    @ADELADamus Месяц назад

    Ngoja niwatafsiriye 😂kwakiarabu 😂😂

  • @IjaboyMrimbo
    @IjaboyMrimbo Месяц назад +3

    Us algar tunamdai kachukua kombe letu 😂😂😂

    • @phinianirugaimkamu7373
      @phinianirugaimkamu7373 Месяц назад +1

      Siyo yeye huyu ni mwingine

    • @musaambonisye6046
      @musaambonisye6046 Месяц назад +1

      Zingatia kuna MC Alger na USM Alger

    • @chrisantusnditi8670
      @chrisantusnditi8670 Месяц назад

      Siyo huyu MC Alger,yule ni USMA.Yupo CAF CC(Shirikisho).Huwa anakimbia ,huku kugumu ndugu

    • @IjaboyMrimbo
      @IjaboyMrimbo Месяц назад

      @@chrisantusnditi8670 duuh kweli maziwa na tui kutofautishakazi

    • @alnasmwalingo4670
      @alnasmwalingo4670 Месяц назад

      Sio Us Alger ni tofauti tuliyocheza nayo fainaly yenyewe ni Mc Alger

  • @williamjr.1044
    @williamjr.1044 Месяц назад +1

    yanga bingwa

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni Месяц назад

    Mbona nyie mliza na tim ya wanafunz juz

  • @RashidiSaidi-h6r
    @RashidiSaidi-h6r Месяц назад +6

    Tushindwe wenyewe

  • @JustiniNgajilo
    @JustiniNgajilo Месяц назад

    Ushindi wetu mashabiki tunalaha kuichungulia yanga

  • @EmmanuelMrimi-v1r
    @EmmanuelMrimi-v1r Месяц назад

    Ongera kamwe ongera xaan

  • @drallan6879
    @drallan6879 Месяц назад

    itakuwa mwisho WA Safari yenu na Lundo la madeni;kugongwa ni mandatory

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 Месяц назад

    Kamwe wewe haichezi.. kundi hili ni gumu.. japo majina ni mepesi mepesi huu ni mpira usitengeneneze mazingira magumu kwa timu mpira una mchezo mchafu tusije tukajikuta na kulia....😂😂😂😂

  • @IssaMilaji
    @IssaMilaji Месяц назад

    Good 👍

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 Месяц назад

    Yanga ijipange Bado wale sio Lelemama!!!!!

  • @michaelmasalago8068
    @michaelmasalago8068 Месяц назад

    WANANCHIII MIMI NAWAAMBIA HUYU TUTAMRUDISHIA MACHUNGU HALAFU TUSONGE MBELE.

  • @HarithIdrissa
    @HarithIdrissa Месяц назад

    Woteee

  • @HamzaChinjengwa
    @HamzaChinjengwa Месяц назад +1

    Mm nlikua nawataka hawa manemlodi tutakutana2

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 Месяц назад

    Dube sio mchezaji wa kumtegemea kuifunga Al hilal labda baleke, chama au Aziz ki

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 Месяц назад +1

      Siku hazilingani ndungu utashangaa hiyo siku anawaka

  • @yassinkimolo2943
    @yassinkimolo2943 Месяц назад

    Huyu ni mwehu mwandishi amekuuliza kuhusu vilabu vya Tanzania !! ligi haikupandishwa ubora kwasababu ya simba?
    Watu kama hawa ndio wanatukanisha vipofu!
    Kwa kauli ya kipofu akiona mwezi.....

    • @ahmedalsaadi7108
      @ahmedalsaadi7108 Месяц назад

      Sasa nawewe kwa nini umtukane kipofu uoni kama unachuma dhambi za bure?

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 Месяц назад +1

      ​@@ahmedalsaadi7108😂😂

  • @mlumendoigonza6398
    @mlumendoigonza6398 Месяц назад

    Muda umetimia yanga kuchukua kombe mwaka huu

  • @PaulKidula-o9g
    @PaulKidula-o9g Месяц назад

    Mamelod typing😅😅

  • @EsteR-dt9iw
    @EsteR-dt9iw Месяц назад

    Sisi hatunaga maneno tunacho taka vitendo

  • @BarakaJohn-ii3xc
    @BarakaJohn-ii3xc Месяц назад

    But make sure that's all young African players there an additional of work hard

  • @filbertntibasiga8093
    @filbertntibasiga8093 Месяц назад

    Kisasi lazima kipwe

  • @ZuinabuJaeka
    @ZuinabuJaeka Месяц назад

    Mazembe hasumbui mwenyekit lawasemaj

  • @maxmia100
    @maxmia100 Месяц назад +1

    Kwweli kabisa Ali hilali Ina wachezaji wazuri Sana na Wana fitnes kubwa kwahiyo yanga yetu wasiwe na maneno bila vitendo tuna tuungane tena kweli kweli wanayanga wenzangu

  • @DomisianBuxhay
    @DomisianBuxhay Месяц назад

    Mi ni mwana Simba ila huyu jamaa anajua kuwajaza japo ukweli anao akilini mwake. Haya acha tusubiri. Mda ni mwalimu mzuri sana.

  • @samwelipima3795
    @samwelipima3795 Месяц назад +1

    ❤❤❤❤❤

  • @Mohamedkigera
    @Mohamedkigera Месяц назад

    yanga wanapita namazep

  • @LukiaYohanaMsungu
    @LukiaYohanaMsungu Месяц назад

    Hakika mungu nimwema yanga Itafika mbali sana

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 Месяц назад

    Mazembe ana kisasi cha yangaa. Atapiga kama ngoma

  • @MashauriBujanga
    @MashauriBujanga Месяц назад

    Wwwe

  • @winfreygodfrey4339
    @winfreygodfrey4339 Месяц назад

    Napenda anavyojiamini🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nickomdete7232
    @nickomdete7232 Месяц назад

    Khàa uwe na akiba ya maneno

  • @stejasatv7349
    @stejasatv7349 Месяц назад +1

    hahahaahaha😂😂😂😂😂

  • @JonasAthanas-m5n
    @JonasAthanas-m5n Месяц назад

    Hapa msemaji tumepata aijawai kutokea

  • @TariqTV-p5e
    @TariqTV-p5e Месяц назад

    mnatoka

  • @m-touchez1978
    @m-touchez1978 Месяц назад

    Ujinga Wakati wa kwenda, wakati wa kurudi........Timamu😅😅

  • @BarakaJohn-ii3xc
    @BarakaJohn-ii3xc Месяц назад

    Mambo ya nyuma tuachane nayo tugange yajayo ands I appreciate my young African football club

  • @rashidyramadhani1485
    @rashidyramadhani1485 Месяц назад

    🔰🔰❇️